Dada astuka kuona Christmas 🎄🎁🦌 haiko kwa bibilia wakristo waona haki sasa olekasasi kajiado county

  Рет қаралды 22,885

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@Idysalim
@Idysalim Жыл бұрын
Napenda kazi munayo fanya Salim mwalimu wetu, Allah protect you all
@samikadar
@samikadar Жыл бұрын
Sheikh Salim na Mzee Ali, mashujaa wa Daawah. Allah SWT Awazidishie nguvu InshAllah.
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Ni Team Work. Katika background kuna Ustad Hassan na Ust Karanja pia. MashaAllah
@hemedalli4073
@hemedalli4073 Жыл бұрын
ALLAH AWATIE PEPONI AMIIN
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
AaminaYaarabi
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 Жыл бұрын
MashaAllah sheikh Salim Allah akuhifadhi akuzidishie moyo kwa hii daawa ya kuongoza umma
@hassanmpemba5747
@hassanmpemba5747 Жыл бұрын
Masha Allah sheikh salim tunawapata vizuri sana Allah awape umri mrefu ili mzidi kuwalingania ishallah
@musakabogo7851
@musakabogo7851 Жыл бұрын
Napenda jinsi mnavyowajibu maswali yao hongereni Allah awajaalie afiya na umri tawil
@mishijuma5558
@mishijuma5558 Жыл бұрын
MASHA ALAH masheikh wetu ,ALLAH awahifadhi.
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Amini ya Allah walinde masheikh wetu
@yusufmahdi8921
@yusufmahdi8921 Жыл бұрын
Mansha Allah May Allah bless our ulamaa Amiin
@yasminally1015
@yasminally1015 Жыл бұрын
Maashalla Maashalla Allah helpe you Ishaalla shek
@mohasirleam3599
@mohasirleam3599 Жыл бұрын
Mashallah Allah awajalie nuru na mwangaza na elimu yenye manufaa mzid kutuelimisha
@tasnimoman2046
@tasnimoman2046 Жыл бұрын
Allah awazidishiye inshallah
@mohammadsarai3373
@mohammadsarai3373 Жыл бұрын
Maashaallah shekh Salim.napenda Sana mafunzo yako.ukielimisha mtu mpaka aelewe tu.asipoelewa ni yeye mwenyewe tu.ALLAH awazidishie elmu
@rallyscosmeticandgasaccess4839
@rallyscosmeticandgasaccess4839 Жыл бұрын
Ma asha allah feeling good dahawa
@user-et8ul1ju3p
@user-et8ul1ju3p Жыл бұрын
Allah awaongoze inshallah 🤲🤲🤲
@bahatikenia39
@bahatikenia39 Жыл бұрын
Mashaalah
@josemu870
@josemu870 Ай бұрын
Allah u Akbar dawa iendelee kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana kwa mafundisho yenye mawaidha bora ya Koran
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Ай бұрын
Aameen ameen ameen
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 Жыл бұрын
Masha Allah masheikh wetu mafunzo mazur sana Allah awahifadh Inshaallah
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 7 ай бұрын
Huyo jamaa, hamjamuelewa. Wao Wakristo wakitaka kula huombea chakula kwa jina la Yesu, na kushukuru kwa jina la Yesu. (YAANI WANAMSHUKU NABII BADALA YA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU MTOA RIZIKI) Jamani, ni hatari. Endeleeni kutoa Elimu,
@lawaridintandu2928
@lawaridintandu2928 Жыл бұрын
Alhamdulilah,Allah Mwingi wa Rehma awajaalie afya njema mwendelee kufanya kazi yake
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
Aamina.yaarabi.awajaalieNaUmrimrefu.wenye.afya
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
Allah awafungue akili wakristo waijue haki na waifuate.
@josephmuchiri3180
@josephmuchiri3180 Жыл бұрын
Ivi nyie mnaweza kuwa na akili kutuzidi sisi wakristo
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Kuwa muislamu ni nehema kubwa, sijuti kuwa uma ulio bora
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
RehemaNaAman.zimfikie.kipenzi.chetu.mtumewetu.kiongozi.wetu..namasahaba.zake.nawatu.wake.wanyumbani.Subhana.Allah.Allahu.Akbaru..watuWanasherehekea.mwizi.kuachiwa.huru.aise
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Жыл бұрын
Christmas is a pagan festival. SubhanaAllah Mwenyezi mungu atuongoze sisi sote
@janaleokesho8374
@janaleokesho8374 Жыл бұрын
The day was day for celebrating sun God by pagans.when the pagans were converted the day worship of sun God ended and started celebrating it in a different way not like before
@stoispapi2380
@stoispapi2380 Жыл бұрын
@@janaleokesho8374 Wrong
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 Жыл бұрын
Assalam alleykum. Al-akhiy mumenyamaza mno mpaka nikaingia wasiwasi..... Hawa jamaa hata Mara ngapi mukawaonyesha makosa na urongo wa ibada zao ndani Ya Bibilia.... 🙆Bado wataendelea nazo tu "LAHAULAH...
@fatuu.ibrahim5
@fatuu.ibrahim5 Жыл бұрын
May Allah guide them to the right path
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Жыл бұрын
Usijali kijana uko na doctor salim ngugi
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
MaashaAllah masheikh
@josephkenga5627
@josephkenga5627 Жыл бұрын
Ukweli kabisa;
@shavinahnaddy2749
@shavinahnaddy2749 Жыл бұрын
Asalaam Aleikhum sheikh ningeomba uniambie hicho kitabu cha Jeremiah ni ukurasa gani inayozungumzia huyu mwizi aliyeachiliwa tarehe 25 dec niwafungue majirani zangu macho.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Jeremiah 52:31
@rezikomer9552
@rezikomer9552 Жыл бұрын
Wanachukuwa mila za firauni alokuwa wakiamini maisha ya giza kuwa watakuwa hai wakifa ndiyo walikuwa wakichuma vitu vyaghali kueka wakifa astaghfirullah wacristo ndiyo njiya wanazo fundiswa masikina
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
Lahaula MamaMtumzimatu.Lakini.hajui.kutumia.maji..tatizo.hawapendi.kusoma.nakuifadh.maandiko.yao.Eti. Tishu.tishu.tishu.nyie
@robertmaingi4635
@robertmaingi4635 Жыл бұрын
mambo ya mungu tuachie mungu
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Жыл бұрын
Mashaallah
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
Kanisa la Kwanza lime jengwa Kule ROME, VATICAN. NA uli anza ku jengwa in 1506AD, baada ya PAULO ku ANZA kufundisha UKatoliki. Hapa, BADO Biblia haija tungwa. Kwa hivyo PAUL sio wa 14AD wala wa 43AD, BALI ni wa 1414AD au wa 1443AD. Kwa sabababu hizi DATES zina FUATANA na KANISA la Mwanza la Katoliki kule ROME, la ST PETERS, ulio anza kujengwa in 1506AD! PAULO ali kuwa ni kundi la MWISHO la MU CRUSADER walio fukuzwa from SHAM(Syria, Lebanon) na ku kimbilia kule CYPRUS na ANTIOCH, in 1426AD.
@happymrianga9389
@happymrianga9389 Жыл бұрын
Haijalishi amelaaniwa krismas au januari ila amezaliwa.
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 7 ай бұрын
😂😂😂heee🫣😢Crismas ni kusherehekea mwizi tena, Du'huu !!?? Yaani hata katika Biblia hakuna jambo hilo !!? (Ila ktk Biblia niliiona sikukuu ya IDD na ikisisitizwa kusherehekea) AMA KWELI, JAMANI, WANAOJIITA WAKIRISTO, SOMENI BIBLIA KWA MAKINI. ILI MFUATE NJIA ILIYONYOOKA. (ASANTENI MASHEIKH KUTUFUMBUA MACHO NA AKILI. MBARIKIWE SANA.
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 Жыл бұрын
Na maulidi je
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Haiko kwa Qur'an
@bettywanjala5630
@bettywanjala5630 Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Christmas 🎄🎁 hakuna kwa vitabu ni kweli kabisa
@bettywanjala5630
@bettywanjala5630 Жыл бұрын
Nyinyi munawapotosha watu ambao hawachuwi bibilia
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Wewe unayejua tupe wapi imeandikwa Christmas ni kuzaliwa kwa Yesu please tupe hiyo andiko
@b.funditv4781
@b.funditv4781 Жыл бұрын
Wewe unaejua toa andiko yaan hata huyo mchungaji wako hana kwa kifupi ukiristo ni dini ya mchongo
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 Жыл бұрын
Tofauti na Christmas na Mawrid n Nini?ama ni wapi waislamu wameambiwa washerehekee Mawrid
@salimhassan3369
@salimhassan3369 Жыл бұрын
Swali zuri Sana lakn nataka usome injil ama Bible yote uelewe vzur Sana alafu uje tena sister..
@abi-onlinetv4181
@abi-onlinetv4181 Жыл бұрын
Safi Sana Kwa swali. Ni kweli hakuna uhusiano wa Maulidi na Uislam. Lakini Ukristo na Biblia vyote havina uhusiano wowote na Mafundisho ya yesu.
@bausifarouk1798
@bausifarouk1798 Жыл бұрын
Maulid is arabic means kuzaliwa.chrismas ina maana gani?
@RubanzintwariJeanclaude
@RubanzintwariJeanclaude 11 ай бұрын
Mashallh
@mifunga3414
@mifunga3414 Жыл бұрын
Mashallah
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 6 МЛН
Dada miujiza gani Muhammad s.a.w alifanya dada asilimu baada ya kujibiwa part 2
32:11
BIBLIA NURU YA DUNIA YOTE
2:24:22
BITTER TRUTH MINISTRY
Рет қаралды 6 М.
Wakristo wastuka kusikia hakuna kuokoka hapa duniani kumepambazuka
1:25:45
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 14 М.
Wachungaji waikataa bibilia mbele ya waisilamu eastlegh ajabu sana by sheikh Anwar
32:11