Me I side with the lady 😢,sometimes we take options which can cost us, Dame ni pesa hapewi na na chali anapea boy pesa,option ni kumtumia tu huyo chali kuget hiyo pesa walai 😢😢😂😂nmesema hii kitu kimenitoka
@19_lord_young577 күн бұрын
The difference between you and a prostitute is time
@CROWNMEDIAKE16 күн бұрын
I blame the man here dem yako anakuomba pesa unamnyima lakini boy wako friend akikuomba unampa then anampa dem wako😂😂😂
@ericgathii138714 күн бұрын
So unasema anafaa alipie watu wa kwao school fees?? Whos responsibility is that?
@christinenkuene405514 күн бұрын
@@ericgathii1387but it was only one time that her mom needed fees money coz chama yake haikuwa imefika jameni. Sometimes one can be stuck, it doesnt mean its his resposibility to pay fees for inlaws
@Abigael0379 күн бұрын
Yes tell them@@christinenkuene4055
@nasorsaid537115 күн бұрын
Uyu boy anadinya Ian ama Ian anadinya uyu boy🤣🤣🤣
@MonicaKanini-d7l8 күн бұрын
Umesema tusitafute cuteness,sura ikuwe personal 😂😂😂
@millicentkinyaka651615 күн бұрын
Mr stingy if u can't give her money na unapatia ian si uache atumie ian .
@glorymugure735916 күн бұрын
Asante kamama umemfanyia huyo narcissist kitu inafaa
@JoelOtieno-t5e15 күн бұрын
men with money are not easy to manipulate
@EdgestoneRealEstateKE12 күн бұрын
Poko ni poko tu hata apewe pesa ngapi
@robijorum411315 күн бұрын
I hope her back up plan has money ..juu hiyo pipe ya pesa imeenda 😂😂
@bettycherono696111 күн бұрын
The lady make sense,unaezaje mnyima Dem Yako doo surely
@GeraldineAgnesKyalo16 күн бұрын
Wueeh!Ustinji ya huyu imepita mipaka...unapea bois beshte yako dooh na unanyima wife? Kwani Ian ndio hukusetia? Weeeh hata wewe ukona ufala banaa😂😂😂...Chezwa tu!
@joncandy198016 күн бұрын
Nmekuachia makueni yote
@SWEETGALKHAN_00116 күн бұрын
@@joncandy1980😂😂😂😂wtf
@abdulazz886515 күн бұрын
You will never satisfy a woman !
@JanieKebaso16 күн бұрын
Aaaii this man's stingyness is on a higher level,upee ndume mwenzako doh but unyime your wife???who does that???mamy cheat thats a joker of a husband right thea.
@MuneneArnolds16 күн бұрын
Apo nayo umemchocha kebaso.
@abdulazz886515 күн бұрын
Kwani madem wangapi hupewa pesa kwa hii channel na wanacheat😂😂😂🫴you will never satisfy a woman, screenshot this.
@NigelMikey15 күн бұрын
Joker eeh weh sema unanyimwa doo umechocha sana
@KijanaYaNaikuru15 күн бұрын
Who does that??? Your husband
@abdulazz886515 күн бұрын
@@KijanaYaNaikuru wanawake hupenda kussuport upuzi na hata wapewe kila kitu hadi mwezi they will cheat
@cynthiamukholi769715 күн бұрын
Juu dem anasema bwana anaeza pea bestie yake doo but ikifika kwake ananyimwa eti fixed position mtagongewa tu!
@georgeochieng156216 күн бұрын
Wah soko both sides ni chafu wacha niendele kuweka jembe kwa store hata kama ina rust😂😂😂😂😂😂
@nancymuthoni505016 күн бұрын
😂😂😂usijali hata iki rust tutapaka rangi ingine😅
@ernestndereba334816 күн бұрын
😂😂
@avrilnanjala104114 күн бұрын
😂😂😂
@Slingshots816 күн бұрын
its true the guy is stingy hady kameenda na simu 😅,
@edwardkemboi614014 күн бұрын
Napenda huyu mwanaume akuna pesa ya kuchesea 😂😂😂😂
@evanskaluma813511 күн бұрын
Walai there it’s a point kupea dem doh n nomaaaa
@GladyKalekye10 күн бұрын
😂
@Farmplays16815 күн бұрын
Eyan needed to be rewarded for his role 😂
@kelvinmawira122210 күн бұрын
Godliness with contentment is great gain...
@speechlesnoisemaker634116 күн бұрын
Huyu dem Ni mrembo hafai kuwa Na chali mmoja bro
@londoamos50116 күн бұрын
You have a point bro.
@speechlesnoisemaker634116 күн бұрын
@londoamos501 wee unaweza maintain Huo urembo wote pekeako,😳😳😳😳🤣🤣🤣
@ericnjuguna648816 күн бұрын
🤣
@sarahgikandi451316 күн бұрын
Okei
@MoorhBoont16 күн бұрын
😅😅😅
@Mis_wangui16 күн бұрын
Eii😂😂😂 Ian anapewa pesa bibi hapewi. Ata till number😂😂, ata kama msichana amecheat pia kijana mkono mgumu.
@ericgathii138714 күн бұрын
Muandamane na yeye sasa sababu ameachwa. Beshte atarudisha pesa lakini bibi hawezi
@Abigael0379 күн бұрын
@@ericgathii1387atapata generous ❤man.
@lightmanmwangaza938915 күн бұрын
Huyu atarudi hapa kubeg & something tells me hawa hawachani.
@aselyne563115 күн бұрын
Madem tafuteni doh pia nyinyi 😅 musijipate hapa , lakini huyo mtu hapana the lady is right
@ToxicAfricanKing16 күн бұрын
To use his and her own words... Kuzungusha kiuno ni constant! 😂 And I have to tell the world that I'm a proud Mama's Boy and there's not a thing wrong with being one.
@ChumanaSusi16 күн бұрын
Nilidhani ni kaka amesema kunyanduliwa mke ni constant
@Renameldeey16 күн бұрын
Team single another year😂🙄piteni huku mnisalimie🤗
@marygakuru819016 күн бұрын
Mtupe unioe😂 and i promise sitawahi kanyanga inje nitashindaga nikiwatch tv😂😂😂 until u came
@DorcusMwende-ib7cp16 күн бұрын
😅😅😅
@VeraAwino-mr8ky16 күн бұрын
apa nayo inafaa patanisho
@PoliteManKinoti16 күн бұрын
Hehehee.... Pia wewe Utaenda kwa beste yake🤣🤣🤣
@mademsykada386616 күн бұрын
Hapo sawaaaaaa😂😂😂
@franciskimemia62116 күн бұрын
😂😂😂😂
@jecintakarungari733115 күн бұрын
Huyu dame ako na point
@ToxicAfricanKing16 күн бұрын
I'm on her corner. You can be stingy with a girlfriend who just wants to have fun, but you cannot penny-pinch for your wife and mother. She did what she had to, considering she's doesn't work.
@abdulazz886515 күн бұрын
Nothing justifies cheating , ukikufa ukimwi hizo excuse tastes like bitter herbs
@NigelMikey15 күн бұрын
@@abdulazz8865she cheated that afact
@henrybushnell62415 күн бұрын
So sad this coming from a man unajiita King.Those two men have come from far bana,school and hustle ama hiyo point imekupita? nothing justifies cheating because even the lady herself is not perfect.A friend and wife betraying you na pesa ni zako wacha wakae pamoja sasa tuone kama wataishi hata one year
@Ivan71-o4k15 күн бұрын
True the woman is right😂😂 how can you be stingy to your own wife 😂😂 amegongwa na si mayai🤣🤣🤣
@juliewambui261812 күн бұрын
Once a cheater always a cheater.if you are not comfortable with the relationship,just leave .
@JB0025416 күн бұрын
As much as i dont support cheating, but on this one HUYU MWANAUME NDIO AMEJITAKIA.
@Josephineonyango-cl6ql16 күн бұрын
Mluhya hiyo huwa anaweza na mfuko huanga zmetoboka mbaya😂😂😂😂😂
@dominicluvonga91267 күн бұрын
😂😂😂😂hujatuabia poa.
@byronmurerwa4251Күн бұрын
Me nipewe no ya huyo manzi ntakuwa nampa doo directly 😂❤❤❤
@ndikijohn633014 күн бұрын
Malaya msupuu!! Aende huko. Aolewe na Ian.
@brianomungala21138 күн бұрын
Mukhanaa wee cheat hii iko sawaa 😅😅😅 Brains at work cheat but usipate ukedi 🤣🤣 na ball 😅😅😅
@MercyMbithe-p5e15 күн бұрын
Ila wakamba 😂😂😂tunapenda iyo kitu ata ukampea akaange nayo atapeana ije tu😂nikiwa mmoja wao💃💃💃
@GeraldineAgnesKyalo15 күн бұрын
Hebu jiongelee kama wewe unacheat wengine we don't
@MercyMbithe-p5e15 күн бұрын
@GeraldineAgnesKyalo 🤣🤣🤣🤣
@sammakori369415 күн бұрын
kamba ladies wanapenda KIA sana yaani ukimuongelesha tu clit ishaaanza kupiga hazard
@lambertmkz16 күн бұрын
To minimize chances za kugongewa, date a woman who has her own source of income. Hawa housewives ni scam tu 😢😂
@gerrytushh16 күн бұрын
How she got her own source of income can often be tricky. She might have a "permanent sponsor" and you might never know 😂😂😂😂
@Coach_Nancy16 күн бұрын
Bosses n supervisors are bomoaring them at work. Work trips hapa kule
@maggiekanorio490516 күн бұрын
Hao dio worse anagongwa mchana akirudi home ako tired
@nancyniar473216 күн бұрын
Another stingy man
@dicksonkiage159016 күн бұрын
Just date a woman who was brought up well.
@ngavacynthia821916 күн бұрын
Upcoming KZbinr here kindly nipitieni tugrow pamoja loves ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jemienaftaly15 күн бұрын
Nipitie pia
@Cymermartins14 күн бұрын
Subscribed.... Nipitie pia❤❤
@jemienaftaly11 күн бұрын
@Cymermartins 👍 done and thank you
@norahachieng42715 күн бұрын
Nice nice nice 😂😂😂, nimesema nice mara ngapi kamama
@oliverogada661916 күн бұрын
This is rather tough... Money issues yawa
@jimwafula473316 күн бұрын
Just go n live with Ian then aombe bwanako doo mujisort😂😂😂
@ropmercy598016 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣5k alafu ampee yote 🤣🤣🤣🤣
@duncanNjuguna-k8d16 күн бұрын
Kanaringaaa😯 na kanagongwa na iyan na kanamlipa haiiiyah!
@princessariana661215 күн бұрын
The lady is so preety to dserve such a man😢mbona usipee dem yako doh
@sammontana793114 күн бұрын
Aombe babake
@GladyKalekye10 күн бұрын
May be alimtoa club akaona akimzoeaha doo tabia itakuaa clubbing tu
@StacyKimeu15 күн бұрын
Hadi Mimi siez ka na mwanaume ka uyu..... paying with till all the time....siz just move out there
@pamelamudogo555116 күн бұрын
Mtu alileta hii story ya sanitisation amesaidia sana na this nrb only tukisonga mbele all counties hakuna ndoa 😅😅😅😅😅
@LumonyiBrian16 күн бұрын
Inafanya twende mbio na kuoa
@OndigoGabriel16 күн бұрын
Hae Pam miss you
@pamelamudogo555116 күн бұрын
@@LumonyiBrian 2025 twende nalo
@pamelamudogo555116 күн бұрын
Happy new year niko.tu kuja live jioni utanipata
@pamelamudogo555116 күн бұрын
@@OndigoGabriel ulipotelea wapi
@ivykerry311016 күн бұрын
Lessons i learnt in 2024: NEVER ask ua partner, 'ni nini sijawai kufanyia/ kupea?' You'll never give everything,even God Himself doesn't give us all we ask for. We should start asking 'When did u become stupid without me noticing?' 😂😂
@derekmuange866316 күн бұрын
Musi seme housewives ni wabaya pekee. kwa ofisi ile vitu nimeona peoples wives do . Mpaka wana dinywa kwa choo na lift.😢
@fayatess726316 күн бұрын
Bro big up, kuwa stingy kabsaa , lipa na mpesa😂😂😂
@janethjelagat164716 күн бұрын
😂😂😂😂
@LucyFranc16 күн бұрын
Ndio dem ajue kujitafutia
@StanzMakau15 күн бұрын
Kaa hampei pesa,, hahaha 😀🤣,,umegogewa na pesa
@wanjiruolive16 күн бұрын
Wakamba uuuwii 😂😂 ni hayo tu😂😂😂
@faithhenry536915 күн бұрын
Wote wanapush na Ian😅😅😅
@mixonlemayian275015 күн бұрын
Cheating no but uyu brathee pia akona shida Ian akona something to answer
@PccerealsShop-s4l16 күн бұрын
Ongea ikutoke. Its is nw or never! New year , new things
@Italsdeking16 күн бұрын
Huyu dame kuna kitu anajua chenye hatujui,kama hao wanaume wanakulanaga hata yeye anaeza wajoin hakuna ubaya.Thats great huyu kikukuyu alisisikia wakamba ni cheap wacha kimrambe.Yeye anataka kuishi at a zero budget 🎉.
@Spurs97-spurs15 күн бұрын
Sasa alicheat bcoz this guy ni ngati weh😂😂😂
@KevinObado15 күн бұрын
Huyu msee anadinyana na Iyan case closed😢
@joanwangai880811 күн бұрын
Woishe Ian.......kugongewa ni constant
@Josephineonyango-cl6ql16 күн бұрын
Huyu aja lack atetion 😂😂😂😂😂 mluhya anaipiga mbaya 😂😂😂😂😂
@okitohelena32914 күн бұрын
Kweliiii😅😅😅
@tmboya16 күн бұрын
Uzuri amekubali huwa anaoga!🤣
@DanielMulamba-ih2sc14 күн бұрын
Stgy gan yy ni mzazi wake ilikuoa umpea garama ya kwnu😢😢😢 nakuadvnce bro wachna na mabester.wny wnaomba omba pesa ovyo ovyo
@PhilomenaMwangi-k3t16 күн бұрын
This guy is not serious unapea mwanaume mwenzako pesa na bibi yako huwezi ama mna kukula ma ianoo😂
@bustrumondu653716 күн бұрын
Loan. The man will repay
@kevinallan391816 күн бұрын
@@bustrumondu6537 huyu jamaa haezi elewa. Ukipea dem io imeenda ivo
@aselyne563115 күн бұрын
Anaskiza kina kibe what do you expect 😅
@melindamindy151315 күн бұрын
Uyu pia anakula Ian walai 😂😂
@gladysnice28288 күн бұрын
This lady is right i tell you guys i'have seen my self My husband doing it
@beckymaria212513 күн бұрын
Huyu mwanaume aende aoe Ian mbona usimpe ur wife pocket money hata mtu wa kwao akija kutembea akuitishe fare sumuwekee business then cheat kabisa bby gal
@GerraldRajab16 күн бұрын
Ni mimi sijasikia ama ni nini "eti msichana mzuri",😂😂😂😂😂😂😂Sheeeeeeeeeeeenzi sana,malaya wewe.
@SWEETGALKHAN_00116 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉Mimi am biggest manchester united fan ,na hata nkipata huyo bwana ,lazima tuende na yeye kuona game ,coz i know football than him even 🫴🏽🫴🏽🫴🏽💞
@Abigael0379 күн бұрын
😂😂😂
@wilfrednanjero233614 күн бұрын
Tabia ni kama ngozi , hata apewe pesa ngapi bado ata cheat na excuse hazikosangi
@Abigael0379 күн бұрын
Hajawai pewa😂😂😂
@nancyn577812 күн бұрын
That's what happens mkizoea kuprovidiwa Kila kitu. These girls don't want to work they just want to rely on men. Kitawaraba
@JoelOtieno-t5e15 күн бұрын
Andrew knows something about the wife that the rest of us dont know, everyone has a way of dealing with personal issues
@FridahHeta16 күн бұрын
I fill for this gal atakama ana cheat ..gal find job earn your own money lea mtoi wako uyu mwanaume achana naye na pia achana na beste yake
@moureenkinyeki788016 күн бұрын
Kwani he's a kalenjin ....a woman needs her money...mama tafuta tu kazi,huyu atakufana utembe na matambara
@BowensVince16 күн бұрын
Bro save your money for your future achana na mtu wa kuitisha Doo everytime
@clementmunene440716 күн бұрын
Single slay queens ndio wanatetea huyu future single mom
@RahmaAbubakar-cb3jx15 күн бұрын
Ian please siwez ishi bila wewe😂
@SonduRiver15 күн бұрын
Kudos to my in-laws from luhya land
@profesaishmaelrono720213 күн бұрын
Ni kama Ian anadinya huyu Ndume 😂😂
@DanielMulamba-ih2sc14 күн бұрын
😂😂thus wy swz tma ovyo ovyo juu wmama ni malaya
@Tumbolisilosiba2027.zakayo16 күн бұрын
Tena uyu mkamba atakua anasema aty Ako single 😊
@josephndungu305316 күн бұрын
Mna jiuliza venye najiuliza wasee🤔kwanini ian aobe huyu msee pesa na anapewa but dame akiomba pesa hapewi😮hamuoni hapo nikama kuna ushoga inaedelea😢
@MoorhBoont16 күн бұрын
😂😂😂
@Lizz-b9s13 күн бұрын
Zii n beshte 😅
@juliewambui261812 күн бұрын
Because some friends are more loyal than wives.
@mariamuigai728816 күн бұрын
Wacha niwashw huwezi nyima babe wko pesa unatumia chali mwingine
@DanielMburu-gs6pl15 күн бұрын
Uyu alifaa tu kugongewa..
@arodiboyi14 күн бұрын
This idea of housewives tusahau, let's engage our partners to avoid such cases.....
@MugwikaNtaugu14 күн бұрын
Stingy guy,,,kaa kwa line yako ya stigyness,,,fagah wewe😂😂
@clementmunene440716 күн бұрын
Pia mm utumiwa till after nigundue mwanamke Ako na madeni from credit apps zote while nmekua namtumia all the money she asks for..watoto wakule mboga and yet natuma za nyama...Iyo nayo
@LenaQui15 күн бұрын
Huyu anafaa kucheatiwa mara 1 million
@deekiki192414 күн бұрын
That is financial abuse and mental torture towards this lady I'm 💯 on her side
@antonymuigai585915 күн бұрын
Now ameachiwa broke ian for 5 rounds...😅😅😅
@evanskaluma813511 күн бұрын
Pia Mimi nawezaaa pea boy kupeaaa dem doh n risk siku hizi
@Abigael0379 күн бұрын
Ukishapea boi na anaenda Kula dem wako anampea io pesa umempea😂😂😂
@nelsonbarasa639211 күн бұрын
We must know who is this eyan guy....
@bustrumondu653716 күн бұрын
It takes alot of wisdom for a woman not to cheat coz temptation kwao ni constant. And the problem is they think ule mtu hu a anaspend 10k once a while has money anaanza kudharau wake mwenye hajawai mpea 5k cash but in reality mwenye wakonaye is spending way more than that per month.
@GladyKalekye10 күн бұрын
Apo kwa conversation for fun 🙆 wenye wameolewa wako na tamaa ya dhambi sana
@lawrencewanderi350016 күн бұрын
If it is me,siwezi nyima bibi pesa....I mean,kuna difference ya wife na girlfriend....Alafu if umekaa poa,wekea yeye biz or something to generate an income.This shall empower her apate kakitu pia...When in need,she shall be able to cater for a few bills,pia wewe unarahisishiwa mzigo.....Just empower your woman,utaenda mbali,na ata kama utagongewa,hatagongwa sana anyway.............
@Jedidahmwende-os7mj15 күн бұрын
I support you 😂😂
@winniemogoi423814 күн бұрын
You wise!❤
@davidwahome612713 күн бұрын
Ume sema ukweli Brother lakini hapo kwa kugongewa tena Una haribu my Brother
@lawrencewanderi350013 күн бұрын
@@davidwahome6127 kugongewa bro happens ata bila kujua..alafu siku hizi loyal women have become rare...ukipata mtu loyal,just keep her bana....huku nje soko ni chafu sana....
Its true you don't know your partner until you meet stevo😅
@imbusiezekiel548416 күн бұрын
😅😅😅
@Teddybett9 күн бұрын
The lady is wow. I side with her.
@gsonben572215 күн бұрын
Mnapeanga wanaume wenzenu pesa aje sasa...unanyima dem mrembo hivi pesa aje unapea mwanaume..nipee huyo dem nimtreat kinigeria wee eda ukafunguane maboot nahuko
@lifeoflimitlessvibez12 күн бұрын
No accountability...., victim marathon and gaslighting 😮😮😮
@susanaseyonyundo968916 күн бұрын
Mimi nashangaa nowadays mwanamke unapata boy anakufanyia everything but unam cheat 😢😢what do normal us women's need
@pamelamudogo555116 күн бұрын
Things have changed 😅😅
@MetrineNyongesa-f6s16 күн бұрын
Mambo yalibadilika coz wanaume na wao eeeeh
@ibrahimsalim683516 күн бұрын
Watu wamehama kufuata vitabu Soo this is the repacation yake
@gregkipkirui233116 күн бұрын
Women will be women
@TonyObiero16 күн бұрын
Ian that's the betrayal of the highest order to a childhood baddy but remember what goes round comes round. Dunia ni dwara bro.
@jimwafula473316 күн бұрын
"BUT....!" any reason (s) given after a criminal offense like this is called in EXCUSE!
@zacharymakini328515 күн бұрын
I feel for this Lady
@MugwikaNtaugu14 күн бұрын
Jamaa ni wa simu 2, case closed
@AbdiwahidOtieno16 күн бұрын
Wacha nikae saudia juu mm mapenzi siwezi gulf Tano tena😅
@EstherMwema-yv3uz16 күн бұрын
Pia mimi hapa,tano tena😀
@ElimSolutions-s9d4 күн бұрын
huyo dem ni mali bana💦
@sundayndabaga983712 күн бұрын
Katika kitu ambacho sielewag ni wanawake yaan anasema anakupenda alaf analala na mwanaume mwingine ,, kwa hiyo they think through Emotional akifanya akimaliza hata hawez the consequences
@Lilianmuriithi-nx3pv13 күн бұрын
Bibi ni Ian alafu mama mtoto ni cover up😂😂😂😂😂
@Jotham385 күн бұрын
Huyu si bibi bro woi😢😢😢
@SylvesterMush12 күн бұрын
Bro to bro .... Huyu msee hudhani anasaidia beshte yake, But yeye stingy kwa madem