Waaleykum salam, mimi niliambiwa hivyo hivyo pale stage ya makadara hospital mombasa kwa tuktuk nifunge mlango nikasema mlango umefungika, wakanilazimisha nimpe abiria mmoja aliyeko karibu nikakataa nikashukishwa kwa haraka na ghadhabu lkn Alhamdhullilah hivyo ndivyo Allah alininusuru
@aishamaulana634422 күн бұрын
Wamechukuwa haraka wamekuachia baraka in sHA Allah
@fa2mrisho23 күн бұрын
Allah Atakujaalia nzuri zaidi ya hiyo ulopoteza
@SheikhMuhammadBahero25 күн бұрын
Shukran sana nyote Allah akubariki
@BilalYaile24 күн бұрын
SubhanaAllah!Pole sana habibi.Allah akupe kilicho Bora badala yake.Umetuelimisha.Waizi WA siku hizi tena hawana mpaka;hakuna cha huyu MTU NI sheikh au nani.Na kuna wengine wanamparamia MTU then anachomoa simu chapu na ukigundua anakutishia na piston ya plastic
@alikocha680324 күн бұрын
Pole sana pia shukran
@sakinasakku834025 күн бұрын
Ooooooh pole sanaaaaa sheykh ALLAH akupe subri utapatanyengine zaidi ya hiyo
@oromiyaajittu718824 күн бұрын
Pole ustaz mimi pia niliibiwa ivo
@AbdinoorAkanuru24 күн бұрын
Pole my sheikh 😢😢
@fatmasaiid488924 күн бұрын
Pole sana sheikh Allaah atakulipia
@SalimRamadhan-v8q24 күн бұрын
Dah subhanallah Allah atakulipa shekh wangu
@SuleymanBake23 күн бұрын
A a pole qadara llahu mashaafaala
@MuhammadRamadhan-kz7ow24 күн бұрын
Pole shekh mohammad
@FatumaNasibu-cl2yn24 күн бұрын
Pole sana mungu atakupa zaidi ya hiyo in shaa Allah
@mohammeddhuunkaal338224 күн бұрын
Pole sheikh wetu ustadh bahero
@MariamMbaruk-rk3vj24 күн бұрын
Pole sna sheikh Mohammed 😢😢
@MuhammadRamadhan-kz7ow24 күн бұрын
Allah atakujalie bora zaid
@mesaidi914724 күн бұрын
Wallah Hawa wezi wanarudisha nyuma watu sijui Ni hofu ya Mungu hawana
@user_faff8424 күн бұрын
Waalaikum msalam warahmathullah...😢 Pole sana kaka mungu atakulipia na utapata zaidi ya hio inshhaallah umetufunza pia kwa hili 😢
@MuniraShughuli-kc7vj24 күн бұрын
Waalykum muslaam warhmatullah wabarakatuh
@onlineislamictv712624 күн бұрын
Pole sana Allah atakupa bora kuliko hiyo
@halimaabdi312524 күн бұрын
Pole
@AliKhamis-xb7et23 күн бұрын
sheikh pole itafute kwa kutumia emei namba inayopatikana kwenye box lake
@moasitymemo989424 күн бұрын
Waghaleykum salaam warhamatullah subhanallah ALLAH akupe kilicho bora zaidi
@shamimelkindy334124 күн бұрын
Maskini. Pole sana Sheikh Mohammed
@Amina-tw4iw24 күн бұрын
Pole San shekh wetu
@shalemu22 күн бұрын
Allah kareem
@Rawdha-y8t21 күн бұрын
yan mm hadi naogopa kusidia watu maana nawaza ninwatu wabaya muda wote Allah atuongoze
@badrudindaud108724 күн бұрын
Kuna matatu ya Tudor fox moja sio ilikuwa dereva na conductor alikuwa waki Wa ibiya abaria kwa stlye mwaka Wa 2014
@hilalabdallah155524 күн бұрын
Pole my brother
@FatumaSaid-t4r24 күн бұрын
SubhanaAllah
@AishaTabi-e2z24 күн бұрын
Oooooh 😢😢😢aki pole sana shekh wetu 💔
@tztanzania226224 күн бұрын
Pole mim nliibiwa lak5 ya Tanzania
@AmediAmex25 күн бұрын
Pole sana sheikh utaipata tu usijali
@FatemaA-ov5ue24 күн бұрын
Pole sana
@bentybenty234324 күн бұрын
SUBHANALLAH 😢Pole sheikh
@roseatienoogutu764124 күн бұрын
aah pole maskini Allah amuongoze huyo alioiba Allah amuongoze yarrabh
@FASSALEHALIB24 күн бұрын
HASBUNALLAHA WA NI'IMAL WAKIIL. ALLAH KAREEM.
@abdikarukaru51124 күн бұрын
I’m sorry for that sheikh❤
@spartachize12224 күн бұрын
Walishanitengeneza ivo ivo.... Tuskitike pamoja😢mi wakati naitafuta niliskia mwengine akisema mbna kuna kitu kama calculator imeanguka ama kuna mtu ameangusha simu? Kwenda kushuka kuangalia gari ikachomoka😢😢😢
@BilalYaile24 күн бұрын
Pole bro
@husseinfarouk189624 күн бұрын
Kinacho umiza sio simu kupotea ama kuibiwa,bali ni hizo madocuments zako muhimu sana Wallahi ... sometimes waezakaa ukumbuke kuna kitu fulani wakihitaji wafeel vibaya tu...lkn sheykhanaa ya next itakua bora zaidi In Shaa Allah ❤
@mwanaaminahusseinsuleiman698025 күн бұрын
Pole sana sheikh wetu 😢
@abuyunusmohamed696124 күн бұрын
Umeyataka na uzembe wako.Ungeiweka simu mfukoni yasingetokea hayo.Ni mzembe sana wewe😅
@bakariweko395824 күн бұрын
Shukuran
@abdikarukaru51124 күн бұрын
Now we have learn a lesson
@fatmaomar578324 күн бұрын
Pole sana.. mimi pia nilikuwa kwa matatu naenda ngara kutoka esliy niambiwa funga mchipi polici haraka haraka nimebabaishiwa ni kitahamaki begi hakuna na ena elfu 30. Navitu zingine😅
@Sofi99-u6o24 күн бұрын
Poleee
@nourannouuran351424 күн бұрын
حسبيا الله ونعم لوكيل آسفه استاذنا😢😢
@fazahauzi538225 күн бұрын
Pale sheikh Allah atakulipa kheri
@chafutatumusic636224 күн бұрын
Afwan saanaa sheikh
@shabanmohammed238624 күн бұрын
Pia mm walinifanyia hivyo tu! Nikiwa Msa Nyali, lakini dereva nilimtishia na polisi akarudisha akasema ati mm ndio niliangusha simu chini
@BilalYaile24 күн бұрын
Najua NI Ile phone yako kama tablet, Allah kakadiria hivo na hekma anayejua mwenyewe na bila Shaka itakuwa NI nzuri kwako
@hassanmwadzuvi118724 күн бұрын
mungu atakpa zaidi ya hiyo inshallah
@ummuswalha446824 күн бұрын
Pole sana Shelh lakini pia kama unajua ile number yake inakua kwenye box report kwenye police.hua wakifuatilia hupata nimeona mwengine amereport after 2month ameitiwa simu yake.na imepatikana Bungoma.ili hali ameibiwa Nairobi.
@roseatienoogutu764124 күн бұрын
yahuzunisha ila Allah yuko halali
@omarjumaan306124 күн бұрын
Shikraan kheiraha figheiraah
@QaisqaisQais-s2z23 күн бұрын
Mimi sikucheka shekh imeniuma ila pole sna ni kadar
@shabir639824 күн бұрын
Kufunga na kufungua mlango hyo ni kaz ya konda pole sheikh lakin siku nyingine ukiwa safar au ktk mikusanyuko ya watu Chunga sana kujitwika kaz isiyokuwa yako maan km si kuibiwa bas ni kuporwa au kudanganywa utoe ktu au msaada kumbe unapelekwa ukadhulumiwe kilicho chako. Allah awanusuru na awaongoze usiamin kila unaekutana nae atakuwa na moyo km wako watu tupo tofaut ila tukikutana tuta tabasam na kuchekeana ya rohoni mjuz ni Allah
@BilalYaile24 күн бұрын
Tunatambua mchango wako Kwa Umma Wetu WA kiislamu na Hassa vijana.
@fa2mrisho23 күн бұрын
Uko ridho
@abdikarukaru51124 күн бұрын
Mine is stolen in that manner…ni Kama wamesomea
@FASSALEHALIB24 күн бұрын
SUB HAANALLAH.
@AliAwadh-qc8wk25 күн бұрын
POLE SANA SHEKH WANGU
@AishaTabi-e2z24 күн бұрын
Utapata nyingine inshallah
@mohagurey221424 күн бұрын
Hii ni old tricks ustadh si mpya
@ahmedabdi31924 күн бұрын
Umesahau moja, Videos muhimu,contacts na picha lazima u back up kwa Google drive, onedrive ama ile ya i phone, shida si simu, your info ndo muhimu zaidi.
@themefocus24 күн бұрын
Wewe siwakwanza hivyo hivyo nilibiwa wote niwa izi tahadharini na Matatu
@ramzymoha379824 күн бұрын
Haha sheikh wasema uko ridho sio? Team bakarani 😅
@suhailsodeh544424 күн бұрын
Wa chat vp jiji sasa ww hukujui nrb ww wastahili bwana ma show off...polee
@husseinfarouk189624 күн бұрын
Wajua maana ya show off wewe...kuchrt kwani imekua show off ama...akili zero kweli
@leilaleyla764524 күн бұрын
Pole.sana.mwalimnwetu
@OmarMiraj-p6m24 күн бұрын
POle sana
@Jeska-ec4jy24 күн бұрын
Hivyo ndowalimuibia mwalimu wetu simu walimwambia funga mlango Akafunga Akafunga mwisho wa siku wakamwambia umeangusha simu sasa ile kutafuta simu hakuna wakamwambia Ashuke chini wenda itakuwa imedondokea kwa chini ile kushuka tu gari likaondoka 😂😂likamuacha hapo namdauwo ni usku
@zuhramwavyoni840024 күн бұрын
😂😂😂
@BilalYaile24 күн бұрын
Habib,mi naitwa Bilal toka Namanga.Tuliwahi patana baada ya swala ya alfajiri wakati unatoka mlangoni.Akhui tuna ratiba ya rally ya vijana na wewe NI katika wahadhiri kama Muda utakuruhusu.Tafadhali naomba namba yako.
@SheikhMuhammadBahero24 күн бұрын
Naomba tafadhali uongee na huyu yeye ndio yuko na full programs zangu tafadhali wasiliana na yeye nakuomba