Nawaombeni sana ndugu zangu tusichoke kumu support huyu kijana aslay kiukweli anaimba vizuri sana
@aminahamisi73545 жыл бұрын
Aslay jamani nyimbo hiyo inanikumbusha mama yangu mungu amlaze pema peponi ameen yarabi
@halimamshami32795 жыл бұрын
Huyu ndio msaani pekee nnayemkubali Tz....nyimbo zake zinaongelea sanaa historia ya mapenzi
@ikwetajunior9456 жыл бұрын
Huwa Nakukubali Adi nashindwa kujizuia jmaniiiiii, nyimbo zko zote huwa zinagusa maixha yng duu!!!!!.Mungu akubaliki uendelee Kuwa Juu.
@ashleystarqueen87802 жыл бұрын
Jamani huyu aslay napenda kazi yake sanah mpka nikiona nyimbo zake najawa na machozi y afuraha mm n upcoming artist lkn akija uku kenya maboodgard ni wakali hauwez mkarbia sjui nitampata wapi angalau anipush am an upcoming artist nikimaliza kusoma namuomba Mungu atukutanishe
@stevenmaketa80517 жыл бұрын
Daaaah yaaaani mm ni timu daimond na alikiba lakini kwahuyu dogo tuache kuongea unafki cozz sehemu zoote zashoozake huimba mashabiki nasio yy hyo nijins gn alivyo mkaali nooomaa saaaaNa
@halmasaidi66887 жыл бұрын
uyu dogo atafika mbali sanaa ankipajii kama unmkubli gonga like hapa+254 mpoo
@sumasuleimani38107 жыл бұрын
Ok
@adsonphilipo1086 жыл бұрын
Kweliiiii
@lesikarisaya42246 жыл бұрын
Halma Saidi atafika mbali sana asley
@thomasmichaelmakundi66246 жыл бұрын
keen j unatixha kijana kikubwa ni kukaza
@miriamladislaus2026 жыл бұрын
Warioba
@emanueleugen85087 жыл бұрын
Dogo anajua kuimba na hadhila sure audience that is good I like much
@suzanapeter51897 жыл бұрын
Hakika asly unalimiliki jukwaaaa saf Sana mungu akutie nguvu katika kazi zako arikiwa sana
@mambolivie077 жыл бұрын
Aslay sasa kwanini hukwenda #afrima badala ya kiba. 💃💃💃🔥🔥🔥
@ernestndauka93017 жыл бұрын
Daaaah!!! Hii chata nyingine kabisa!!!! Sio kwa mpera mpera huu!!!! 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@elastosanga54857 жыл бұрын
ukizooreka utakua kama wengine ila ney zaidi ya
@marrymjelwa19535 жыл бұрын
❤❤
@felisterwilson73257 жыл бұрын
The guy ana sauti nzuri na anaweza kuperform live..keep it up aslayisihaka.
@paul_otieno7 жыл бұрын
huyu kaka ako sawa tu..watu wengine hapa wamesahau kumeza doze ya daktari wanaposti upuzi tu..ACHANENI NA ASLAY BANA..
@mudriqfamous7 жыл бұрын
Like nyingi kama unamkubali Aslay👍👍🔥🔥
@severinbwuma32077 жыл бұрын
namkumbili sana
@sabinaphilipo57877 жыл бұрын
Mudrick Famous big up sana kwako aslay
@idahvicky50017 жыл бұрын
Mudrick Famous tishaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaa
@quizchupa79417 жыл бұрын
Mudriq Famous m
@tricenaftaly31537 жыл бұрын
Namkubali aslay mpaka naugua
@pascalwissi48057 жыл бұрын
keep it up Aslay; ufanye na nyimbo za kuchezeka kama enzi za Yamoto; kama kuwaimbisha tu... wameimba sana
@vicemedicalhealthcareoffic23117 жыл бұрын
Duuuu unatshaa Sana aslay ur real fantastic musician
@janetkakuyu66207 жыл бұрын
Nashindwa hadi kuongea jamani much love kwako aslay you killing it. 😍😘
@danielkilosa33307 жыл бұрын
Mdogo wangu uko vizuri sana Aslay
@mohamedsonga68327 жыл бұрын
aslay upo juu kikubwa kuwa na utulivu katikakutoa ngoma zako.
@أبوفيصل-د3ش7 жыл бұрын
Mim mtanzania naishi Sweden siwez kuongea kiswahili vizur.ila napenda kumsikiliza Aslay kila ngoma yake sichoki kama na wew unapenda Nyimbo za Aslay Gonga Like hapa👇
@nasirapasical46856 жыл бұрын
namkubali
@allyhassan50816 жыл бұрын
RAMADHANI AKILI nampendasana
@wilsonoreti61215 жыл бұрын
Mung atujalie tufike hichi kiwango. Barikiwa sana Aslay. Lots of love
@mariamhamza72047 жыл бұрын
M/mungu akuongoze ufikie malengo yako brother
@mamanillan54174 жыл бұрын
Hatareeeeeeeeeeeee aslay jomoniiii
@deulemwangolo Жыл бұрын
Big ups Kijana Aslay 🎉🎉❤❤ much love from Kenya ❤❤❤❤
Dogo anaandika vizuri no copy ndio msingi mzuri wa kuwa na mashabiki wengi
@luchypamasai39786 жыл бұрын
Nakubali na naipenda.....Nakupenda bure Aslay
@uqairsande73202 жыл бұрын
Jaman fiesta imepowa tafuta wengine bhana
@mohammedsuleyman49977 жыл бұрын
we fundi aslay nakubali xana kazi zako
@lilyemmanuel32547 жыл бұрын
Aslay nakukubali asee songea kwa wakwe zangu hongereni mmemuona king wa baadae
@stor40595 жыл бұрын
Namupenda sana Mungu amuzidishe 💞💞
@christinearotso88377 жыл бұрын
daaa umetisha dogo👏👏👏
@graceblessings21135 жыл бұрын
Nice sana aslay big up am from 001
@gaboy71116 жыл бұрын
nakubali aslay we n mkali from kenya
@jumamanzi93997 жыл бұрын
Washa moto aslay wee diye tengemeo taifa letu, nakupenda sana, wape moto kwel kwel
@jumamanzi93997 жыл бұрын
😁😁😁
@faithisaac2117 жыл бұрын
Aslay nakupendaga bure tu..waenda mbali congrats..+254
@desmunduwandameno497 жыл бұрын
mmmmmm😁😁😁
@samymbuli86347 жыл бұрын
Shinning star
@severinbwuma32077 жыл бұрын
aslay ww nakupa saruti kubwa unatisha sana
@sistomalila8297 жыл бұрын
Nakubar
@bakarimfaume54736 жыл бұрын
Severin Bwuma RIDIA ezekier dogo upojuu sana bigapu san
@grorygabriel2194 жыл бұрын
Nice mdogo wangu
@jracine93832 жыл бұрын
Ubarikiw bab nakupendag san nasan unasaut nzuli
@bbycandy39793 жыл бұрын
Ane lovu aslay not give up ww ndio tuanza kukujua kitambo
@florawilla95787 жыл бұрын
Aslay unatisha baba nakubali sana @$--::!;:";'
@suediyahya81917 жыл бұрын
Flora Willa
@LuaiAb6 жыл бұрын
Flora Willa aslay
@chusseboywcb28085 жыл бұрын
Umetishaa sama\aaa🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🙏🙏🔥🔥🔥🔥
@kenyanjuiceteesy18396 жыл бұрын
Lv ur show and ur songs dogo keep up bro
@castormpunga5287 жыл бұрын
fire aslay
@KOLOMSAFI12 жыл бұрын
I like all your songs 🎵 keep going bro
@sammyamani7007 жыл бұрын
+254 missd the show live by watching the video makes me feel i was there # TZ my keep up
@doricematindiko53506 жыл бұрын
Umetisha Aslay,uko juuu
@jaspakashaija54527 жыл бұрын
dah! namkubali sana dogo aslay keep on struggling
@usaambassador24606 жыл бұрын
Aslay watamba kbs hiyo ndiyo furaha yetu utambe
@faridambwana49077 жыл бұрын
yaaani upojuu aslay nakupenda sana aslay
@nafisamohamad31827 жыл бұрын
Fiesta ya mwaka jana nlikoma hadi mwaka huu nimeona bora nikaenyumbani maana huo umati wa watu umenishinda kupumua vzuri ukipumua left harufu za jasho ukipumua right unavuta pumzi za wengine na ukipumua centre nyuma kuna wanaokutach wowowo.yani nilijutia kwa kweli nimeenda kuenjoy napata maudhiko
@agathamugema25287 жыл бұрын
Nafisa Mohamad we ni shida
@agathamugema25287 жыл бұрын
ha ha haaa
@kellythateacher15706 жыл бұрын
Hiyo ndo raha ya kuparrrrty
@irenejerrylugose9966 жыл бұрын
Hio ndio raha yake
@yusuphjaphari1547 жыл бұрын
firee 🔥 🔥 fire aslay
@jumajux52827 жыл бұрын
Aya
@emmyprosper79907 жыл бұрын
daah pendasana aslay uko vizur uongo Zambia
@perfectedson89997 жыл бұрын
yupo juu
@bensonfrank6437 жыл бұрын
NGUVU YA UMMA 👊👊
@trayphoneraymond59047 жыл бұрын
nomaaaa xhow kam xo bongooo,kaza aslay Bob we lovev u
@amospambe89147 жыл бұрын
dogobkatisha sana sumbawanga bnishidaaaaaa
@meekdadmlekuz54537 жыл бұрын
San dog as
@baimarrajahbuayan62372 жыл бұрын
Aslay kama. Aslay ❤️❤️❤️❤️📌📌📌
@neemajilo40127 жыл бұрын
Huyu dogo nae ni motooooo big love kwako aslay
@dismashamaro72167 жыл бұрын
Dogo amebakiza siri moja tu amfunike kila msanii, dancers. Akipata dancers wa uhakika atawaaibisha watu wengi wenye timu zao
@aminahamisi73545 жыл бұрын
Uko juu Tena Sana aslay
@mwanamisiomaromar16526 жыл бұрын
nakubali xna aslay uko juu broo 😘😘😘😘
@rashardpodo88517 жыл бұрын
aslay daaaaah! basi tu nashindwa hata nseme nn
@estertomas21045 жыл бұрын
Aslay nakkubali dog
@subiramwekibindu31147 жыл бұрын
wee Dogo nihatareee komaa mdogowangu mungu yupamoja nawe
@brianmuyanzi58996 жыл бұрын
Aslay u are one in million I hope that u will far and further may God be with u bro
@RataDry-lm2jh Жыл бұрын
❤kazi nzuri
@samuelosogo6216 Жыл бұрын
@@RataDry-lm2jh Rt
@DjRHINOInternational16 жыл бұрын
Hii nyimbo ya kwanza Reggae inaitwa aje? Naitaka sana
@glorymohamedy3755 жыл бұрын
DJ RHINO inaitwa PUSHA
@sheymahabdulwahidkhalid63557 жыл бұрын
mwaaaa😘😘😘😘karibu tena Swax Bwana
@jamesmaina73637 жыл бұрын
diamond and kiba u gotta watch out,,he soo guud..
@deusikamuri20747 жыл бұрын
upo vizuri sana dogo
@wigomcstv36627 жыл бұрын
Saaaanatyu naili poa saana. Happy new year 2018
@linnetatama81646 жыл бұрын
Namukubali Aslay aslimia 100
@neemaseury2376 жыл бұрын
aslay namkubl xan kwa kaz anazozifny mung akupe maish maref uzd kuwa juu zaid