Mbowe kubari kupumzika. Bado unataka kuongoza lakini muda umekutupa mkono. Umeyasababisha yote wewe , kama ungeamua kupumzika sasa hivi ungekuwa na raha. Lakini ujachelewa unaweza kuamua kupumzika kuliko usubiri kuzomewa siku ya kushindwa. Na ukifanya ubabaishaji ukatangazwa kuwa mwenyekiti chama kinapasuka
@zyelewiloboo4 сағат бұрын
Mbowe umehubiri miaka mingi kuwa sisim wang'ang'anizi wamadaraka kumbe wew mwenyew zuchu tu siamini😅😅😅 am very disappointed
@Tyzer_tz4 сағат бұрын
Mbowe ameshindwa kusoma alama za nyakati anapita mulemule wanakopita viongozi wa ki africa ni dhahiri hayupo tayari kabisa kupisha uenyekiti ata akishindwa kuna dalili za kusaidiwa na dola juu ya hili kama ilivyokuwa kwa Cuf ya lipumba, ni hatari sana maana ataua upinzani yeye mwenyewe kwa mikono yake mwenyewe ata kazi nzuri aliyoifanya haitakuwa na maana tena! Tamaa ya madaraka kwa Africa ni kansa
@petermisungwi32293 сағат бұрын
Na type kama hao ndo wanaotaka wachukuwe dola. Mwananchi wa Tanzania aliyekomaa kifikra umshawishi kukupa dola kwa style hiyo!!!???
@EREVUKATV3 сағат бұрын
HIVI NYINYI CLOUDS MNASOMA COMMENT ZA WATANZANIA HAYA PELEKENI HII MOJA KWA MOJA KWA MBOWE MARA MOJA
@YohanaSanga-t8dСағат бұрын
Aondoke tuu ametufundisha inatosha
@abdalahasuman87403 сағат бұрын
Myaka 20 Ina kutosha Mzee
@ProsperReuben-fg6uhСағат бұрын
Unaongeleajee msigwa kutolewa jela na ccm akaitwa ikulu akaona bora abaki jela kuliko ikulu alafu ww umechangiwa na wakunja ngumi alafu ukatoka ukakimbilia ikulu kabla ya kwa wanannchi
@usembiphonedar56322 сағат бұрын
Mzee wetu Mbowe! Hata upambe pambe maneno mazuri na vifungu vya katiba bado kwa sasa wananchi wanataka mabadiliko katika chama, umefanya mengi mazuri ila sasa: TUNDULISSU NDIYE MTU SAHIHI KUWA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA, Tunaomba upishe madarakani upumzike kwa Amani umwachie Tundulissu aongoze chama kwa maono mapya.
@sosom14Сағат бұрын
Thank you
@williamgeorge-hd2tn2 сағат бұрын
Mzee tangu atoke gerezani amebadilika sana
@zyelewiloboo4 сағат бұрын
Mbowe pumnzika huna tofauti na mseveni😢😢😢
@roypeters98294 сағат бұрын
Hebu achia ngazi mzee mbowe... yani Huna mvuto tena baba... yani uko zero... unatukera unavyoendelea kungangania madaraka
@laupetpet77794 сағат бұрын
Mbowe kalale boss
@KundaelGeorge-tv8mz3 сағат бұрын
Mbowe, umekipigania sana chama ila kwa busara kubwa, kwanini hutaki kuachia kiti. Huoni kuwa upo kimaslahi. Pumzika kwa heshima brother. Eti ulisema miaka mitano ya mwisho. 😅
@sambalamkuu3360Сағат бұрын
mbowe watu wamekuchoka lakini wanakupenda kwa kazi uliZofanya nyuma?????? wanachama wanaamini juhudi zako "? lakini wanaomba upumzike
@FrontOfficeNgorongoroSopaLodge2 сағат бұрын
Una busara ila busara zaidi ni uachine ngazi wengine waongoze sasa acha hizo bana
@IbrahimHimiri25 минут бұрын
Uko vizuri nimekuelewa Mbowe.
@eastyeasty2 сағат бұрын
Freeman Mugabe Yoweri Museveni Mbowe
@magamboguje815237 минут бұрын
😅😅😅😅😅daaaaah
@magamboguje815235 минут бұрын
😅😅😅😅😅daaaaah
@salumnassor38574 сағат бұрын
We need changes,mbowe must go
@danielwwahai86642 сағат бұрын
Internet ilikuwa mbovu jamani, si Munge record and then upload
@lawrencethomas50863 сағат бұрын
Mkuu wetu. Kubali Hali ya hewa. Inje na hapo unataka kufanya chama kiwe chakwako. Angalia Lipumba Yuko wapi
@NicholasPeter-v8f4 сағат бұрын
Mbowe embu kubali kwamba lissu anatosha embu achia ngazi kumbuka mwanzo ulikuwa unasema watu wanakutaka ugombee sasa leo kiko wap kumbe ulikuwa mongo ulidanganya wat kwamda mrefu sana
@LimbeTz4 сағат бұрын
Mbowe WAHUNI AKINA LISSU NA WANAHARAKATI WANMPANGO WA KUKIPORA chama chako CHADEMA
@petermisungwi32293 сағат бұрын
@@LimbeTzHee chama chake? Alikianzisha? Hata kama angekianzisha kiwe chama chake!!!!????
@sosom14Сағат бұрын
Thank you
@PauloYohana-l9o2 сағат бұрын
Mweshimiwa mbowe baba umeipigania chama chetu miaka 20 na umeyafanya mengi sana tunakushukuru sana ila kwa wakati hu tunaomba ukae pembeni mwachie lissu kiti
@sosom14Сағат бұрын
Thank you
@LeahMabula-sv8ij4 сағат бұрын
#twende na lissu
@simeonmazigo59184 сағат бұрын
Mbowe kama Kwa miaka 21 hujatengeneza watu hata wawili wanaoweza kuwa wenyeviti vya CHADEMA ni dhahili kuwa hukuwa kiongozi bora ndomaana unaamini bila wewe hakuna mwingine 😅😅😅
@brog1394Сағат бұрын
Tatizo hajibu maswali kwa ufasaha
@EmmanuelMagilo4 сағат бұрын
ngoja tuone alimfukuza zito ngoja tuone Lisu mwisho wake.
@TembaEmmanuelСағат бұрын
Mboe hukubaliki tena kama kweli unamapenzi na chadema na hutaki chadema ife ni muda wa wewe kukaa pembeni
@barnaba30373 сағат бұрын
Mbowe amefeli kwenye kusoma alama za nyakati! A good dance must no when to leave a stage….Mbowe was supposed to leave the stage but forces to continue dacing…..Time will tell….
@witnessmlay741554 минут бұрын
Naona kama saivi akisema hagombei ataonekana anamuogoba Lissu, kwa hali ya hewa ilivyo sasa acha agombee tu. Ingekua amejitoa kabla ya haya makelele sawa
@hamadimgaza93514 сағат бұрын
Sawa ila Lissu anatosha...
@TumainiMgonja-u5d4 сағат бұрын
Yani upo kati kati ya vita ulitaka uwakimbie wenzako,saiv vita imeeisha tupishe kidgo
@BestonMwaminyambiСағат бұрын
Ndo mana Mimi kiongozi huyu Kwa jinsi ambavyo hotuba zake huwa hazinijengi Kila anapohutubia huwa maangalia upande mara nyingi sipendi hata kumuangalia usoni, Mimi majembe yangu ambavyo nikiyaona shambani moyo unakuwa mtulivu ni lisu, slaa, heche na lema.
@EREVUKATV3 сағат бұрын
MBOWE MUST GO IMETOSHA MIAKA ULIOOONGOZA PUMZKKA MZEEEE ACHA MANENO MENGI
@laupetpet77794 сағат бұрын
Rushwa inatakiwa iongelewe hadhalani kwenye mkutano wa hadhala rushwa ni adui wa haki Tundulisu oyee baba endelea kukaza supana
@dennisungonella2052 сағат бұрын
Kumbe chadema na yenyewe inataka yaleyale ya maccm, tunamshukuru lissu kwa kutufumbua macho
@sosom14Сағат бұрын
Thank you
@EmanuelNade3 сағат бұрын
Mmwenyekiti mbowe inatosha umpishe lisu anatosha kuwa mwenyekiti
@kijitamfyomi55983 сағат бұрын
MBOE mambo mengi mazuri umeyafanya kwenye kujenga siasa ya nchi yetu na kama utaamua kutogombea utabaki na heshima kubwa sana kwenye nchi hii na kwa mustakbali wa chadema
@brog1394Сағат бұрын
Mbona hajibu maswali huyu, anapiga kabobooo
@kelvinsakey25404 сағат бұрын
Lisuuuu✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾✌🏾
@YohanaSanga-t8dСағат бұрын
Mzee unamaerezo mengi hayana maana jibu hoja
@mzeke-r9h3 сағат бұрын
Ndio mana nchi nyingi za africa tunabaki maskini pamoja na rasimali zote tulizonazo,kwa sababu viongozi bado wengi hawataki mapinduzi ya kiutawala na mitazamo mipya zaidi ya kurishana umaskini halafu tunapokwenda huko africa tutabaki na mashimo tuuu.
@chidybizz86842 сағат бұрын
Yani huyu mbowe amebaki kujisifia hana ajenda yoyote ya maana
@makusaro22893 сағат бұрын
Usimlinganishe kiongozi wa chama cha upinzani na rais wa nchi. Unafahamu kwa Nini Afrika kusini hawakusema Mandela must go? Au Malema must go? Japokuwa Kwa sasa Lisu anatakiwa kwa sababu ya Hali ya kisiasa ilipofikia, Mbowe anatakiwa kumpisha lakini wakisaidiana kushinikiza Katiba Mpya na Tume Huru, FAM agombee urais mwaka huu tukiwa tumeshafikia malengo kwamba NO NEW CONSTITUTION NO GENERAL ELECTION.
@josephmarole5159Сағат бұрын
Hyu mzee akishinda tena,mm nachoma vitu vyoote vya chadema! nachukua kadi ya ccm fresh kbsa.
@erickmkwera27844 сағат бұрын
Mimi mbowe kwa sasa simuelewi naona anakula bando langu bure habari ya mjini ni Tundu lisu
Tumechoka na hizo ngonjera zako za kesho iliyo bora sisi tunaka leo iliyo bora
@alexmwamtobe38508 минут бұрын
Mzee uko vizuri sana
@naturelifeonearth-ek1wd4 сағат бұрын
Kama mabadiliko madogo ya Katiba ya Chama ni sooo complicated... itakuwaje kwenye kufanya reforms katika Katiba na Sheria za nchi ili kufanikisha dhana ya "No Reforms no Election"? Au ndio kusema "No Election" tokea mwanzo?
@ERNESTSuleiman14 минут бұрын
Mkuu,kiukweli kama nibusara na utulivu unao,ukiwa mzee mshauri itakuwa bora sn...kukilinda chama ukiwa nje ya uenyekiti!
@usembiphonedar5632Сағат бұрын
Kupata ushahidi wa Rushwa ni vigumu sana hasa kwa utawala huu dhalimu! Mhe. Mbowe pumzika kwa Amani, mwachie Tundulissu anatosha kwa sasa kuwa mwenyekiti wa chadema Taifa.
@brightontibenda234645 минут бұрын
Kwa maoni ya watu kwamba wengi wape na mtizamo wa watu kwa sasa my friend mbowe kwa busara tu za kawaida pumzika uongozi! Hawakuhitaji wanahitaji mabadiliko mapya. Sawa!
@usembiphonedar56322 сағат бұрын
Wajumbe mtakaopiga kura tunaomba mtuletee Tundulissu awe mwenyekiti wa chadema Taifa.
@sosom14Сағат бұрын
Thank you
@claudiasewando2 сағат бұрын
hujajibu maswali kwa ufasaha
@HanziKalitus-df3wn3 сағат бұрын
Bhn mbowe tuache, ww ukiondoka tunaweza kuwa nasiasa nzuri zaid kama wakenya
Baba yetu muheshimiwa wa chama Cha Chadema, achia kitu huyo lisu ni sahihi, kuwa mwenyekiti wa chama kwa wakati huu,
@usembiphonedar56322 сағат бұрын
Baba Tunaomba upumzike kwa Amani umwachie Tundulissu aongoze chama kwa fikira na maono mapya. Hivi kama leo unang'ang'ania uenyekiti wa chama je ukipata Urais utatoka madarakani wewe???!!! Pia mzee akiulizwa maswali hajibu moja kwa moja anatoa maelezo nje ya swali lenyewe! Kwa nini usijibu swali direct? Mzee Mbowe pumzika uenyekiti kwa Amani baba!
@JamesMedard2 сағат бұрын
Hapo mbowe unanichanganya,hivi lengo lako nikutimiza ndoto zako? Au ulilazimishwa kugombea na hao unaosema wengi wanakuhitaji
@Safariking20104 сағат бұрын
Hammuulizi maswali stahiki huyu bwana? I wish i was there 😂😂😂 angefurahi
@ngapulila3 сағат бұрын
Tupia hapa mkuu
@davyndonga2 сағат бұрын
Umawahiri wake wakujibu maswali usichukulie poa kuwa waandishi ni vilaza Mbowe anaweza kujibu hadi maswali ya Malaika wa Mbinguni
@brog1394Сағат бұрын
Pia kuna maswali hajibu sawasawa anajobi kijanjaja
@Safariking20103 сағат бұрын
Wenje alikiri kumpeleka Abduli kwa Lisu, wewe kama Mwenyekiti wa Chama unazungumziaje?
@ishengomanelson2 сағат бұрын
So many unattended questions na waulizaji hawakumbushii hili. Hii ni genuine interview ama imepikwa?
@sosom14Сағат бұрын
Yes kunakitu
@harrieth56Сағат бұрын
Freeman songambele. Wengine wanaoandika humu hawakujui na hawaIjui CHADEMA Mungu mwenyewendiye anajua DESTINY. FEAR NOT
@brightontibenda234653 минут бұрын
Up to when? Inatosha Bwana! Chama Ni taasisi sio mtu for a reason poor!
@daudiwambura16754 сағат бұрын
maoni yang ..mbowe seems to be truthful...lakin kwa nature ya siasa zake..haziwez kuleta mabadiliko watu wanayo wataka
@lusajomwakajoka495521 минут бұрын
umeongea saw kabisa ss vijana tunatk mabadiliko halisi si maneno mengi
@MailaMakambi-g9x34 минут бұрын
Ukomo wa uongozi ni tofauti mtu anaposhindwa kwenye uchaguzi. Mwenyekiti kama kweli huo ndio uwelewa wake wa dhati, basi kuna tatizo msaidieni.
@FelixWilisoni2 сағат бұрын
Jamaa hajibu maswali anatoa maelezo
@davidsimbeye15483 сағат бұрын
Ila hilo tangazo lenu linachukua muda Sana mpaka linakera
@mnasaeules685725 минут бұрын
MBoweeeeee ni kaguta kijana you must Gooooooooo we want changes
@romaycer4 сағат бұрын
MBOWE MUST GO
@FrancisMomo-t6d4 сағат бұрын
Kwamba mbowe wew ndo unaweza kutabil nan anaweza kuongoza tasisi. Binafsi kama kweli CDM sio saccos yako jiondoe kwenye kinyang'anyiro alaf utumie busara zako kmshaur Lissu akiwa kama mwenyekit
@gallousgosbert49933 сағат бұрын
Mbowe tumekuchoka ile mbayaaaaaaaa hujui tu
@frankmsai74613 сағат бұрын
Achia kiti mbowe acha umimi
@mpeligwamoyo42544 сағат бұрын
Ujambazi mkubwa,mbona Kwa mama Samia uloenda bila kikao na wenzio?
Mbowe muongo unalazimisha jambo ambalo lishakukataa.
@stevesungura67893 сағат бұрын
Niko disappointed Mbowe hajajibu swali hata moja ktk maswali aliyoulizwa, badala yake anajikuta anamshambulia Lisu nje kabisa ya swali aloulizwa. Kajenga watu wengi ni kweli,lakini kama ktk hao watu haoni anayeweza kuwa kiongozi mkuu wa chama, basi amefeli vibaya sana
@AroldUnambwe4 сағат бұрын
Kwan maana ya demokrasia nn???
@wazirally17914 сағат бұрын
Kaitunga mwenyew hyu hahhahahhaha nyie mnamjua mchaga vizuri? huyo ni chama chake. yaan chama ni chake nyie wengine WAKUNJA NGUMI
@hafidhnzota21423 сағат бұрын
MTU uliyeongea naye ulikuwa unakula nae
@mobilespecialschool421612 минут бұрын
Mbowe must goooooooooo
@richardhosea88273 сағат бұрын
Kwa mara ya kwanza mangi kupokonywa siraha na mnyiramba kitu pekeee naweza sema mbowe wanataka kumtoa madarakani bila staaa hilo tu
@josephmarole5159Сағат бұрын
Lissu nimnyaturu
@lusajomwakajoka495523 минут бұрын
mbowe anaon kujibu swali kwa maneno mengi ndio busar
@josemutta7233Сағат бұрын
Siza swali zuri
@MarcoHamis-d4s2 сағат бұрын
Ni yeye lisu,
@gallousgosbert49933 сағат бұрын
Movement for change is you,we want to change you with Mr Lisu
@ibrahimjumbe81212 сағат бұрын
😂
@sosom14Сағат бұрын
Thank you
@johnsonsabanya58603 сағат бұрын
Mpaka nacheka kama mambo ndo haya tutafuteni pesa hakuna Chama cha upinzani hapa we need money money kwaajili ya Familia zetu mtaani Lisu anaimbwaaaa sanaa😂
Mbowe unajiona bila wew chadema haiwezi kwenda . Umechukua dam changa umeifundisha siasa,Sasa usipowapa nafasi watakutoroka, ni SAWA na ndege kufundisha watoto kuruka Kisha baada ya kujua kuruka anawazuia wasiruke,watakutoroka. Kuna biashara nyingi zinafanyika Kwa Siri(black market Hivyo kulambishwa asali panaweza pasiwepo na ushahidi ila ikawa umelambishwa. Ndio maana unasisitiza ushahidi.😂 Alafu waandishi watano ,mbowe anawatoa mchezoni anaanza kuwahubiria badala mtoe swali juu ya swali.yani hamchimbi .😂
@usembiphonedar5632Сағат бұрын
Hapo umeongea ukweli ndg. Mbona Mbowe hajibu maswali badala yake anahubiri mahubiri nje ya swali?! Kwa hiyo hata kama kuna maovu au Rushwa ndani ya chama Mbowe anataka ifanywe siri?
@mnasaeules6857Сағат бұрын
Mboweeee ingependeza ungeondoka na legacy yako unayo Taka kuhialibu
@geraldleger5793Сағат бұрын
Hivi Makamu Mwenyekiti Zanziber kura zake zinatokana na wajumbe wa pande zote mbili au analogiwa na Wa Zanziber ?
@MohamedMohamed-ry6lt5 минут бұрын
Huyu ni kiongozi halafu mwasiasa,
@JibeMwaijibe-p1z4 сағат бұрын
Wewe acha uongo sisi hio da spora hatuijui isiwasingizie
@TumainiMgonja-u5d4 сағат бұрын
Sijawahi kuona CCM wakizodoana wazi wazi hiv ,hii ni dalili kuwa bado hamtaweza kuvhukuwa nchi
@MichaelNgaleaСағат бұрын
Ccm Wana Dola, Wana usalama, kwy ni ngumu sana kwa Hali hii, lkn hii ni taasisi ambayo Haina Dola kwy hata unaweza kutoka na kuropoka tu🤣🤣🤣🤣
@EmmanuelMagilo4 сағат бұрын
humbo kumbe balaa kumbe ndio mwenyekuti alioko madalaka mdamlefu na bado anataka kuendelea
@sangafaiko.s.39603 сағат бұрын
Na kesho clouds muende kwa Lissu pia
@sosom14Сағат бұрын
Yes good question
@MailaMakambi-g9x40 минут бұрын
Maelezo ya Mwenyekiti Mbowe kuhusu mabadiliko kwenye Katiba, ikiwa ni pamoja na ukomo wa uongozi. Tundu Lissu analiona kama ni tatizo leo. Inawezekana amekuwa akilipendekeza kwa Mwenyekiti Mbowe akaonekana kutoliafiki. Hivyo katika ndoto za Lissu, anatoa ahadi kuwa kama akiwa Mwenyekiti atalianzisha kwa kuzingatia Katiba. Hivyo siyo sahihi kwa Mwenyekiti Mbowe kuona kama Tindu kulieleza ndoto yake, anapingana na Katiba ya Chama. Hayo ni maono na matamanio yake kama atapewa kuwa Mwenyekiti; na atapimwa hivyo wakati wa uchanguzi na baada ya miaka mitano. Mwenyekiti Mbowe ana yapi kwa miaka mingine mitano ijayo? Asikwepe hili.
@mobilespecialschool421614 минут бұрын
Kubadili katiba ya chadema ni mchakato ila ya nnchi sio mchakato 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂