Confessions of a reformed thug-Mami e muruaru ndathire thibitari rimwe tu na ngitiga ndaiya thimu

  Рет қаралды 6,353

Muhia Wa Maingi Media

Muhia Wa Maingi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 5 ай бұрын
Ni vizuri ikiwezekana, mtoto/wapelekwe University kujionea. Mi nilipata nafasi hiyo nilipoenda Nairobi. Huko, dadangu, akanipeleka kuona University, kule anasomea. I was impressed na kuvutiwa sana na maisha ya hapo University. Na nikaamua kuweka bidii zaidi, ndio hata mimi niitwe huko. Naamini jambo hilo lilinisaidia sana, kufaulu na kujiunga na hicho chuo kikuu, 2 years later.
@waridim9249
@waridim9249 5 ай бұрын
Haaiya! Nîguo addictions citindîkaga mûndû ma!! Interview njega mûno, mûno Mûhîa! Mwanake mûgî na mwega nî Mwathani waregire nake! Go Kamau, go!👏🏾👏🏾👏🏾
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 5 ай бұрын
Na watu wengine wana gene hii ya addiction. Akinywa kidogo hapa na pale, boom! full fledge addiction inamshika. But mwengine, atafanya hivyo hivyo, but, hiyo addiction haimshiki. Cz hana gene ya kumsuku -ma ati lazma anywe ndio ajisikie vizuri. Kwake alchohol, hasikii km ni oxygen that, he must inhale/drink, ndio a function. Kivyangu, ni vizuri kuiwacha for good for anyone. Cz, mtu anaekunywa, aweza influence wengine wamuige. At the same time, let's take personal responsi -bility. Na, pombe yauwa.
@philopettway8438
@philopettway8438 5 ай бұрын
Keep up Mr Kamau helping young people God will take u far and u young man Muhia wa Maingi good job for bringing good shows which help young and old alike God Bless and u and take u far Amen
@janemugo9686
@janemugo9686 5 ай бұрын
Ngai witù ehamwe Nawe baba witù✌️
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 5 ай бұрын
Atheist, inapronounciw -a letter ya mbele as; E. Ile ya kiswahili. Sio A, ile ya kiswahili. Google usikie pronoun ciation ya hilo neno vizuri/correctly. Kizungu si our mother tongue, but tujaribu kutamka itakikanavyo. Watoto utuiga, so, tutamke correctly na kuji correct pale tunajua.
@florencekiingati8198
@florencekiingati8198 5 ай бұрын
A very inspiring story
@markthepowerhouse
@markthepowerhouse 5 ай бұрын
Thankyou for interviewing me
@lynn-sj6ek
@lynn-sj6ek 5 ай бұрын
Thanks alot ,I was once there because of gambling.I accepted came to gulf as a woman and now I have recovered.People that I borrowed and thought am a bad person I wish they knew what I went through.Your story is my story only that I did not steal.God thanks for delivering people Continue to address this gambling shit which is killing young pple
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 5 ай бұрын
Are you the guest in this program? Tena, nakutakia all the best. Amen.
@eunicewairimu518
@eunicewairimu518 4 ай бұрын
Wao! All the best in your endeavors,God has alot in store for you.
@YvonneNjeri-cb7yw
@YvonneNjeri-cb7yw 5 ай бұрын
Former gitoi is vey handsome.
@carolinenyambura4648
@carolinenyambura4648 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 He's good in story telling and very funny
@PeterShonkangiri
@PeterShonkangiri 5 ай бұрын
Interesting story to learn from
@prettyn1039
@prettyn1039 5 ай бұрын
Mnafanana😊
@CarolineMunene-d8r
@CarolineMunene-d8r 5 ай бұрын
Naniguo wii Mali safi
@davidgitau9417
@davidgitau9417 5 ай бұрын
Iyo beats haileti shangwe
@judywairimu8989
@judywairimu8989 5 ай бұрын
my brother alikuwa kwa hiyo rehab alitoka akiwa mzuri but alirudi vile tu please advice
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 5 ай бұрын
Ukitoka rehab, au uache kunywa/uraibu, kisha uka guse tena, ile "Antenna" ya kushika na kuregelea huo ulevi, inashika tena Pap! So, kaa mbali na huo uraibu. So, avoid such people, avoid such places, avoid such situations. Usicheze na kifo.
@VeronicaDunbar
@VeronicaDunbar 5 ай бұрын
Again, once an addict, always an addict, for life. So, watu wengine huunda vikundi vyao, na kukutana kila siku. Hiki kikundi/vikundi, hufatia kitu yaitwa, 12 Step program. Na member akipita one (1) step, anapewa medal of accomplishment; upto the 12th medal. Kisha anaanza hiyo cycle tena. Na ukiteleza unywe pombe, let's say at step 3 or 4, unaanza tena step one. Reason ingine ya kuwa life member ni, ndio na wewe uwe hapo, kupokea & guide/mentor a new member. Just be careful anywhere. Hata kwa hizo groups. Mtu na awe careful anywhere. Kwani, hata Kanisani, hua kuna M'bwa mwitu huko, huenda nyemelea 'Kondoo'/members' wa Mungu. Hata barabara designated for pedestrian au Zebra Cross, gari na 'wazimu wake laeza kuja as if frm nowhere na kukugonga. Just be aware of your surroundings. Mengine ni kuomba na kumuachia Mungu.
Kwisha!- Uthamaki uyu nikuharagana uraharagana kugie ungi- Apt Ndura Waruinge
1:03:49
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 19 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 126 МЛН
Mwarabu anjirire ngerie kwaria nyone hingurite room ngakora itanda ta 50
41:34
Muhia Wa Maingi Media
Рет қаралды 9 М.
Muthuri wakwa ahuraga, akandarurira nguo na agakoma nanie mbere ya mwana wakwa | Patricia
1:10:34
SISTER EXPOSED MY MAGIC @Whoispelagheya
00:45
MasomkaMagic
Рет қаралды 19 МЛН