Watz wanadharau sana,usiombe ukapata hayo magonjwa hayana tiba kamwe.usiombe bora usikilize ujiokoe mapema na hayo majangà
@happinessmisanga4944Ай бұрын
Wengi hawaelewi ndiyo tatizo lao yaani hata uwaambiaje wabishi balaa tuwaache tu
@MshigilaKarume2 ай бұрын
Ndyo kubet siyo mpango wa mungu
@SarahSamatwa2 ай бұрын
Tunaposhauriwa hatupendi.kwasababu ya mfumo wa maisha yetu tujitafakari wenyewe kwanza .unachoona kinafaa kichukue.
@zainabzain3434Ай бұрын
Nikweli
@HileHile-ns9xvАй бұрын
Kwel kabsa Allah akuzdishie
@KundaelKimambo2 ай бұрын
Nimekuelewa sana
@MichaelMathew-j3f2 ай бұрын
Safi sana doctor. Uko juuuuuu sana nakuaminia hakika. Ila hapo kwenye soda mwanangu weeee!! Ahhh wacha tu ninywe kwa raha zangu!!! Hahahahahahhahaaaa
@ImanAngelo-zl2wxАй бұрын
Hatar Sana naona unapenda Sana soda rafik yang
@aminitu37662 ай бұрын
Nakukubali sna docta
@elishampoki8751Ай бұрын
Hata hili jua pia linasababisha magonjwa mengi ya kuambukiza ,Kama umeme usiku ukikatwa,na mchana jua Nani atakata,joto la jua linazalisha bakteri nyingi za magojwa, Hapo ni Mungu tuu, ndo atusaidie ,tukianza kusingizia umeme Tena ,Mimi nimezaliwa natumia umeme,ndoleo nasikia umeme unamagonjwa,sasa sayansi niongo,
@annamariamakula3853Ай бұрын
Hujamuelewa amemaanisha umeme ukikatwa watu watalala hivyo kuepuka magonjwa sio kwamba ukiwepo unaleta maradhi. Sikiliza kujifunza usisikilize kuokota vya kukashifu
@nantaembanusurupia5674Ай бұрын
Dokta tuambie pia unapaka mafuta yapi, maana ngozi yako mashallaa😊😊
@jkifutu79362 ай бұрын
Upo sawa sana dor
@KhamisChaz-td4nz2 ай бұрын
Wanawake wengi sasa ivi hawaridhishwi kwenye tendo la ndoa wanaume wengi wapo bize sana na simu kubeti na mitandao
@yohanamchekwa18032 ай бұрын
Dr wangu pendwa
@mhifadhi797Ай бұрын
Dokta ubarikiwe sana hayo yote nilishafanya na vina apply
@DeogratiasKibendela-rb6ts2 ай бұрын
Nimekupata dr
@domymerinyo81652 ай бұрын
Unaongea bila kufikiria maana wanaofanya kazi usiku wanalala,kuna tatizo gani, ukumbuke dunia inatofautiana kwa masaa. Magonjwa mengi yanaletwa na vyakula vingi vinalimwa na kuwekewa sumu
@allyseba1722 ай бұрын
Ukwel ulivyo Usk n mchana n nyakat mbil tofaut Usk n Usk tu na n muda shh wa kupmzka
@KhamisChaz-td4nz2 ай бұрын
Ni kweli dokta kipindi cha kufunga Ramadhani waislamu wengi huwa tunapata afya sana
@zainabzain3434Ай бұрын
Ukweli mie mpk vidonda vya tumbo sijui nimeponaje maana Ramadhan shida week ya kwanza baada ya hapo nakuwa sawa
@manaseliberatus13472 ай бұрын
Hapo uko sawa
@noellumbael83972 ай бұрын
Doctor anazingwa na hizo microphone tunataka kuona body language yake kwa uzuri sasa hapo anaongea kwa kumchungulia mtangazaji rekebisha hiyo.
@ahmedissa18272 ай бұрын
Docta,hapo kwenye kukatwa umeme uweke madirisha wazi upate hewa fresh ukumbuke maambu ya malaria uliyasahaulia wapi,? Ama malaria yameisha😂😂😂😂😂
@NelsonChovenyeАй бұрын
Doctor tumekuelewa uko Viziri
@thobiasbukali9008Ай бұрын
Mie nabet kilasiku naliwa nakula na mzigo napiga kama kawa zaidi ya miaka 9 ndani ya gemu. Kikubwa ni kujitambua tu
@KhamisChaz-td4nz2 ай бұрын
Nyani wanaishi mda mrefu bila magonjwa kwa sababu wanapenda sana kula ubuyu ni dawa kweli
Huyu nadhani hajielewi anadanganya watu arudi tena au aende kwa hao anao wasems ni viongozi ea dini wakamfundishe kuwa kulikuwa na watu walikuwa hawalali kabisa pili hajui tiba za kusafisha mwili watu watu walikuwa wanajichua kabla ya kubwti huyu ni muongo sana au anaangalia maisha ya sasa
@tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын
Mimi nimemwelewa saana lakini wajinga hawawezi kuelewa
@AlexisKinobinobiАй бұрын
Dr. Sisi kina mama wengi tunasumbuliwa sana na kuwa na nyege nyingi sana tunaweza kufanya aje ili zipunguwe? Huyu ndio ukweli ijapo wengi hawataki kuongea tysaidiye
@eliasnganira76612 ай бұрын
Nilikuwa nakutafuta sana
@bushimani15442 ай бұрын
GD
@thelivingwordchannel90272 ай бұрын
Hii elimu ya kukaririshwa ndo madhara yake
@Mumewangu2 ай бұрын
Hapo pakulala usiku umepatia mchana tafuta usiku upumzike kidogo
@FranckDaniel-cc5rg2 ай бұрын
Ukweli beti ni ulev
@NachaKing-nj7cpАй бұрын
Tena pombe kalisana mm nashindwa kuacha
@JamilaMbezi2 ай бұрын
Aeleweki
@nuruyakowewe2 ай бұрын
UKO SAHIHI DOKTA ILA TUNANUNUA GENERATOR WAKIKATA TUNAWASHA😂😂😂
@BabMuniwe-pg7el2 ай бұрын
Wewe naye ni garasa kabisa doctor mavi
@miburoemeline4070Ай бұрын
Jiheshimu😢
@zahraalbaloochi2841Ай бұрын
Ukosefu wa adabu
@ahmedissa18272 ай бұрын
Docta rudi tena darasani ukajinoe zaidi😂
@aminitu37662 ай бұрын
Usikarir maisha
@yasirabdalla14302 ай бұрын
Tutatumia majenereta
@yasiniSwedi-qg5oc2 ай бұрын
Dkt Hamnahapo kilaza
@HamidakomboKombo-xs2ju2 ай бұрын
Nyie mnatupumbaza tu uyo doctor au miyeyusho?
@johnkitwima69632 ай бұрын
saa 8 ye mwenyewe alikuwa anadhurura hajalala, kukata umeme hicho ni kitu ambacho hakiwezekani na viwanda vitaoperate aje wakizima umeme
@dalalimrembo2 ай бұрын
Ma dr hawanaga midomo na haraka ya kuongea... Ni wakimya wana mapozi huongea kwa ustaarabu na wanaweza mate🙄
@kmotivation1130Ай бұрын
Pokea message acha ubishi
@husseinkonz5192Ай бұрын
Dokta unapiga mishono 😅😅
@hildagabriel10032 ай бұрын
😂😢😢
@imanimanda42542 ай бұрын
Hapo hakuna doctor
@westmanmoses5412 ай бұрын
We endelea tu kupiga coca na Pepsi kwa rahaa zako
@itanzaniaASАй бұрын
NI FOLLOW UJUE TOFAUTI KATI YA DAKTARI, MGANGA NA MGANGA WA KIENYEJI😂
@RehemaMasunga-ml7kt2 ай бұрын
Unga wa ubuyu unafaa kwa mgonjwa wa madonda ya tumbo
@SaadEbrahim2 ай бұрын
Juisi ya Karoti haiwezi kusafisha damu kwani juisi ya karoti ni asidi na asidi haiwezi kusafisha damu hapo umesema uongo. Na juisi ya karoti haiwezi kusaidai macho ni uongo mtupu Dokta.
@miburoemeline4070Ай бұрын
Si utuambie wewe basi?
@maninhocassamo15252 ай бұрын
Apo kwenye wanawake apo kushiriki tendo ya ndoa, afanye wanawake na mwanamume yoyote Au mwenye mimba?????
@yasirabdalla14302 ай бұрын
Mumewe
@maninhocassamo1525Ай бұрын
Ok
@Mumewangu2 ай бұрын
Apo kwenye soda sasa ndio utaniumiza
@MichaelMathew-j3f2 ай бұрын
Mimi huwa napiga soda hadi nne kwa siku. Nashangaa sasa!! Hahahahahahahaa
@SospeterSabaya-j1e2 ай бұрын
Kengee ww huoni anaelimisha jamii
@Mumewangu2 ай бұрын
@@MichaelMathew-j3f hahaha Mimi ndugu nikikosa siku moja nachanganyikiwa
@Mumewangu2 ай бұрын
@@SospeterSabaya-j1e kwa nin umwite kenge ndugu si MTU anasema ukweli wake