Yaani wewe mwanamke ungejua vile tunatesekea uku warabuni tukitafuta pesa ya kulisha watoto na family😢na wewe uko hapo unapewa Kila kitu na una cheat unge respect your husband 😢😢
@MagdaleneMukanda15 күн бұрын
Imagine alafu ako Tu za nataka attention oh nibebe kama kasichana kadogo, akiulizwa na huyo Michael ako na KAZI Yani ako na nguvu ya kueleza vizuri venye bwanake ndo anamlipia rent anamulisha na kila kitu, MTU anafanyiwa kila kitu ndo sababu ako hapo kukuchanganya wakati ambeambiwa mwendee tena anaanza kuona ugumu.
@joycewanjiru981315 күн бұрын
@@MercyMbithe-p5e Very true wakijuwa tuliacha watoto kwa sababu ya shida wange ongea mambo na tension shenzi sana
@lilianmbakambaka671815 күн бұрын
Nani atanleya huku Fanya kazi kutoka first hadi 3rd floor bado kupiga nguo pasi mara kupika nkt ndio atajua nyama choma si kitu
@JanetAhmad-v3h15 күн бұрын
hawa hawajui maisha ninini umalaya tu wacha huo amuache njo atajua
@MinahMjeni15 күн бұрын
Wee..Mungu ndio anajua 😢😢😢
@Sharin-e5f14 күн бұрын
Atlong last alimwaga kwa mara ya mwisho kwa mwaka,here comes the newest single mum in town,happy new year,.
@Oderorege10 күн бұрын
Mjaluo hawachagi bibi juu ya kudinywa 😁😁
@bonifacekilaviri969815 күн бұрын
Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe ndio huyu mama
@ndonyenancy207915 күн бұрын
Proverbs 14
@edinahimali15 күн бұрын
@@ndonyenancy2079which verse😊
@sophiagakenge118515 күн бұрын
Kumbe alikuwa huyu😂😂na kweli ndiye huyu...mjinga sana
@berylakinyi62118 күн бұрын
@@sophiagakenge1185😂😂😂😂😂
@Lucyiminza15 күн бұрын
Aende kwa Michael shenzi sanaa ,nyama choma.
@beatricemugambi465915 күн бұрын
Honestly this man is hardworking,the woman is smartly dressed unaeza fikiria ata yeye ndio ana earn more zaidi ya mwanaume
@CROWNMEDIAKE15 күн бұрын
@@beatricemugambi4659 imgne i thought that two kumbe bwana ndo anaweka bibi yke fity
@berylakinyi62118 күн бұрын
@@CROWNMEDIAKEItabidi Sasa aende kwa Michael.Anachezaa na life Hapa. Lady is not wise at all.Very idle and hence needs 24/7 attention like a teenager. Atakaa Hapa nje tutaona kama ataweza life bila a good husband like him. Anaongea like a person who is not grateful. Not even remorseful. A gal toto. Huyu ni kichwa baridi. 😂😂
@mauriceoduor412615 күн бұрын
She's now free to go live with Michael. They're both unemployed so they'll have 24 hrs a day to give each other attention. Lots of attention and nyama choma.
@stephenoloo318215 күн бұрын
Very true
@MagdaleneMukanda15 күн бұрын
@@mauriceoduor4126 True
@DeeMcMunda-zk3hs15 күн бұрын
Should they be together, that attention with Michael will soon turn into hating him. Atajuta.
@kenyastud15 күн бұрын
....imagined Nyama Choma, kwa ndoto ya Attention. Ati treat me like a girl toto! She wasn't ready for marriage! Sasa ameoja mjulus ya jobless hata wacha, ni kumwaga 24/7, aende mpaka watoi ndio aone life ya single mothers in it's true colours.
@JumaChigiri15 күн бұрын
😂😂😂😅
@JamesOngaya15 күн бұрын
Na hii economy ya ruto 😅😅😅😅😅😅😅 this man deserved another woman
@jacksonmigiro673915 күн бұрын
Indeed he should promote her to the first wife position
@hellenwanjiku514815 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂@@jacksonmigiro6739
@la-ry1ms15 күн бұрын
This one should be declared redundant
@MaureenOwade15 күн бұрын
Aki Walai yawa aki mon moko thoo
@edinahimali15 күн бұрын
Yes please 😊😊😊😊😊😊
@austrinemutsotso156015 күн бұрын
Dem alipeana simu with confidence akijua amefuta text 😂😂😂ako innocent..not knowing amefikiwa n chief sanitizer 😂😂😂😂
@judywaithira540315 күн бұрын
@austrinemutsotso1560😂😂😂😂walai 😂😂😂wee hakuwa anajua simu iko wenye wanaijua kuliko mwenyewe aki 😂😂
@suleimankipyego514315 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅waaaaah ogopa
@JumaChigiri15 күн бұрын
😂😂
@CateWangari-z8s14 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka vyenye ulikuwa unataka aki....🤣🤣🤣🤣🤣 Weuh
@bonfacemadangi374412 күн бұрын
Hakujua amefika mwisho 😂😂😂😂
@CLIFFWaweru-od4qx14 күн бұрын
😢Iam watching this while I'm in MAJUU 😭😭😭😭😭 this women pooh ONLY GOD WILL PROTECT OUR HOUSES 😭😭😭😭😭😭
@Becky37015 күн бұрын
2025 Hakuna kuforce kitu wacha aende akule attention na Huko 😮 mjinga ukweli where can I get a man who can provide like this ❤
@VincentOuma-s7b15 күн бұрын
Ni kaa we pia wewe unacheat
@edinahimali15 күн бұрын
@@VincentOuma-s7b😊😊😊
@cedrickshili476515 күн бұрын
wewe ni morembo..
@kennedymwangi784313 күн бұрын
Mt kenya women huwa nashangaa nao, pesa upewe, chuma upewe then boom 💥 Michael nyamachoma ya 250 na attention. 😮
@josphinekimando9 күн бұрын
Anasema mic Hana job but chuma Ina anguka ndani n nyama choma.... hopeless woman
@royndisya93307 күн бұрын
Wallahi...huyo mike game yake ndo poa
@kevinodhiamboakwany147015 күн бұрын
I LOVE the man's accent. Tukule attention? Bibi is busy with kukula nyama choma. Aolewe na attention, nyama choma na Michael.
@ryn254-s8y15 күн бұрын
Ahaa Amekasirika hadi naskia tu "Tukule Tension" 😂😂
@CateWangari-z8s14 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣. Kevooh na wewe aki unachoma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@josphinekimando9 күн бұрын
Walai
@NectariosObunga11 күн бұрын
Hiyo ndio matharau gunia mzima
@bettywangui257215 күн бұрын
Huyu ni malaya si Bibi juu attention ataikula chunga ungojwa fukuza mtu ana hata heshima just run for your life
@jenniferEdith119015 күн бұрын
Watu waanze kukula attention......,🥱🥱🥱
@laurinejendeka566815 күн бұрын
Walai ju sasa unataka attention ufanyie nini😂😂😂
@ryn254-s8y15 күн бұрын
KimbiKimbi amekasirika hadi mi naskia "Tukule Tension" 😅😅
@JumaChigiri15 күн бұрын
😂😅😂😅😂😅😂
@mauriceoduor41267 күн бұрын
This woman married this guy for survival. I'm saying this because with her looks, she could get a better-looking guy.
@emmanuelbii810912 күн бұрын
😂.... akili ya huyu mdem na ya kuku difference ni location 😂
@jimwafula473315 күн бұрын
Jakom wachana na yeye aende akule attention na Maikol! Ndio atajua attention sio tamu😂😂😂😂
@samanthaayoma663915 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣, cjui mbona nacheka. Jakom is hurt😂😂😂😂😂😂😂
@MaureenOwade15 күн бұрын
@@samanthaayoma6639Owanda akii
@berylakinyi62118 күн бұрын
Attention ni tamu but I believe mature love doesn't need the teenage type of attention but some good quality time with better half The lady missed a stage Or she didn't want marriage fully
@mwimbimiheso551313 күн бұрын
Natamaningi tu nipate mume wa kusimama na mimi wapi, na huyu dem anachezea mme anamfanyia kila kitu. Vyenye nang'ang'ana huku Saudi Arabia ni mungu tu
@magiemoraa598212 күн бұрын
Wacha ajuje huku gulf aone attention
@OtienoSylvesta12 күн бұрын
Tutafutane basi
@AbdishakurMohamedAbi-qz1ht11 күн бұрын
Kuna morio ashagongewa 2025 😂 inaitwa Early kick off🙆
@pw-t2c15 күн бұрын
mike is super helpful.... anakusaidia kupata nyumba, gari na anasaidia na bibi pia kwa 🛌
@angesmargaret303915 күн бұрын
Anafanya mzee aongee kama kimbikimbi 😢😂
@aomealaome493315 күн бұрын
😂😂😂hasira
@Judie-o7g15 күн бұрын
😂😂😂
@antonyochieng-jl1xe14 күн бұрын
😂😂😂😂
@gladykhalipha631115 күн бұрын
Ata yesu alisema ikiwezekana ukae bila kuoa nivizuri zaidi
@irynejames51615 күн бұрын
But wanaume wakajifanya roho juu wakidhanii Yesu ako na wivu😂😂😂. Matokeo ndo haya 🤣🤣🤣🤣
@Joseph202035 күн бұрын
Hakusema maneno haya. Acha uongo.
@felixmwanzia908115 күн бұрын
😂demu Sasa umejiweka kwa moto hio trust imeisha na uko single Sasa,utajua mwanaume akiamua ameamua
@DenisMukandara15 күн бұрын
Mpumbavu huyo mwamke. Na atajuta maisha yake yote. Wanawake wote ni sawa. Utafikiri vipofu
@Marie-x1x15 күн бұрын
Uyo Ata hawafai kurudiana, yani haja yake n attention badala ya appreciate bwanake anaprovide😏shenzi sana
@CROWNMEDIAKE16 күн бұрын
your husband love you than those men who are in your dm ladies wanataka kinembe wakipata n ivyo 😂😂😂
@veronicamutua-n3p15 күн бұрын
Na venye huyu bibi yuko smart waa sisi wanawake waa
@edinahimali15 күн бұрын
Some are loyal to there feelings 😊
@Kemunto2515 күн бұрын
Kugongewa n Constant eka mdomo ivi😯😯useme constant ukilike😅😅😅😅😅
@philiplangat9015 күн бұрын
😂😂😂😮😮😮
@Sharonmuchiti15 күн бұрын
😂😂😂
@mulewajoel655215 күн бұрын
😂😂😂😂😂....enyewe wajaluo wameteswa na wasichana wakikuyu..... uuuueee....😅😅😅😅😅
@Lilian-oc7fg15 күн бұрын
Mlisema luo ladies ni wabaya,,,,na huyu sio luo,, hehehe kiwarambee kabisa
@JumaChigiri15 күн бұрын
😂😢
@jb.junior57222 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣💃💃💃
@trey_e15 күн бұрын
Ile design watu hugongeana kwa rentals sio mchezo 😂
@mubiawamarata207715 күн бұрын
Really
@phillyschege790415 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@GladyKalekye15 күн бұрын
Wanaume mfanyie mabibi zenu shopping kila kitu Kwa nyumba Kama aendi kazi afungiwe ndani washroom ziko ndani hakuna kutoka nje hakuna kuonana na jirani ama caretaker period 😂🤸
@trey_e15 күн бұрын
@@GladyKalekye 🤣🤣🤣..nikubaya any slim chance ka quicky mara iyo
@trey_e15 күн бұрын
@@phillyschege7904 🤣
@HubasaFamily25415 күн бұрын
24:25 Little attention na ushaamwagiwa ndani na ndume ingine!!!! Wanawake mna upuzi walai!!!!
@ibba808215 күн бұрын
Hata Hao Watoy Mwendee DNA,Sio Wako bro.Amelaliwa kibaooo huyo😂
@protichnarokwest640515 күн бұрын
😢😢😢😢
@techtimbreКүн бұрын
hii mbuzi nikama Heaven
@BobMjoki-pl5dv15 күн бұрын
This is what the Big Man Stevo call *sensitising* 😂
@pmm2014-SSS15 күн бұрын
The sad part is the inflection that takes place from almost repenting to the arrogant statement "it's your fault for not giving me attention..." always hits hard...
@worrylesstv15 күн бұрын
Mnipitieko Leo tafasali nafanyako comedy 😂😂
@Momonabudgetke13 күн бұрын
Haya nipitie pia
@alftedmuia855915 күн бұрын
2hrs ago....msee amepata heartbreak....Mimi ilinipata 5 months ago am still healing.....I pity this man....atakapitia by the time a heal Acha tu...
@EvansLangat-bh5gv15 күн бұрын
Dawa yako ilikwa hii channel kweli
@NaomiNyabate-wi5gf15 күн бұрын
Ati treat me like a girl totoo!!?? Go to work girl!!! ....halafu ujitreat vyenye unataka!!!!😅😅😅
@janetkimanzi632416 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂enda pewa hiyo tention Na Michael 😂😂😂 Earth is hard ohh
@TheGame-od4xf15 күн бұрын
Niliwaambia mwachane na wanawake hamsikii😅😅😅😅now see, they always look for one very tiny thing you are missing and boom!!ameiendea kwa mtu mwingine and she sees nothing wrong with it😂😂
@denisnjeru789914 күн бұрын
But sasa wataoa wanaume wenzao
@TheGame-od4xf14 күн бұрын
@denisnjeru7899 It isn't a must you marry bro, you can as well be a baby daddy and remain alone rather than going through all these
@berylakinyi62118 күн бұрын
There is nothing they miss No one is perfect hata yeye si perfect. It's a scape goat to avoid accepting her mistake.
@ramonperroni792615 күн бұрын
Never get married fellas!!😂😂😂
@StanNdosi15 күн бұрын
From TZ, first of all majirani zetu Happy Christmas and New year ❤🎉... Kusema ukweli Kenya Iko na wanawake wapumbavu sana sana, mume wako anakupea Kila kitu alafu unang'ang'ana attention attention, akikaa nyumbani bila kufanya kazi utakula hiyo attention? au ndo utamchit uanze kusema ulifata Doo sababu mume wako haendi kazi, wanawake wa Kenya ni kama Chameleons aki... Oo God 😢😢😢
@bruce00115 күн бұрын
Wewe jomba,Arusha ama wa wapi wewe
@chritechenterprises514515 күн бұрын
💯
@samuelnjorogemwagi172415 күн бұрын
N vile kwenu hamjafanyiwa hii test
@alexkabeho560915 күн бұрын
hatari sana mkuu 😂😂 sijawai kuona jami kama ya kenya
@StanNdosi15 күн бұрын
@@bruce001 Hii Kilimanjaro Machame jombaa😁 but now mishe Dar
@georgethuku7585Күн бұрын
cheating should not be a topic of discussion, it was that momemt that i knew she fucked up
@officialMadawa15 күн бұрын
Mtu anakula bibi yako anakaa kwa stairs unapita anakuangalia😂😂😂 wueh😂😂
@georgenyasudi406016 күн бұрын
Mliambiwa muachane na hawa watu na hamkusikia. They don't even have that guilty consciousness. To them it's just okay.
@IrineOdira15 күн бұрын
Eyawa lit by alot😢
@livingstonenyandika10211 күн бұрын
This is the fast time commenting PIA ME NAPENDA MYAMA CHOMA😊😊.
@trey_e15 күн бұрын
Ogopa marriage 😂
@danielshikuku782912 күн бұрын
you cant hide for long utashikwa😂😂😂😂 alikua anajiambia kumbe
@ryn254-s8y15 күн бұрын
We mwanamke unatuangusha... Eti "Hold me my hands" 😅😅😅 Mara nyama choma 😢
@lenitygakii957013 күн бұрын
Wanawake tuko n shinda kweli 😎🙆😅acha niteseke uku Kwa wayahundi juu sina otherwise aki 😂
@janewambui66088 күн бұрын
Ile kashetani!!!!!!!!!
@royndisya93307 күн бұрын
Apa usipogonga vizuri wallahi watakugongea vizuri sna.
@PccerealsShop-s4l15 күн бұрын
Nyama choma and attention... Key words this new year to underline..🙄🙄🙄
@beckymaria212515 күн бұрын
Watoto wafanyiwe DNA mayb watoto niwa Michael ,hakuna mwanamke mweupe wa wanaume mmoja, boy child run for ur life🏃🏃
@vanessalaizer436315 күн бұрын
Si mnatakaga weupe nyie haya sasa
@VioletMwakamu-j4w11 күн бұрын
Hapo ni uongo,some of us ni weupe na tumezeeka na mwanamume mmoja😂
@ruthnjoki78415 күн бұрын
Weuuh mambo kwa ground ni different kuna mm hapa najitafutia kila kitu na kuna huyu ana tafuta attention 😂😂😂
@ubogalugalu583115 күн бұрын
Bwana mapangala nipatie nyama choma 🎶
@gracenjoroge110114 күн бұрын
😂
@susanaseyonyundo968915 күн бұрын
NoHappy New year 😅😅😅😅we need problems 😊😊😊we don't need peace 🕺🏿🕺🏿🕺🏿kumekucha 😅😅😅I see jua ni mob inachoma kwa face 😆😆😆😆ushago manenos kugongewa nayo 🤗🤗🤗🤗
@stevieweavie548415 күн бұрын
Love = Nyama choma. No wonder the proverbial "Nakupenda kama Nyama Choma"😂😂😂
@royndisya93307 күн бұрын
Huyu mwanamke aliona Game ya mike iko poa sana.😂😂😂i can't blame this Woman. My bro pull up your socks🤦
@Sylvia20-cl715 күн бұрын
I Wanda....you take her as your mom no wonder you don't think of the ....... Attention woi huoni nin"kasichana kadogo"😂😂😂😂
@marywambui280811 күн бұрын
Happy new year Stevo You will never know the value of something until you loose it....
@MaryWanjiru-p7y15 күн бұрын
I me myself...,nimejiita kamkutano kadogo nikaona hawa prayerful people waogope ju prayerful nikaa imegeuka ikakua player full.coz cheating iko kwa hawa watu acha tu..but sijasema niwote
@sophiagakenge118515 күн бұрын
I thank God i started watching these streets sanitizations before i fall a victim of love.....what's are these though💔💔💔💔😢😢😢😲😲😲😲huyu aende kwa micheal wakakule attention nd nyama choma ..guok?
@eznermomanyi81415 күн бұрын
Amwage ya mwisho ghai fafafa😂😂😂😂😂😂😂😂😂weeuh it hits hard
@gideonskhisah878413 күн бұрын
This one touched me....wah
@DennisKagwe10 күн бұрын
Good men ndio hugongewa......even if you provide everything kugongewa lazima......choma ya 250 ndio reason 😅
@charitykanana609715 күн бұрын
Mwalimu wa maths kimemramba leo😂😂😂
@ToxicAfricanKing12 күн бұрын
I would take homemade barbecue over barbecue from any restaurant. That woman is nuts!
@rogersobaigwa880415 күн бұрын
Stivoo wewe ni mambo mbaya yaani unashika hata malaika😂😂😂😂
@jasonmburu456314 күн бұрын
Hii nayo imeniuma aki. Such a beautiful lady na vile ako smart courtesy of bwanake? Hii hata shetani amekataa kuekelewa
@CharityAris15 күн бұрын
Sometimes nafeel vibaya but if wanaume hawangeanza kucheat hawangespoil our mentality kama women....but sasa imekuwa too much 🤦
@treasureforashes349711 күн бұрын
Woiye, unapendwa well treated na unapeana surely
@warigialifestyle14 күн бұрын
"I love my husband"🙆♀️🙆♀️🙆♀️ewooo🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️
@MrRam-aj15 күн бұрын
I love the question of STEVE" NIKUULIZE , HUYO MICHAEL ANAKUPA ATTENTION NA NYAMA CHOMA😂😂😂😂😂......"
@EZZYSHOW15 күн бұрын
mzee fanya DNA kwa watoi
@KevinRategoOmondi-ei9ng15 күн бұрын
Some women never know what they want.
@ngesupaul991315 күн бұрын
anataka chama choma
@BeatriceMacharia-x9f15 күн бұрын
Attention na nyama choma ya inje 🤣🤣🤣🤣,this life is very hard
@janemusimbi14 күн бұрын
Wanawake hawana kazi mama tafuta kazi ukue beasy buana.
@joycegachuru138415 күн бұрын
Aky ladies,, tumeanza wa kwanza 😢😢😢
@patrickImwene-fu8zh15 күн бұрын
Mara attention Mara shetani Ladies😂😂😂😂
@segawamichael275314 күн бұрын
Reasoning of our sisters today is worrying. "Holding my hand"😂😂😂😂
@bridgioliboyio14 күн бұрын
Not me watching these na nadate neighbor yangu 😂😂😂am not married though 😅
@JulianAtieno-p9t13 күн бұрын
I like how luo men said that they can't marry luo ladies bcz they want to try to climb...😂😂
@Momonabudgetke13 күн бұрын
Amosi kanyo 😂😂😂
@JulianAtieno-p9t13 күн бұрын
@Momonabudgetke ber ahinya nyathiwa
@berylakinyi62118 күн бұрын
Obadhi gi owada.
@feisty-KoolQueen5415 күн бұрын
Weeeh, hii njaanury ifikinzwe unaamzia wapi😂😂😂😂mimi ikihappen ivo, unapeleka Steve kama wazee akuongelee😅😅😅
@ericgathii138715 күн бұрын
Wanawake mmeamza mwaka na kucheat, tutafika dec kweli😢😢 wooii wanaume si muache kuoa tu. Its not worth it. Hawa wanawake ndio wametuonyesha ndoa hazina maana. Lets just make money and give ourselves the best life
@lucyvibesgermanyКүн бұрын
Huyu sasa alienda kwa Michael....
@franciskimemia62115 күн бұрын
Etii you never know new year comes with new things 😅😅aki Steve when he realised clients hawamjui anachocha kweli kweli😅
@raphaelkitwii15 күн бұрын
Madam welcome to the world of single no nyama choma na attention you will regret it
@euphresiamiheso544411 күн бұрын
Ooh God yani mm natamani ndoa km hii,na nakutana na vituko nkaamua kuja gulf😢msichana utatamani mtu km huyu,huko nje n kunoma,bro murife huyo aende akule attention ya micheal😔
@Sharin-e5f14 күн бұрын
"for us we pray"😂😂😂"we are church people"🏃🏃
@teresianyokabi219015 күн бұрын
Today let's congratulate the camera man, anafanya KAZI vizuri
@IO669015 күн бұрын
Bibi wa mtu ni mtamu sana....na sijui mbona.
@josephochwaya15 күн бұрын
Kitu chochote jakuiba kinakuanga kitamu
@josephndungu305315 күн бұрын
Siku moja hio matako yako itakatwa na panga na haiponagi haraka😂
@tonysparks840712 күн бұрын
Wewe😂😂
@vincentnyabuto564715 күн бұрын
For sure women have mercy on us. It hurts
@dancanomwenga198715 күн бұрын
Attention attention!! Madem kama hutu waachiwe Attention peke yake maisha itakuwa safi, amemshow hapendi kiburi na sasa anamwambia big man Stive amuongereshee mme, yaani hiki ni kiume kizuri sura lakini akili🤏
@bushcollins87712 күн бұрын
Michael apo ataingia nyasi,.... Bibi amepata but shida tu hana nguvu, hana uwezo😅
@ellymwampashe892711 күн бұрын
Attention na nyama choma😂😂😂
@francismwangi656313 күн бұрын
😅😅 Gari ata iwe kubwa aje ya garama aje KITI ya Driver nikilekile😂 kimbia kaka hapa unatumika vibaya