Pashambe ni mwamba hii movie ilitakiwa awe staring kabisa yani gonga like Kwa niaba ya pashambe mwamba 💪💪💪👍👍
@tariqabdallah-s8n13 күн бұрын
Sasa ww uliona wap pashambe akawa steringi Au unataka kutuharibia muvii Pashambe ni adui mchawi mtunza misukule Imeisha iyooo
@عايشهسالم-ح6ز13 күн бұрын
😂😂jamni Pennine anaipenda iyomichezo
@HappynessJohn-q3c13 күн бұрын
Nilifikiri nimewahi jmn wa 10
@AishaMohamedhaidari13 күн бұрын
Mabuti mbaya kaah 😂😂😂 mie wa mwisho Leo jmn😊
@josephchiwaya837113 күн бұрын
Wakenya tupo wengi🎉🎉🎉
@zaitunkea12 күн бұрын
Eeeeh tupo tele hapa 😂😂😂
@EasterJohn-t9j10 күн бұрын
Ys
@kingbrother-p6t13 күн бұрын
Wa kwanza kaka
@ibrahimmjeda377813 күн бұрын
Wadau mpo fasta nilijua nitakua wa kwanza
@Janvierparametre-k5g13 күн бұрын
Kiukweli chumvi leo umetutendea haki kutuletea huyu jama mganga wachaaaaaaa kulkutanta mantetele
@HeakiCredit12 күн бұрын
Namkubali kinoma an🥰
@KimsitiThedon13 күн бұрын
Wakwasa kutoka Kenya wakenya mukowapi chagamukeni na like please ❤
@SemajiLaMasqaroda13 күн бұрын
Kubabaake siyo wakwasa SEMA wakwanza
@SemajiLaMasqaroda13 күн бұрын
Mwanangu chumvi huku kwenye masihara kunakunoga ZAIDI ya kuwa serious ushauri wangu kama unataka movie ya serious wengine wawe serious wewe Baki na masihara yako
@LoreineFaida13 күн бұрын
Kabisa yani tunapenda vichekesho
@KimsitiThedon11 күн бұрын
@@LoreineFaida atari
@Duchu_man2413 күн бұрын
Tekelo wankoma tekelo mama ooooh😂😂😂😂chili Mwinyi Mkuu
@ValentinaPeter-z3n13 күн бұрын
Blessed chumnvi nying🎉🎉
@Smooth-vy5ky3qp6s13 күн бұрын
Chumvi wewe mkali mwa iyi movie una acted vizuri sana kızidi ata ile ya black lion 😅😅😅🎉🎉🎉
@HhBbh-tn5uh13 күн бұрын
Sito acha kufuatilia kazi zako chumvi mpaka nife😂😂😂😂😂😂😂😂
@NajimaShabani-p2g13 күн бұрын
Jamani mbona usiseme zimezid kuwa nying 😂😂😂😂
@princeshailee735913 күн бұрын
Wakwanza TA
@furahazero655913 күн бұрын
Wa mbilimbili wambilimbili twende n moja kichwan
@KareemJuma-n7b13 күн бұрын
Iko pouh saaaaaan 🎉🎉🎉 tuko pamoj 🤝
@MarthasuleimanPeter13 күн бұрын
Wa ishilini mimi hapa
@MazanzaOfficial7 күн бұрын
Kazi Nzuri Sana Familia Ya Chumvinyingi Gang Mnaua Alafu Polisi Hamuendi 🔥💯
@SarahBakari-c3q13 күн бұрын
Pashambe hongera baba maua yako unajua tena unajua sana❤❤❤😅😅😅😅
@HamisiMachinda13 күн бұрын
Chumvi nyingi gang nawakubal san KAZI iendeleee ❤😂🎉❤😂🎉❤🎉❤🎉😂
@PenieDaniel13 күн бұрын
Wa 17 Mimi hapa
@gboyrapper289612 күн бұрын
Dah hii movie q*mamamake ni hatariiiiiii mamaeee dah nyie ng'ombe mulioshiriki humu ni hatariiii bata nyiee kobe wakubwa nyieee muna hatariiiii sanaa chukueni maua yenuu 🎉🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@IshaHosini13 күн бұрын
Uongo huo uongo, uwongo huo uongo😅
@LoreineFaida13 күн бұрын
Waaacha 😂😂😂
@eagleculturetv469212 күн бұрын
Chumvi kweny hii muvi una mbwembwe nyingi sana yaan naic hata kweny ambazo zilipaswa kuwa serious we blah blah nyingi a, a, a: simba mweusi mule ukaa poah sana yaan dah 👍👍 mule