@conboi msanii ambae ako naakili mingi kulikooooooooooooo brooo i do luv you ❤
@kaelaabivo9337 Жыл бұрын
Nishawekeza kwenye udongo nishawekeza kwenye mitii i feel this😊
@hidoxtz3559 Жыл бұрын
Bro nilisoma nae shule moja ingawa aliniacha madarasa "jabahila" alikua midfilder mzuri sanaaaaaa all in all we love u bro❤ Bino for life✊️
@mrsinia3064 Жыл бұрын
ni kweri bro?🙄
@gohome2k194 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂@@mrsinia3064
@ayoubomary9336 Жыл бұрын
Shule gani ulisoma nae mim mdogo wng wa mtaa na rafiki wa kaka yake ivyo vyote kameza kutoka kwa kaka yake sticky yiki sio Mpira sio basketball sio Mziki ni noma yiki yiki ndevu za shingo
@allyomar3498 Жыл бұрын
Bc kma alisoma Jabal Hira tujuane hapa wa JB
@SantaFlavoulOFFICIAL Жыл бұрын
Conboi ayeee naqual sanaaa bro
@OstinMajangala Жыл бұрын
Appreciate bino
@caxhbizz Жыл бұрын
I feel ue bro conboi cannabino god bless ue bro to inspire me na kuachana na upuuzi
@EdwardAnthony-c7u Жыл бұрын
East Africa Tv and Radio ni Broadcast kubwa sana iweje wageni wa Cob boy wamesimama? Nashauri at least mngeweka Sofa la wageni hapo nyuma ingekaa Poa sana. Pia vile vile Mick mngeongeza Moja kwa ajili ya mgeni
@AbassTuga Жыл бұрын
Con boi anayo akili nyingi sana
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Conboi Cannabino ulinipa inspiration ya kuto kugive up easy
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Nilo Music (Hussein Hassan) hongera Jamaa yangu kupata Platform hapo East Africa Radio
@negredorapha7591 Жыл бұрын
Ma.Nigga CONBOI.. Tunaooo👌🏼👌🏼👌🏼 Always the Meditation..... Tunaooo 🎁🎁🎁 Sema Wahuni wameisha fanya mambo mengi mpk kupelekea... Marathi.... Hpo kweny. H. I. V ili Wanetu.. Walio LOST tuwe. Nao Gang... Thug 4 Life. Sio kwa ubaya.
@johnphilipo6760 Жыл бұрын
Jamaa Ana point sana ✊️
@DanielNgerecha-n4x11 ай бұрын
Conboi cannabino big up sana broo
@reymekay1 Жыл бұрын
Back in the day, used to dream ..... gud to see FRED MULLAH AND CONBOI MADE IT! almost there homies🙌🏾🤲🏾🙏🥳
@abrahamfelix95 Жыл бұрын
kuna mjuba yupo nyuma apo ana vidredi dah sijui kala dry yupo higher kinoma
@WEARETH3FUTURE Жыл бұрын
😂😂😂
@eddiemohamed9003 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SantaFlavoulOFFICIAL Жыл бұрын
Canabizi ayeee 🔥🔥🍂
@raymondfrancis792110 ай бұрын
Nashangaa Bongo matajiri wanaogopa ku invest kwenye mziki.
@negredorapha7591 Жыл бұрын
Ukikaàa kwa mbaliiii Bi.Mdada anamkubaliiiii Conbino ...Tunaoo.👌👌 Thugs Life Forbever.
@bensonycharles7956 Жыл бұрын
🏆🏆🏆🏆💯
@chazmwasele8238 Жыл бұрын
Darasa zuri leo conboi
@BienfaitBienfano Жыл бұрын
Flowers 🎉 from drcongo
@saimooyahya Жыл бұрын
Nakubal con boi
@Wacombto Жыл бұрын
I appreciate
@TysonMhechela Жыл бұрын
Nakubali sana
@EfendiZewanga Жыл бұрын
I feel this
@CrashMpaka Жыл бұрын
Namkubali sana huyu jamaa
@SingeliTanzania Жыл бұрын
Presenters changamoto sana kwenye kuuliza open ended question. Wanauliza majibu instead ya maswali
@lesasid6494 Жыл бұрын
Tutajifunza ufurahi mkubwa ✊🏽
@SingeliTanzania Жыл бұрын
Wewe uko fit sana, wale wengine sasa@@lesasid6494
@frankkajoba8372 Жыл бұрын
Waandishi wa michongo hao. Wanavamia fani, hasa kufanya interviews wanaulizaga maswali ya kiwaki.
@emmakisula3601 Жыл бұрын
Ma presenta wa siku hizi hamna kitu, mpaka wanaelekezwa kenye namna ya kuuendesha vipindi hawana maadalizi mazuri, hata interview ni conboi hastag za kiwaki ambazo hata hazimuhusu, maandalizi ya interview ni muhimu usifree style maswali
@acrorapper8449 Жыл бұрын
Bino is the dopest in Tz
@ZaituniIddy-o2c Жыл бұрын
Coniboi
@barakadaprince3742 Жыл бұрын
Cannabino🔥🔥
@abrazo2639 Жыл бұрын
Cannabinooo
@qailahoguguhoward5064 Жыл бұрын
please am a kenyan fun whats the name OF BACKGROUND beats unatumia hapo mwanzo tafadhali,,,,msalimu conbi
@richvetty3243 Жыл бұрын
Iyo ni nyimbo ya moni ft chidbenz inaitwa kovu
@bainolatino3412 Жыл бұрын
@@richvetty3243mwongo wewe fala usidanganye watu hiyo track inaitwa birthday alifanya yeye na Ibrahim nation kaa ujue hiyo
@bainolatino3412 Жыл бұрын
Asikudanganye my friend toka 255 hiyo jamaa hiyo ngoma inaitwa birthday alifanya con boi na alifanya na ibrah nation
@cuulkidd Жыл бұрын
Ngoma ni ya moni hiyo ninayo apa
@Meshackcarlos-t3q Жыл бұрын
Bino
@kiatu Жыл бұрын
Kuna mwandishi hapo anatafsiri art literally-sio kwamba kila artwork ni mambo msanii anapitia-tunaposema artist ni kioo cha jamii mojawapo ya maana yake ni wanajaribu kurepresent kile ambacho members wa jamii wanaweza kupitia, sio lazima msanii mwenyewe. Kwa kifupi naweza sema ni waigizaji wa namna fulani hivi.
@bainolatino3412 Жыл бұрын
Comment zako zinakuaga Noma Sana broh I know what you say
@kiatu Жыл бұрын
@@bainolatino3412 be blessed bruh
@dalla8186 Жыл бұрын
Mtangazaji wa kiume ana muuliza sana maswali sahihi ili asiwe muongo..dada yuko ki mahaba sana
@AraphatAbdallah-th3tp Жыл бұрын
Canbino for life
@ChachaMalwa-x1o Жыл бұрын
Ya kale ni ya dhahabu but for now naiyona in ya conboi
@JohnCharles-j9l Жыл бұрын
🚀
@dalla8186 Жыл бұрын
Sija elewa kwanini kaogopa beat afanye free style, nahis kaogopa hata fiti, na sija wahi sikia artist aki sema hataki chana kwa beat tofauti kuna jambo haliko sawa hapa, hata hela kupotea😅😅
@starboss8131 Жыл бұрын
Freestyle pia unatoa free ni pesa izo.umwai muona fid au unju waking Freestyle out of nyimbo zao ? We have to pay for every bars
@benedictboniface6140 Жыл бұрын
🎉
@mrsinia3064 Жыл бұрын
Conboi kama nakuerew hivi....
@Latinozahoro Жыл бұрын
Canabino
@luganoluvanda336 Жыл бұрын
Planet imekuja kuwa kipindi kibaya sana toka dulla aondoke. Mnashindwa kuandaa maswali mazuri mnakurupuka tu mpaka conboi anawaelekeza kuwa kaja kufanya nini🚮