Nashukuru sanaa Inchi yangu Tanzania tuna upendo baina yetu hakika mungu azidi kutupa moyo huu huu wa upendo hatimae waanzabe wamefika town
@bongoreview173826 минут бұрын
This is beautiful people beautiful souls down to earth hawana uchawi wivu wala visasi na wanamjua Mungu Mbinguni straight 😅 I love them
@mudimkagila52522 сағат бұрын
Naipenda sana clouds yaani imewafikia wahatzabe na mpaka imewaleta mjini
@ramadhandaudaramadhan816Сағат бұрын
Daaah hapa salute kwenu clouds media mefanya kitu kikubwa sana kutambulisha utalii ulio jificha tanzania. Ongereni sana
@Noel-u2m56 минут бұрын
Jamani kama Kuna yeyote ashawai kuangalia movie ya black panther this is our calture jama Niko proud sana na Hawa watu
@rahmahussein-m9o4 сағат бұрын
cloudsmedia mmetishaaaaaa yaaan mmeupiga mwingiiiii nilijaribu kuwafalitia hawa jamaa nikakosa interview ya kiswahil leo nimejifunza kitu kikubwa sana nataman niende huko mkoa wanaopatikana nikakae hata mwez nadhan nitapata somo kubwa kwa hawa watu....clooooudsmediaa pongezii zenu🎉🎉🎉🎉🎉
@charlessomeke899211 минут бұрын
Nenda yaeda chini karatu ukifika hydom wapo wengi na kiswahili wanakijua sana ila andaa pombe sigara wao pepo yao ni bangi
@Rehema-h6tСағат бұрын
Kiukweli nimewapenda hawa ma dada wanajuwa kuwahoji watu kwa busala ❣️❤️
@47Qaasime42 минут бұрын
Respect clouds, you did a great job
@MohammedMaulana-m2tСағат бұрын
Wanamaisha mazuri sana kwasababu awa awana stresse ya pesa
@beautyibrahim842835 минут бұрын
Kabisaa
@ashuramuhammed32572 сағат бұрын
Ningefurahi sana ngemuona dudu qweeba #
@mudimkagila52522 сағат бұрын
Clouds shikamoni nawakubali sana yaani nyie hamna mpinzani kwa upande wa media mmetisha sana sana❤❤.
@JohnJoseph-qq7owСағат бұрын
Chai sii tunasika kwenu😂😂😂😂 kwetu hamna chai
@edwintouches3 сағат бұрын
Sema mambo ya kufosi wasome, kuwatambulisha matumizi ya pesa, Teknolojia nk. I think mwisho wa siku vitaua hii jamii. Nawaza tu! I wish waendelee kuwepo wasivurugwe.
@mybabyarchive21042 сағат бұрын
Ndo ujue kua sio lazima uwe na pesa ndio uishi.
@josephgomalo412 сағат бұрын
Wanaolazimisha hii corruption ni watu corrupt kama samia suluhu ambao hujifanya wanajua wakati hawana wajualo..! Na mara nyingi nia yao sio kuwasaidia watu wanaoishi maisha asilia na ya kiutamaduni .. bali nia yao ni kushibisha matumbo yao na ya watoto wao kwa kuwaondoa kwenye maeneo yao ili wayauze kwa wazungu, waarabu na wapumbavu wenzao wengine wasiojua maana ya asili na utamaduni..! Ndio maana samia na wezie wanalazimisha Wamasai waondoke Ngorongoro ili wauze Ngorongoro na madini na utajiri wote uliopo hapo Ngorongoro..! Hata bushmen wanasumbuliwa sana kule Kalahari ili wazungu wachimbe almasi..! Rushwa, upumbavu na ufisadi kila mahali..!
@mandyfitnesstv6738Сағат бұрын
😂😂😂 wakijua pesa wataanza kudanga
@jojocharles66925 минут бұрын
@@mandyfitnesstv6738😅😅
@YATAISHAMohdСағат бұрын
Mie ningekuwepo hapo ningecheka sana mana walivoambiwa wameletewa mzizi waonje wameitikia kwa pamoja "UWO MZIZI" 😂😂😂😂😂😂😊
@redemtamkemwa60672 сағат бұрын
Ntafurahi sanaa asili 🎉
@sijalimakasi17872 сағат бұрын
Daa leo nimefurahi sana kusikia maisha ya hao jamaa nawaangaliaga tu kwenye clip zao .
@bahathmuro714559 минут бұрын
Na mimi siogi tenaaaaaaa na sitaki kesi 😂😂😂😂😂
@TumainiMallya-x5x26 минут бұрын
😂 mambo yakulazimishana kuoga 😂😂😂😂😂😂 sitaki tena
@mandyfitnesstv6738Сағат бұрын
Ni kweli Jua ndiyo Mungu kwa jamii zote za kale! Bila jua hakuna Maisha.
@NageMsuya20 минут бұрын
Mmetisha dada zang zaid ya sana. Nimewapenda waje tena jmn
@BonifaceBonala-w9j2 сағат бұрын
Wahadzabe hawamjui mondi wanamjua konde boy tuu watangazaji singer mtaja mond ingepita hiyoooo
@levraiskayembe36462 сағат бұрын
Kazi nzuri sana clouds
@ramadhanurassa2410Сағат бұрын
Sema Jamii zimeingiliana sana zimevuruga utamaduni wa hawa jamaa wameshakuwa waswahili
@Matalatala267.3 сағат бұрын
Jamaaa yuko vizuri sema hao mashangingi yanayo hoji au waandishi wa habari hawana utulivu wana wenge na uswahili mwingi
@onesmo333 сағат бұрын
Wanamhemko na kutaka sifa
@rashidhassan81563 сағат бұрын
😂😂😂ni mashangingi
@emmiemmi38612 сағат бұрын
😂😂😂
@josephgomalo412 сағат бұрын
wengi wanarudia maswali ambayo yashajibiwa .. low IQ journalists..!
@hafia.0562 сағат бұрын
We are really enjoyed to see our people's handmade love you our country people's 😅yellow and Green vipi apo swaffy yanga Africans oyeee oyeee sugar sugar sugar muwaa cream maziwa chai 😅
@mzeke-r9h2 сағат бұрын
Muwashauri hao jamaa wakija kuchukuliwa documentary walipwe hela nzuri mana documentary zao huku Europe zina trend I hope wanalipwa vizuri.
@ototek803721 минут бұрын
Hawanaga shobo na pesa! Walijengewa nyumba na serikali na waliziacha😂
@husseinkonz5192Сағат бұрын
Hatar na nusu Tanzania nch yangu
@EneaMbogoСағат бұрын
More respect love fr clouds together sisi ni familia
@johnaugustino8755Сағат бұрын
Dah!! Mbona wa home kabisaa haoo
@JogookichaaJr10 минут бұрын
Hii sasa ndo Africa Dini zilitugawa Sana uzungu na uarabu uliharibu Sana Tamaduni zetu
@erickagwe884140 минут бұрын
"chai si tunasikia kwenu"😂😂😂😂😂
@Chaibo-i9rСағат бұрын
Mbona natembea hiiiii
@charlessomeke899217 минут бұрын
Dah kabira langu fatoga
@mukanyataki5120Сағат бұрын
Hii bonge ya taharifa na ujuzi kabisa, safi sana . Ila mda mdogo sana
@RajabuLuhendama44 минут бұрын
Yani sijui wanawahi ni nini yani hawa nao nimechukia kweli
@muhidinsultan2049Сағат бұрын
Ebana nyie Clouds ni zaidi ya pressenter ktk East Africa yaani hii show ni babkuubwa Hongereni sana kwa kuwafanyia interview hawa jamaa nyie ni BIG THINKER
@eleven-in5qwСағат бұрын
Hamna chai kwetu.. Yaani maisha tofauti saana
@MwantumRashidi3 сағат бұрын
Hatuogi mpaka mvua inyesheee😂😂😂
@ritiaskayandaСағат бұрын
🤣 🤣 🤣
@charlessomeke89922 минут бұрын
Mimi nilisha kaa nao na nilisha wafundisha watoto wao sana ila wana maisha ya upendo sana
@YusuphHussein-m5q2 сағат бұрын
Clouds media nambari one
@ramadhankombe2643Сағат бұрын
Leo kazi mnayoo😂😂😂
@ToqVasco2 сағат бұрын
Harmonize anabalaa mpaka uhazabeni
@felixmagulu61423 сағат бұрын
Huyu mwamba anaongea kiswahili vizuri sana
@KhalphanNassour42 минут бұрын
Nawapenda sana hawa watu natamani ningekuwa uko
@YasintaSanga-l4x36 минут бұрын
Labda uzaliwe uko ukienda saiz mkubwa cku tatu tu unatak kurud kwenu😅😅
@abdallahmadeghe664752 минут бұрын
Hhhhh jamaa hajui Hela , daaah hili life tamu aise
@latifamohammed6126 минут бұрын
😂😂😂😂😂
@evodiamdendemi9652Сағат бұрын
😂😂😂 wamekuja mjini kwapani wamenyoa safi kabisa
@YasintaSanga-l4x38 минут бұрын
Unakuta hata haziotagi😅😅😅 watu wanakula nyama tu mchezo
@evodiamdendemi965232 минут бұрын
@@YasintaSanga-l4xatar sana hii
@majidayubu8221Сағат бұрын
Salute
@AbuubakarNgwali35 минут бұрын
nimependa iyo "hatujui ni ndogo tujajua ni nyama"
@jamaldaud-e4d31 минут бұрын
Kama umesikia hatuogi mpaka mvua inyeshe kama mimi gonga like hapa😂😂
@beautyibrahim842828 минут бұрын
😂😂😂😂
@saidikomba31204 сағат бұрын
Duuh jamani clouds mmetisha sana
@edmundnkarangu1344 сағат бұрын
Team Leo tena💪💪💪🙏🙏🙏
@VaticanVivaСағат бұрын
Hongera clouds wabunifu sana
@gililwise49 минут бұрын
Naomba.hiyo dawa ya nyoka
@FintanMkeshi2 сағат бұрын
Hamjui kuhoji vzr
@yusuphtwaha83865 сағат бұрын
Namtafuta star wao dudukeee
@abdallahamin49973 сағат бұрын
Hahaha
@mbaruksaid57753 сағат бұрын
😂😂😂😂hata mm nataka kumuona
@lucasaliko28892 сағат бұрын
Hahaha duduqwe io😂
@Jerie-q1c3 сағат бұрын
Bravo clouds
@eleven-in5qwСағат бұрын
Jamaa anadithia vizuri saana hasukumwi
@AmaniManase-x1iСағат бұрын
😂😂😂daah baraka tumeskuli shule moja asee wanyumbani aswaa gidamnyuda
@gembesimbaСағат бұрын
Ulisoma nae mkoa Gani na Kijiji Gani kaka
@sleeprelaxation84312 сағат бұрын
Japo kuwa mkoloni alitukomesha, Mungu ahsante kwa mkoloni 😂😂.
@PaulKidula-o9g2 сағат бұрын
😂mkolon ametuzngua bora tungeish iv
@MedsonAlex2 сағат бұрын
Wamemsahau pekechapekecha
@gilbertkalanda9354Сағат бұрын
Kwa wasiojua Ukristo Asili yake ni kuabudu Jua, Mungu wa kirumi, the so called Sun Day (Sunday). Siku ya kuabudu Mungu jua.
@MsafirGervas3 сағат бұрын
Simba wanakula 😂😂😂😂😂
@giftmeela62503 сағат бұрын
Leo nimejifunza kitu kikubwa sana kumbe Wamangati na Datoga sio tofauti!! niikua najua hayo ni makabila mawili tofauti.
@AmaniManase-x1iСағат бұрын
Ndio wote wataturu,watatoga barabaigi wote ni wamang'ati
@TheodosiaSangka36 минут бұрын
Mang'ati ni neno.la kimaasai ikimaanisha adui.sasa kutokana na vita kati ya wamaasai na wadatoga kuibiana mifugo .wamaasai walawaita wadatoga mang'ati yaani adui.
@JethaDololo3 сағат бұрын
Mbona inatembee hiii kiti,😂😂
@lucasaliko28892 сағат бұрын
Kaka milard fany interview moja serious
@Harexo3 сағат бұрын
Asanteni sana it's such an interesting podcast. But Bro doesn't sound hadzabe to be honest.
@giftmeela62503 сағат бұрын
Kwanini unasema sio mhadza?
@Harexo3 сағат бұрын
@giftmeela6250 Bro knows platbumz, harmonize, tanga, simba.... I mean he's too civilized to be hadzabe man... Anyways I loved it 😍❤️
@RonnieBertin4 сағат бұрын
Hawa ni ndugu zetu tusiwatenge
@julitabonganda154939 минут бұрын
Ni wenyewe uyo kiongozi anaye ongea kiswahili kizuri nimemuona na ndugu zake tiktok
@ashuramuhammed32572 сағат бұрын
Hii hawa ogi wakinya inaonesha hawanawi Hawa
@zuwenaalamin89852 сағат бұрын
😂😂😂
@IssaHamisi-d2w2 сағат бұрын
Akuna kunawa ni kujifuta na jiwe au majani imeisha
@rachelfredrick7018Сағат бұрын
😂😂😂😂
@bahathmuro714558 минут бұрын
Unafuta makalio chini 😂😂😂😂
@adozenaziz8362Сағат бұрын
Tunakufungulia dunia❤ people's medea
@JoellJoel-h9q41 минут бұрын
Suala la uchawi na ushirikina kadanganya haruhusiwi kuzungumza😅😅
@selemanijumaselemani71914 сағат бұрын
Haya wamejileta wenyewe wawindaji haramu wakamateni hapoapo wanatoa ushahidi wenyewe😂😂
@eliudmwaipasi77323 сағат бұрын
😂😂
@zaburi23863 сағат бұрын
Utakufa vibaya sanaa
@mbaruksaid57752 сағат бұрын
😂😂😂
@awemaqway12012 сағат бұрын
Haooo dunia nzima inajua ni wawindaji😂😂 kama wewe sio mhazabe usijaribu kuua hata ndege😂😂😅
@JafetiKanyala2 сағат бұрын
Wakamatwe wakati ndio chakula chao
@EmmanuelAnthonychome36 минут бұрын
Hamna wivu Tisha sana😂😂
@wilberforcewilpower3254Сағат бұрын
Yess nawapongeza kwa hili...hawa ndo watu wa kuwaita sio ma chawa wanaleta kiki...
@drdd7743 сағат бұрын
Hawa Wana dawa nzuri sana za nguvu ya kiume, ya kunusa Tu, kupiga chafya kadhaa imeisha hiyo ukiweka umeweka😂😂😂
@IbrahimuLikolinji-ly2tp2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@عزيزه-ر1ه2 сағат бұрын
Ww umewai kutumia iyo dawa
@drdd774Сағат бұрын
@عزيزه-ر1ه ninasema kitu kinacho fanamu na kuona
@latifamohammed61Сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@irenesanga125541 минут бұрын
Mngejipanga masuali vizuri hii bonge la elimu, mngeuliza, siasa, uchumi jamii, dini ,utamaduni nk, mnagongana kuuliza masuali.ila Big up clouds
@John-vn4ppСағат бұрын
Waooooh clouds.😍
@awemaqway12012 сағат бұрын
Jamaaa ana kiswahili kizuri sana kuliko hata watangazaji kwanza ametulia kuliko watangazaji 😮
@SamiraMakame-w9c3 сағат бұрын
Hili ndo kabilaaaaaaaa!
@kibelamagesa87578 минут бұрын
Sema hofu yangu wataitwa itwa mijini Mpaka watapoteza nature yao
@RidhiwaniMrisho2 сағат бұрын
Miamba imefika mjini😂
@LeiyoLaizer8 минут бұрын
😂😂😂😂kina kitu kinaaza apo sikielewi
@KessyHusseinBarilulakamigw-g2hСағат бұрын
Wasikie wale wa milioni 20 Mahali wakati wengine ni nyani Dume tuu😊😊😊😊
@Muna-en4yqСағат бұрын
Hivi hawaogi awapigi misuaki je hwanuki hpo studio jameni
@wenceslausmpanduji134Сағат бұрын
Sasa hvi ni msimu WA mvua nazani watakua hawanuki itakua wamepigwa mvua😂
@JohndMbilaСағат бұрын
❤ more
@sheryomanСағат бұрын
😂😂😂😂 khaaaa hapo studio harufu ya kikwapa ngeangea kuoga co lazma lazma kula tuu
@blackangel.5811 минут бұрын
Mm kuhusu nyama aisee utanioa ila hapo kwenye swala la kuyo kuoga kuto sukutua ndo nitashindwa ila kuhusu minofu😂😂😂
@YasintaSanga-l4x40 минут бұрын
Nyama tu😅😅
@siryklyubov79892 сағат бұрын
huyu kijana mzungumzaji yupo vizuri sana kuelezea,alafu nilishamuona huko wanakoishi yupo vizuri kuongea. wako watu wanaowatembelea huko porini.
@IdrisaTuppaСағат бұрын
Dudukwe Mngekuja Nae Asee
@RoseRobert-qd6ipСағат бұрын
Wamemsahau na ondoshi😅
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj3 сағат бұрын
Mziki mnene wakwao 😅😅..noma sana
@HussainMaula-l1sСағат бұрын
Kakena kukukena kinda kinka akina duda hawa ndugu zangu
@YuhamBts-o6v4 сағат бұрын
Leo pamenoga sana😅
@nyumbanituthegendaheka72223 сағат бұрын
Nimegundua lugha ya kichina aliibia Hadzabe😂😂
@Muna-en4yq3 сағат бұрын
😂
@thefinalstand20223 сағат бұрын
kichina ni lugha nyepesi sana sana huwezi kulinganisha na kiazabe wala kiiraki.. Mimi naongea kichina, kiarabu, kifaransa na kadha wa kadhaa...
@sultanjamesntongolo87642 сағат бұрын
Ntaanguka.Mbona kiti anatembea nimecheka
@IssaHamisi-d2w2 сағат бұрын
SI mgeniita Mimi ni ndugu zangu awo na Kuna wasandawe
@humphreymwihambi43302 сағат бұрын
Wasandawe wako km wahadzabe ndio. Wako Kondoa kwa Mtoro. Ni shida sana
@Really-football4 сағат бұрын
Mwanetu duduke Yuko wapi?
@Afsa-z3g2 сағат бұрын
SIMBA CHAMA KUBWA😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@DottoCharles-j9j2 сағат бұрын
Gea umekwishaa😂😂😂
@JamesMwandoje2 сағат бұрын
Dunia ngum...daaa...kila mmoja anapita ktk njia yke