Jamani Madalali msitufanyie hivyo, yaani Chumba kimoja mnatupangisha wapangaji sita.... ila kwa staili hii tutawakomesha.
Пікірлер: 447
@dutchsafari75622 жыл бұрын
Team joti mbona mnawahi hivi anyways sijui kama mtaiona hii comment Ila nawependa wote ♥️♥️
@heromanmwamba50002 жыл бұрын
Like ishara kwamba tumeiona
@nitunda2 жыл бұрын
Joti 😂😂 una ticha sana kabisa Kongo 🇨🇩🇨🇩 tuna ku kubali sana.. una wa kongomani apa kweli 😍😍 finyeni basi like tujuwane 👋🏾 biya muki itaji ku anza biyachara na mutaji mudogo China 🇨🇳 na Africa 🇨🇩🇰🇪🇹🇿🇧🇮 karibuni nyinyi wote tuna uduma nzuri 🔥🔥🔥🔥
@nitunda2 жыл бұрын
Fasi iyi apa 👉🏽kzbin.info/www/bejne/hmTGqoSweKhkoNk
@brysonmeena10862 жыл бұрын
Dalali umeupiga mwingi sana kama Papee Othuman Sakho😂😂
@officalcrayz99392 жыл бұрын
Mapema tu kaka bwana Nisha Kitombangile Kitwango Mikazo 😄😄😄
@barakaelgabriel9132 жыл бұрын
Nmependa sana ulivyotoka stejini kumfata bi dada. 😀😀😀😀😀
@maryamfaradji31952 жыл бұрын
😀😀😀😀😀
@mymunamymuna48072 жыл бұрын
Joti dalali mkora🤣🤣
@zanzibarspice86862 жыл бұрын
Hv Joti ngp anapata ktk pay-per-view so proud of him Zanzibar Fan
@sherifaali72682 жыл бұрын
Tupo tele
@justinmuthima68682 жыл бұрын
Much love from Congo Brazzaville
@nitunda2 жыл бұрын
boni ndeko
@justinmuthima68682 жыл бұрын
@@nitunda kimya ndeko nanga
@MiaTheLathini2 жыл бұрын
Please niSapotini jamani kzbin.info/www/bejne/b6OuZGxvmdqkga8 sina Kazi nyingine Mjini hapa✊🏿🙏🏿
@noordndmn24432 жыл бұрын
Hola hola🧉🧉🌄 😃buenas tardes pase a ver ... magnífico el abuelito 🎶🎶🎶💕💕💕... gracias por la alegría joty TV🌹🌹🌹💖💖💖🇹🇿🇹🇿
@kassimrajabu78052 жыл бұрын
Mtombangile Kitwango,mikazoo… miguno😂😂😂😂😂
@allysuleiman60222 жыл бұрын
🤣🤣🤣nimeona show tu nacheka hahahaha joty u are hauna mpizani
@kingfocustzog2 жыл бұрын
_Mda mwingine tuwe tunawahi kurudi nyumbani kukaa na familia hawa tunao kunywa nao pombe kila siku kuna siku tukiwa na shida hawachelewi kukuzimia simu_
@princegiba81852 жыл бұрын
Umeitengeneza siku yangu,,,, big up mjukuu wa mikazo #joti
@sheinmpayo2 жыл бұрын
Joti unajua sana upande wa kufanya mtu apotdze mbavu zake
@jumannerajabu63242 жыл бұрын
joti noma sana namkubali baba
@ellymbwambo48272 жыл бұрын
Brother wamakoti katika ubora wake
@oswardnoel57282 жыл бұрын
Ilaa joti mzee umejua kutuondoa stress😹😹😹wakwanza leo
@williamkavuta80662 жыл бұрын
Sana nilikua na mawazo mpk kichwa kinauma ila now i feel relief
@erickmajengo18612 жыл бұрын
😃😃😃😃Joti is very talented in case of comedy
@rashidibamangwe70222 жыл бұрын
Wangapi mmemuelewa brother jot ya kwamba pesa yako ndo inakuweka seemu nzuli
@user-xi1pi4zr3b2 жыл бұрын
Tuanzie apo kwenye nguo, unazitoaga wapi JOTI🤣🤣🤣
@samuelmwangu33012 жыл бұрын
Chumba mstatili…Chumba kisambusa 🤣🤣🤣🤣 kina mnazi ndani 😂
@hajipeter1752 жыл бұрын
🤣🤣🤣 watuweke kwenye ma Bango, mwezi mzima kwa kweli..
@ultimateykoger59142 жыл бұрын
Joti you are the Best 🙌🏾, Love from Jupiter
@rashidbilal11502 жыл бұрын
Hahahah 😂😂😂😂 hizo buti noma sana
@scorasticaclement63082 жыл бұрын
Joti Noma Sana Hahahahahaha😂😂😂😂😂😂
@deathrow80042 жыл бұрын
Mikazo on fire💥🔥
@lawrencekaisa39932 жыл бұрын
Joti, nakucheki nikiwa Qatar, 👍👍👍 number one,uko Sawa mzee
@clauselijah82622 жыл бұрын
Chumba kina mnazi 🤣🤣🤣
@khadijashabaninimba78902 жыл бұрын
King of comedy 🤣🤣😂😂😂💕 joti
@kabosskdn22022 жыл бұрын
we lov u Burundi Joti Mkali courage mon frère
@jrmpoletz87502 жыл бұрын
Best comedy in Tanzania 🔥🔥🔥
@ustadhsudi22972 жыл бұрын
Kijana unatisha uko.mbali hii kali Niko kenya kazi nzuri hongera
@destinjoy1102 жыл бұрын
Kitombangile on stage 🤣🔥🔥🔥
@Makavelithedon20862 жыл бұрын
😂😂😂 Joti mkali wa comedy
@nitumesokoni31642 жыл бұрын
Duh chumba katikati kuna mnazi🤣🤣🤣🤣🤣
@abdulabdallh95062 жыл бұрын
Eti subilikwanza nichambekooh🤣🤣🤣🤣🤣
@ahmadsaid48782 жыл бұрын
Joti acha ujinga chumba 6000 kwa mwez😂😂😂😂😂😂😂dah kina na mnazi ndan
@williamkavuta80662 жыл бұрын
Hahahaha
@evaristimramba90472 жыл бұрын
My best comedyia. Sichoki kufuatilia
@yusufmwangichannel66922 жыл бұрын
😂😂😂Kali sana, ukiact kama Nishai bro ndio unatisha sana, endelea ivyo ivyo bro achana na episode zenye uwa una,act kama mwanamke. Watching from Qatar Doha🇶🇦 kama Mkenya🇰🇪
@blackpanther48252 жыл бұрын
I second your thoughts. From TZ
@shadrackkassale2968 Жыл бұрын
Big point
@thieryniyonkuru50232 жыл бұрын
Mnazi upo chumbani, ila huutowi, ipo kwenye mkataba🤣🤣🤣🤣🤣🤪🤪🤪🤪🤪
@abbyadams86912 жыл бұрын
Leo wa tatu! Kudadadeki!
@aminasalim8708 Жыл бұрын
Anae ijua iyo nyimbo anitajie jmn nmeipenda sana💃💃💃💃💃💃♥..ashheeee
🤣 🤣 Yani huyu jamaa anatuonea sana asubuhi tu notification joti katuekea kali ya asubuhi nishai kala kodi mbili😂😂😂
@pouvoircentral65092 жыл бұрын
Jamaa angeli kuwa mu Congo 🇨🇩 ange kuwa mbaya zaidi
@AdamMalekela-ei1hc Жыл бұрын
Umetixha apo stejini joti
@edwinamos88802 жыл бұрын
Joti kavu kweli start sana aiseeeee namkubali sanaaaaa uyooooo mwamba
@nsimbepaul37192 жыл бұрын
Joti Leo nimecheka MTU wangu daaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@evancetilya167 Жыл бұрын
Best comedian alive
@musamwambara68352 жыл бұрын
Joti Mungu akuweke Sana dunian daaaah😀😀
@ramadhanikizingq89722 жыл бұрын
Dah bangi mbya
@mzeewajambo82932 жыл бұрын
😂😂😂😂Ila Joti NILICHEKA
@youngweezy38462 жыл бұрын
Best comedian ever😁😁
@emmyminah12612 жыл бұрын
Ivyo vyombo nimevikubal🇴🇲💃😂
@msodokibluck12702 жыл бұрын
Chumba kina mnazi hutoi🤣🤣
@agnesbasistian92482 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 tante kwa burudani 🙏👌
@orestemanenomaneno77262 жыл бұрын
Dalali ntapeli😂😂😂😂😂😂
@alesiuskalumna7852 жыл бұрын
Nishai. Nakuelewa. Sana. Jeshi lako. Nikubwa
@homatv37092 жыл бұрын
You Never Disappoints Mr. Joti
@TamuzaKale2 жыл бұрын
Msenge alivyotoka nduki.. hEHEHEHE
@jumahamis2272 жыл бұрын
Joti unaua , sema warudishe kina sopa pia bhana 😂.
@mpambejr51492 жыл бұрын
Geneous , keep it up
@honestmallya48782 жыл бұрын
Subiri nichambe Koo😄
@vedastthecreator74502 жыл бұрын
Mtombangile kitwango😂😂
@mchagakitaani81072 жыл бұрын
Joti unakipaj kikal sana yan broo
@dalali_professionalwa_dodo83302 жыл бұрын
Ujue we msenge unatuaharibia sana jina letu fala ww.... Nyie ndo mnafanya watu waizarau hii kazi... Usituchafue...kamuulize lukuvi analijua balaa letu.
@kingtsonga27322 жыл бұрын
More love from South Africa Nishai....you are the best bro
@omariamiri55562 жыл бұрын
Hahhaahha wikiend imeanz na mindula aka nishai
@ezronyboaz83722 жыл бұрын
Ndo umeshukaje jukwaani sasaaaaaaaaa 😆😆😆 😂😂😂😂😂😂
@danlinetz29592 жыл бұрын
Chumba chenye mnazi🔥🔥🔥🔥🔥😅
@ashaabdalla9242 жыл бұрын
Nishai kageuka Kobe dakila 😂😂😂🙂
@nancyg866420 сағат бұрын
😂😂😂viatu kah
@devisshirima67802 жыл бұрын
5:07 Joti acha uhuni na madole yako hayo unatutukana watazamaji 🖕😂😂😂
@eunicejohn55202 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@MiaTheLathini2 жыл бұрын
Please niSapotini jamani kzbin.info/www/bejne/b6OuZGxvmdqkga8 sina Kazi nyingine Mjini hapa✊🏿🙏🏿
@habbyhalawa52662 жыл бұрын
Khaaa🙄🤣😂😂😂😂🙌
@askebinabwe0502 жыл бұрын
Bonjour Joti TV, mimi ni mchekeshaji toka RDC, nawa penda sana
@mwendemwende57892 жыл бұрын
Wah mbavu zangu mie joti utatuua na kicheko
@dullayorashiddullayorashid74442 жыл бұрын
Miwani ana vaa paka wangu😂😂😂
@japhetlust50502 жыл бұрын
😂😂😂😂
@BMCTV832 жыл бұрын
Rundi home man siyo kujikausha wote ulikua nao sasa atuwaoni kijembe. Tuna kuitanji kwenye orinjino komedi. Karibu nyumbani. Ili hule kwa $.
@fatmaseiph99582 жыл бұрын
Subiri kwanza nichambe koo 😁
@predictioneasyodds27792 жыл бұрын
mambo ni moto🔥🔥🔥
@martinsbernabentadolaberna35309 ай бұрын
Mpaka Moçambique ni so na noma kwib
@jordantemu71702 жыл бұрын
Joti Ile tuzo vya mchekeshaj Bora hulistahil 🔥🙌🙌🙌
@jumarashidi21052 жыл бұрын
Yupo jot mmoja tu tanzania noma sana
@tiffahkidoti89542 жыл бұрын
🤣🤣🤣 joti kazi nzuri
@jonemuchanga52822 жыл бұрын
Joti live from Kenya nakupenda bure Mzee
@ambrosealfred8052 жыл бұрын
Nyie tuombeee huyu mtu aishi miaka mingi maama anatupunguzia mawazo ya maisha mungu mjalie joti maisha malefu
@aslamrasheed98567 ай бұрын
picha linaanza familia yupo live band anaburudika hela ya kodi😂
@nemesapollo48462 жыл бұрын
Aaah niweke kwenye Bango. Baby bia imeisha ee si imeisha yenyewe. Aaah joti chix
@ramarite48412 жыл бұрын
😂😂😂Yulenani chini yameza
@lucasdavid86542 жыл бұрын
Kiukwel hwa nakuelewa sana mwamba
@eliascherehani29052 жыл бұрын
Walaii joti unaniuwaaa mbavuuu zanguu jamani
@swahiliwithZita2 жыл бұрын
haha joti jamani utanivunja mbavu
@ashachitemo78162 жыл бұрын
Daaah Nishai bhana
@JimmySirya2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@yusuphmtotela48712 жыл бұрын
Hatari sana 🔥 😅
@edsonbihangwa9523 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 alivyochomoka sasa unaikumbuka ile tomy and jerry 🤣🤣