The difference between your show and other tanzanian shows is the amount of attention you pay to the quality of videos you shoot. Excellent lighting and editing, great sound, and targeted at the interview and showcasing your sponsor's product. Investors kama wanajua biashara wamiminike hapa tu. Love from 254!
@meggygitau4079 Жыл бұрын
Wema kipenzi chetu, you looks beautiful as always baby ♥️♥️♥️💕💕💕
@nuurasaid741 Жыл бұрын
Nakupendaaa wema kutoka kenya
@ummydaudi4940 Жыл бұрын
Wapenda mlenda tujuane😋😋😋😋😋
@maramara5621 Жыл бұрын
Wema kazuri kazuri kazuri Tena. Baki hivi hivi E. African sweetheart 😍🇰🇪❤️
@annamwangole8450 Жыл бұрын
Wema & Tessy ♥️♥️💋
@hafidhali4336 Жыл бұрын
Kama sikosei nadhan atakua ni x wa Aslay uyo. Jiko litanogaje. Leo nimewahi likes zenu tafafhali. Pia madam wema tuletee na diamond platnumz hapo tunatamani sana
@zena6203 Жыл бұрын
Wenyewe oggiii
@khadijerabdallah8703 Жыл бұрын
Wema ana viswali vitam😅🥰
@tajiriskitchenswahiliflavo1723 Жыл бұрын
Beautiful Wema ❤❤❤
@aimerancesafalani3365 Жыл бұрын
Namaji mimi nipo Burundi naomba sana muwe mnatuwekea na sisi wa KZbin video nzima...
@abuomary8715 Жыл бұрын
U can pay thru her app wema app
@centjaypir6121 Жыл бұрын
ONGera wema mimi nipo Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩
@khadjamhozya Жыл бұрын
Sauti kama katotori❤❤❤❤❤
@maryamanalisi197 Жыл бұрын
My wemaaa❤❤❤
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Tuletee Diamond jaman kam kupika ajui atamayai Nimewamiss pamoja 😢❤
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Wallah tena hata mimi natamani kuwaona
@maramara5621 Жыл бұрын
Weeee acha unataka Zari aje a home jiko la Wema? Huyo diamond ni asije na asije tena🤣🤣🤣
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
@@maramara5621 🤣🤣
@tinershayo6191 Жыл бұрын
Nakupendaga tu
@sherylachieng4660 Жыл бұрын
Jameni hamisa na diamond......
@cutemagreth4291 Жыл бұрын
Nakupenda chimama
@tatuallysaid5060 Жыл бұрын
wema apunguze kingereza kwenye show anawapa watu mtihani jmn
@upendwawamamasaudiyanonobu9211 Жыл бұрын
❤❤❤
@anitakamene4656 Жыл бұрын
Nice
@p.kasongot979 Жыл бұрын
My queeen W ♥️♥️♥️💋♥️♥️♥️
@agynoel2846 Жыл бұрын
Mnyiramba aache kupenda mlenda
@miriamwinston9908 Жыл бұрын
Umeonaaa eeeh 🤚
@abuomary8715 Жыл бұрын
U look stunning nowadays
@zuhurayassini2714 Жыл бұрын
😍😍😍
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
Wem😘😘
@nasrahaidary212 Жыл бұрын
Next time mlete hamisa mobeto
@TinasheBeture5 ай бұрын
Ni binti mdogo sana . Lakini mume wake aslay akija apo utabaki nae
@Farajahelene23031 Жыл бұрын
sepenga
@zuhurazabiir3769 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@arennermarenge7116 Жыл бұрын
Chimamy
@chunaamina878 Жыл бұрын
Tule na Diamond aje atupikie na yy, chochote tumewamiss mkiwa pamoja
@mlapikauma7660 Жыл бұрын
Manywele wazi. Ndo wapishi gani
@sistermasha2963 Жыл бұрын
Wapishi wa mchongo
@anastaziaruhomwa4032 Жыл бұрын
Naomba ukiwa unapika usishike nywele na nguo kwa usafi Zaid maana umeshanawa mikono