I have really suffered😭😭Even after her dad chased me away when I was broke😭😭

  Рет қаралды 100,630

COMRADES FLAVOUR

COMRADES FLAVOUR

Күн бұрын

Пікірлер: 752
@wueehke
@wueehke 5 ай бұрын
This man's sense of humour is top notch
@sharlynenyaboke9005
@sharlynenyaboke9005 5 ай бұрын
Waschana mmeskia? Msitoboe mapua na maisha hamjatoboa!💯
@attentivegal5258
@attentivegal5258 5 ай бұрын
@@sharlynenyaboke9005 it's true BTW
@SharonAuma-v2x
@SharonAuma-v2x 5 ай бұрын
N kwanza nimetoboa mbili😂😂
@sandraawour
@sandraawour 5 ай бұрын
ewoooo 😂
@VeraRK
@VeraRK 5 ай бұрын
I​@@SharonAuma-v2xiii
@shadrackamani7675
@shadrackamani7675 5 ай бұрын
@ Sharlyne good afternoon..😂. You mouth oozes so much truth you have no idea..! 😂😂. Kutoboa is keyword here.
@robijorum4113
@robijorum4113 5 ай бұрын
Kijanaa geuka unaona hiyo mlango umeingilia , tokee tu papo hapo, weuh 😂😂😂😂😂
@rahabmugo
@rahabmugo 5 ай бұрын
Skua nataka kucheka 😂😂😂😂😂😂
@DorcasBosuben
@DorcasBosuben 5 ай бұрын
Alisema alikua anafikiria anataka kuniona venye ako 😂😂😂kumbe ni mlango anaonyeshwa
@omogo2030
@omogo2030 5 ай бұрын
Nione mabega whaat 🤣
@MutoroTerry98
@MutoroTerry98 5 ай бұрын
Hakuona redflag akapangwa na aviator 🤣🤣
@marthaotieno2054
@marthaotieno2054 5 ай бұрын
Some in-laws though 😥😥, they should know that there's no permanent situation,the table has been turned now to there daughters,this life pple should be patience in waiting 🙏
@JohnstoneKilonzi
@JohnstoneKilonzi 5 ай бұрын
najua hamjasikia aviator iko na pressure wap likes za wale wanajua 🤣🤣
@faithmuirurishow7990
@faithmuirurishow7990 5 ай бұрын
Hio NDIo ngani 🤣🤣
@ElizabethMaina-l2x
@ElizabethMaina-l2x 5 ай бұрын
What's aviator?!!+
@lystrajoel8609
@lystrajoel8609 5 ай бұрын
Watu wa aviator tukutane saa sita
@siminteijopason
@siminteijopason 5 ай бұрын
Flew away waiting for the next round 😂😂
@frashiahwangari2177
@frashiahwangari2177 5 ай бұрын
​@@ElizabethMaina-l2xAviator is your worst nightmare! It's a cheap gambling app that has made pple commit suicide.
@kenledsy
@kenledsy 5 ай бұрын
I like such a man who can make a decisions at dance congratulations young man😍😍
@daphineochanda2137
@daphineochanda2137 5 ай бұрын
Good man. That lady and her father should be taught a lesson. Unfortunately its difficult to find good partners
@gkdon98
@gkdon98 5 ай бұрын
Tulia naongea na huyu😂😂😂😂😂
@cordeliaray8700
@cordeliaray8700 5 ай бұрын
😂😂😂nmetulia
@SusanAwino-o5b
@SusanAwino-o5b 5 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@pmm2014-SSS
@pmm2014-SSS Ай бұрын
Mambo yako tunamaliza…
@row3999
@row3999 5 ай бұрын
Am rolling 🤣🤣🤣🤣 hapo kwa " Msitoboe mapua na maisha hamjatoboa"
@lydiakhalai7801
@lydiakhalai7801 5 ай бұрын
Wekylicf Ambesta Oparanya....again 😮😮
@Ozon-u4t
@Ozon-u4t 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@collinsorina130
@collinsorina130 17 күн бұрын
Wacha ufala babygal
@mungaikimani3328
@mungaikimani3328 5 ай бұрын
Boy, you've seen it all, may God give you a new beginning 😊
@edinahimali
@edinahimali 5 ай бұрын
😊😊😊
@perisotieno3782
@perisotieno3782 5 ай бұрын
This guy is so hilarious. I was laughing throughout this episode 😅😂😅.
@AlbertDalizu.DalizuAlbert
@AlbertDalizu.DalizuAlbert Ай бұрын
😂😂😂,hua napenda vile msee hupea stevo simu then the guy takes pause and says,"bro wacha nikuambie";
@Vickfamily1
@Vickfamily1 5 ай бұрын
Kupata true love nowadays is a very big challange,especialy kwa sisi vijana wa sikuizi😢😢😢😢.ni nani tutapenda...si wanaume si wanawake!!
@IREENKAIRUTHI
@IREENKAIRUTHI 5 ай бұрын
Tafuteni pesa mtapata hata wanne😂😂😂
@amonkiplimokosgei7277
@amonkiplimokosgei7277 5 ай бұрын
Hawa wanne wote ni wabaya kabisa 😂😂😂
@slywaithaka9168
@slywaithaka9168 Күн бұрын
And the funny thing ukipata true love things change..
@dennismyles8256
@dennismyles8256 5 ай бұрын
Msitoboe mapua na Maisha hamjatoboa😅😅😅.. Punchline
@jo111k-yr6dt
@jo111k-yr6dt 5 ай бұрын
😂😂😂😂kweli
@kipkorirmark700
@kipkorirmark700 5 ай бұрын
😂😂
@everlynewanyama3804
@everlynewanyama3804 5 ай бұрын
That closing clause got me rolling on the floor 😂😂😂😂and the way the guy is using capital 'L' in his statements😂😂😂
@mathekarichard1382
@mathekarichard1382 5 ай бұрын
😂😂😂😂 shikamooo
@MutoroTerry98
@MutoroTerry98 5 ай бұрын
Komasava🤣🤣
@Nelcn1
@Nelcn1 5 ай бұрын
This guy can be a comedian. Ati huyu wa pili jiekeee 🤣🤣🤣
@ShadrackKamoiro
@ShadrackKamoiro 5 ай бұрын
This man is so so intelligent
@bernardwafula4870
@bernardwafula4870 5 ай бұрын
Thank you, my observation too.
@janenafula9832
@janenafula9832 5 ай бұрын
Wanaume hua mnatoa wapi nguvu za kutembea na dem amevaa nusu uchi???
@charlesmuringu1235
@charlesmuringu1235 5 ай бұрын
Kuchanganyishwa !
@NancyNjoroge-gx8gm
@NancyNjoroge-gx8gm 5 ай бұрын
Am ready hata rafiki ana dress hivi apana
@jetitahkarimi
@jetitahkarimi 5 ай бұрын
😂😂😂😂 swali pia Mimi
@dannymzazi3175
@dannymzazi3175 5 ай бұрын
@janenafula9832 I wonder 😢😢😢😢
@romanosmwaniki8353
@romanosmwaniki8353 5 ай бұрын
Kukaliwa.
@sepanashale5948
@sepanashale5948 10 күн бұрын
Nampenda huu jamaa namna. Ya ku ongea kwake 😊
@marionmuturi5283
@marionmuturi5283 5 ай бұрын
I just like how the man walked away😂😂😂😂women msitoboe mapua na maisha hamjatoboa😂😂😂
@frashiahwangari2177
@frashiahwangari2177 5 ай бұрын
Hii ni nguo!!?? Wololo😲😲
@lanogwaketenyi410
@lanogwaketenyi410 5 ай бұрын
How can you, as a husband, walk around in public with a lady you call your wife dressed like this. And in your mind you believe that she is faithful and she can't cheat on you? What other red flags do you expect from a lady if not the dress code. Msiba wa kujitakia huu kaka. Hata Mungu usimlilie
@DorcasBosuben
@DorcasBosuben 5 ай бұрын
Na venye mzee amekomaa anafaa respect
@cherotichmercy9277
@cherotichmercy9277 5 ай бұрын
I was also thinking of the same when did men became comfortable with their wife dressing up like this? And you expect other Men to respect her surely.
@marywairimu-v2e
@marywairimu-v2e 5 ай бұрын
Eti ni kupea wife freedom of dressing😂😂
@VictorBaraza-v3c
@VictorBaraza-v3c Ай бұрын
Sasa avae nini
@sisi11122
@sisi11122 Ай бұрын
@@VictorBaraza-v3c😂😂😂😂
@tida3727
@tida3727 5 ай бұрын
Mzee umenena hakuna mwanamke wakusimama na wewe kama huna dooh!
@mluhyahalisi6486
@mluhyahalisi6486 5 ай бұрын
Tafuta Huruma
@ThisandThat-s5w
@ThisandThat-s5w 5 ай бұрын
labda mama mzazi pekeake wallae
@tida3727
@tida3727 5 ай бұрын
@@mluhyahalisi6486 😂😂
@Priscah-x5s
@Priscah-x5s 4 ай бұрын
Atoke wapi
@alfredmoti3542
@alfredmoti3542 22 күн бұрын
Naelezea huyu, naongea na huyu ,huyu hajaoa
@lenitygakii9570
@lenitygakii9570 Ай бұрын
Tulia naongea n huyu 😅😅😅aki nimecheka weh 🏃🏃🚴😅😅😅
@ibba8082
@ibba8082 5 ай бұрын
Hata Huyo Mtoy Si Wako Mwendee DNA
@peninahwemali2021
@peninahwemali2021 5 ай бұрын
My dad may the Lord bless you so much.....even someone doesn't have anything...he welcomes them
@deserteaze3596
@deserteaze3596 5 ай бұрын
😂😂😂naongea na huyyu
@Shirualex-fr7xf
@Shirualex-fr7xf 4 ай бұрын
Yesu atakuja hivi 😂😂😂😂😂got me
@irenewanjiru8857
@irenewanjiru8857 5 ай бұрын
Time and again Steve you are a God sent. Aviator Sasa jipange na Wycliffe 🤣😂🤣😂
@erickirimi2211
@erickirimi2211 2 ай бұрын
this dude is hillarious na amegongewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AnnGreat
@AnnGreat 5 ай бұрын
Hata kama married men siku hizi kwani vichwa zenu ziko upside down? Mbona mnatemebea na mabibi wakiwa uchi alafu mnaanza kusema mnachezwa?
@PatriciaWanjara
@PatriciaWanjara 5 ай бұрын
Tru they encourage infidelity. Dressing code means a lot
@suebey3953
@suebey3953 5 ай бұрын
Am telling you
@nancywangui6186
@nancywangui6186 13 күн бұрын
Nashangaa pio hizi nguo manze🙆🙆
@Gatwiri213
@Gatwiri213 5 ай бұрын
Wa pili amepewa bure tu ajiwekee huyo
@LydiaKadogo-s2m
@LydiaKadogo-s2m 5 ай бұрын
Mluhya wetu Ati msitoboe mapua kama hamjatoboa maisha😂😂😂 pole sana mwanawefwe😂😂
@cordeliaray8700
@cordeliaray8700 5 ай бұрын
😂😂😂
@lenitygakii9570
@lenitygakii9570 Ай бұрын
Acha tu nimuite huyu juu ako n love wake 😅😅😅😅
@everlynegati6000
@everlynegati6000 5 ай бұрын
😂😂😂😂tulia naongea na huyu nimeisha 😂😂😂
@Mis_wangui
@Mis_wangui 14 күн бұрын
Acha niongee na huyu kwa sababu ako na love wake😂😂😂😂,,,eiii lakini ata huyu mzee na vile anakaa mature. Walitoana wapi??
@maggie7makoha414
@maggie7makoha414 4 ай бұрын
Sura kiatu bado unavalia watu tu min kuoneshana mwili 😢😢
@sandramusonye1298
@sandramusonye1298 5 ай бұрын
Mnatoboa mapua na maisha hamjatoboa😅😅😅😂😂😂 hio imenimaliza
@christopherwandera3664
@christopherwandera3664 5 ай бұрын
omwana wa ingo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 this guy has made my day. Syllabus inaenda mbio sana sahii mnaita malaya ati aviator
@christinenyangaresi2822
@christinenyangaresi2822 5 ай бұрын
This man is a vibe, soo mii nataka pesa, I mii na9gea na hyu
@BeatriceMaingi-bu50j
@BeatriceMaingi-bu50j 5 ай бұрын
Naogea n huyu😂😂😂😂
@chullakoi8803
@chullakoi8803 5 ай бұрын
Vitu zingine cc wanaume tunazichangia wenyewe imgne uko na mtu unaita yf streets amevaa hivi surely hatuko Europa bana.
@attentivegal5258
@attentivegal5258 5 ай бұрын
@@chullakoi8803 I also wonder but I think most women do some things to blind the eyes of their hubbies
@adungafredrick5981
@adungafredrick5981 5 ай бұрын
Hata yule wa dera was just doing the same thing if not even worse...Malaya ni Malaya hata aki dress like a Catholic nun
@lilianmacharia1171
@lilianmacharia1171 5 ай бұрын
Hata bwana is to be blamed. Hakuona hio nguo
@DPRKorea.
@DPRKorea. 5 ай бұрын
​@@lilianmacharia1171unadhani unaeza kuwaambia? utaitwa majina mara unacontrol mtu. Boy child haki nayo hananga
@ericgathii1387
@ericgathii1387 5 ай бұрын
U think u can tell her to change? She will call u a narcissist. And since u don't want to end the marriage because of a petty issue, unaacha avae tu
@elminanjeri6941
@elminanjeri6941 4 ай бұрын
Umekua aviator 😂😂😂buda replay n deadly deadly
@hassanmanuvamanuva2049
@hassanmanuvamanuva2049 5 ай бұрын
Kwani umekuwa aviator🤣🤣🤣unipatie pressure na ulcers🤣🤣🤣
@emmanuelkarisa6043
@emmanuelkarisa6043 5 ай бұрын
Mutaka yote hukosa yote 😂😂😂😂😂😂
@dennismutwiri5089
@dennismutwiri5089 5 ай бұрын
Aki....... kutembea na Dem amevaa Uchi aki.....mm usikia body nyinyinyinyi.....😂😂😂
@naomybokid9088
@naomybokid9088 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 ak vle umehapa hiyo ngori😂😂😂😊
@Christinah301
@Christinah301 5 ай бұрын
Mapenzi shikamoooo😅😅😅😅😅😅 justice for this guy😢
@SharonAuma-v2x
@SharonAuma-v2x 5 ай бұрын
Imgne Jana last week nimechezwo aki mapenzi wewe
@hellenmuthoni2744
@hellenmuthoni2744 5 ай бұрын
Naonge na huyu unasumbua funga mdomo
@Christinah301
@Christinah301 5 ай бұрын
@@SharonAuma-v2x so sorry 😐
@kimlee001
@kimlee001 5 ай бұрын
This man I blame him. Once you are rejected, toka mbio because the curse that will befall you if you force issues, utashangaa maisha yako yote. Songa kusonga broo. Alafu Steve, kindly tuletee Wyclif atupee his side of the story. Lazima huyu mtoi ni wa Wyclif.
@emilyngesa5646
@emilyngesa5646 14 күн бұрын
Yesu hatakuja hivi😅😅😅
@babuuosama8752
@babuuosama8752 5 ай бұрын
Yuko na mtu na baado yuko soko mamanziii mnataka hajeee .. .. .😮 ?
@ZippyGithukuorg
@ZippyGithukuorg 4 ай бұрын
Sasa mapua imefanya nini😅😅😅😅anyway ni ukweli 😅😅😅
@edithwanjiku2971
@edithwanjiku2971 5 ай бұрын
Hi imeweza tulia naongea na huyu😂😂😂😂😂😂
@omogo2030
@omogo2030 5 ай бұрын
mi sijui ni Wicklife mgani bora ni Wicklife this guys is a right up man kudos😂
@samsonmarube7203
@samsonmarube7203 5 ай бұрын
😂😂😂
@chizamusenge12
@chizamusenge12 4 ай бұрын
Musitobowe mappuwa na life hamuja toboa.nahutu tumavazi jamani hawa nimalaya
@Kemboi-z1v
@Kemboi-z1v Ай бұрын
Ati msichana kama hauna pesa anasimama na mguu moja kwako😂😂
@Mis_wangui
@Mis_wangui 14 күн бұрын
😂😂😂😂
@leeroyshinsky7285
@leeroyshinsky7285 5 ай бұрын
Yani ulishafukuzwa woooooooiiiiiiiiiii......!!!😅😅😅 Ukajirudisha mjinga sanaaaa
@douglasmwangi1612
@douglasmwangi1612 5 ай бұрын
Umekua Aviator 🚀
@miriamphronesis5957
@miriamphronesis5957 5 ай бұрын
😂
@mosesalando4082
@mosesalando4082 5 ай бұрын
heatbreak, pressure, ulcers
@dianahkebongo9345
@dianahkebongo9345 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@samnjoroge8871
@samnjoroge8871 5 ай бұрын
Aviator was just chilling
@princessariana6612
@princessariana6612 5 ай бұрын
Woiye so sad😢😢after aliambiwa hivo na baba msichana angeachana na huyu dem😢
@CONSOLATANECHESA
@CONSOLATANECHESA 5 ай бұрын
Mungu mm nko apa sipati bwana na wenye wako na bwana wanaharibu aki 😂😂😂😂 mwanamke mjinga xn nkt
@morongwatsela8883
@morongwatsela8883 4 ай бұрын
GOOD STEP MY BROTHER, WALK AWAY 🙋
@perisjepkorir5275
@perisjepkorir5275 5 ай бұрын
Yesu anakuja kana Stivo akusaidie Shetani anakuja kama Wycliffe akuibe 😅
@Mr_Snell-fm7dx
@Mr_Snell-fm7dx 5 ай бұрын
Aende tu kwa Wycliffe ju amepewa minister saai😂😂
@SonduRiver
@SonduRiver 5 ай бұрын
Ukipata dem ametoboa mapua, ujue huko chini ni mtaro
@Robinson24560
@Robinson24560 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yesu atakuja kama Mr comred haitajulikana siku yake bro you are wise
@otienodan7426
@otienodan7426 5 ай бұрын
Umekua aviator,, had me rolling😂😂
@lordmaina2432
@lordmaina2432 5 ай бұрын
Huyu anakaa mluhya tuh 😂😂
@esthermaiyo2833
@esthermaiyo2833 5 ай бұрын
Aviator ilipotajwa stevo aka act mature venye haezi cheka😂😂😂😂😂stevo tokana hadi uanguke😂😂😂
@corneliuschemapas1661
@corneliuschemapas1661 5 ай бұрын
Yesu atakuja ki stevo😂😂😂
@EverlyneAtuya
@EverlyneAtuya 5 ай бұрын
Umegonga ndipo
@recoverieskwco1447
@recoverieskwco1447 5 ай бұрын
Nakushukuru sana, upate msichana mzuri uoe, usipatane na watu kama hawa, "Aviator". And tht is how you have lost it baby gal
@WinnieOmolo-g7p
@WinnieOmolo-g7p 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂tulia naongea na uyu
@mwaurakamau8548
@mwaurakamau8548 5 ай бұрын
Bro jipe shughuli. Hiyo mimba iko na uwezekano sana si yako na pia huyo mwingine pia. Fanyeni DNA.........Usitupe watoto kama ni wako!
@protichnarokwest6405
@protichnarokwest6405 5 ай бұрын
😂😢true no need ofDNA .its obvious si yake
@khisacate4471
@khisacate4471 5 ай бұрын
Na madam si utulie jamani😂😂😂
@josephkwida6824
@josephkwida6824 5 ай бұрын
Mi nataka bwanangu🎉🎉🎉🎉 hebu enda wewe ndio umeleta hii yote.
@LindaMasombei
@LindaMasombei 5 ай бұрын
😂😂😂Haki mapua wewe ! Ooh my ribs😂😂😂😂😂
@vall466
@vall466 3 ай бұрын
Msitoboe mapua na maisha mja toboa😅😅😅
@klauskipz
@klauskipz 5 ай бұрын
Wacha nimwite huyu juu ako na love wake😂😂😂😂😂😢
@felixmwanzia9081
@felixmwanzia9081 5 ай бұрын
Kwaaa hakina huyu😂😂😂😂,sasa demu amekuwa,kwa hakina huyu😅😅😅,demu jipange na Wickliffe
@damariskimeu4930
@damariskimeu4930 5 ай бұрын
Wanakujulia hadi mimi😂😂😂😂😂😂
@omogo2030
@omogo2030 5 ай бұрын
tulia naongea na huyu🤣😂
@Mrsmart002
@Mrsmart002 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂tulia naongea na huyu
@GeogeAdina
@GeogeAdina 5 ай бұрын
Ati, Aviat😂😂😂 hapo ndyo amenimaliza😂😂😂
@LucyShiro-ij9gp
@LucyShiro-ij9gp 5 ай бұрын
Uyu ako na mimba na bado anahanya aje sasa 🤔
@PoliteManKinoti
@PoliteManKinoti 5 ай бұрын
Yenyewe this Man's Intuition Is Right.... Iyo ball niya Wycliffe. Jamaa ange Ekelewa one touch😭💔
@ThisandThat-s5w
@ThisandThat-s5w 5 ай бұрын
si trouble.ni troublesome😂😂😂🤣
@Star-qf7ls
@Star-qf7ls 5 ай бұрын
Yaaani hiyo ni nguo ya Mrs 😂😂😂😂😂
@ChristanahChristanah-oo8jn
@ChristanahChristanah-oo8jn 5 ай бұрын
Mwanaume inatembea na mke akiwa uchi unasema ni mke wako😅😅😅😅😅😮
@mutisyatimothy8199
@mutisyatimothy8199 5 ай бұрын
This man is aserious man like me 😂😂😂😂 good strong man
@denismkarani7684
@denismkarani7684 5 ай бұрын
Nionyeshe mambega...wueh in-laws jameni
@winniemuriithi-cn1fw
@winniemuriithi-cn1fw 5 ай бұрын
This guy is hilarious 😂ati x amekuwa mungu umrudierudie😅
@stephenngala1048
@stephenngala1048 5 ай бұрын
pesa huezi kataliwa buana 😅😅😅
@Emmah-gs9pb
@Emmah-gs9pb 5 ай бұрын
Huyo mwanaume anitafte mimi nitavumilia😂
@georgebwanya2382
@georgebwanya2382 4 ай бұрын
Ukiona dem na tattoos na ametoboa kila mahali murefee ruuun
@ReginaNderi
@ReginaNderi 5 ай бұрын
Msitoboe mapua na bado hamja toboa maisha😂😂😂😂😂😂😂😂 I like this guy.
@faithkoech6457
@faithkoech6457 5 ай бұрын
Uongo pia inataka akili mwanamke
@ElijahMwandia
@ElijahMwandia 5 ай бұрын
Nani amesema morning... hahaaha. This man ...
@festusmeli8298
@festusmeli8298 5 ай бұрын
Kidogo 😂. Hehehehe😂😂 was chilling
@johnmugo3959
@johnmugo3959 5 ай бұрын
Nakubaliana nahuyu jama 💯
@Caylebkayleb
@Caylebkayleb 5 ай бұрын
Umekuwa aviator😅😅😅😅
@manumanu-2024
@manumanu-2024 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣eeeeyh huyu mjamaa ni comedian,kwanza akirupronounce hiyo jina 'scan'😝 na the term 'AVIATOR'🤣🤣🤣🤣🤣..
번쩍번쩍 거리는 입
0:32
승비니 Seungbini
Рет қаралды 182 МЛН
Very painful after 5 years marriage ended in seconds 😭
50:17
COMRADES FLAVOUR
Рет қаралды 351 М.
PRANK 💔TURNED TO REALITY AND LAUGHTERS 😅😅 #MEDICSTALK
7:00
Dee Tha Analyst
Рет қаралды 4 М.
DID YOU KNOW MAMA FUA IS SERVICING YOUR BACHELOR BOYFRIEND?
18:10
Classic105Kenya
Рет қаралды 65 М.
00306
17:39
Flavour 001
Рет қаралды 73 М.