DADA wa MAKABILA AONGEA kwa UCHUNGU SHEREHE ya MANARA na ZAIYLISSA - "DULLA ANAUMIA - WANAPENDANA"..

  Рет қаралды 134,741

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 197
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@josephathema
@josephathema Жыл бұрын
this lady seems to have a very good heart
@edinamwakalinga4405
@edinamwakalinga4405 Жыл бұрын
Huyu wifi Ajengewe sanamu lake anasema akiachika watamludia nimeipenda hii dah❤❤❤
@cathelinemanyara4670
@cathelinemanyara4670 Жыл бұрын
Nimeipenda hii family ya watu wanaojielewa vzr sana hawana kashfa tena wanamuombea zai mema dulla sijamsikia mtandaon jaman sio watu wanaopenda kashfa ila zai wewe mungu anakuona unafanya watu wanaombeleza kwa kuvaa nguo nyeus siku tatu
@stellajoseph6212
@stellajoseph6212 Жыл бұрын
Kma mm ninvyowaombe kaka zangu jmn dar Hadi raha
@RachelAisha-y3d
@RachelAisha-y3d Жыл бұрын
😂😂😂 wallah uko vizuri dada
@fanuelmahenge2853
@fanuelmahenge2853 Жыл бұрын
Kumbe huyu ni dada wa makabila alooo nakupenda sana Dada❤❤
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 Жыл бұрын
wifi kama wifi... wifi wa Zay Lee. she is so honestly. 👏
@JamilaAbdallah-nh5bp
@JamilaAbdallah-nh5bp Жыл бұрын
Uyu dada ni WiFi mzuri sanaaaaa Yaan hana unafki🥰
@mosialice9305
@mosialice9305 Жыл бұрын
Sana. Nimempenda sana.
@LilianChacha-i3l
@LilianChacha-i3l Жыл бұрын
Xaw😂😂😂😂😂
@SalhaJuma-c8u
@SalhaJuma-c8u Жыл бұрын
Yani Amina nakupenda huna unafki na ni msema Kweli Mungu akupe afya njema natamani mawifi wote wangekuwa Kama wewe..❤❤❤
@edwardkiuna7747
@edwardkiuna7747 Жыл бұрын
she's so beautiful god bless her soul
@MikeliElen-rf5gn
@MikeliElen-rf5gn Жыл бұрын
Yaani 😂😂 huyo angefaa awe dada wa Diamond plutmuz 😅 manaa ni chizi kabisaaa😂❤
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 Жыл бұрын
Amina anaroho nzr jamani Hadi mtu unatamani awe wifi ako????❤❤❤❤❤
@tawsi-yc3nk
@tawsi-yc3nk Жыл бұрын
Sanaa mungu ampe subira watapata mwingine inshallah
@mwanduelizabeth2282
@mwanduelizabeth2282 Жыл бұрын
Aiseee huyu dada nimempenda sana ni wifi mzuri sana.Mungu akubariki sana kwa kuwa na upendo huo.
@Dhulqarnain-qc6gz
@Dhulqarnain-qc6gz Жыл бұрын
Huyu dada anafaa kuwa mke wangu nimempenda ghafla.❤
@aboudijaaboudija
@aboudijaaboudija Жыл бұрын
ana mume huyo tulizana😂
@zainabusabas7421
@zainabusabas7421 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@luckymassambu6616
@luckymassambu6616 Жыл бұрын
Kiukweli uyu dada alimpenda zailisa mASIKINI 😢😢 pole mwaya 😅
@edithhassan4196
@edithhassan4196 Жыл бұрын
Yaani wanahabari wajifunze kwa huyu mwandishi hongera
@ChukiNjilinge
@ChukiNjilinge Жыл бұрын
Dada Yuko vizuri MashaaAllah ndo maisha mtu anapoondoka kwenye maisha Yako inabidi ukubaliane na Hali japo sometime huwa ngumu sana.
@IbrahimMatayasara
@IbrahimMatayasara Жыл бұрын
Sahihi atazoea
@esthakilicho
@esthakilicho Жыл бұрын
Nakupenda saana uyu dada ❤❤
@ElizabethMbombo-wz4xl
@ElizabethMbombo-wz4xl Жыл бұрын
Huyu mwandishi ni mwandishi hasa. Ana heshimu kazi yake. Ana utashi mkubwa. Hongera dada. Tunataka waandishi kama hawa
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Pole sana Amina lakini unakaa roho safi sana
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 Жыл бұрын
Amina msema kweli .na bado ana mapenzi na zailisa
@NeemaKwayu-g5m
@NeemaKwayu-g5m Жыл бұрын
Nmempenda hamsemi mwenzake vbaya 😍
@lintadian6822
@lintadian6822 Жыл бұрын
Nakupendaga Amina Wallah yani Huna baya❤❤❤pole mwaya
@annesmatemu4264
@annesmatemu4264 Жыл бұрын
Amina lazima roho ikuume kipenzi ndio dunia atapata mwingine asijali japo roho inauma sana
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 Жыл бұрын
Dada fireee. Beautiful.
@ImamuHatibu-q9v
@ImamuHatibu-q9v Жыл бұрын
Allah atakuzidishia dada ❤❤ huna baya una upendo sana mungu atakupa hitaji la moyo wako inshallah.
@UmmyJumaa
@UmmyJumaa Жыл бұрын
Nampenda huyu dada❤
@MwanaRamathani
@MwanaRamathani Жыл бұрын
Njoo nituongee uwe wifi yangu da nimekupenda bure😅
@MercklineMalawandu
@MercklineMalawandu Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu, nakupenda Sana da Amina we ni mkweli halafu unaupendo wa kweli
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 Жыл бұрын
Dada Amina mshukuru mungu kwa kila jambo inshaallah mdogo wako atampata mke mwema lkn kwa zai hapana yule mwanamke yupo kipesa zaidi
@ChunaChuna-vg8cj
@ChunaChuna-vg8cj Жыл бұрын
Kweli
@HappyManyama
@HappyManyama Жыл бұрын
Huyu zai mbona kazi anayo, akiachika kwa manara nifuraa kwakina dula yaani nimecheka😂😂😂😂😂😂😂
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx Жыл бұрын
Wanapendana ila dulla kazidiwa pesa. Zaylisa anapenda u star. Ila mapenzi anayo dula
@AdidjaNiyonzima
@AdidjaNiyonzima Жыл бұрын
Dada zai niukweli akiachika mutamuowa tena Ata mimi yamenifikiya hayo Nimeachana Na mumewangu wa kwanza mwaka kumi Na miwili Nikaolewa pangine nimeka mwaka tisa Ndowa ya pili nimeachika nimerudiyana Na mumewangu wa kwanza ivi naomba duwa tuzikane sasa
@maryamsaid1307
@maryamsaid1307 Жыл бұрын
Mashaallah
@halimaoman8726
@halimaoman8726 Жыл бұрын
Nimejikuta nacheka maneno ya dada amina eti napumulia gess
@mwanahamisinyenzi-vo6mj
@mwanahamisinyenzi-vo6mj Жыл бұрын
Amina bonge ya wifi ukimpata
@ashaamran4879
@ashaamran4879 Жыл бұрын
Hee kwahiyo mtamrudia 😢..kweli twig alipendwa
@kilungumsabaha3891
@kilungumsabaha3891 Жыл бұрын
Yaani hili lidada lizuriiii lipewe maua yake nimelipenda bureeeee lina moyo mweupe hadi rahaa
@sophiakimashi-od2sq
@sophiakimashi-od2sq Жыл бұрын
Napenda sana interview za imelda❤
@sitimwarakwe1830
@sitimwarakwe1830 Жыл бұрын
Dada Amina zai sio mwanamke mtaftie bro Dulla mke
@asyamgeni9819
@asyamgeni9819 Жыл бұрын
Ni kweli
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 Жыл бұрын
Dula nae si mume kabisa
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 Жыл бұрын
Wewe utamfaa😂😂
@Asma-m1j
@Asma-m1j Жыл бұрын
Eeee kweli , Kwanza anavosema anaumia wenzao wanawachora hata huyo mtangazaji anamkejeli tu
@sitimwarakwe1830
@sitimwarakwe1830 Жыл бұрын
@@zaydelabay9776 mm n mke wa mtu na sai nko na 12years kwenye ndoa yngu na Dulla n kakaangu tu
@LadyMzana
@LadyMzana Жыл бұрын
Makofi kwa wifi Amina. Tunakupenda my wii
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu dadaake dula mcheshi muungwana na mzuri mashaallah.👍
@GiftAbduly
@GiftAbduly Жыл бұрын
Huyu ndio wifi sasa ila zai sio mvumiliv lakn pia wanaume waache kubipu tutawapigia 😂😅
@RachelJohn-f3b
@RachelJohn-f3b Жыл бұрын
Hii hiyo nimeipenda kwamba akiaswa anarudiwa kwa hy limekuwa gombania goli
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
Nampenda huyu dada mash Allah
@jennet6484
@jennet6484 Жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada
@zubedasaid5962
@zubedasaid5962 Жыл бұрын
we wifi mzuri mwaya
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Жыл бұрын
Wajina uko vizuri,nakupenda sana❤❤❤❤
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
Pole sana da Amina hata mie naumia sana🥲🥲
@kilimanjaro77international26
@kilimanjaro77international26 Жыл бұрын
Dadake dula pisi faya hivi,,? Maashaala
@AhmedMohamed-um8ox
@AhmedMohamed-um8ox Жыл бұрын
Amina ongera ❤
@LISSA028
@LISSA028 Жыл бұрын
Usjarii,,anamdanganya huyo mzunguu😂😂huyo wa dulla tu
@SaidiYahya-t1c
@SaidiYahya-t1c Жыл бұрын
Daah dada amina mzur jamani
@Asma-m1j
@Asma-m1j Жыл бұрын
Dada ukisema hivyo mnampakichwa onahata mtangazaji anavyo kuhoji anafurahamoyoni onamaswaliyake , mhhhhhh, maswaliyakejelikamayote, duuuuu uu, bora ungenyamaza kabisa weeeeee,
@GaudensiaLaswai
@GaudensiaLaswai Жыл бұрын
Huyu Hana unafik..nmempenda bure❤
@IddaItuga-o9d
@IddaItuga-o9d Жыл бұрын
Amina nakukubali buree
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Mawifi kama Hawa bado wapo nampendaga uyu 😊
@vivianlucas6389
@vivianlucas6389 Жыл бұрын
Wapo yan
@stellajoseph6212
@stellajoseph6212 Жыл бұрын
Tupo mm napambna na kaka zangu aweee mawifi zangu nawapenda binadamu wote hatujakamilika mawifi wametuzalia watoto wazuri wanaupendo ❤❤❤
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
@@stellajoseph6212 Ubarikiwe
@MwajumShaban
@MwajumShaban Жыл бұрын
MWanaume ndio anampenda mwanamke Lakin mwanamke hampendi dula angekua anampenda asingeenda kwa MWanaume mwengine ila mungu ndio mlipaji atamlipa kwa tamaa zake malipo ni hapa hapa dunian 😢
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
@@MwajumShaban duh
@harry-harris
@harry-harris Жыл бұрын
Mama kama hyu ndio mzuri koz anasema ukwel Roho yauma
@NuruAbdully-j4f
@NuruAbdully-j4f Жыл бұрын
Yaaaaani amina km mimi tu 😢 hapa nilipo namuombea niffer achane na OG ARUDIANE NA OCHU WALLAH
@dab8859
@dab8859 Жыл бұрын
😂,😂😂😂
@beauty-oq5kh
@beauty-oq5kh Жыл бұрын
Nimekupenda da amina, kuliko ninavyokupenda jua kali
@MercklineMalawandu
@MercklineMalawandu Жыл бұрын
Pole da Amina, kubali matokeo
@houseofbeatytv9682
@houseofbeatytv9682 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅nimejikuta nacheka nimekuupenda bure
@digoMastar-zf4ji
@digoMastar-zf4ji Жыл бұрын
Lakini uyo manara sio mume atamuacha muda sio mrefu hakaagi na wanawake uyo anakazi yakuoa na kuacha
@ghhj-ij7xs
@ghhj-ij7xs Жыл бұрын
Nkimuona huyu amina..nakumbuka ile video ya this is an aeroplane mwangu😅😅
@ashurakodd1589
@ashurakodd1589 Жыл бұрын
Kwa hao wanaojiuza ila tanzania kuna wanawake wazuri na wazur tena na wammetulia tu
@maramegamahega1991
@maramegamahega1991 Жыл бұрын
Masikin❤❤❤
@naimachiza3939
@naimachiza3939 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤Amina ❤❤❤❤
@UbaNsineno
@UbaNsineno Жыл бұрын
Ila Amina alimpenda zay n hii yote ni vile Amina anampenda kakake ila ndo asemavyo yote rizki
@TaarabChannel
@TaarabChannel Жыл бұрын
Mupitie na kwangu wapenzi mutaenioy ❤❤❤
@LilianChacha-i3l
@LilianChacha-i3l Жыл бұрын
Zai siomwanamke
@jescajulius8023
@jescajulius8023 Жыл бұрын
Bonge la wifi
@RakaPk
@RakaPk Жыл бұрын
Nakupenda sana dada Amina msema kweli mpenzi wa mungu ❤🎉🎉
@FatumaSaid-k3g
@FatumaSaid-k3g Жыл бұрын
Daamina muachie mungu kakaetu atapata mwingine bora zaidi
@HidayaWilley
@HidayaWilley Жыл бұрын
Mimi nimeumia jmn dulla mbn handsome san
@hassannassoro5542
@hassannassoro5542 Жыл бұрын
Sister nimekuelewa unabaya
@shakirashakira-gc2yw
@shakirashakira-gc2yw Жыл бұрын
Upo vizuli dada wa dula
@meryamreally2768
@meryamreally2768 Жыл бұрын
Pole sana dada 😂😂🙏🙏
@HadijaMyaria-qy4vk
@HadijaMyaria-qy4vk Жыл бұрын
Nampenda Sana huyo Dada jaman natamani angekuwa Dada angu
@amzish26576
@amzish26576 Жыл бұрын
She's A good girl That's Why even the family wanaskia vibaya but She's A Good wifi aki
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
😂😂😂 WiFi yuko makini saana
@juliennenzeyimana3274
@juliennenzeyimana3274 Жыл бұрын
Ma wifi kama hawo bado ni wadogo mno
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
😂😂😂amina nimempenda
@mozasalum9715
@mozasalum9715 Жыл бұрын
Dada amina ana roho nzuri huyu ndio wifi
@NaimaKaka-yo4hb
@NaimaKaka-yo4hb Жыл бұрын
Angoje yamkute ajafanya vizuri malipo yapo Hahaha
@SekelaJakson-ls7dd
@SekelaJakson-ls7dd Жыл бұрын
Mmmh wanampa tu kichwa tu uyo zailish ila wanawake wako weng tu tena wazur wenye tabia nzur kuliko zai dulla atulize tu kichwa apata mngine mzur zaid
@MariamOmary-n6c
@MariamOmary-n6c Жыл бұрын
Mawifi kama Hawa bado wapo uliwenguni Allah awalinde wazidi kuwepo 😂
@adelinaluhwagoadelinaluhwa333
@adelinaluhwagoadelinaluhwa333 Жыл бұрын
Ataachwa tu mbwa yule
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 Жыл бұрын
Mdada mzuri
@ahmadikhamis7010
@ahmadikhamis7010 Жыл бұрын
anazungumza kama maigizo
@Da_ley
@Da_ley Жыл бұрын
Nampenda uyu dad nimuazi
@RehemaMdoe-g8c
@RehemaMdoe-g8c Жыл бұрын
Pole dada Amina atarud huyo
@IbrahimMatayasara
@IbrahimMatayasara Жыл бұрын
Utazoea ddada usijal uwez jua ya kesho
@RareRobertha
@RareRobertha Жыл бұрын
Ila Siwa 😢
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Kwanini daa Amina achanenenae huyo c mke wakudandiwa na kila mtu atachuja haraka kwa tamaa zake Haji yuwaowa kwa kumkomowa 2 dullah lkn matdhaifu yke tutayasikiya Masham sham
@Legends_Interviews
@Legends_Interviews Жыл бұрын
Kabisa
@FatumaMohamedi-t6t
@FatumaMohamedi-t6t Жыл бұрын
Ila anaetoa talaka ni mwanamme kamuacha mwenyew 3 alikurupuka.
@AlbertYangson
@AlbertYangson Жыл бұрын
Kwani ndomwanamke pekeake tafuteni mke mwingine mtapata anaezidi huyo zai
@Kazi255
@Kazi255 Жыл бұрын
Wa kwanza leo like hapa 😂😂
@ZuuAbuu-cs1qo
@ZuuAbuu-cs1qo Жыл бұрын
Pole my dear
@ashaamran4879
@ashaamran4879 Жыл бұрын
Ila zai kupika si ajuj ??
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo Жыл бұрын
Huyu zai sio mwanamke hata uko atarudi kwao pili manara sio mwanaume ameachwa mala nne hio ya tano wataachana tu
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
Manara na Dulla hakuna tofauti halafu uyo mke wao Zai ni kama hao wanaume wake wote ndio wale wale
@triceyanga
@triceyanga Жыл бұрын
huyo dulla ye kaachana na wangapi mbona mnamlaumu tu mwanamke
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
@@triceyanga hata manara ameachana na 4 kama sio 5
@triceyanga
@triceyanga Жыл бұрын
@@svt3 mbona mingo ye alipitia acha na dulla apambane kulia kupokezana 😂
@svt3
@svt3 Жыл бұрын
@@triceyanga na zeru atalia tu kama ilivyokuwa Rushaina alipo chomoka, wote ndio wale wale wote hakuna tofauti
@RachelAisha-y3d
@RachelAisha-y3d Жыл бұрын
Uko vizuri saaaana saaaan
@ollenshamba
@ollenshamba Жыл бұрын
Huyu wifi ntamwona wap jamn
@thuraiyathuraiya401
@thuraiyathuraiya401 Жыл бұрын
Msirogi tu mtoto wawatu 😂😂😂Utajuwa hujuwi uwiiiii
@LadyMzana
@LadyMzana Жыл бұрын
😂😅🎉😊😮😢 dada Amina bwana
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
Dulla Makabila - PITA HUKU (Official Video)
4:58
Dulla Makabila
Рет қаралды 7 МЛН
Nvidia CEO Huang New Chips, AI, Musk, Meeting Trump
15:28
Bloomberg Technology
Рет қаралды 217 М.