MUNGU azidi kukutiya nguvu mchungaji asante sana kwa mafundisho Mazuri
@justinmulagala129610 күн бұрын
Amen Amen jina la Bwana wetu YESU libarikiwe
@ThebestJohn-x5y10 күн бұрын
Ubarikiwe sana Rabbit. Mana mafundisho haya Yamenisaidia sana kuelewa ninako enda.
@MariJosee-um7oe9 күн бұрын
Amen amen amen 🙏🏽🙏🏽
@mossesjovenari945710 күн бұрын
Tunakufatilia kwa ukaribu sana mtumishi MUNGU Akutie nguvu
@everinemasoka692311 күн бұрын
Amen Amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@GloriaYene10 күн бұрын
Amen Mungu aku bariki Baba 🎉
@VumiliaMichael-e2i10 күн бұрын
Abshaloom Mungu alie hai atukuzwe kwaajili Yako naamini nikifika mbinguni nitakukuta nikiwa sehemu ya mavuno Yako kwa Mungu
@JOSHUASAMWEL-m7v10 күн бұрын
Haya masomo ni muhimu sana
@JamesAtilio11 күн бұрын
Haya ndio masomo yanayohitajika katika nyakati hizi za sasa.
@IsraelPaul-b2u11 күн бұрын
Amina ndg yangu ktk Yesu kristo, hakika haya ndiyo mafundisho yanayo takiwa nyakati hizi.
@EZEKIAMGWILANGA-hj4hj10 күн бұрын
Ni kweli kabisaa, sio wakati wa kupewa matumaini na injili ya mafanikio ya kidunia
@bernadetteshukuru915411 күн бұрын
Amen amen
@alexeric685011 күн бұрын
Sauti haiko vzr This Gospel need Money
@AnastaziaAmasi-yy5vt11 күн бұрын
Amina nabarikiwa sana mnyampaa
@moyokajange169911 күн бұрын
Ameen nabarikiwa sana ninapo sikiliza mahubiri unaayo hubiri barikiwa sana mtumishi
@isacksimonmahungilo11 күн бұрын
Nabarikiwa sana na mahubir yakp
@magrethmkemwa928711 күн бұрын
Amen,ubarikiwe kwa kutusaidia kujua ñyakati hizi
@mboneamalaki567411 күн бұрын
Mungu nisaidie mambo haya yasije yakanikuta ghafla
@RachelMmasi11 күн бұрын
Ameni na amen
@NeemaHamissi11 күн бұрын
AMEN AMEN shalom shalom
@isacksimonmahungilo11 күн бұрын
Aminaa mtumish
@NeemaPatrick-l3o11 күн бұрын
Ee MUNGU unirehemu 🙏🙏🙏
@tabithalucas475211 күн бұрын
Amina sana
@NeemaHamissi11 күн бұрын
AMEN AMEN
@MarthaGao-t5f11 күн бұрын
Shaloom
@nynyarugusumatukio25511 күн бұрын
Shalom! Asante rabi kwa somo, nina swali: Je! Hiyo miaka elfu 1 ya ufalme wa MUNGU duniani itahesabiwa kama anavyohesabu MUNGU siku 1 kwake ni kama miaka elfu 1, au miaka hiyo 1000 itahesabiwa kama inavyojesabiwa nyakati hizi?
@davidnkurunzizajeremia351411 күн бұрын
Burundi tuko pamoja
@FarijiEdson11 күн бұрын
Mimi ninaswali Israel ni taifa teile kwa sababu ga i? Kama nilivyosiliza mahubiri bila shaka ni kwa sababu sehemu ya Israeli ni mahali ambapo kuna malango ya MBINGUNI naomba msaada hiyo ndiyo sababu ya Mungu kulichaguaTaifa hilo?