Asante sana shekh nilikua sijui mungu akujalie kila la kheri ishaala
@abdulmuttwalibalanswaary7 жыл бұрын
aamiin, nawe pia allaahh akupe kheri zote inshaallaahh.
@abdulmuttwalibalanswaary5 жыл бұрын
AFWAN NDUGU ALLAAH ATUJAZI SOTE KHERI ZAKE INSHAA ALLAAHH, HIZO DUA NDIZO MAKUSUDIO YETU NDUGU. SHUKRAN SANA.
@RukiaMohd-uu3wl Жыл бұрын
Asalam alaikum ukitoharisha unanyunyuzia maji au unafanyaje
@abdulmuttwalibalanswaary Жыл бұрын
unamwagia maji mengi wala sio kunyunyizia, lazma maji yatirizike kwa wingi
@bnussrahlimsantah37304 жыл бұрын
Shukurani sana nmejifunza kitu
@koscienly63414 жыл бұрын
Je hata nguo nazo zioshwe na maji na mchanga au chombo cha chakula unacho enda kumuwekea lazima ukioshe
@RukiaMohd-uu3wl Жыл бұрын
Na maneno gani huwa yanasemwa au husemi kitu
@abdulmuttwalibalanswaary Жыл бұрын
nop hakuna dua yoyote ndugu
@RukiaMohd-uu3wl Жыл бұрын
@@abdulmuttwalibalanswaary sawa asante
@MohamedMohamed-fg1kh4 жыл бұрын
Asalam aleykum warahmatullah Kunuswa na mbwa piani najis?
@asyasuleiman76872 жыл бұрын
Sure ni najisi pia
@abdulmuttwalibalanswaary2 жыл бұрын
Sure Ni nini ndugu? nifahamishe nikujibu plz
@abdulmuttwalibalanswaary2 жыл бұрын
W.salam w.w. Ikiwa hakukugisa haina Neno, Na pia kama amekugusa lkn Hana majimaji pia haina Neno Lkn akikugusa Na Yuko majimaji Basi utakua umenajisika lazma ujitwahirishe. Shukran.
@seyfsparrow54745 жыл бұрын
Je kama umesahau sehem gan umeshikwa na mbwa..? Ila unajua kama umechezea mbwa . Unafanyaje?
@abdulmuttwalibalanswaary5 жыл бұрын
ASSALAMU ALAYKUM W.W. KWANZA SAMAHANI SANA NUGU KWA KUCHELEWA KUONA SUALI LAKO. JIBU NI KWAMBA UNAPOSAHAU MAHALI ULIPO RAMBWA NA MBWA INABIDI UJITAHIDI HADI UPATE MAHALI YENYEWE JAPO KWA DHANA, NA IKIBIDI KUJIOSHA MWILI MZIMA BASI NI AFADHALI ZAIDI KWA AJILI YA KUJITOA KATIKA SHAKA. SHUKRAN WA AFWAN.