Me nasema siku laizer ukinipigia beat lazma tunaingia kwenye chat hata za billibord🏆🏆🤔🙌🙌
@Dany_Pro_magic2548 ай бұрын
Big up Bro
@khonan5736 Жыл бұрын
I appreciate the vibes in the studio?!
@RjMbwambo63311 ай бұрын
😂😂😂sema lavalava ukipita pandezake unatakiwa upite kwa heshima sana
@Chrishenryson-beats11 ай бұрын
Lavalava ni msanii mzuri sana natamani sana kufanya nae wimbo na lazma utaenda mbali. Sana kwa uwezo wangu na wake na uwezo wa laizer wa kumix na kupiga beat❤ y Binafsi naweza kupiga beat za afrobeat kwa fl so najua mziki mzuri. Laiza ulipaswa uheshimike sana hapo maana kwa asilimia kubwa ya hizo nyimbo unashiriki mpaka kwenye utunzi🏆🏆🏆
@connectionTVShow0209 ай бұрын
Nakubali kbs
@flyderonthebeatstz2250 Жыл бұрын
Lizer tena🔥🔥🔥🥁🎹🎺🎚️✅
@PizzoBeatz Жыл бұрын
Thanks sana Kwakuendelea kuweka vitu kama hivi... Ila nilikuwa naomba kama unaweza kufanya ya jinsi ya kurecord clean vocals... Yaani njia nzuri ya kupata vocals kali...(Plugin unatumia wakati unarecord na jinsi ya kuandaa Vocals kwa ajili ya mixing)
@deoperacc5 ай бұрын
Uli upate vocal safi ni lazima: 1. Uwe na chumba tulivu (Acoustic room) 2. Sound card yenye ubora 3. Microphone yenye ubora 4. Muimbaji bora 5. Computer yenye uwezo ( isiyochosha kufanya kazi) 6. Fanya projects zako in 24bit sio 16Bit 7. Elewa unafanya nini
@PizzoBeatz5 ай бұрын
@@deoperacc poa sana mwamba
@PizzoBeatz5 ай бұрын
@@deoperacc Acha nilifanyie kazi..thxs 🙏🏽
@deoperacc5 ай бұрын
@@PizzoBeatz Pamoja sana.
@RbbeatsRobbieRobbisonАй бұрын
Big man
@julbatz4 ай бұрын
Na mimi ni msani
@ramarooney30823 ай бұрын
KEEP GOING BLOOD LIZER 👑
@YoungSimbadangote5 ай бұрын
Lizer Toka tunduma one day broo napenda kuimba San
@BishobokaBishobokagold Жыл бұрын
Atali Kaka .
@OfficialLaiTz Жыл бұрын
💥💥💥💥💥💥💯💯💯💯
@ProducerRigajuma7 ай бұрын
Tuonyeshe the one tafadhali
@kairowrld39 ай бұрын
Please sir Can you do the breakdow of Diamond platnumz The one whole mixing production?