Ila asante sana dada kwautundu wako na kutugeiya na sisi
@reginamanyangu66822 жыл бұрын
Asante Sana, je baada ya kutengeneza inachukua mda gn ku exp
@felixbryan52288 ай бұрын
One week
@user-yr3vn5ql8s2 ай бұрын
@@felixbryan5228 one weeek? 😊
@AsinathMathayoАй бұрын
Kama sina bleenda
@Gracemollel-nh3lx25 күн бұрын
Lazma uweke vitamin e@@felixbryan5228
@ednahcharles91952 жыл бұрын
Dr kwa mtu mwenye uso wa mafuta inaeza mfaa? Je, haibadirishi ngozi ?
@SAHIMtraders5 ай бұрын
Hawajibug as sjui wanatufundisha nn nq hawajbu
@FatumaWaziri-yy9ev10 ай бұрын
Nitajalibu asante
@happinesskimbula170011 ай бұрын
Ss hapo mm cjaelewa tukichuja tunacho chukuah ni nn yale maji baadaya kuchuja au uwo mgando ulibaki hapo juu
@HudhaimaJosephАй бұрын
Maji
@Dastan-l5w2 ай бұрын
Maziw mgando au fresh
@HudhaimaJosephАй бұрын
Freshi
@OnikePenet2 ай бұрын
Hongera sana nimekubali 😘
@LadyLorry10 ай бұрын
Mbona huoni aibu kutuongopeya nimetengeneza nafata hivohivo mara mbili na imetoka kama ugali😏
@aishajuma50793 ай бұрын
😅😅😅😅😅
@hijrakassim3043 жыл бұрын
Uo mshanganyiko unatumia zile chenga au yale maji?
@EnjoyMussa3 ай бұрын
Dada samahani nikiitaji kusafisha macho nabrendi chungwa na Ganda lake au ata maji yanatosha
@FredyKibasa-ew7ed Жыл бұрын
Naomba jibu make mimi ni mhanga usoni sitamaniki unaweza kutumia baada ya muda gani isiharibike
@HawaAhmed-yj8wo5 ай бұрын
Nimeskia unasema unga wa vitamin e, huku nilipo vidonge vya vitamin e vina mafuta havina unga, je naweza kutumia? Pia hivyo vidonge ninunue pharmacy au ninunue duka la urembo?
@NamickIssumaili Жыл бұрын
Usipo weka kwenye freji itahalibika
@sabrawacowbell44432 жыл бұрын
Nimejifunza
@gracesamson24413 жыл бұрын
Miyangu mbona inajitenga nikijipaka haipakiki nakua napaka hiyo vitamin e huo mchanganyiko mwingine unabaki kwenye mikono kama ugali
@aishajuma50793 ай бұрын
😅😅😅pole hii dunia walim wanatupa chalenji 😅😅😂
@graceeliud-i6y3 күн бұрын
Pole ila nibola utumie ndizi
@bwanaomar69883 жыл бұрын
Mashaallah
@joanithadamian6130 Жыл бұрын
Asante my dear
@mwanamvuaabbassi35542 жыл бұрын
Kama huna frige unahifadhi wapi ili isiharibike?
@mamayaestertz5831 Жыл бұрын
Asante
@maimonatanzani87022 жыл бұрын
Asante sana
@talhamkindi61342 жыл бұрын
Asante kwa fundisho, je isipowekwa kwenye friji itaharibika?
@RabieGerard4 ай бұрын
❤❤❤
@AishaAli-ej7nt4 ай бұрын
Nauliz kma vitamin e unatumia nn tna
@nasramohammad9581 Жыл бұрын
Kama mchele nimepeleka kusagiwa kw machine,ule unga nilazima niweke maziwa ?
@paulinamdee57802 жыл бұрын
Hyo vitamin c na hayi maj ulioweka vijiko 2 inapatikana wap??
@Dawiti002 жыл бұрын
Naomba kujua inaweza kukaa mda gani isiharibike na je inatakiwa ikae kwenye friji kila siku
@bintrashid69672 жыл бұрын
Kama sina hii vitamin e naeza tumia omega 3 ama haiendani naomba uniambie please
@ScholasticaMoyo6 ай бұрын
Na km cna friji naweza kuweka
@neymarchristopher9810 Жыл бұрын
Ahsant mungu akupe kingne uzidi kutupatia ujuz
@kingsonngemela888210 ай бұрын
Jekama auna vitamin e unafanyej ss
@user-tn7jr7il9q6 ай бұрын
Kam hauna frig inakuwaje dear
@alicekisamo1413 Жыл бұрын
Bae usipo weka kweny fridge je?
@LameckJulius-z1n17 күн бұрын
Ina kaa muda gani bila kuharibika
@hamidamaulana2696 Жыл бұрын
Kama Auna freji sehem gani tuweke
@hedayaabdulah8 ай бұрын
hivo vidonge napatia duk gan
@aminaidrisa70253 жыл бұрын
Ongera
@mikyfosikama87528 ай бұрын
Vidonge vya vitam nini sijaelewa
@HidayaJuma-st9mn7 ай бұрын
Inachukua mda gani kupata matokeo
@ayeshaH-zn7bx4 ай бұрын
Iyo vitamin n nn ama ni kapsosi
@user-kq4pi5hy2x Жыл бұрын
Kama hauna friji kipenz
@zainabumudy82002 жыл бұрын
Naomba unijibu tafazali
@zainabuomari85383 жыл бұрын
Unaweza paka mafuta haya mwilin???? na ukangaaa
@AngelMbelwa-i7n2 ай бұрын
Kam huna friji Sasa inakuaje hapo
@AsiaKhalfani-mi9ur8 ай бұрын
naomba niulize ivi kweli haichubuhi i maana nimeogopa ulivyoweka hivyo vidonge vya vitamini e mmh eb nieleweshe maana sipendi kujichubua
@HudhaimaJosephАй бұрын
Haichubui hivyo vidonge havina madhara nimafuta ya samaki na binadamu anatumi
@sefrozayusup78702 жыл бұрын
Na kama una vidonge vya vitamin E
@ruwaidashaaban72672 жыл бұрын
Fahamu ya kwamba hii youtube inafuatiliwa pia na jamii ya wasioona so unapofanya vtu bl ya kuongea😔
@neymarchristopher9810 Жыл бұрын
Samahn km Sina friji nifnyje
@RazakhParuАй бұрын
Kama una fliji
@REHEMANKANE11 ай бұрын
❤
@user-ty5gw6bj2z4 ай бұрын
Oky nitafanya nione na mimi
@alfredinakatto16053 жыл бұрын
Ule uliyobaki ambao hujachanganya na vidonge na mafuta unafanyia nn
@zainabumudy82002 жыл бұрын
Mimi sina ivyo vidonge nifanyaje
@Anahajosedph-v9j3 ай бұрын
Kutumia maziwa wap mtindi ama
@usnasaidy9312 жыл бұрын
Kama sina friji alafu unapaka usoni2 mwilini aupaki
@ashurafidelis96442 жыл бұрын
Hivyo vidonge vitamin e vinapatikana wapi ?
@malaikatvurembo2 жыл бұрын
Maduka ya vipodozi
@mwanatumushee7351 Жыл бұрын
Kama sina jokofu nafaakuhifadhi wp
@rechosebastian59852 жыл бұрын
Niunge na mm kwenye group
@biteandrew69453 жыл бұрын
Jamani dada naomba unijb saaa ivi.maana tayari mafuta numetengeneza .je haya mafuta unapaka usiku unalala nayo au unakaa kwamda una oga. Maana mn na yanakamata sana mwilini.?
@shamsaalrahbi55733 жыл бұрын
Ssa km huna hizo dwa je inakuaje apo plz dda
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
Nenda duka la vipodozi nunua vitamin e vidong
@deblwilla72163 жыл бұрын
You go girl😍😍😍😍
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
Kipenziii Changu ❤
@johncash72333 жыл бұрын
@@malaikatvurembo nakama sina blend yakusagia
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
@@johncash7233 loeka kwa mda kisha ponda ponda
@babyloveflores36523 жыл бұрын
Sant sana maman kama huna vidonge sasa hiwezi kuwa sawa ???
@oman38692 жыл бұрын
Safi
@shamsiamsaghati3 жыл бұрын
Kama hauna friji
@ZipporahNyanchama-n4v11 ай бұрын
Mimi nataka number yako dada
@mozahshaaban74353 жыл бұрын
Unauza
@annahmboya6660 Жыл бұрын
Dada ngozi yangu imezeeka sana nitumie nn yakiasili
@reubenjr95403 жыл бұрын
weusi wakipaka haimfanyi kua mweupe
@rahmajafarkassimkassim94863 жыл бұрын
Asante mpenzi kwa somo lakn vp nilazima vitamin e viwe vya kijani?
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
Hapana tafuta tu vitamin e
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
Nimeunda group la Vipodozi na ushauri..Ukitaka kuungwa nichek 0786272249
@rahmajafarkassimkassim94863 жыл бұрын
Sawa
@chunaamina87193 жыл бұрын
@@malaikatvurembo niunge Na mm
@magrethmkwabi58492 жыл бұрын
@@malaikatvurembo niunge jamani
@tunnyrajabu6863 жыл бұрын
Kma ukitk kuwa mweupe mzur awez kuchngny na kitu kingn dear
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
Njoo WhatsApp 0786272249
@ereneheriel48562 жыл бұрын
@@malaikatvurembo kama sina friji je??
@tabycatytabitha3 жыл бұрын
Thank you queen
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
Babe🙏❤
@HidayaMwipi-os9cd Жыл бұрын
Mboni Mimi nimetengeneza ivyo lakini ninzito ukipaka inabaki weupe usoni
@rahmajafarkassimkassim94863 жыл бұрын
Unapaka usoni pekee au ata mwilini?
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
Usoni
@FredyKibasa-ew7ed Жыл бұрын
Je nikikosa mafuta ya nazi nifanyeje
@moomasaiboerboels35253 жыл бұрын
Ukisha pata unakaa nayo kwamda unatoa au unapaka kama losheni tu unakaa nayo
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
Unapaka unatoa
@rosedaniel19813 жыл бұрын
Ukipaka usoni inavuta uso vibaya jmn mweeeee
@Sabrahcloset2553 жыл бұрын
This sio nzur kwa wat wa dry skin na pia this so cream ni nzur ukiitumia kama mask then u rinse it off
@neemaoman15193 жыл бұрын
Kweli my nilitengeneza mbona nilitupa mwenyewe jaman uso unavuta atali
@malaikatvurembo3 жыл бұрын
Ni kwa watu wa oil skin
@starnicengirwa13782 жыл бұрын
@@malaikatvurembo ndani ya siku ngapi unakuwa umeanza matokeo
@ednahcharles91952 жыл бұрын
@@malaikatvurembo anhaa haichubui? Samahani lakini