Wema Sepetu Tambua TUNAKUPENDA Sana ❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Team Wema Mikono JUU
@jovialljanessy99334 жыл бұрын
Upo jikon madam n vema ukafunika nyweleee....lov u
@said306nyatu94 жыл бұрын
Nawapenda wote Yani mumechaguana
@ab3ab3134 жыл бұрын
nakupend.bure
@frorenceetoile30164 жыл бұрын
@@jovialljanessy9933 ukumbuke ni balozi wa nywele
@mabyserolouchcraig24314 жыл бұрын
Kitu kimoja wema umesahau kuhusu dully ana roho nzuri na hana maringo hata....nimeishi nae ilala tabia zake mpaka kesho ziko vile vile Mashallah
@mauahussein98334 жыл бұрын
Hongera Kwa kipindi kizuri naimani na mie nitajua kupitia wewe love u wema ake😘 wa kwanza now
@naimasaid77634 жыл бұрын
Team Wema tujuane hapa kwa like zenu
@angelbwija95474 жыл бұрын
Nakupenda sana wema wangu ❣❣❣❣❣❣❣❣❣,tupe siri ya body yako 🤝🤝
@ashamaria96764 жыл бұрын
This is NEW! And I am loving it. WEMA U LOOK STUNNING😍. More episodes for your Fan back in American ROCK ISLAND ILLINOIS
@brendashenis29774 жыл бұрын
Wema ningeomba nione ukipika nifuate ile procedure na mimi pia nijifunze....much love🥰🥰
@gigiowanamulundu36934 жыл бұрын
Tangu upunguze mwili have been following you and for the first time saying this 👧you've grown and I'm so proud of you. Keep it up. Wasio kupenda itawakost.
@annmwende70234 жыл бұрын
When it comes to the EA sweetheart Wema Sepetu... Oh... My... She never goes wrong. Go girl.
@mabyserolouchcraig24314 жыл бұрын
Noo ni tz tu swithrt si EA sawa😀😀
@remnantemily4 жыл бұрын
Only in Tanzania
@rajabudau74784 жыл бұрын
Hawa watu ndo ninao wapenda tanzania kuliko wasanii wengine... happy moment to me
@wildatmsellem75314 жыл бұрын
Am so proud of you Mami!!! Congratulations keep goin mama love youuuuu
@queenmamou2544 жыл бұрын
I love her bcoz she living her life she don't care wat ppl said Abt her am always lov her...keep it up wema sepetu...ur so matured and I like that
@AfriAFAA_NEWS4 жыл бұрын
You should have just written this in swahili sis but ok!
@roseamal66944 жыл бұрын
well, practice makes perfect. ..I have to laugh Tzn English though. lol
@queenmamou2544 жыл бұрын
I don't know well but I try my best dear
@queenmamou2544 жыл бұрын
@@AfriAFAA_NEWS mind ur business sis 😏😏
@awinojuju85224 жыл бұрын
Dully weewee Ahahah ati nimefurahi sanaa kumbato hilo😂😂😂🤣😂😂 Wemaa habibtyyy Nakupendaga Love FromKenya254
@thetv35834 жыл бұрын
Wema sepetu maybe get subtitles for people who don’t understand Swahili .❤️❤️
@lenadajackison10214 жыл бұрын
tunajivunia wew my lov tz sweett 💋💋💋💋💋 kipenz changu mm jaman mng akuzishiee akutunze akubarik wanga
@ammyulediuledi59774 жыл бұрын
Kipindi kipo poa sana ni kizuri ila wapenzi download @wemaapp ili mpate raha zaidi @wemasepetu ♥️♥️
@jescaanatory61214 жыл бұрын
Mungu akuongezee ubunifu, wishing you kila lakheri Wema..sending you love.
@cirukarago72514 жыл бұрын
Sepetuka sauti yako hua mzuri sana... Now it's even more sweeter when you lost some weight. Dully Syke is a legend i agree enzi zangu za utotoni 👌.. Much from Kenya for both of you.
@madamspritual10034 жыл бұрын
Tunatengeneza na kuuza bidhaa za mitishamba asili zinazo saidia watu wenye matatizo kama.... kutoa nuusi yani nuksi ...kusafisha nyota .... matatizo ya kazi....biashara.....mvuto ...mvuto wa kazi....kesi.....mapenzi .....kurudisha mawasiliano....dawa zetu ni asili kabisa ...dawa ni aina mbili kuoga na kuchoma...popote tunatuma kwa bus au kwa DHL unapata dawa zako kwa mda muafaka .......kwa mawasiliano zaidi piga number +254740481107....au WhatsApp +254743130074........! Tiba.
@dorisandfarook4 жыл бұрын
Such a free sweet soul you are Wema 😍kipenzi cha watu
@dorisandfarook4 жыл бұрын
@Change Mindset poa, ndiyo tumesharudi na wote tuko salama kabisa.
@kingcopper_tz4 жыл бұрын
Wooow we missed you wema.... African sweatheart
@naimamunishi12414 жыл бұрын
Kiukwel ata nikiulizwa sa7bu ya kukupenda sinaga but ilove u so much wema .
@wairimumosha96554 жыл бұрын
Jamaani, miaka 40.... He still looks so young
@queentz83144 жыл бұрын
Piga keleleeeee kwa wema wakeeeeeee
@najmagudeh2034 жыл бұрын
Weweeeeeee
@zuuhdecutegal55924 жыл бұрын
Weweeeeeeee
@marvellousstar91834 жыл бұрын
weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeewe WEMA IS A SUPERWOMAN
@narleenabby21784 жыл бұрын
Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee😂😂😂😂
@monakab68524 жыл бұрын
Weweeeeeeeeeeeeeeeee
@nasherofficial17654 жыл бұрын
Always nkupnd madame weka like yako km hunamkubli pls
@allenmziray6734 жыл бұрын
I've always been ur fan sweetie despite the hater saying sh*t abt u.she is our Queen ata wasemeje
@francisnyaji50004 жыл бұрын
Hi program ungeianzaga miaka iyo 2013 na ulivyo na fun base kubwa now ungekuwa mbali mno....safi.
@zclassicfashionz4 жыл бұрын
Dada ama kwa hakika huu... ni ubunifu mzuri nakukubari sana....
@RUFUS_974 жыл бұрын
Sasa Wema dada angu mzuri, ukitaka hii show izidi kumetameta punguza stori alaf fanya kupika serious. yani utapata viewers kibao na subscribers. Mi nakuombea uje ufungue show kama zile za food network za kina boby flay kwenye Chopped.. piga kazi dada angu kila la Kheri.. 😘🤗
@florencealbat66494 жыл бұрын
Mmmmh wema hilo kumbato nilausalama kweli? Lov u
@dullahjuma61374 жыл бұрын
Mrs dulah au zena kihondo. Ya wema juu kama dege la Obama achana wabongo wenye roho mbaya kama still waya znasugua sufurya just for your love kwa wema akeee💏💘💟
@effiekirui43124 жыл бұрын
Aki nakukubali Sana not only that I love you Soo much ur my mentor dia much love from 254
@saffiahmisiko63584 жыл бұрын
MashaAllah you’re just real wema,creativity yako iko sawa
@fatmasayid88954 жыл бұрын
Mashalwa M.mungu akubariki love you😘😘😘
@elizaanthony42394 жыл бұрын
Jaman jaman stress za corona zote nilizisahau, nakupenda sna we mwanamke
@aminamgaya75114 жыл бұрын
dahhh wema we ni kipenzi cha watu mungu akupe hitaji la moyo wako in sha aalah
@tajiriskitchenswahiliflavo17234 жыл бұрын
Much love sweetheart ❤❤❤
@anitanahimana21154 жыл бұрын
Na kupenda bure dada wema sepeto. Mim niko burundi naomba inipe dawa iritumiya iri ukonda mim nin kiro 100kg natak ni punguw mmay😭🙏🤲
@wanaupendotv71834 жыл бұрын
Kipenzi changu sijawahi kukuchoka maisha marefu insha Allah
@julietmoraa51064 жыл бұрын
If he ain't lying about his age... Then the only thing I can say is, he's truly forever young!
@ilovuguyssandimu65084 жыл бұрын
Nabereigo
@julietmoraa51064 жыл бұрын
@@ilovuguyssandimu6508 igo mbuya. 🙂
@ilovuguyssandimu65084 жыл бұрын
Yaani omoshene otz gachete sana
@julietmoraa51064 жыл бұрын
@@ilovuguyssandimu6508 😅
@achiengeofficial16934 жыл бұрын
Nice job wema sepetu,may God bless your hard work,much love from Kenya ❤️❤️
@natanabeat4 жыл бұрын
piga kelele kwa wema aaaaake gonna like kea woman aaaake
@leahjohn72794 жыл бұрын
Wema I learn the routine of your Health food pls do the show for the Healthy tips you do to maintain that body, and am Greatfully your back on you KZbin we miss you too much 💜💜
@rajabuiddy44164 жыл бұрын
Movie
@SalmaSalma-ee4nx4 жыл бұрын
Piga keleeleee kwa wema wakeee ...yani nakupenda bure from kenya
@malkoashaali54304 жыл бұрын
Wow beautiful powerfull 💞💞💞💞💞💞💞🤚🤚🤚🤚💕💕❤❤❤❤❤❤
@teresiavitus81784 жыл бұрын
Love you wema kila ck ww ukooo juuu kileleeeeeeeniiii.. never give up wema
@aminasaid3083 жыл бұрын
Hata mimi kutoka Kenya lkn namfatilia Sana wema Sai nko Saudia na bado nko na wewe daa wema hadi kiama
@khadijakhamis91984 жыл бұрын
Love u chimami kale kasauti sasa jaman kazuriiii je chakula kitakuwaje kitamuu
@raulzagabe19574 жыл бұрын
Wooow wema sepetu keleleeeeeee🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@hamadshein82724 жыл бұрын
Dully mshamba sana.hvi macoronya unaweza kupga kwa makongoro.
@Memoj12144 жыл бұрын
Kipindi kizuri ila maongezi mengi Beauty. Well done
@Blue-vk5ce4 жыл бұрын
Babe this is a good idea please do upload more videos like this on ur KZbin channel, used to luv ur show in my shoes. Can't wait for more videos
@mwajumaabdallah52524 жыл бұрын
Physical setting iko hot... I love that, congrats Wema
@nunniznurcky97244 жыл бұрын
Nice wema sepetu na dully msaani wakujiamini kivyake
@newtina70494 жыл бұрын
My super star 😍 me love you hata unye njiani ntakupenda tu ❤
@shakilakhamis21094 жыл бұрын
waooooo my mie pia nikija tz nikaribishe kupk biriyani
@brianleila53504 жыл бұрын
I like it when Tanzania's try mixing Swahili and English, soundssssss like !!!!!?.....am like OOOkkk
@doreenonekalit98884 жыл бұрын
That's how Sporah Show use to do it. I just pray that she reads my comment and so subtitles. For us her international Fans in the Diaspora that dont speak beautiful Swahili. There are a couple Utube Channels doing it now. Except if they just want to just a target audience. She does have a great speaking voice and speaks good English. I really like her .Smart hard work Lady.👌💕💕💕
@priscargodwel83334 жыл бұрын
Go our love naona kikiendelea huku you tube utakua habari ya mjini
@sadakhamis66844 жыл бұрын
Mashallah mamy mzury😘💯✅
@kisuraeliud18764 жыл бұрын
Weka kingine bwana😍😍😍😍
@kanyangefrancoise13134 жыл бұрын
Nakupenda sana wema
@zabibunduwimana46124 жыл бұрын
Dully myaka 40😂😂😂ila ahuzeheki Dada Wema😍😍
@Cookies17284 жыл бұрын
Omg Dully is 40! He looks 24🇰🇪😜
@nancymbogo81254 жыл бұрын
For real
@carolynemusolo61884 жыл бұрын
The man is old and so fat, trying to look like a young dude, ngooo . Please women stop lying to these old mzees
Hivi kwa nini hukuanza muda mrefu,what an amazing hostess
@fatmafetty41174 жыл бұрын
Jiko Safi MashaAllah me nawapenda wote guys ❤️❤️❤️❤️❤️
@mustaphajuma68214 жыл бұрын
Nice show my sister but mbona fupi ivyo jamani......daaaaah.
@ericksonclassic18304 жыл бұрын
Congratulation madam 👌👌👌🔥🤗
@jolieingabire19924 жыл бұрын
Kitu safiii wema
@OmanOman-uo6qw4 жыл бұрын
Nice umependeza leo
@leahchallomachibya17914 жыл бұрын
Halafu niiiiiiiiimeshituuuuuuuka kumuona Wema hapa jamani Huyu dada watu walisema KANILOGA siyo kumpenda huku
@lucybaya31834 жыл бұрын
Cjuiii kama mond alimuacha wema kwa nn..yuko Mcute halafu roho safii
@yahyajumanne8514 жыл бұрын
Napenda kazi zako
@gracewaicy58394 жыл бұрын
Wema mashallah jiko lako pia mashallah😋😋 nakupenda sana wema
@debbycharles28624 жыл бұрын
Nice show to start wema 👌🌹🌹🌹🌹😋
@frorenceetoile30164 жыл бұрын
Muendelezo madame Wema iko poa saana
@hawasaidi28104 жыл бұрын
Nakupenda wema sepenga dada
@wardamwarami47894 жыл бұрын
Tupige kelele ngapi unataka 🤣🤣🤣 keep it up sis nice work
@wemasepetuofficial4 жыл бұрын
Thank you...
@winniekadii57054 жыл бұрын
@@wemasepetuofficial wema akeee
@beatricejoseph11414 жыл бұрын
Nakushauri dada wema weka na kofia mtu awe anavaa wakti wa kupika
@kisasarob7514 жыл бұрын
@@wemasepetuofficial your was born to shine, to be the greatest since day one, since you owned that crown of miss TZ...nice idea, yo go with time...food z a big deal and we get interested to see celeb's other side....2020 litakufaaaa jitu wemaaaaa to da tooooooop
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 We Dully ni Mfano gani huo Wa Mke Ukimtumia Sana husinya.
@Zetona-wk8de4 жыл бұрын
Nakupenda ant wema
@febroniasylvester1764 жыл бұрын
Nakupenda Wemaaaaaa
@everinemichael74574 жыл бұрын
Wema ur the best ❤
@gracenkwazi62124 жыл бұрын
saut hiyo wema, corona lv u wema😘
@gloomzyke18914 жыл бұрын
My shinning 🌟 imagine u can cook too😘😘 lots of love +254
@nadrahassan52414 жыл бұрын
Kumbe Wema una pendeza kuwa mtangazaji!😙
@fofonadia36574 жыл бұрын
Love wema m muburundi
@thamiyuucute70984 жыл бұрын
Mualike na diamond kitanoga chakula🤗🤗🤗
@full-percentage72924 жыл бұрын
I'm here...nakupenda sana😘😘😘😘
@DimangaKE4 жыл бұрын
I love u.. love u.. keep doing your thing..
@rehemamolleliy94574 жыл бұрын
Mashallah penda sanaa dada❤❤❤
@carofabian2364 жыл бұрын
Wema nakupenda Buse 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 love it
@maaxhsaidi84204 жыл бұрын
Nakupenda xana we mdada
@rasheedkanush90124 жыл бұрын
Bora ulete mapishi upate kunenepa kidogo... 😍😍😍
@nilmadaudi93584 жыл бұрын
Kipindi 🔥🔥🔥
@babyjsalum9404 жыл бұрын
Wema sepetu ❤❤❤
@azizakaposa45164 жыл бұрын
Mm team wemaa kitamboo tuu yaani roho yanguu
@mishynajomoury36854 жыл бұрын
Proud of your achievements my love you are doing great things 💪🏾💪🏾
@wemasepetuofficial4 жыл бұрын
Thank you...
@ramadhpili77894 жыл бұрын
Nakupenda sn madam
@selinamukka89994 жыл бұрын
Wema all the way .Kenyan fan here Wema
@Lynetamimo4 жыл бұрын
Nice one..Next one diamond awe hapo 😛😛😛😛😛
@princessuda91554 жыл бұрын
Mashalah nazid kukupnd wem wang
@alirashid32394 жыл бұрын
Mm siyo shabiki wa mtu yyte yule but mm nishabiki wamtu mwenye kutaka maendeleo hongera bint wa tz.but I've one advise for you if you think my advise is better you'll take.ninahakika hufanyi kusudi ila ithink umeptikiwa kidogo coz no one perfect accept god.kuhusu kufunika kichwa ikiwa ninjia moja wapo ya kuyafanya mapishi yako na unachokipika kiwe self zaid and then.nivyema na it will be better nahizo kuchakidogo ukaweka pembeni ili ukaja ktk uhalisia wampishi haswa.but hongera bint wa tz.kwa kupambana na Allah akusimamie ingawa unatengeneza hela but also unawasaidia akinamam wenzako.maana ndowa nyingi zinavunjika coz mabinti hawajuwi kupika god bless u.thanks alot.