COMEDY: Steve Nyerere stand up comedy

  Рет қаралды 85,259

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Steve Nyerere ni mchekeshaji na mwigizaji kutoka bongo movie ambapo kwa sasa amekuja na STAND UP COMEDY yake na ameifanya Dar es salaam weekend iliyopita

Пікірлер: 28
@nalimijosephtz3680
@nalimijosephtz3680 8 жыл бұрын
jamaa huyu ni zaidi ya trevoh Noah yan balaaaa...talented never seen b4
@hassankayla4076
@hassankayla4076 8 жыл бұрын
Hahahahaha Steve umenichekesha sana eti TRA wote wako jera hahahaha
@isakampako1091
@isakampako1091 8 жыл бұрын
cdhan kama hii n comedy ... kwangu m n mtu kacmama anapiga stor
@eventelias278
@eventelias278 8 жыл бұрын
new IPP..internatianal pumba points
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 8 жыл бұрын
iyo siyo comedie kwa kweli
@terashangwe255
@terashangwe255 Жыл бұрын
kajitahidi sana dakika 9
@mathewstanley4063
@mathewstanley4063 8 жыл бұрын
Joti na Mpoki ndio comedian lakini huyu hapana😁😁😁😁😁
@kwibemlala6864
@kwibemlala6864 7 жыл бұрын
Mathew Stanley apana naye yupo pw
@raphaeltv6051
@raphaeltv6051 8 жыл бұрын
wabongo bhanaa
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 8 жыл бұрын
kuna Watu wana nipotezea mda lakini sio wewe bora nilale
@opiumtaavi4966
@opiumtaavi4966 5 жыл бұрын
HILI LOFA LINAPOTEZA MUDA HAPA HAMNA KITU COMEDY HAPA
@stanlecioussimba5404
@stanlecioussimba5404 7 жыл бұрын
Daah, huyo anatoa hotuba au anachekesha, yaan hata simwelewi jamaa kajaa hisia za ngono tu mwanzo mwisho
@fadhilially2682
@fadhilially2682 8 жыл бұрын
huyo mwambiee asubir kampen aanze kurusha vijemb baaasii ila kuchekeshaa hapana kwa kwelii anakulaa hela zaoo tu
@lailaomar2633
@lailaomar2633 8 жыл бұрын
joti na mpoki ndy comedian ila huyu hapana
@kelvin_papaa_ya_warembo8313
@kelvin_papaa_ya_warembo8313 8 жыл бұрын
milard umenipotezea mb zng,,sion comedy naona mtu anatoa hoja
@dahomafedha4145
@dahomafedha4145 8 жыл бұрын
anaitwa nani? :-)
@fredrickitala3903
@fredrickitala3903 7 жыл бұрын
Fanya linalo kuhusu huna kalama ya uigizaji ndio maana hua unapanik
@amedegabri4435
@amedegabri4435 8 жыл бұрын
kupoteza muda pumba hakuna connection ya kitu anachoongea,, angalieni churchill show ya kenya mjifunze, acheni ubinafsi.
@yusufuhhaji6715
@yusufuhhaji6715 8 жыл бұрын
washazoea mchekeshaji lazima ajipake masizi,avae nguo za hovyo
@jumaramadhani5861
@jumaramadhani5861 8 жыл бұрын
Huyu nae ni Comedy kweli?.......wabongo kuweni wakweli jamani,milard ayo nawe umekuwa mtu wa udaku nini
@pauljoel1562
@pauljoel1562 8 жыл бұрын
oyoo
@hamadimsika6267
@hamadimsika6267 7 жыл бұрын
Anafanya nini hapo huyo jamaa mana ni kituko tu
@حمدالندابي-ف5ف
@حمدالندابي-ف5ف 7 жыл бұрын
milad leo umechemsha hata s muelew jk ndo comedy
@juliusuronu8812
@juliusuronu8812 8 жыл бұрын
Kajamaa kanapenda ngono balaa sasa kanafikir kila mtu kama yy anatumia jina la rais kuzungumzia upumbavu.....mara 100 mc pilipii na stor zake za ooooh my gush na prado yake kuliko huyu mwehu
@nankodyasteven2858
@nankodyasteven2858 8 жыл бұрын
Julius URONU Ni kweli bro mi sioni anafanya nini hapo
@aziz1385
@aziz1385 7 жыл бұрын
the only funny thing here is the guy hachekeshi
@fanicelutta9488
@fanicelutta9488 8 жыл бұрын
boring kenya the best
@salimatuyahhaya5772
@salimatuyahhaya5772 8 жыл бұрын
kuna Watu wana nipotezea mda lakini sio wewe bora nilale
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Jamaa kaigilizia sauti ya Jakaya Kikwete mpaka Watu wakacheka
13:13
Millard Ayo
Рет қаралды 3,3 МЛН
KIMBULU EPS 01: king Majuto
33:14
Brother K MoBiMbA
Рет қаралды 65 М.
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18