DANGULO OFFICIAL AND MASAI MDOGO

  Рет қаралды 5,046

DANGULO OFFICIAL

DANGULO OFFICIAL

Күн бұрын

Пікірлер: 55
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov 2 күн бұрын
Ndangulo hiyo ni vita shetani hataki Masai mdogo apone ni kushauli sio kwamba watu hawampendi Masai jifunze ukiwa unataka kuingia kuchangisha funga na kuomba masaa 12 au maa24 ukiona hueleweki funga hata siku 3 kavu ukifanya hivo hautokuwa ukitumia nguvu kuchangisha utakuwa ukisema kuchanga anachanga mtu mumoja pesa nakutosha maitaji yote au wengi unaeneza kwa halaka ujuwe kazi yako shetani hapendi❤❤❤🎉🎉🎉❤
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 2 күн бұрын
Samaani Danguro nisamee sana.mimi venye niko,nakuomba sana wewe ukiwa on live nitasapoti nasikia kusaidia sana ila siwezi kujieleza hapa,nisaidie hii wiki nipo Nyumbani kuwa live tuangalie jinsi ya kufanya Mungu akubariki kwa kunielewa hata sasaivi ukiingia live utanisaidia sana.
@lilianmbeyu
@lilianmbeyu 2 күн бұрын
nimekosa live but am here to know what's going,miss masai mdogo sana,
@EstherblessingNjoki
@EstherblessingNjoki 2 күн бұрын
Okay it's fine things are not okay outside bt we will try our best, cz the good work you and the team has done God will intervene... continue praying and believing God
@Apostlesimonmuemalive
@Apostlesimonmuemalive 2 күн бұрын
Tuko na wewe bro. You are the best
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb 2 күн бұрын
Poleni sana na hongereni kwa kupambania maisha ya watu wenye matatizo Mungu awabariki sana.mimi tunapishana sana masaa ndio maana’kuwa live samaani.
@RaelNekesa-254
@RaelNekesa-254 2 күн бұрын
Guys this is not time to blame anyone lets support him please is end month we can do this😢dangulo don't give up everything will work for ur good ❤❤❤
@faithimani-kg2ct
@faithimani-kg2ct 2 күн бұрын
LET'S ALL SUPPORT TEAM DANGULO, WE ARE SO DORMANT AKI 😢 AND YET WE CLAIM TO LOVE DANGULO, WE LOVE MASAAI, HOW?? LET'S GIVE HIM HIS FLOWERS WHILE HE IS ALIVE GUYS. I BEG YOU IN JESUS MIGHTY NAME
@jacklinerudisi5116
@jacklinerudisi5116 2 күн бұрын
Aki this painfully Dangulo but don't give up, my dear friends let's support hata ukiwa na 5bob, 100 Bob itasaidia mahali, tuache kushinda tulisema ati your jobless yes naelewa situation sahizi ya pesa ni ngumu but rem masaai amekuwa aki save maisha ya watoto wenye si family member tu jikaze tu ukiwa na 100 peana 50 kula 50bob,,na God ataona enyewe umetoka Ile kidogo and trust me next time utabarikiwa na 200. Hivo ndio mungu anataka but wewe ukishinda tu Sina, Sina ooh am jobless utabaki tu hapo. So tu jikaze tu mimi nikiangalia vile Niko na majukumu mengi hata mungu wangu anajuwa but najinyima ni support our heroe masaai aweze kupata uponyaji. Anway let's support na tungojee God's blessings
@MichaelHakme
@MichaelHakme 2 күн бұрын
Takutumia kakitu mwisho wamwezi
@SusanSuzzy-dz8bm
@SusanSuzzy-dz8bm 2 күн бұрын
Dangulo don't worry,some people wako Christmas so thing well b okey...
@ModestaFeliciano
@ModestaFeliciano 2 күн бұрын
Usikate Tamara mungu yuko name. Utapata hela
@joycewafula935
@joycewafula935 2 күн бұрын
Dangulo mwesi umeisha pesa watu watatoa , mbona unaksirika, GOD will make away, ni lazima tutamtoa
@FaisalToto
@FaisalToto 2 күн бұрын
Dangulo usikate tamaa maombi Kwa wingi hao mashetani hawataki Masai mdogo apone wanawazuia watu kusaidia
@AsiaHussein-u9h
@AsiaHussein-u9h 2 күн бұрын
Pole dangulo
@GetrudeWanjala
@GetrudeWanjala 2 күн бұрын
Wewe uliwajilia mzee akaenda
@emaseeunice
@emaseeunice 2 күн бұрын
Haki guys let's support masaai mdogo
@cynthiaburundi5116
@cynthiaburundi5116 2 күн бұрын
Usikatetama. Mugu. Akonanyinyi..ndaguo.mawombi.mamamarindi.amefik.kikofi.usisahuma.ombi.niyamuhimu.daguo🤲🙌🙏🙏🧎🧘🏽‍♀️🧘🏽‍♀️
@priscillahkunyu9273
@priscillahkunyu9273 Күн бұрын
may lord healing masai mdogo, no no death to masai mdogo in Jesus name amenoooo I break the death in masai mdogo in Jesus almighty God amenoooo
@wanguindungurecheal
@wanguindungurecheal 2 күн бұрын
Dangulo wheelchair contact Baruthi atakusaidia
@joycewanjiru9813
@joycewanjiru9813 2 күн бұрын
Dangulo i will send Kenye nita pata atakama ni kidongo
@phaniceodunga-he1kw
@phaniceodunga-he1kw 2 күн бұрын
@Dangulo mwezi ndio inaisha Masaai mdogo hatuwezi kumuacha
@Eunice-h1f
@Eunice-h1f 2 күн бұрын
Ae dangulo pia wewe umetutupa yawa mbona unaboeka
@Eunice-h1f
@Eunice-h1f 2 күн бұрын
Gai pole dangulo 😢😢 usichoke wekatu sababu kuna wale wakiingiawakiwa wageni watakusaidia aje plx kusapot
@bitylast5022
@bitylast5022 2 күн бұрын
Yes mama Nyambura
@maryngatia2362
@maryngatia2362 2 күн бұрын
Wapi Masai mdogo
@GetrudeWanjala
@GetrudeWanjala 2 күн бұрын
Ugajilia mama wamalindi akaenda
@nancymukai709
@nancymukai709 2 күн бұрын
Wewe ukipewa hii kazi utaweza ama ni mdomo TU kulaumu dangulo Bure
@karanjagladys1827
@karanjagladys1827 2 күн бұрын
Ombeni mtume olum amponye
@RehemaSafari-c3u
@RehemaSafari-c3u 2 күн бұрын
Hi dangula I hope ukopoa
@stevemenze4285
@stevemenze4285 2 күн бұрын
Kitu ulifanya mpaka watu wanajitoa kwako ni kuachilia mzee amoss aende saizi anaanza kufufua watu walikufa akiwarudisha tena uha hiyo ndio makosa ulifanya dangulo Ndio maana watu wameanza kukutoka
@NzisaMulu
@NzisaMulu 2 күн бұрын
Amos ni jini
@MaryMuthoni-rf2qu
@MaryMuthoni-rf2qu 2 күн бұрын
True
@ImHello-s6g
@ImHello-s6g Күн бұрын
Quick recovery bro
@naseeralbishi4726
@naseeralbishi4726 2 күн бұрын
Hello dangilo nani alikupea ngumi
@maryngatia2362
@maryngatia2362 2 күн бұрын
Tuko ndani ya channel ya ndangulo😂
@Rebeccakakai-x6b
@Rebeccakakai-x6b 2 күн бұрын
Hy dangulo
@Sarasara-fi9zp
@Sarasara-fi9zp 2 күн бұрын
Hello mama nyambura
@MuminaMohamed-z4p
@MuminaMohamed-z4p 2 күн бұрын
Masai mdogo ako wapi
@dianamvuzwa-eh9ov
@dianamvuzwa-eh9ov 2 күн бұрын
Lakini usikate tamaa,sisi watanzania tutakuchangiaje?Ebu na omba jibu
@patricianyambeki1552
@patricianyambeki1552 2 күн бұрын
👋
@GetrudeWanjala
@GetrudeWanjala 2 күн бұрын
😮😮😮😮😮😮😮😮😮
@IreneKioi
@IreneKioi 2 күн бұрын
Kwani bill ni pesa gapi?
@divinahmachuka1859
@divinahmachuka1859 2 күн бұрын
160k🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔saidia
@GahahHuhu-b2s
@GahahHuhu-b2s 2 күн бұрын
😭😭😭♥️❣️
@GahahHuhu-b2s
@GahahHuhu-b2s 2 күн бұрын
♥️❣️♥️❣️💔😭😭😭😭🇰🇪💯
@selemanshaban7496
@selemanshaban7496 2 күн бұрын
TATIZO UNA UTOTO MWINGI
@DANGULOOFFICIAL
@DANGULOOFFICIAL 2 күн бұрын
Sawa
@joycewanjiru9813
@joycewanjiru9813 2 күн бұрын
Mbona unatusi mwenzako shame on you chunga sana usijipate mahali utataka msaada
DANGULO OFFICIAL  AND MASAI MDOGO ARE GOING LIVE
1:04:21
DANGULO OFFICIAL
Рет қаралды 6 М.
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
GOOD NEWS MASAI MDOGO KAPATIKANA
2:36:59
DANGULO OFFICIAL
Рет қаралды 7 М.
HERE IS MASAI MDOGO  come talk live with us
57:56
DANGULO OFFICIAL
Рет қаралды 6 М.
INZIRA Y'UMUSARABA  S2  EP 51  ( CYUSA aramujyanye😍😍😍😍😍 )
26:10