I told them Haya maangamizi yatakuwa ya Hatari sana, SHAULIN SENETA ni mgodi uliosheheni madini mazito, RESPECT SANA SHAULIN PIA RESPECT NYINGI KWA EAST AFRICA RADIO KUPITIA DAKIKA KUMI ZA MAANGAMIZI VICHWA VIKALI VILIVYOJIFICHA HANDAKINI VINASKIKA... #HipHopIsAlive #OkoaHipHop #HarakatiKanuni #ChemChemSaanaNawana ✊🏿✊🏿✊🏿💪🏿
@user-cd4dv7wq9g10 ай бұрын
Shauli seneta fundi kabisaaaaa umeamua Wana MBEYA tuipeleke TRENDING hii
@nicholauserick717910 ай бұрын
🔥🔥, Dizasta ume inspire culture. Big up Seneta 💣
@kaJEMBEvip10 ай бұрын
Sure
@petersimon211510 ай бұрын
Noma sana shaulin sema mizukaa ileee ya kina Fifi na Jr inahitajika sanaa
@yusuphkacc62329 ай бұрын
Sibwebi na beat ....sibwebi na presenter na bwebwa na STREET 👊 ✊ WANAOMKUBALI SHAULIN 🥶🚸BUTTON ...........>>>>>>>🔋
@adamdemarch556510 ай бұрын
Wangapi waliisikiliza Simu ya Dada dodoma like hapa
@silivestamlaponi239010 ай бұрын
😂ina cover ya manyoya
@georgieskeneth720210 ай бұрын
Presenter Kapoa Mnooo.. Hii Dk 10 ilikuwa ya Moto sana.. Bring back Frida Amani n dullah
@user-xh7xw1pi3v10 ай бұрын
One Of The Best Mcee street verified ganster rapper✊✊
@motivationalimpactstories810210 ай бұрын
presenter kapoa sanaa kamkata mizuka mwanangu shaulin senetor
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
Presenter amezingua sana ina maana yeye alikuwa haoni UNYAMA unaofanyika hapo??? ILA mwana ameshusha madude kibabe Amesomeka vyema
@barakamgonja23989 ай бұрын
Presenter hana mzuka , ila mwamba katisha sana🔥🔥🔥🙌🏾
@pcthemaster909610 ай бұрын
Mbeya ina ma mc wakali sana. Tembeleeni pale kinasa wazi mbeya.🙌🏻
@fadhilidavid897910 ай бұрын
Hakika ukisemacho p maana uko ndiko chimbo la michango watu wanafanya maangamizi ya hatari
@dullahsimbaulanga647210 ай бұрын
>>>Shaulin Umetisha Mwana 🔥🔥
@alphoncesamwel697310 ай бұрын
Dizasta Inspired animal The close punch lines The same flow The same presentation The same rlycis Higher UP shaolin
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
Dizasta hajamuinspire SHAULIN, n washikaji kitambo walianza game pamoja, inaonekana ww ulikuwa humfahamu SHAULIN, nenda kazitafute nyimbo za SHAULIN msikilize KWA umakini utaona utafauti wake na Dizasta
@allycaydo986510 ай бұрын
Hawa jamaa been raping together since then. Sidhan kama kuna mmoja kamuinspire mwenzake.
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
@@allycaydo9865 safi sana kumbe ww unawafatilia kitambo tuko pamoja ✊🏿
@eustachntayandi23410 ай бұрын
Shaulin is one of the best,ila presenter hana mzuka anaharibu radha
@jingakubwa51693 ай бұрын
Kwl sister anazingua
@jingakubwa51693 ай бұрын
Kwl sister anazingua
@abbacylucas96209 ай бұрын
Dj na presenter amna kitu huyu mwamba katisha pamoja na ubovu wa presenter ila kaonesha uwezo big up home boy
Huyu mwamba kaanza gemu pamoja na dizasta vina, sema ndo vile humfatilii kaka.
@makantaafrika10 ай бұрын
One of the best rappers in TZ right now! SHAULIN SENATOR ✊🏿🖤 EATV wekeni watu wenye mzuka wa RAP kwenye kipindi kama hiki! Sio Kila presenter na DJ wanaweza nogesha hii mizuka 💪🏿💯
@Gmafic10 ай бұрын
Hichi ndicho kimeniangusha kwenye pindi la leo kwakweli, Shaulin ana hasira na anachokifanya ila mzuka wa presenter uko chini sana yani hana vibe wakati kinachofanyika hapo ni unyama tupu. Shado 🔞🔞🔞🔞
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
Madam sijui ameachwa maana AMEPOOZA SANA tofauti na session nyingine anakuwaga na vibes
@Gmafic10 ай бұрын
Au wanawake mpaka wawezeshwe maana hizo session nyingine anapataga vibes akiwa na Dullah Planet 😂
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
@@Gmafic 🤣🤣🤣
@kaJEMBEvip10 ай бұрын
Sure apoo n JR JUNIOR ndio anamzuka
@rajabkipanda876410 ай бұрын
Makini sana from green city
@igabamc689410 ай бұрын
Dizasta mtupu😂🔥🔥🔥🔥 Umeuwa kinoma🙌🙌
@OVMiNG10 ай бұрын
My second best rapper after Dizasta
@fadhilmohamoud9 ай бұрын
Mtangazaji apo akuna aisee mrudishen Jr junior anawapatia sana awa vijana
@joowzeyboyjoowzee447410 ай бұрын
Angekuwepo mwanangu dulla planet au jr pindi kubwa ilo
@nakali7910 ай бұрын
Simu ya dada, hata uwe mwizi vipi huuibi"... Ila nasikia namba ya tigo alipewa wiz kid"
@maishacenter-eastafricatv39767 ай бұрын
K😂😂
@meshack255910 ай бұрын
GOAT!!! meeeeeeehmeeeeh, motto umewaka apo ndan, sema hao ma-presenter wapewe session nyingine
@nzizaeric53409 ай бұрын
Fireeeee 🙈🤝🙈
@ItsFrankKAPANDE10 ай бұрын
Been waiting for this homie for so long
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
Madam amepooza sana hajampa mwana vibes kama nilivyomzoea, ila mwana ni kamanda ameshusha madini kibabe Amesomeka vyema
@venturebown698310 ай бұрын
Namskia Dizasta vina...but all in all Bravo's buda
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
Walianza game na Dizasta pia n Wana sana ukimsikiliza vizuri utaujua utofauti wao
@francyfanuel128610 ай бұрын
Sema dj wa hip hop ni Dj dea peke yake huyu wa leo fala tu... 2.presenter pia kapooza kisenge hajui punch line wala nini?hiki kipindi kitammisi sana Jr junior na Fifi,wale walikua wanajua wana wanachofanya......huyu bonge leo hapana kwa kweli huyo mwamba anayechana sio mdogo sana kwenye kinasa ana balaa lake
@user-wx3dg6me8u7 ай бұрын
Huyu ni moja ya mc ninaemkubar pamoja Dizasta Vina. Mbeya kuna vichwa hatar sana.
mdogo angu Shaulin seneta umetisha kinoma noma , Mbeya city halla
@kaJEMBEvip10 ай бұрын
1.dizasta 2.nacha 3.shaulini 4.bando/manengo 5.?
@mathiasmwakibuja172810 ай бұрын
Mbeya begani.... noooma saana
@johnmmbine291610 ай бұрын
Nomaaa huyuu jamaa
@nakali7910 ай бұрын
Mwanazuoni, mbeya city boy
@mussasellemani82203 ай бұрын
Huwa namuona kama Dizast hivi
@mbizepoemkid47610 ай бұрын
Always green eagles to the top. #msomi
@josephnyawanga66499 ай бұрын
shaulini master....
@nicksonchisunga306210 ай бұрын
Mbeya mabegani shaulin💪💪💪
@uchebechata982310 ай бұрын
Shaulin master kauwaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥📢📢
@josedorothea793910 ай бұрын
Oya weeeh 🎉🎉🎉🎉 mbeya salute 🙌
@Pip_magician10 ай бұрын
Shaolin
@kastorymalila110910 ай бұрын
Shaulin flow ni🔥🔥🔥
@soomalava122710 ай бұрын
Nimkali sana anajua aswa 💯💥
@hobabukipaka125010 ай бұрын
Naona amekua inspired na dizasta vina
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
Hajawa inspired na Dizasta vina usiwe una comment kama HUJUI, SHAULIN na Dizasta walianza game pamoja nenda kazitafute nyimbo za SHAULIN msikilize KWA umakini utaona utafauti wake na Dizasta SAWA
@marcomushi-nd8ku10 ай бұрын
Jini la mistari
@FadaBronx9 ай бұрын
Senetaa🎉
@marcomushi-nd8ku10 ай бұрын
Shaulin tunaomba arudi tena tafadhari
@Africa_hiphop10 ай бұрын
Tisha sana om boy
@Paplick910 ай бұрын
Hatari sana 💯💯💯💯
@harrykarua923810 ай бұрын
💯👊
@nivogee983010 ай бұрын
Jiwe la dhahabu mnigga shauli flow 🔥
@kastorgeorge74410 ай бұрын
Umetisha broo
@pharergyramson59189 ай бұрын
Presenter hana hata vibe hiki kipindi kishakufa
@MKWECHEMEDIA2559 ай бұрын
Noma sana shaulin
@joowzeyboyjoowzee447410 ай бұрын
Mwamba kaua kijambazi😅😅😅
@adaboyzOG201210 ай бұрын
mkali umetisha🔥🔥
@eliezamachaku71779 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@anthonymwikamba193310 ай бұрын
Kaliii...🔥
@kaJEMBEvip10 ай бұрын
Tofaut kat ya dizasta na seneta.kwamba dizasta n story taller so shabiki n rais kumpa sikio dizasta..seneta n mchanaji
@nzizaeric53409 ай бұрын
Simu ya dada ina cover ya manyowa 🙈🙈🙈🙈
@gwantadibusta10 ай бұрын
Qudadeki, Fireeeeeeee
@joramkuboja479410 ай бұрын
Noma sana
@victorbenny673010 ай бұрын
Salute hommii
@YuriBoyka-jb6nf10 ай бұрын
Bro shaulin ni mbora was rapp always but presentr kazingua mzuka zirro
@mcalphana10 ай бұрын
Jamaa yupo vzur alaf n muandishi mkal sana🔥🔥🔥
@user-dl6sr6ji3q10 ай бұрын
oooh Shauliniiiii Noma sana Mzee .Maaana halisi ya Hiphop
@radimctz5829 ай бұрын
misingi imezngatiwa
@jamesthomas584610 ай бұрын
Kk unaweza
@nakali7910 ай бұрын
Mbeya imejaza ma DIZASTA vinas kila kona
@Mzava_Tz10 ай бұрын
Simu ya dada ni nomaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌
@giftpatrick402910 ай бұрын
Huyu jamaa ni fundi sanaaaa
@chifmonger9 ай бұрын
Duuh simu haizimi ata ikilowa 😂😂😂
@davidmuna10 ай бұрын
Kijana umeiva mitaa inakutambua sana
@gwatanotheuniversaldonor10 ай бұрын
Hatari sana
@amosnaqbarxanaabddallah27309 ай бұрын
Tangu mwaka 2016 nakujuaga,pia black fire bado cjamuona humu
@shobimzawa10 ай бұрын
SHAOOOOOLIN ✌
@innowatamaduni924810 ай бұрын
Balaaaa zito
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
Mwanetu kaua kinyama ILA Presenter amezingua hajampa mwana vibes ina maana alikuwa haoni UNYAMA unaofanyika hapo??? SHENZI SANA UYU DEMU!!!, session kama hizi sio kila presenter anaziweza EATV wanapaswa kufanya maboresho
@fillyfredy.10 ай бұрын
Good
@user-lq4pc9hx4t10 ай бұрын
love homeboy
@bakarisalim937210 ай бұрын
Yaaah! Huyu ni MC
@Africa_hiphop10 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥♥️♥️🙌🙌
@user-zo2gj4sx1l6 ай бұрын
Kaka ww mkar sana
@fourfigure-bk1pb10 ай бұрын
Kijana ako poa but ako slow kidogo na beat
@greenboy_wizard10 ай бұрын
💥💥💥💣
@ventureb209810 ай бұрын
Hiki kichwa ni laana 🙌🔥
@ShaqueeBlackrapper10 ай бұрын
IRUDIWEEE HII 🔥🔥🔥
@hassanidrisankingilea882710 ай бұрын
Simu ya dada🙌🙌🙌🙌
@pitbullfamily449910 ай бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾😈🔥💯🚀
@teilencedevard943110 ай бұрын
Kabla yaku msikiliza na download kwanza ili iwe save kwenye cm na pc yngu
@OchoaHomeDecor_8 ай бұрын
Mzee wa Simu ya dada
@pitbullfamily449910 ай бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🥊🥊🔥🚀🚀
@LehanaBanda-uf5wh10 ай бұрын
The green city....mbeya
@user-zy2vg6kl1s3 ай бұрын
CHANGAMOTO YA SHAOLIN SENETA NI KUZALIWA KWENYE KARNE MOJA NA DIZASTA ILA NINACHO AMINI WOTE WAPO DARASA MOJA