Hii ndiyo live show sasa siyo wale wazee wanaweka wimbo halafu wanafuatisha... Kazi kusema tu siwasikii... Imbaaaa... Twendeee.... Respect kwa huyu mtu
@dakota_mtuhatariКүн бұрын
@@smashjuanito5134 🤣🤣🙌
@Alexmosses13 күн бұрын
Ukiwa na msela wako anazingua ndo utajua utamu wa hii ngoma 🙏🎈@dakota
@dakota_mtuhatari6 күн бұрын
😂😂kabisa
@BURNARAM-p9h14 күн бұрын
Sana kk❤ unajua
@Dausanny4 күн бұрын
Nakubali sana uyu mwamba🎉
@MeryYakobo11 күн бұрын
Saiv masela jau🎉
@SolomonHenry-y7h15 күн бұрын
Tuwekee mzigo huu Audio Maki 🙏
@emmawilson519513 күн бұрын
Tunaomba remix ya wimbo huu please Dakota original imepooza
@dakota_mtuhatari13 күн бұрын
Sawa ntatangaza siku ya kuachia rmx ipo tayali
@emmawilson519513 күн бұрын
@dakota_mtuhatari Ahsante kazi njema
@cyprianmahundi766715 күн бұрын
Hii imeendaaa 🔥🔥
@user-sm3zb3ee1t9 күн бұрын
Hii ifanywe kama hile ya wivu ngoma kali
@dakota_mtuhatari6 күн бұрын
Sawa soon tu
@MathiasMnupe8 күн бұрын
Hiii ngoma kali sana na ni singeli ya mwaka
@dakota_mtuhatari6 күн бұрын
Kabisa 🙏🙏
@RamadhaniNgalali3 күн бұрын
Ngoma kali
@MajinjahEdgar13 күн бұрын
Sahihi fam🙌
@AminaMsaki-h6o15 күн бұрын
Kali sana ❤❤❤❤
@BishyBaro13 күн бұрын
Kweli mwanangu
@RoseKide13 күн бұрын
Jama et yakwenye shoo nzuli kuzid nyimbo ya originally
@KisagaJohn-o6b15 күн бұрын
Nilingoja sana hii Ngoma live😂
@magembesucha47913 күн бұрын
Kweny official alibana pua 😊
@skmovies-m8f4 күн бұрын
himenda iyo apo shega
@radhiamtindi780914 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ hii ngoma kali sanaaaaa
@dakota_mtuhatari13 күн бұрын
🙏
@bolikoAli-y1q10 күн бұрын
Unyama wakutoshaa from 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@dakota_mtuhatari9 күн бұрын
@@bolikoAli-y1q nakubali
@ChrisHida-u8t4 күн бұрын
Umepiga mani
@HusseinMoyo-d3w13 күн бұрын
Bonge lashoooo
@FanyTz-q2c15 күн бұрын
Noma sana
@flocomc34933 күн бұрын
Makofi ma3
@makizonemc137416 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@UwezoMpondaКүн бұрын
Kaka mh
@ShizzyDizaina7 күн бұрын
Mtu atali atabaki kua atali tu KIFALU
@LeoNard-x2q14 күн бұрын
Nyimbo haieleweki ila tunarukanayo ivo ivo wauniiiii😂😂😂😂😂