BLACK LION😂😂😂😂🎉 Eeemungu jaalia kila aanaesoma text ukamuongoze katk kazizake na kutukunjuria milango ya rizki ktk njia zakher amiin... big up bro chumvi 👍...
@EmanuelAssenga-p2e44 минут бұрын
Mwamba unatisha from fundi umeme mpaka simba mweusi ila serious move unatisha zaidi
@Zebuu-kp16 сағат бұрын
Nakubali sana mwamba kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉
@chumvinyingigang15 сағат бұрын
Asant 🎉🎉🎉
@slimmuhabesh24008 сағат бұрын
Anajua sana uyoooo
@RizikiAssenga-zn5se3 сағат бұрын
Sura yenye sura ya kwanza msitar wa tano😂😂😂
@ernestmwakalambo39384 сағат бұрын
Moses congratulation unamaneno ya busara sana natumain hata maisha yako ya uhalisia upo hvyo hvyo endelea kuwa hivyo hvyo kaka mashabik zako tunakuombea ufike mbali zaid na zaid 🎉🎉🎉
@nezycavanga582415 сағат бұрын
Wakwanza kutoka Mozambique 🇲🇿 🎉🎉🎉🎉
@SaidiKazungu-f8m3 сағат бұрын
Safi sana team chumvinyingi kwa kazi nzuri pamoja sana nawafuatilia kama vp big up sana👍🙏🙏🙏🙏
@InnocentNavas16 сағат бұрын
Mi wakwanza leo🎉
@KhatwabiIssa15 сағат бұрын
Kam kawaida kak chumvi big up sn my brother ❤❤❤❤
@Officialdoy-j9l7 сағат бұрын
Iyo nyimbo aliingizia dogo Elisha humu tunaipataje maan ni nzuri
@chumvinyingigang3 сағат бұрын
Mwisho waseries utaipata
@EliethWilliam14 сағат бұрын
Nawakubali sana chumvi nying sema uyo afande apana kwa kweli Kila mv jaman niyy nampenda bule
@Deloveally-o8g13 сағат бұрын
Wameona yy ndio anaweza mana ana huarisia kama afande anaweza🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yote yake ayo mauwa
@LembradorJoseEduardoEduardo15 сағат бұрын
Kutoka Mozambique 🎉🎉🎉
@HazardBoy-h4w7 сағат бұрын
Chumvinying tumemix mbwembw zak za uganga , zile kwny nimuamin nan piaa chemistry yak na kamugixha ,anifa , na mabwende tusuprize kak chumvi koz tumewamix san nawakubal chumvinying gang na magang yak let's go
@Haji-yr9db7 сағат бұрын
Chumvi nyingi penda sana bro❤❤ endelea kupambana tupo na wewe mpaka kieleweke
@NajmaJoneke6 сағат бұрын
Chumvi Nyingi Mungu Akubaliki sana Napenda sana Unavyo wajibu Mashabiki zakoUlingi wala Nini Allen Akubaliki wew na Chumvi Nyingi Gang Yako
@chumvinyingigang3 сағат бұрын
Amin 🎉🎉
@محمدالمحمد-ض6ي9ض15 сағат бұрын
❤nawapemda sana
@Joycenanacha14 сағат бұрын
Bwana Maganga Namkubali Sana
@JumaFetty15 сағат бұрын
Nakubali chumvi nipeni like jamani 😊
@MrMiwani-oz9dw14 сағат бұрын
Hahahaaaa chumvinyingi umetisha sana humu
@defaomkubwa20415 сағат бұрын
Jamani nichukueni na mm, naweza kuigiza fulexhi2 brother
@One_5_l15 сағат бұрын
Huyo mr mwanya ka mkojani
@SalamaCharo-q6k15 сағат бұрын
Pashambeee🎉🎉🎉🎉🎉😂
@timebakar16 сағат бұрын
Nimefka
@GraceJuma-b9b15 сағат бұрын
Unyama 🎉🎉🎉
@roudhamahmoud7635 сағат бұрын
Nakupenda sana batuli mashallah mrembo ktk warembo chumvi umenogesha gang kwa warembo zaidi batuli dada yake ama ndugu yake na wengine wapya wote visu hongereni chumvi gang mtanzaniya mzanzibar ila nipo huku kwa warabu natafta risk saudiya Riyadh
@nezycavanga582415 сағат бұрын
Tumswarie mtume Muhammad (swa)
@RehemaSalum-ff7zb9 сағат бұрын
S A W
@Haji-yr9db8 сағат бұрын
S .A .w❤❤❤❤🎉🎉
@MwanahamisiSalumu-uq2pj7 сағат бұрын
S A W
@Rizikishee-m8p6 сағат бұрын
S A W
@mwanaidisalim-wh1pg6 сағат бұрын
Sallalah alahih wasalam
@MartineAde-g2d9 сағат бұрын
Dah umetisha
@AliNassor-qt6fm15 сағат бұрын
Big up sana chumvingi
@roudhamahmoud7636 сағат бұрын
Ila nasra mrembo jicho Figa 🎉🎉🎉🎉shepu lako dada ila jicho mashallah
@zelamulabaitan15 сағат бұрын
Kaz njema
@Nodia-c9b5 сағат бұрын
Kisofa kisofa asante unamsaidia kmykmy chumvi,, atakushukuru Sana ila hapo kwene boxer sas
@JonasBernardoMoises16 сағат бұрын
wakwanza mim
@BrysonJohn-15 сағат бұрын
🎉🎉🎉chumvi nakubali Sana kazi zako
@chumvinyingigang15 сағат бұрын
Asant sana
@MrSilent123-h9k16 сағат бұрын
Chumvinyingi
@wa_chera15 сағат бұрын
Namba laik
@henrypambisa548315 сағат бұрын
Mganga unatisha macho kama tanuri la bangi
@ZenaIddy-f4m15 сағат бұрын
Pambana kaka
@abubakariibrahimu526615 сағат бұрын
You know i like it🎉🎉🎉🎉
@JacquelineErick15 сағат бұрын
Kazi inazid kua tamu 🎉🎉
@JumaYusuf-r2y8 сағат бұрын
Kudadadeki unajua kaka wewe mkali sana daaah inaendea kutamu ooooooh wengi wanataka kujua je dem atakuelewa kama alivyo kuelewa kisofa
@MwajumaMatily-kb6yp9 сағат бұрын
Maganga anaswaga eti sura yangu yenyew sura yakwanza mstal watano umeihulumia tu mama nikawa nawew😂😂
@Mrpasakaonline7012 сағат бұрын
Simba MWEUSI love this gonga like hapa
@ericrosana15 сағат бұрын
Nipo ndani ya nyumba
@AlifaHamis8 сағат бұрын
Kisofa Zamani nilikua simu elewi ila Sasa kawa fundi
@ZephaniaMatebe15 сағат бұрын
Nipeni like ata moja tuuu
@SulemanKutunga5 сағат бұрын
Afande masaria maasaaariiya
@KidumeRashid6 сағат бұрын
Ila kisofa ukuwadi unakufaa kabisa
@SalamaCharo-q6k15 сағат бұрын
Chapomb acha pombe mademu wakukubli
@DullahMakabilah-w9c5 сағат бұрын
Umechelewsha kuitoa
@Nasrahmsiagi-xxv14 сағат бұрын
Askari hata huku upo 😮😮😮😮 kutoka penzi la dada wa kazi na mtoto wa boss 🎉🎉🎉
@MustaphaKategile-rl2sk7 сағат бұрын
Hata kwenye mission impossible ya chado yupo huyo asikar
@BUTILANJIA7 сағат бұрын
Masalia nilianza kumjua akiwa na chumvi nying gang
@KhadijaSallum-b7l6 сағат бұрын
Yn huyu askr yupo kote kote anapendez n kz yke y uaskr. Maaan ni bonge l mtu😅😅😅😅😅
@negoboy00216 сағат бұрын
Likes zangu ata moja
@dullyommy2216 сағат бұрын
Tumefika tayari😂
@JemaNkoba9 сағат бұрын
🔥 🔥 🔥 chumvi nyingi
@joanpaul93415 сағат бұрын
Khee mbona😢 me sielew chumvi
@chumvinyingigang15 сағат бұрын
Uelew nn
@roudhamahmoud7636 сағат бұрын
Moses wewe kama mimi nimependa msimamo na majibu yako kwa x🎉🎉🎉🎉🎉
@roudhamahmoud7635 сағат бұрын
Batuli mkubali simba
@AhmadiKimwaki15 сағат бұрын
Likes za kisofa acheni apah
@SaraUlaya-is2ch5 сағат бұрын
Purukishani za kijamii😂😂😂❤❤❤Nakupenda maganga wangu