DADA WA KAZI AGEUKA MKE EP YA 42...KWA WENGINE VILIO KWA WENGINE VICHEKO

  Рет қаралды 26,964

DAR ZONE TV

DAR ZONE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 275
@AminaNdugai
@AminaNdugai 22 сағат бұрын
Kila episode imebeba jumbe mkubwa sana Hongera kubwa Kwa Director Mponji haya mambo ndio tunataka sisi maua Yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 14 сағат бұрын
Hongera mama mponji mawaidha yako mazuri sana
@EstherJerald-tc6ct
@EstherJerald-tc6ct 21 сағат бұрын
Daaa Leo nimewapa like ninyi nyote Ebu na mimi naomba msininyime like popote pale uwapo Tz kenya nk
@Anitajoseph792
@Anitajoseph792 22 сағат бұрын
Napenda sana kufuatilia series za Tanzania ila sijawahi kuona series Ina mafunzo makubwa Kila episode kama hii. Hongereni sana washiriki wote mmeua
@MariamMchomvu-q3s
@MariamMchomvu-q3s 2 сағат бұрын
Jaman ubwabwa tunakula lini tunausubiri😂😂
@DomitilaEmily
@DomitilaEmily 14 сағат бұрын
Dunia hadaaa walimwengu shujaa, mama shadya umekipata ulichokitafta
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 18 сағат бұрын
Daaaah ila mponji pongez kwa mafundisho yenu jmn mola awabariki san kiukwel❤❤❤😂😂😂😂baraka na kimaro mbn mwaleta vurugu jmn B4 ndoa etii😂😂😂😂😂😂
@susanmuhwanawerunga
@susanmuhwanawerunga 14 сағат бұрын
Ni mm Dena kutoka Kenya muko safi sana
@LLl-p4r3l
@LLl-p4r3l 12 сағат бұрын
Hongera mama mponji kwa mafundisho mazuri 🎉🎉🎉🎉🎉
@shakilasharifa9
@shakilasharifa9 14 сағат бұрын
Ubwabwa Baraka 😂😂😂
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 22 сағат бұрын
Nimewahii leyoo afadhali wa 83 daa pole sana Hajra mwayaa hule msemo mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa kikono yake ndiyo hii sasa wanawake wezangu tujifunzeni hapa🎉🎉🎉❤❤❤
@RoseJohnDaffi-hs6cp
@RoseJohnDaffi-hs6cp 23 сағат бұрын
Mimi nakuja kula ubwabwa kwenye harusi hyoooo pambeeee❤
@AgnessDama
@AgnessDama 18 сағат бұрын
Ila mponji anafundishw uku akijilia maandaz😂❤❤❤, pole kw mage kavu 😂😂😂 nikutegesha skio to, wapi like za mamake na mponji pls
@aminandurya
@aminandurya 15 сағат бұрын
Nimechelewa ila nimefka 🎉🎉🎉 kwa directer mponji nawapenda buree ❤❤❤
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 23 сағат бұрын
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies ❤❤❤
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 21 сағат бұрын
Ameen nakwako pia
@UlenjeNyamvula
@UlenjeNyamvula 18 сағат бұрын
Amen 🙏
@MargaretMtende
@MargaretMtende 17 сағат бұрын
Amin🙏
@MujunguMtoto
@MujunguMtoto 17 сағат бұрын
Ameen kubwa 🙏
@zinbushaabani
@zinbushaabani 18 сағат бұрын
Ila baraka ni mmbea jamn😮😮😅🎉
@AminaYazidu
@AminaYazidu 13 сағат бұрын
Ubwabwaaa is typing 😂😂😂😂😂
@MaimunaNangabo
@MaimunaNangabo 19 сағат бұрын
😂😂😂ila kimaro na baraka punguzeni umbeya jamani aiii 🥺🥺
@Nihenya
@Nihenya 13 сағат бұрын
Waabie 😂😂😂😂
@GodilahArohzyne-yv1ev
@GodilahArohzyne-yv1ev Күн бұрын
Leo kwanza kutoka 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 wakenya wenzangu tujuane kwa like❤❤❤
@FlorenceWanjira-ct4lw
@FlorenceWanjira-ct4lw 22 сағат бұрын
Ruto anasemaje tena 😅😅😅
@MunaMwakuzimu-k8z
@MunaMwakuzimu-k8z 21 сағат бұрын
Pamoja wakenya oyee
@UlenjeNyamvula
@UlenjeNyamvula 18 сағат бұрын
Wakenya oyeeee
@metrinenamalwa736
@metrinenamalwa736 15 сағат бұрын
Hi
@MwanatumuOmar-y7r
@MwanatumuOmar-y7r 5 сағат бұрын
Tupo dear ❤❤
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 23 сағат бұрын
Jamani ebu Leo naombin like hata kumi t fans wenu
@veronicaonchuru
@veronicaonchuru 14 сағат бұрын
Kimaro na baraka wasikule 😂😂😂
@MunaAlbalushi-pt7je
@MunaAlbalushi-pt7je Күн бұрын
Hongera mama kwa mafundisho mema kwa mponji
@CarolineImbwaga
@CarolineImbwaga 16 сағат бұрын
Wow 🎉🎉🎉
@HanifaMohammed-n4r
@HanifaMohammed-n4r Күн бұрын
Ama kweli hii movie nimeipenda Sana tangu episode ya 1 mpaka sasa nimejifunza pakubwa Sana ,,, nawaombea mzidi kutuelimisha siku zote ❤❤❤❤❤ nawapenda Sana ❤❤❤
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 23 сағат бұрын
Umeonaee yan na mm ndo iv iv na kuhusu mafunzo ya bibi harus 😂😂😂😂😂😂
@HanifaMohammed-n4r
@HanifaMohammed-n4r 23 сағат бұрын
@@AmenaMm-r5t nikiolewa ntakuwa tayar nimejifunza 🤣🤣🤣
@AdelphineUWIMANA-f3z
@AdelphineUWIMANA-f3z 19 сағат бұрын
Unaogopa nini ku daa si nakipindi urikua na mponji uri daa😂😂
@NdayikwngurukiyeOlive
@NdayikwngurukiyeOlive 14 сағат бұрын
Ya leo inamafunzo
@Leilajepmtu
@Leilajepmtu 17 сағат бұрын
Marafiki shinda nini 😂😂😂😂😂
@AminaYazidu
@AminaYazidu 13 сағат бұрын
😂😂😂😂😂ety ng'ombe 45 vichaaa jamn 😂😂😂
@Marry-u8m
@Marry-u8m 23 сағат бұрын
Aki nime peda sana hawa makungwi wemtu yani wana tufudisha vingi kwakweli🎉🎉❤❤🇰🇪🔥🔥
@MupenziClovis
@MupenziClovis 13 сағат бұрын
Jamaniiiii baraka anapenda ubwabwa kweli pamoja na kimaro😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
@nesaahaji1329
@nesaahaji1329 23 сағат бұрын
Team dada wa kazi piga kelele 🎉🎉
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 21 сағат бұрын
Woyooooooooo😅😅
@FakikhAsmah
@FakikhAsmah 23 сағат бұрын
Mage mponji kahusema kwa mama mkwe unampa mihogo hukuu😂😂😂😂😂
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 21 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MwanaishaBaruti-k6o
@MwanaishaBaruti-k6o Сағат бұрын
Ishaallah,ma,mponji,Allah akujaalie kwamawadha mega,
@FidelisKasali
@FidelisKasali Күн бұрын
Leo mim wa 8 naombeni like zangu nikanunulie mboga😂😂😂
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 21 сағат бұрын
😂😂😂😂❤
@Justinaombay
@Justinaombay 22 сағат бұрын
Na mm leo naombeni like
@asyakhamis327
@asyakhamis327 23 сағат бұрын
Hahahahah kimaro unaomba Nini 😂😂😂😂😂😂😂kwa mama shadya
@BoraHamisi-zl6xy
@BoraHamisi-zl6xy 17 сағат бұрын
Nimelia pale anapoongea point nzuri na kukiri kuwa alikosea anajuta na kuomba msamaha ama kweli majuto ni mjukuuu
@Nailaty564
@Nailaty564 22 сағат бұрын
Bwana harusi tunaomba uvae style ya Oman utapendeza Sana 🌹
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r 22 сағат бұрын
Asante naona mama shadya fimbo imeanza kukutandika vema 😂😂😂
@AminaKavuo-gj3oc
@AminaKavuo-gj3oc 23 сағат бұрын
Wew mponji bado hunamupenda huo mwanamuke,,, kwanini husifuge mulango na kufuli
@Clamvevotz2024
@Clamvevotz2024 21 сағат бұрын
Ahsante sana mama Mponji mm kama mwanaume nimejifunza sana jinsi ya kuishi na mke wangu
@ShamimShamy
@ShamimShamy 18 сағат бұрын
Hajira Kwan wew ulienda Kwa mponji Ni kuomba pesa tu hakuna kingine unakumbuka Shika kumekucha, mponji nikutakie Haris njema mm nimenunua kijora 🥰🥰🥰🥰
@BilhaCharles
@BilhaCharles 23 сағат бұрын
❤❤❤nampenda mama shadya
@Nailaty564
@Nailaty564 23 сағат бұрын
Mama shadiya million tatu mpaka elfu 5😂😂😂😂😂😂😂
@dautonmdodwe5700
@dautonmdodwe5700 22 сағат бұрын
😂
@Jamesmwakisambwe-z3x
@Jamesmwakisambwe-z3x 14 сағат бұрын
😂😂😂
@winniemwaka3202
@winniemwaka3202 22 сағат бұрын
Kimaro mrudie😅😅mungu kweli
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 22 сағат бұрын
😂😂😂 mama shadyaa utaunza matunda na pesa hipi na vile we ni kapuku tokea 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wakenya wenzangu na wengineo nipeni like zenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 21 сағат бұрын
Eti hawezi kudanga na alikua anatoka inje ya ndoa yake 😂😂😂😂 asitudanganye hapa saai ndio chance nzuri yakutembea kibwenye chake😂😂
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 21 сағат бұрын
@@dhahabudeche926 😅😅😅😅
@Hawa-ky6vb
@Hawa-ky6vb 23 сағат бұрын
Nimejitaid kuwai leo
@Annemumbe-r2z
@Annemumbe-r2z 22 сағат бұрын
Hayo mawaidha kotekote kwa kwel nimeyapenda
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 23 сағат бұрын
Mama kama mama hakuna kama mama mponji ongera Kwa mafundisho Yako mwenyez .ungu aendelee kukuza kipaji chako ongera odo wa mage Kwa mafundisho Kwa Binti yetu magie
@EstherMasha-dk9xp
@EstherMasha-dk9xp 22 сағат бұрын
Ya Leo kali jamani Baraka n kimaro wanabishana juu ya ubwabwa😂😂😂😂😂 anyway movie imebamba sana🔥🔥🔥🔥🔥
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 21 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Matenga mawili yamekutana getini kwa mponji mama shadya na kimaro😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤
@LeticiaCalderon-nr6hh
@LeticiaCalderon-nr6hh 20 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nakwambia
@catherinematabula4184
@catherinematabula4184 22 сағат бұрын
Hongereni mnajitaiti kuwahi
@Fibi-og9ce
@Fibi-og9ce 16 сағат бұрын
😂😂😂😂 baraka na kimaro...mwaletana juu kisa ubwabwa
@FlorenceWanjira-ct4lw
@FlorenceWanjira-ct4lw 22 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅😅 ila Baraka ww eti huli ubwabwa
@jazirajazira8116
@jazirajazira8116 Күн бұрын
Assalam alykum warahmatullah wabarakah alhamdulillah allah atujalie afya njema na wagonjwa Allah twakuomba uwape shifaa na walio tangulia mbele ya haki allah awasamehe mazambi yao napia atujaalie mwisho mwema
@faudhiahassan7907
@faudhiahassan7907 23 сағат бұрын
Waalaykum salam warhamatullah wabarakatuh Amiin yarabii 🤲🤲
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 23 сағат бұрын
Walyk salam warahmTy aallah wabarakaty amin yaraby kwa sote
@DivineIngabire-lj3sr
@DivineIngabire-lj3sr 18 сағат бұрын
Baraka wew😂😂😂😂eti naenda kusemaaa😂😂😂
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 22 сағат бұрын
Ety Kimaro amrudie Mungu hiyo niuongo acha tu wagombanie ubwabwa na Baraka ila kimaro kurud kwa Mungu mmmmmh 😂😂😂
@AgathaJulius-r4h
@AgathaJulius-r4h 19 сағат бұрын
Jaman baraka na kimalo. Wamenifurahixha mpa nimepona
@KSA-hu5he
@KSA-hu5he 22 сағат бұрын
Haya naombeni huo u bwa bwa maana nasikia ni jumamosi❤❤❤
@LeticiaCalderon-nr6hh
@LeticiaCalderon-nr6hh 20 сағат бұрын
Hongereni movie nzuri sana imeenda kimpangilio kabla ya ndoa mafunzo kwanza kwa pande zote mbili mke na mume.Tumejifunza mambo ya msingi sana
@FaithObash
@FaithObash 21 сағат бұрын
Yaani tangu episode 1 aty sasa 42 cjai pata likes ATA 20
@FaithObash
@FaithObash 20 сағат бұрын
Tamu lakini arudi jameeni haraka
@ArafaBasher-i5h
@ArafaBasher-i5h 17 сағат бұрын
Baraka na kimaro😂😂😂
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db Сағат бұрын
Dah kakaangu mponji hii kazi uliofanya kwa hii muvi tumejifunza vingi mno mno asante kwa kwa kutufunza
@darzone1020
@darzone1020 40 минут бұрын
Nashukuru sana kwa kunisupport. M/Mungu awafanyie wepesi kwenye kazi zenu.
@VeronikaEmanuel-yq3ss
@VeronikaEmanuel-yq3ss 23 сағат бұрын
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣 eti nisaidie baba shadia Toka zako uko saiv ndo kashajua umuhimu wa mponji
@CarolyneMalala-o6x
@CarolyneMalala-o6x 23 сағат бұрын
Mama Shadya sikudanganyi wewe ni kama uko na dudu kwa kichwa😂😂😂😂😂😂😂
@NadiaRamadhan-q1m
@NadiaRamadhan-q1m Күн бұрын
Leo wakwanz jamani 🎉🎉 nipeni like
@hotlinechebet6051
@hotlinechebet6051 23 сағат бұрын
Hapo hapo kwa simu dio mambo nashikaaaa😅😅😅😅
@imanissa5531
@imanissa5531 13 сағат бұрын
Kila kipande kina mafunzo hogereni sana kwani hii ndoa haifiki jamen mponji tunangonja 43
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 Күн бұрын
Mashadia. Sasa kinakulamb kitu kuna kazi njo tufanye 😅😅😅😅 utanishukuru badae
@FlorenceLangi-o8m
@FlorenceLangi-o8m 21 сағат бұрын
😂😂😂 jembe, chombo, kifaaa yaan sifa za mage izoo♥️
@DansonMwayele
@DansonMwayele 16 сағат бұрын
Yani kila episode inafunza tu. Ila baraka na kimaro mumetisha. Ati ubwabwa ni wababako 😂😂😂😂😂😂😂😂
@fellst4159
@fellst4159 17 сағат бұрын
Barka nakimaro kam watoto vile😂😂😂nawapend bure
@kimarodarzonetv
@kimarodarzonetv 17 сағат бұрын
Tunakupenda zaid
@AvelineMkama
@AvelineMkama 23 сағат бұрын
Kweli mbonji Mungu kukupa kipaji
@darzone1020
@darzone1020 3 сағат бұрын
Ahsante sana my dear 😘
@YusrahJumaAbeid-hh2ud
@YusrahJumaAbeid-hh2ud 18 сағат бұрын
Unwaubwa umezua balaa🤣🤣🤣🤣
@AsRtsanura-yu3fr
@AsRtsanura-yu3fr 23 сағат бұрын
mm naenjoy haya mafunzo 👌
@NadiaRamadhan-q1m
@NadiaRamadhan-q1m Күн бұрын
Mama shadia BDO haujasema nabdo mpka useme
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 23 сағат бұрын
Kazi nzuri sana nawapenda bure mungu awalinde na ndoa yenu mage na mponji niko hapa kutarajia ndoa yenu nifurai harusi tunayo na tunatamba nayo humu 2 😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ niko na bakuli langu natarajia ubwabwa 😂😂😂
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 23 сағат бұрын
Hhhhhhh duu kumb ww mroh eeee hhhhh ngoj harus yangu nitakualik hhhh
@SarahNo-u8p
@SarahNo-u8p 23 сағат бұрын
Jamani munajuwa kaziyenhusana nawapedasanakabisa
@WisonZawadi
@WisonZawadi 4 сағат бұрын
Mungu ni kwema sana haya ni mambo yapo kwenye jamiii za watu
@ClariceMatulanga
@ClariceMatulanga 22 сағат бұрын
Mm ndio wa mwisho uku simjui kama mwaniona 😂😂😂😂😂
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 21 сағат бұрын
Wa mwisho kutoka wapi😂😂😂😂😂😂😂
@fatimaumazi166
@fatimaumazi166 18 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂muna kosania ubwabwa nmecheka kishenzii
@JenifaRopez
@JenifaRopez 23 сағат бұрын
Waooo ongela muponji
@REHEMAYUSUPHU-ds1uf
@REHEMAYUSUPHU-ds1uf 12 сағат бұрын
Ila kimaro ni mzuri Sana nampenda ❤❤❤❤❤
@LLl-p4r3l
@LLl-p4r3l 12 сағат бұрын
Jamani daaa hii Kali mwapigana kisa ubwabwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 23 сағат бұрын
Maashady nakupenda sana lkn polee😂
@luckymilani8927
@luckymilani8927 Күн бұрын
Another Day wakwanza from Zanzibar 😅❤❤❤❤❤
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 23 сағат бұрын
Hajra ni pungasese 😂😂😂😂😂😂
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 21 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@SyamaaKyalo
@SyamaaKyalo 21 сағат бұрын
Mama si mbaya ni akili ana marifiki ndio walimpoteza😂😂😂😂
@veronicamaganga2635
@veronicamaganga2635 Күн бұрын
Mage punguza kulegeza macho jaman duu
@glorymanga3650
@glorymanga3650 23 сағат бұрын
Mpakaa inakuwa kero tenaa,mimi kiufupi mage hajui kuigiza bado sanaa
@mejubagu6825
@mejubagu6825 20 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 n'ngombe wa kichaa mwenye haja fungwa kamba
@salhasimba
@salhasimba 18 сағат бұрын
Kwakweli😅😅😅
@khadijab7066
@khadijab7066 18 сағат бұрын
Nawakirisha timu garfu kutoka Oman 🇴🇲 ♥️ ❤️, kujeni uku 😂😂😂😂
@Annemumbe-r2z
@Annemumbe-r2z 22 сағат бұрын
Kimaru wewe wanipunga kwel 🤣😂😅
@mamuuthei-tx2et
@mamuuthei-tx2et 15 сағат бұрын
Angalieni mafunzo msinganganie like like ziwapelk wp hizo like jmn mponji hongera xn kwa hii thamthilia iko vzr maa shaa allah iko na uhalisia wa kimaysha tunayo ishii jmn
@hashilalkharusi4680
@hashilalkharusi4680 23 сағат бұрын
Jamani mama Shadia bora kauzesimu upate mtaji
@HalimaMlavi
@HalimaMlavi 23 сағат бұрын
Kimaro msaidie mama shadia kwa sababu ulichangia ndoa yake kuvunjika
@Florah254-r3r
@Florah254-r3r 22 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 22 сағат бұрын
Mwenyewe ameishiwa atamsaidia mtu
@LusiKomba-rh1vo
@LusiKomba-rh1vo Күн бұрын
Asantee mama mponji🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FatumaBahatihassan
@FatumaBahatihassan 23 сағат бұрын
Mama Shadia
@fatumasalim3915
@fatumasalim3915 19 сағат бұрын
Mama mponji hongera mungu akuongoze
@FatumaAli-xm8di
@FatumaAli-xm8di 23 сағат бұрын
Mama mponji uko Sawa kwa mawaidha yako
@AggyMaghuwa
@AggyMaghuwa 3 сағат бұрын
pongezi kwa mama mponj kuomba msamaha ni jambo la muhimu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
MISSION IMPOSSIBLE [57]
20:43
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 21 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 74 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 49 МЛН
Não sabe esconder Comida
00:20
DUDU e CAROL
Рет қаралды 35 МЛН
Vichekesho
5:58
Zuku Swahili Movies
Рет қаралды 260 М.
UMUVUGABUTUMWA KANONO BATAMURIZA UMUMAMA IMANA IHAGURIKIJE KUYIVUGIRA MURIKIGIHE
59:27
🔴LIVE: MASHAMSHAM NDANI YA WASAFI FM  I 22-10-2024
Wasafi Media
Рет қаралды 184
HOUSE GIRL EP 38  | S3 | LOVE STORY 💞💕
23:20
BUSATI TV
Рет қаралды 41 М.
LIVE: IMPEACHED DP RIGATHI GACHAGUA'S CASE RULING
Uzalendo News
Рет қаралды 215
SHETANI |Ep 5| SEASON TWO
21:22
Comedy Plus
Рет қаралды 5 М.
BARAKA ZA MAMA EP 3 S2
16:36
SAYUKI TV
Рет қаралды 2,4 М.
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 74 МЛН