huyu dada nachompendea kwanza anajiamini we tizama anavyoongea yuko confident sana, na hana mic panic hata kdg,, God bless her, and i see a future in her❤
@ericklameckjrb1267Күн бұрын
Kaka hiki nikipaji sio Cha kawaida❤❤❤❤❤
@bienfaitbatende8836Күн бұрын
Be bless #lydia, ila sound iko mbele kuliko midomo yenu
@denisemanuelySusuma3417Күн бұрын
❤Lydia
@farajajoseph2384Күн бұрын
Lydia Ni Mali Jamani Anakipaji Sana Huyu Dada Mungu Amsimamie Apate Usimamizi Katka Music
@JozzyMedia19Күн бұрын
SPIRITUALLY: Swali kwa Lydia Marley, Je ameokoka? Na kama Ameokoka ni kwanini ana mash up Nyimbo za Injili na Nyimbo za Kidunia? Roho wa BWANA anamshuhudiaje katika ilo?
@The_oasis_of_tastes10 сағат бұрын
Ya kidunia hapo ni ipi malaika mlinzi😅
@laurent993Күн бұрын
hii ni mali, masponsor ingieni mijini mchukue hii ni mali kabisa