Dada wa kanisa astuka kuona mambo ambayo wanafichwa na wachungaji uisilamu wazidi kuenea

  Рет қаралды 27,461

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 119
@EuniceAngalushi
@EuniceAngalushi 9 ай бұрын
Am a christian but soon nachange dini naendelea kujifunza mengi sana kupitia mafunzo yako😢😢lazma nislim
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Inn shaa Allah karibu sana
@EuniceAngalushi
@EuniceAngalushi 9 ай бұрын
@@salimdaawah123 santii
@siadibrahim8111
@siadibrahim8111 8 ай бұрын
Kaimbu kwa dini ya haki na kweli
@hanifa9153
@hanifa9153 8 ай бұрын
Welcome❤❤❤
@hamzangunga1578
@hamzangunga1578 7 ай бұрын
Welcome to Islam my dear friend
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 9 ай бұрын
Kikweli ndani ya Nafsi yangu, nawaombea sana hawa wahadhili wetu wanao lingania dini kwa wasiokua waisilamu wanafanya kazi kubwa sana, kwasababu wanakutana na vichwa vigumu sana ambao wamelishwa matango poli na viongozi wao wa kikiristo, sasa unapokutana navichwa ambavo nivigumu mpka aje kuelewa na akawa muisilamu dah nikazi kubwa mnooo ,Allah awape Taufiq iliokua bora na muendelee na kazi ya Mwenyezi
@daru2549
@daru2549 9 ай бұрын
Sheikh leo eti umekutana na msomi😂😂😂 Nmefurahi sana umewaleta kwa njia iliyo nzuri ALLAH awaeke sheikh
@husha6372
@husha6372 9 ай бұрын
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu jamaa Naona wakiristo WENGI huchanganyikiwa ku mjuwa Mungu Yesu na utatu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@rq21abdullahi96
@rq21abdullahi96 9 ай бұрын
Salim na Ali . Inshallah one we will drink soup together 😂
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Inn shaa Allah
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 9 ай бұрын
Inshaallah
@Zsdaughter
@Zsdaughter 9 ай бұрын
Send it now to them si wameweka number zao za sim. Changia na Allah atakuzidishia. Support so they use more time kwa daawah. Mana na wao wanakazi zao. So ili tuwape nguvu zaidi ya kuwa kwenye daawa lazma tutoe.
@F.j84
@F.j84 9 ай бұрын
Mimi nawaombea wakristo mungu awape fahamu na kupata njia ya hakki kw idhni yake mola mtukufu Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
InshaAllah.AaminaYaarabi.soote
@HusseinLimbe
@HusseinLimbe 9 ай бұрын
Mashaallah Allah atujaalie Janah sisi sote ❤
@shurlaally1686
@shurlaally1686 9 ай бұрын
Maashallah kazi nzuri
@omarnzaro31
@omarnzaro31 9 ай бұрын
Maa Shaa Allah mushapost wacha tutizame Inn Shaa Allah tuelimike zaidi
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Karibu sana
@sonaratz
@sonaratz 9 ай бұрын
Mimi nipo Tanzania na huwa nakufuatilia sana kwa ukaribu na huwa napenda sana mafundisho yako!
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Masha Allah karibu sana
@BakariAbeid-gp7iv
@BakariAbeid-gp7iv 9 ай бұрын
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm
@SalumumaulidmasoudMsumi-cp6dm 9 ай бұрын
Yan nafurahi kuwaona tuna wakaribisha Zanzibar muje mutembwee
@aishahazary4097
@aishahazary4097 9 ай бұрын
Maasha Allah ..ALLAH awalipe kila jema kwa kazi nzuri mashehe wetu vipenz.
@TabuOdhiamboOmiya
@TabuOdhiamboOmiya 9 ай бұрын
Kuna wakati unaeza kosa subira pale unapo mwambia jambo na hataki kushikia ilhali kauli yako ndio sahihi
@kanchorujarsomohamed4860
@kanchorujarsomohamed4860 9 ай бұрын
Masha Allah mola awajalie kila la kheri
@ngureamosdaniel3945
@ngureamosdaniel3945 9 ай бұрын
this was very informative very impressive the moment you expose oneself to islam,one becomes i new being,daawah sahihi GOD bless you
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 9 ай бұрын
Maa shaa Allah Sheikh Yusuf kumbe upo sambamba na mara umetuletea kitabu Allah akuhufadhini nyote na kila balaa. AMIIN
@salimiddi7583
@salimiddi7583 9 ай бұрын
Hogera sheikh Salim somo wangu
@SalumNyanza
@SalumNyanza 5 ай бұрын
Maashallah Allah awalipe kila laheri
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 9 ай бұрын
Da nilitamani sana mda usiishe muendelee maana tayali walikua washakubali nisawa na mchezo wa mpila gol kipa ashapotea harafu umebaki na golitu harafu refa anapiga firimbi ete mpila umeisha da Sasa sijui utafungatu naje ukifunga refa ataikubali ndivyo ilivyotokea Leo washakubali lakini mdaumeisha nanikweli lazima watu wakamuombe mungu hakuna jinsi inshaAllah sikunyingine wataelewatu kama niwakuelewa maana hata umfundishe mtu miaka kumi kamaniwakuelewa ataelewa nadakikatu lakini kama sikuelewa atasubuli mpaka yesu aludi nabado hataelewa mungu awabariki sana masheikh wetu tunawapenda sana mlitupotea kidogo shidailikua Nini maana tunatamanisana kuwaona kilasiku ila tunawaombea sana mungu awajaalie afya na uzima mzidi kutufundisha Yale ambayo hatuyajui tuweze kuyajua assalamualaikum wabillah taufiq amen 🙏🙏🙏🙏🙏
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh Allah awaongoze waione haki
@RubanzintwariJeanclaude
@RubanzintwariJeanclaude 9 ай бұрын
Asaramuaraikum shehe Mungu akujariye Kwa dawa
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
@ibrahimhajji6210
@ibrahimhajji6210 9 ай бұрын
Mzee Ali needs to be patient when Salim is handling people.
@andallaathman3856
@andallaathman3856 9 ай бұрын
Wallah tena anaongea Sana Hadi husikii kitu nasauti yake kubwaa mashaa llah hata na mtatiza sheikh salim mara nyingi
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 9 ай бұрын
Hez too annoying.
@saberaziz1789
@saberaziz1789 9 ай бұрын
Ali kuwa na subra na mwachie ustadh afanye kazi yake,wewe kazi yako ni kusoma
@Abuyusuf134
@Abuyusuf134 8 ай бұрын
Yah ni kweli. Sheikh Ali awe anasoma tu asichangie. Cause inaleta confusion.
@Jingajinga64
@Jingajinga64 8 ай бұрын
Assalamu Alaykum. Munajisumbua bure. Mzee Hassan hawachi, hiyo ni tabia na umri ni mkubwa. Mchukulieni kama mzee wetu aliyejitolea. Mimi nimemuelewa hivyo na nishakubali matokeo. Allah amjaalie umri twaweel.
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 9 ай бұрын
🤣🤣 hustadhi Salim na hustadhi aliy Leo mume patana mwana sacolojia naona mambo ni ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Tena sana 🤣😂😂😂
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 9 ай бұрын
Walkm mslm warahmtullah wabarakatuh nshkr sheikh zetu nmpata vzr Allah amzidishie elimu n afya mzidi kuwapa daawa in Sha Allah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@b.funditv4781
@b.funditv4781 8 ай бұрын
Mm npo Tanzania ila nawafuatilia sana mashekhe wetu nawapenda sana tena Allah awajaalie afya njema
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 9 ай бұрын
Tatizo la wakrsto wanadanganywa na wachungaji bila mchungaji kutoa ushaidi wa maandiko bali nimaneno wanayotoa mdomoni mwao
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 8 ай бұрын
Ushahidi uko nao? Ama tu ni maneno?
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
Ushahidigzni.unataka.mambo.yako.wazi.tumiaMaji.a.cha.tishu.uchafu..eti.ushahid.gani.someni.vitabu.vyenu.acha.ubishi.kudaitu.kuokoka.wanaokokaga.wachafu.HatoingiaPeponi.ilawasafi.yadikhuru.lijanna.illa.nadhwifu.​@@NathanielNathan-m4o
@siadibrahim8111
@siadibrahim8111 8 ай бұрын
MashaAllah masheikh zetu mungu azidi kuwapa afya njema na maisha marefu
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 9 ай бұрын
Mashallah Allah wape kila kheri
@EshaSalim-l3q
@EshaSalim-l3q 9 ай бұрын
Mashallah mungu awap umri
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Aamiin amiin amiin
@jumakumala1337
@jumakumala1337 8 ай бұрын
Allhamdhullillaih namshukuru ALLAH kwa kuwaona ndugu zangu katika Imani nilikuwa nimepotea kwa sbb ya internet lkn saii niko hewa ninawafatilia kila kona
@salimkongoi6853
@salimkongoi6853 9 ай бұрын
Asalam aleikum ...napenda sana mafunzo yenu brothers ...lakini ningependa kujua hicho kitabu ambacho sheik Hassan amekishika ni kitabu Cha Nini mkiniambia naweza tafuta nijisomee niongezee elimu yangu ....shukran sana brothers
@malikdodo5190
@malikdodo5190 9 ай бұрын
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
@ShaliphZbel-it8id
@ShaliphZbel-it8id 9 ай бұрын
Allah,awape,afya,njema,then,mzid,kutoa,dawa,mtaan
@zuenajuma-si7wp
@zuenajuma-si7wp 9 ай бұрын
Mashaalh mwenyezimung awaongezee elim ili tupate kujifunza zaid
@Marim-qp8gs
@Marim-qp8gs 4 ай бұрын
Shukran sana kwa katanga a dini yetu ya kislam
@salimdaawah123
@salimdaawah123 4 ай бұрын
Kazi yetu nikufikisha ujumbe wa Allah
@user-nt4qc4zg7y
@user-nt4qc4zg7y 9 ай бұрын
Mashaallah Allah wape afya njema na nguvu ya kupigania dini ya kiislam
@abdikhalifdahir3220
@abdikhalifdahir3220 4 ай бұрын
Ma'sha Allah
@sheemaryam
@sheemaryam 9 ай бұрын
Mariam alikuwa anaambudu nani wakati MUNGU alikuwa kwa tumbo yake??? kweli watu wamepotoka 😂😂
@mjaaliakhalfan9030
@mjaaliakhalfan9030 9 ай бұрын
Yesu (Masihi Issa mwana wa Maryam)si Mungu bali ni Mjumbe wa Mungu قال الله تعالى:{وإذقال الله ياعيسى ابن مريم ءأنت للناس اتخذني وأمي إلهين من دون الله قال سنحانك ما يكون لى أن أقول ما ليس لى بحق إن كنت قلته فقد علمته تعلم ما في نفسي ولا أعلم ما في نفسك إنك أنت علم الغيوب}المائدة 116 {ما قلت لهم إلا مآ أمرتني به أن اعبدوا الله ربي وربكم ..} المائدة 117 {قال الله هذا يوم ينفع الصادقين صدقهم لهم جنات تجري من تحتها الأنهار خالدين فيهآ أبدا رضي الله عنهم ورضوا عنه ذلك الفوز العظيم} سورة المائدة 119 {ورضوان من الله أكبر}
@abdikuta9333
@abdikuta9333 6 ай бұрын
Mi ni muislamu naomba msomaji ampe.nafasi mwalimu aelemishe naye abakike kwavitabu
@SalimHumud
@SalimHumud 3 ай бұрын
Somo Mungu akupe nguvu upeleke neno la Mungu
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 ай бұрын
Aamiin amiin amiin sote
@djhassim_254
@djhassim_254 6 ай бұрын
watu kujieleza kwamba ni wakristo is just a slogan iliyokuja wapotosha viumbe za mwenyezi mungu. Ustadhi Salim na mwalimu Ali msichoke tafadhali. one day people will revert back from the slavary mission of christianity.
@user-qn6xf4nw7d
@user-qn6xf4nw7d 8 ай бұрын
Tanzania unakuj lin shekhe🙏
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 ай бұрын
Inn shaa Allah tutapanga
@user-hp8dp7gf8w
@user-hp8dp7gf8w Ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤
@Rajkumar-gz4qr
@Rajkumar-gz4qr 5 ай бұрын
Wakristo hufanda kitabu gani, juu hii yao sio hata bibilia
@JoyceMbise-zr2xh
@JoyceMbise-zr2xh 3 ай бұрын
Mimi ni mkristo lakini hakuna mchungaji anayewaambia watu wavae mavazi yasiyofaa
@salimdaawah123
@salimdaawah123 3 ай бұрын
Okey but huwa mnakatazwa
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 9 ай бұрын
Imani ya utatu hakuna mkristo anaeweza kuielezea sababu ni Imani ya kubuni
@Hi_20206
@Hi_20206 9 ай бұрын
Asalaam mashekh wetu..mbona hamjaeka option ya ku download?
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh iko my sister
@sulemohdi2013
@sulemohdi2013 8 ай бұрын
Wakristo wanasema Mungu ndo Yesu na Yesu ndo Mungu, eti Mungu amejifanya mtu!, na Yesu anasema hakutumwa bali kwa wana Israel, na wana sema kasulibiwa ili abebe zambi zao ila hata yeye Yesu alilalamika Mangu wangu Mungu mbona umeniacha hapo kajivuwa kuzamini watu wakati analala mika ameachwa na Mungu wake, ikiwa Mungu alikuja kwa mwili wa binaada , huo mwili hajauvuwa mpaka leo na kama hajaivuwa atakuwa dhaifu na kama kauvuwa mwili basi hakuna haja katika kipindi hichi kumuabudu Yesu wakati hayupo tena duniani vipi abudiwe wakati hakuna andika ale sema yeye Yesu Mungu na kama halipo, Yesu hana Mungu ? Ikiwa anae Mungu na saa hii hayupo duniani kwa mwili wa binaadamu vipi abudiwe Yesu ikiwa Wakristo wanasema kaja duniani akiwa amevaa mwili sasa huo mwili hajauvuwa ?
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 9 ай бұрын
Mwalimu ni wangi na wasomaji ni wangapi. Hii imekuwa maudhi wallahi.kuweni na maelewano baina yenu. Samahani.
@jumamnyonge2148
@jumamnyonge2148 8 ай бұрын
Allah awajaliye kwa kweli manshallah
@Rajkumar-gz4qr
@Rajkumar-gz4qr 5 ай бұрын
Uislamu dini ya ukweli, inaridhisha
@RutexNalex
@RutexNalex 9 ай бұрын
Dini ya repentance and holyn ess wanafunza hayo yote but kwingine Sio rahizi nikutoa tu nakubarikiwa,good job bro mi hukufuatilia sana
@user-rc7oi2hp8l
@user-rc7oi2hp8l 9 ай бұрын
Ak wakirsto wanashagaza Mungu ajilete mtu azaliwe n akufe azikw n afufuke is that make sense?
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 8 ай бұрын
It makes sense only to those people who understand
@HNs-px8mz
@HNs-px8mz 4 ай бұрын
Pia nashagaa Muumba kila kitu afe auliwe n watu aliwaumba yeye mmmmmmm ilo haliwezekani.Mungu mwenyezi hana udhaifu ata nukta
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 9 ай бұрын
MashaAllah Allah barik
@ShaliphZbel-it8id
@ShaliphZbel-it8id 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 4 ай бұрын
💖
@Hi_20206
@Hi_20206 9 ай бұрын
Huyo msomi amesoma nini exactly juu sioni
@salimdaawah123
@salimdaawah123 9 ай бұрын
Hahaaaaaaa 😂🤣😂🤣😂🤣😂🤔🤔
@alisaleh7040
@alisaleh7040 8 ай бұрын
Duh ikiwa mohammad mafkirio yako ni yessu bas ata yessu wako humjui huyu dada akupat kuijua vzr dini anaez akawa muislam
@abdallasuleiman8785
@abdallasuleiman8785 9 ай бұрын
Msomi na anasema kuna dhambi ya asili.
@user-rl4nv7ls4e
@user-rl4nv7ls4e 8 ай бұрын
Swala la uvaaji ni mtu mwenyewe.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 ай бұрын
Ni amri ya Mwenyezi Mungu sio mtu mwenyewe
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 8 ай бұрын
Mbona msikitini hamuwaambii watu kama baadhi ya majini ni waislamu na ni ndugu zenu😅
@salimdaawah123
@salimdaawah123 8 ай бұрын
Aya gani kwa Qur'an inasema hivyo???
@Jingajinga64
@Jingajinga64 8 ай бұрын
Ukweli unauma dada yangu. Kula panadol tembe mbili mara tatu kwa siku itakupunguzia maumivu.😅
@HNs-px8mz
@HNs-px8mz 4 ай бұрын
Uzushi.toa andiko majini n ndugu
@Bahati47
@Bahati47 3 ай бұрын
Hiyo kwenye Quran Kila muislam anajua na tunawapenda sana hao ndugu zetu wa ki jini ❤️
@user-ij9te1ck9p
@user-ij9te1ck9p 3 ай бұрын
"Wamaa khalaktu l-insaa wal-jina illaa liyaabuduun". Allah anasema sikuumba majini na watu ispokuwa waniabudu mm tu. Alhadith Almuslim akhwa lmuslim laa yadhlimuhu walaa yaslibuhu". Muislam ni ndugu WA muislam asimdhulumu Wala asimsulubu ama kumtesa. Qur-an, "wamaa arsalnaa illaa rahmata lil-aalamiin" Allah anasema" na hatukukupeleka ewe Muhammad ispokuwa ukawe rehema kwa walimwengu wote. Swali 1.kwani majini ni viumbe ama si viumbe. 2.km ni viumbe nani kaviumba?. 3.wanaishi ulimwenguni ni kina nani? 4.kwann Mungu akuumbe akose kukuwekea utaratibu km baba kwenye nyumba ana uratibu wake kwa watoto jee Mungu anakosaje kukuwekea utaratibu anaoutaka yeye? Someni maandiko msisomewe maandiko.
@makalajonas
@makalajonas 9 ай бұрын
Tusome neno wakristo sivyo tutayumbishwa sana
@HNs-px8mz
@HNs-px8mz 4 ай бұрын
Msome mmjue Muumba si mtu wala hakufa msalabani wala hana udhaifu wowote
@HNs-px8mz
@HNs-px8mz 4 ай бұрын
Karibu ndugu katika dini y haki kunyenyekea amri za Muumba wetu
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 39 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 13 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 12 МЛН
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
WAKRISTO WATOFAUTIANA VIBAYA KUMHUSU YESU
46:54
Straight Path Dawah
Рет қаралды 13 М.
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 39 МЛН