Yani mtu anaumia akili kuandika script,anatafuta watu watakao act, anatumia gharama kubwa kuwalipa madirector mpaka video ishatoka,wewe unakuja kuomba likes kiulaini😏 zakusaidia na nini sasa likes?
@vaghoghontweki98279 ай бұрын
Ushamba tu unawasumbua...wanajusahau kua vya bure siku hizi havipo...