RUBY NI MAMA MTOTO WANGU TU HAMNA KINGINE | NILIPATA UPOFU NIKIWA NA MIEZI TISA

  Рет қаралды 13,533

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 63
@NeemaGrace123
@NeemaGrace123 20 күн бұрын
Kusaidia maskini na wenye maitaji ni ibada kubwa sana ubarikiwe Kusah ❤
@YohanaMbizi
@YohanaMbizi 9 күн бұрын
Kusa kusa kusa nakosa chakusema na sioni kinacho kufaa mm kukupa zaidi nafurahi sana kuona upendo ulio onesha kwa huyo dogo mungu akupe maisha malefu na yenye baraka kila unapo toa mungu akuludishie barikiwa sana kura
@CassySalum
@CassySalum 21 күн бұрын
kusah una roho nzuri ulipotoa mungu akuzidishie. endelea kumshika mkono mteule mpaka amesha kuwa star.
@nadiasamwel8709
@nadiasamwel8709 21 күн бұрын
Mungu akubariki sana kusah aisee na akuongezee ulipopunguza🙏wewe bdo hujajpata kivile lakn umepata moyo kumsaidia kijana mwenzio nmefurah xana kwakwel 🥰
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 21 күн бұрын
Dah. Leo nimesikiliza hii interview nikajisikia kama mko ibadani kuanzia ninyi watangazaji mpk hao wageni wa kipindi.🎉🎉🎉❤❤❤❤❤ Mungu awabariki sana
@venustethaog
@venustethaog 20 күн бұрын
Ndio ya kwanza kuskia mwanzo mwisho❤❤❤
@scholarmawala1403
@scholarmawala1403 19 күн бұрын
@@venustethaog Amina
@MsabaaMwenebokyo
@MsabaaMwenebokyo 14 күн бұрын
Ubarikiwe kaka kusah kwa Wema ulioutenda kwa ndugu yetu Godfrey,Mungu amekuchagua kua Mlango wa Mafanikio kwa ndugu yetu ,Please Tunaomba uwe unatujuza maendeleo ya Godfrey maana naamini wengine tunatamini kuchangia japo kidogo kwaajili yake
@SofiaMpalanzi
@SofiaMpalanzi 20 күн бұрын
Kusah mungu akubarik sanaa tena akupe umli mrefu daa umenigusa sana huyu mungu akuzidishie pale ulipopungukiwa kwenye family yako
@precieusemutano-f3f
@precieusemutano-f3f 18 күн бұрын
Na njikuta na kupenda bure kakayangu kusah mungu akuzidichiye wewe na familiya yako 🎉🎉🎉🎉
@venustethaog
@venustethaog 20 күн бұрын
One and only Human being in tz music 🎵🎶 industry Mr @Kusah❤ Mungu akuzidishie kuwa Humble
@Fathasssane-vs2th
@Fathasssane-vs2th 21 күн бұрын
Dhiki inamueka mtu ktk maisha ya kuwa na hali ya chini anagara God mashaallah
@NeemaGrace123
@NeemaGrace123 20 күн бұрын
Kusah mungu akubariki pia abariki uzao wako
@sophianabintu6666
@sophianabintu6666 15 күн бұрын
Mungu akuzidishe mengi musani Abao umejitowa kumusaidia hu mtoto Baraka zinakuja kwako
@yohanakidanga2820
@yohanakidanga2820 15 күн бұрын
Blazaa kusah MUNGU akubariki Sana usichoke kusaidia MTU yoyote pale unapoona unauwezo wakufanya hivyo ...
@Heraldmusic
@Heraldmusic 4 күн бұрын
Mungu akutunze maana unafanya kitu cha maana sana ila mwanzo mzuri tafadhali usije ukajivuna bala nyenyekea utaarikiwa kwa umri mrefu.
@MariamLeonar
@MariamLeonar 15 күн бұрын
Mwenyezi MUNGU akuzidishie ulipopunguza
@SarahSarahkitomo
@SarahSarahkitomo 11 күн бұрын
Mungu akubaliki sana kijana mtanzaji amesema unakitu kikubwa sana mungu ataleta Kwa wakati
@IqramNyongoro
@IqramNyongoro 18 күн бұрын
Mungu azidi kukutia iman ya moyo wako kaka una moyo safi sana
@EstaMwanzo-k4t
@EstaMwanzo-k4t 7 күн бұрын
Mungu akubariki sana kaka
@tatualmasi4399
@tatualmasi4399 20 күн бұрын
Mungu akubariki sana kusah
@AgnesGwivaha-x4s
@AgnesGwivaha-x4s 16 күн бұрын
Ubarikiwe sana kusah, hiyo ni ibada tosha
@DorisiGalusi
@DorisiGalusi 16 күн бұрын
Mungu awe pamoja na ww kk G
@hggvg9809
@hggvg9809 19 күн бұрын
Hata sisi wana yanga💚💛tunayiimba sanaaaa Bada ya kufungwa match 3mufululizo😂😂😂😂Mungu ni waajabu sna🙏🙌
@HildaBernard-t3n
@HildaBernard-t3n 14 күн бұрын
Kusa unaroh Zur mungu akubariki
@suzanejacobo6910
@suzanejacobo6910 18 күн бұрын
Mungu akubariki sana Kusah
@AyoubSalimu-e7p
@AyoubSalimu-e7p 19 күн бұрын
Godfrey mungu akubariki sana
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 19 күн бұрын
Kusah Mungu atakulipa.Na tunakuombea Godfrey utatoboa inshalaah
@AllyAkiba-xo3sz
@AllyAkiba-xo3sz 16 күн бұрын
Kijana Jana wangu kusa homba Mungu sana ili shetani asikupokonye hiyo roho
@ekelaalex9411
@ekelaalex9411 18 күн бұрын
Kussah mungu akubariki saana m'y brother mimi ni shabiki wako saana kutoka france
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 17 күн бұрын
MUNGU akufanyie wepesi kk uone
@stephenjefaofficial
@stephenjefaofficial 16 күн бұрын
Mungu akubarik kaka na azidi kukuinua ❤❤❤
@KelvinNaftal-q6g
@KelvinNaftal-q6g 7 күн бұрын
Mina. har. Nakupenda. sana. yani
@michaelnsingija
@michaelnsingija 19 күн бұрын
daa mungu awabarik sana jaman hapo studio
@felicianmajalla8078
@felicianmajalla8078 19 күн бұрын
Safi sana KUSA. ningekuwa na namba yako ningekutafuta. Umenifanya mpaka machozi yamenitika
@suzyndoya3280
@suzyndoya3280 21 күн бұрын
Haleluya! Naomba Goodfley aje Kansan sinza Lego kanisa linaitwa Emanuel Hossana church, watu wanapona vipofu viziwi,bubu , ukimwi ,Kansa n .k Ingia KZbin andika e h tv hossa church karibu sana Amin utapona
@jescamjarifu2381
@jescamjarifu2381 20 күн бұрын
Ebu acha ujinga wa kupandikizwa namna hii bhna
@CRAVERYMUYAMBA
@CRAVERYMUYAMBA 20 күн бұрын
Huo ni uongo
@HassanNdauka-x1z
@HassanNdauka-x1z 20 күн бұрын
Acha uongo ww kwa mungu kuna moto
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 18 күн бұрын
Omba kwanza kwaajil yako upunguze kutombesha ndo utoe msaada wa kanisa kwa wengn
@KalengaKalengakichochi
@KalengaKalengakichochi 7 күн бұрын
Mungu akubariki sana ndugu yangu kusa ,Ila niwahombe watanzania kwamba ndani ya kambi ya wakimbizi mnavipaji vingi Ila uzamini nimdogo Ila tushirikiane kwakuinua uchumi watanzania ,kwakila upande ,
@VictoriaSalama-t2g
@VictoriaSalama-t2g 18 күн бұрын
Huyu jamaa ipo siku moja ataona keep this comment 14:10 mtairudia ipo siku
@FransooAmoss
@FransooAmoss 20 күн бұрын
Mgos goma kali kk 👍
@BoraShaban
@BoraShaban 20 күн бұрын
Bembe boy godfrey❤❤
@AyoubSalimu-e7p
@AyoubSalimu-e7p 19 күн бұрын
Kusah safi sana mwanangu
@salmaissa-q5s
@salmaissa-q5s 20 күн бұрын
Ongera sana kaka kua na moyo uo
@FatumaJuma-b2g
@FatumaJuma-b2g 17 күн бұрын
Anapenda matani ADI rahaaaa
@edentuye2924
@edentuye2924 20 күн бұрын
Kusah unakitichako mbinguni kaka
@masterkey536
@masterkey536 18 күн бұрын
Uhakika 💯
@HeSo50
@HeSo50 21 күн бұрын
Wa kwnz
@jaytimo8668
@jaytimo8668 19 күн бұрын
Mko vizuri
@husa8849
@husa8849 18 күн бұрын
Utapona hayomaco mungu asikiy kiliyocako
@JACASJacaspeterdor
@JACASJacaspeterdor 18 күн бұрын
Haho haho wanaho muhinuwa ndipo watakao muhangusha, napia ndiyo watakao musukuma kwenda mbele mbele
@MariamLeonar
@MariamLeonar 15 күн бұрын
Hadi nimetokwa namachozi nikifikiria ukuu wa MUNGU
@anthonysonda6182
@anthonysonda6182 16 күн бұрын
Hii ndyo sadaka sasa siyo kuwapelekea wachungaji wenu wa uongo Wana jaza matumbo
@sarafinajohn2368
@sarafinajohn2368 15 күн бұрын
Kusah hakuna mfano mkubwa ambao umefanya hakuna yoyote anae weza kufanya kama wewe baraka terehe zikujalie kinakuja kukubwa kwako utakuwa mtu wa mataifa pia kunasehe Kuna mremavu wa mguu anachora vizri sana ila ajapata sapoti ila nimchoraje mzr sana
@CAN.164
@CAN.164 21 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 19 күн бұрын
Kijana wa kiume maji ya kunde anasuka na kuvaa hereni
@KelvinNaftal-q6g
@KelvinNaftal-q6g 7 күн бұрын
Kamanikweri. utafikambar
@SamwelikazimbayaKitahenga
@SamwelikazimbayaKitahenga 21 күн бұрын
Ndo mkome kuokota okota wanawake wasio jielewa!Rubby ni kati ya wanawake wa hovyoo
@KelvinNaftal-q6g
@KelvinNaftal-q6g 7 күн бұрын
Wewe. kussa. yakwer. kamanikwer. utafikambar
@KelvinNaftal-q6g
@KelvinNaftal-q6g 7 күн бұрын
Msianikane. hanzarani. bwana
@tungurilegemwakasege9782
@tungurilegemwakasege9782 16 күн бұрын
Mungu akubariki sana kusa
Godfrey Mteule ft Kusah - Huyu Mungu (Official Video)
3:57
Official Godfrey Mteule
Рет қаралды 388 М.
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
She wanted to set me up #shorts by Tsuriki Show
0:56
Tsuriki Show
Рет қаралды 8 МЛН
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
Nilikuwa naota ndoto mbaya, Unajua haya mambo ya ushirikina huwezi kushtaki Serikalini
18:55
CHUMBA CHA HABARI CLOUDS MEDIA GROUP
Рет қаралды 2,5 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 698 М.
Godfrey Mteule Likizo Official Music Video 4K
4:32
Official Godfrey Mteule
Рет қаралды 402 М.
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН