Darassa feat Mbosso - Looking For Love (Track No.10)

  Рет қаралды 224,442

Darassa

Darassa

Күн бұрын

Music by Darassa featuring Mbosso performing "Looking For Love" (Track No.10 from the Album) Take Away the Pain, (c) 2025 exclusively licensed under CMG.
Stream/Download Album:ziiki.media/Da...
TAKE AWAY THE PAIN is an album with a theme that serves as a real weapon for the artist, using music to heal, entertain, and transform challenges into victories. This project is not just music; it is a mission to turn all negatives into positives. That’s why it is called Take Away The Pain by Mr. Burudani in English Mr. Entertainment.
Listen to Darassa on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/...
Apple Music: / darassa
Boomplay:www.boomplay.c...
KZbin: / @darassamusic
Spotify:open.spotify.c...
Connect with Darassa on Social Media:
Instagram: / darassacmg255
Facebook: / darassacmg
Twitter: / darassa_cmg
Written & Performed by:Darassa
+For More Information Booking Darassa:
Contact:Darasa.classic@gmail.com
©2025 CMG.All Rights Reserved
#Darassa #Mbosso #LookingForLove

Пікірлер: 507
@goldenpoze
@goldenpoze 4 күн бұрын
Ooh Mapenzi kilio, nenda waulize wenzio, ni mdudu wa sikio akikung’ata husikii la yeyote…. Aisee Mbosso umekamia sana huku ndani🔥🔥
@RodgersKenya
@RodgersKenya 4 күн бұрын
Mbosso akichapwa vizuuuuri atatwambia huwa anatoa mashairi yake wapi😊😂😂
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 4 күн бұрын
😂😂😂😂
@Vj_hAnss
@Vj_hAnss 3 күн бұрын
😂😂
@emaculathammbando
@emaculathammbando 3 күн бұрын
😂😂😂😂yaani wew acha tyu
@simcoolkenya3079
@simcoolkenya3079 2 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/goLWe5ZtbrBge5osi=15yTLwgTtHydZ5il
@NjoleZuma-ue9yo
@NjoleZuma-ue9yo 2 күн бұрын
😂😂😂😂
@MutukaBrian
@MutukaBrian 15 сағат бұрын
Walai mbosso ungeweka hyo chorus ikianza n smart Sana big up from Kenya
@suleimanmatege3899
@suleimanmatege3899 15 сағат бұрын
Mbosso mzee baba hii nayo umenimaliza n hit ❤❤much more love from kenya
@EvansObiri-n1x
@EvansObiri-n1x 19 сағат бұрын
Mbosso sasa karibu Kenya 🇰🇪 wakenya pita na huo mstari wa mbosso ooh Mapenzi kilio
@mosesemmanuel586
@mosesemmanuel586 4 күн бұрын
Anaye sema kwenye alibamu nzima hii ndo ngoma Kali gonga like za kutosha na comment za kwenda
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 3 күн бұрын
Mpumbavu wewe😂
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 3 күн бұрын
Unatombwa ubongo
@rubabaog7568
@rubabaog7568 3 күн бұрын
Darasa unyama sn
@valenciomwikisyo6048
@valenciomwikisyo6048 3 күн бұрын
Breakdown
@lourykibudu
@lourykibudu 3 күн бұрын
Breakdown ft king himself
@mashabikiwaharmonize
@mashabikiwaharmonize 4 күн бұрын
Wapi wapenzi wa mziki mzuri tuonyeshe upendo hapa ❤
@shadyarif653
@shadyarif653 4 күн бұрын
Kama unamkubali mbosso kwa kujisimamia kivyake piga like🎉👍
@GOODBOYKimbesa-y8y
@GOODBOYKimbesa-y8y 4 күн бұрын
Mbosso khan 🎉🎉🎉❤❤❤❤noma
@makaoyafutaa1302
@makaoyafutaa1302 3 күн бұрын
Huyo ni stima brooo😅😊
@shadyarif653
@shadyarif653 3 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/e6W4YqSZjNeDnLcsi=iVhMbVhupJ95XNZZ
@OmaryHaruna-o4k
@OmaryHaruna-o4k 3 сағат бұрын
Mboss moto mariooo ajipange sanaaa
@mamuwangu25
@mamuwangu25 4 күн бұрын
Hii nyimbo tuipeleke trending chap mbosso hajawahi kosea maua yko darassa album imeshiba unyama❤
@daxleetz
@daxleetz Күн бұрын
Dunia nzima imesema classic music
@gastonamnon7005
@gastonamnon7005 Күн бұрын
Alooo Nyie jamaaa😢😢😢😢😢😢 HII NYIMBO MBONA TAMU SANA 😢😢😢😢 DAAAH ..... YANI HADI MTOTO WANGU KAJIFUNZA KUTEMBEA KWASABABU YA HUU WIMBO 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@YOUNG_MILIE
@YOUNG_MILIE 7 сағат бұрын
Daaahh ilambosso anajuwa 😊
@lovarbicard4378
@lovarbicard4378 4 күн бұрын
Mbosso nimukali unamukubali acha liké ata kumi ❤❤🎉
@Rastaztz
@Rastaztz 4 күн бұрын
Mbosso ni after diamond platnumz kwenye generation mpya hii no one can stop him
@DonijaplatnumzDonijah
@DonijaplatnumzDonijah 4 күн бұрын
Kma unasema mbosso asi give up gonga like zako hapa❤❤❤❤❤
@modesterbhoke
@modesterbhoke 4 күн бұрын
Best album of year 🔥🔥🔥🔥
@renovaNkurunziza-d6t
@renovaNkurunziza-d6t 2 күн бұрын
Yaaane huyu mbosso Kabarikiwa melody 💯
@SuzzyDaudy
@SuzzyDaudy 14 сағат бұрын
Wameweza wote ila mboss mh🙌🙌
@kacher2557
@kacher2557 Күн бұрын
Mbosso mbosso🔥🔥💪🏼
@nulifmusic
@nulifmusic 20 сағат бұрын
Mbosso killed the hook this album is fire 🔥🔥🔥💯💯
@Starjo_sniper
@Starjo_sniper 4 күн бұрын
ILA MBOSSO AKIPIGWA VIZURI ATATUELEZA HAYO MASHAIRI ANAYATOA SAYARI GANI😂
@Mosesimba
@Mosesimba 4 күн бұрын
Jamaa anajua
@collinsboge1956
@collinsboge1956 3 күн бұрын
Alipigwa ama akipigwa?
@bigc5729
@bigc5729 4 күн бұрын
Mbosso 🔥🔥🔥🔥 Darassa hujawahi niangusha 🫡🫡🫡
@javan_Wonders
@javan_Wonders Күн бұрын
Mbosso ni mkali sana,Music wise,the best Artist in East Africa,I hope he becomes the best all round musician
@lilianmtiva
@lilianmtiva Күн бұрын
Kabisa
@IsmaelGamoyo
@IsmaelGamoyo 4 күн бұрын
Aliyempatia mbosso akili ya utungo atujalie sisi kwenye mizunguuko yetu ❤
@PrivaSamson
@PrivaSamson 4 күн бұрын
Daaaah mbosso is another level one love from Zimbabwe
@claudeyuma406
@claudeyuma406 3 күн бұрын
jimbo kali sana 🇨🇩 mupe DARASSA nguvu nyingi ... mara nyingi, mwenye wimbo ndjo ana fanya mwenziye aige sauti, DARASSA ka badili sauti ya KIBA, good sound bro
@LidyaEdward-n5z
@LidyaEdward-n5z 2 күн бұрын
Mbosso you have singlehandedly challenged the Darassa x Ben Pol chemistry (much respect). That "usela usela" is gonna be timeless! A proper song mafundi 🔥
@princeogwelofficial4682
@princeogwelofficial4682 2 күн бұрын
African Champions... Good job brothers... 👏👏
@OnesyKe
@OnesyKe 15 сағат бұрын
Huyu jamaa Mbosso ni moto 🔥🔥 Mbosso plus Darassa ni 🔥🔥
@alfredjohn5693
@alfredjohn5693 4 күн бұрын
ngoma ya moto sana 🔥🔥🔥🔥
@DSKSN
@DSKSN 4 күн бұрын
Tulio sikiliza kipande cha mbosso tujuane hapa 💯💥
@kennedymusamali-wb2bl
@kennedymusamali-wb2bl Күн бұрын
Ako sawa dogo huyo
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 күн бұрын
Hii ngoma kali sana big up darassa na mbosso khan nice collabo🔥
@RaymonTz746
@RaymonTz746 4 күн бұрын
Yani humu tulivyo skia sauti ya mbosso ndani tunajua kazi ni kubwa yani hit song🔥🔥
@TheBassGuy7
@TheBassGuy7 Күн бұрын
Sasa hii ndo bongo fleva 🇹🇿🇹🇿🔥
@flezza-254
@flezza-254 3 күн бұрын
Darassa ali finish kumalo 🔥🔥 big love from 254
@dirumartin5500
@dirumartin5500 4 күн бұрын
Darasaa sikujui jina kwenyee hii ngomaa namjua mboso tu
@BoscobChai-cl1nj
@BoscobChai-cl1nj 17 сағат бұрын
Darasa rispect ❤❤❤❤ for you 🎉🎉🎉🎉 broooo
@AndrewFundi
@AndrewFundi 4 күн бұрын
Namukubali sana Daraas nice album bro maua Yako 🎉🎉🎉
@lilianmtiva
@lilianmtiva Күн бұрын
Wow wow wow actually TikTok ndio imenileta huku❤❤❤❤❤
@sullehtz9327
@sullehtz9327 4 күн бұрын
What a combination 🙌
@jaemnettemukeshumana3019
@jaemnettemukeshumana3019 4 күн бұрын
Mimi wakwanza jamani rk zangu nizione hapa❤❤❤❤
@idrisamapesa2732
@idrisamapesa2732 4 күн бұрын
Huyu jamaa anajua muziki 🎉🎉🎉
@DanielLugwe
@DanielLugwe 3 күн бұрын
Kenya 🇰🇪. Ju ya mboso ndio nmefika.
@ApendekiOmnobe
@ApendekiOmnobe 22 сағат бұрын
Mbosso umetuacha na huzuni baba ,unge rudi usine ata mkataba wa mwenzi mmoja basi.ila wende salama na mungu akutangulie mbele❤❤❤❤
@TelesphoryNdabilinde
@TelesphoryNdabilinde 2 күн бұрын
Ngoma kali sana ila mbosso umewashika kaka 🎉🎉🎉 umetisha sana
@wajanjaforever4822
@wajanjaforever4822 4 күн бұрын
Oya weeeee❤❤
@AnnaMilembe
@AnnaMilembe 4 күн бұрын
Darasa X lucifuu nani mkali 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@shaddykoon
@shaddykoon 4 күн бұрын
Kaliii sana love from Kenya
@rehemamohamed3229
@rehemamohamed3229 2 күн бұрын
Darasa ni wa moto sana jmn 😊😊
@adamjonasi8078
@adamjonasi8078 3 күн бұрын
Mboso tena kauaaaa 🔥🔥
@g-tech6803
@g-tech6803 3 күн бұрын
oyaah mbosso anaulimwengu wake hili ndo ngoma kali kwenye hii album
@slowdns3694
@slowdns3694 4 күн бұрын
Aiseeeh mbosso ni mwandishi mzuri
@JuniourRayton-sb2nb
@JuniourRayton-sb2nb 4 күн бұрын
Wanaosubili kwa mbosso tu like apa
@yusufmohamed8428
@yusufmohamed8428 4 күн бұрын
Mbosso mbona fundii sana❤❤
@abelmbilinyi1262
@abelmbilinyi1262 4 күн бұрын
Hatari 🎉❤ ngoma kaL kuliko
@zospipogeng809
@zospipogeng809 3 күн бұрын
Lakini Kwa kweli Darasa pia fundi 🎉🎉🎉mboso nae mwalimu WA kamusi tuue basi 😂😂😂😂😊
@WillieSimoe
@WillieSimoe Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@Kenny_muziki
@Kenny_muziki 4 күн бұрын
From Kenya to Nakuru 🎉❤
@shawn-the-first.1643
@shawn-the-first.1643 4 күн бұрын
Great....TuFIKISHE HUYU KINGI 1 MILLION ❤
@NtinanirwaEgide
@NtinanirwaEgide 4 күн бұрын
Nyimbo nzuli ❤
@PatrickNgoy-b6q
@PatrickNgoy-b6q 2 күн бұрын
Mbosso mdogo wangu kikweli wewe. Ni fundi wa mziki❤❤❤❤🎉💪💪💪✔️☝️🇨🇩
@makilimsimu2451
@makilimsimu2451 4 күн бұрын
Hii Ngoma Kali sana mpaka unausikia mdundo wa Best nasso
@GastorMushi
@GastorMushi Күн бұрын
Dah Best naso
@dogojanja6235
@dogojanja6235 4 күн бұрын
Mpaka na cheka yani😁😁 Darasa mziki anaujua bwana harafu wamekutana na Khan mwenyew halafu goma lenyewe LA mapenzi atari❤️
@NewtonMnene-i4b
@NewtonMnene-i4b 4 күн бұрын
Darasa mtu mkali ❤
@KhamisiAbdallahAbdallah
@KhamisiAbdallahAbdallah 3 күн бұрын
Mboso nomasana nice song brother❤❤❤
@DickyLulandala
@DickyLulandala 4 күн бұрын
Bonge la Ngoma 🎉🎉
@NuruNswebe
@NuruNswebe 4 күн бұрын
Ngoma kali sanaaaaa
@Bigger.99
@Bigger.99 4 күн бұрын
Mbosso ukijichanganya anakufunika 🎉🎉🎉
@amanidzoro1952
@amanidzoro1952 Күн бұрын
Darassa is very versatile. Na Mbosso amepiga melodies mufti sana hapa. Greatness tupu.
@napetimo482
@napetimo482 4 күн бұрын
Kwan mbosso anataka nini lakn mbn weooooo 😢
@meddymustard7632
@meddymustard7632 4 күн бұрын
Ila mbosso ni 🔥
@ErickChristopher-u6h
@ErickChristopher-u6h Күн бұрын
Khaaaaaa kumbe mbosso huo mstari kauimba kwenye hii ngomaa mwenzenu nilikuwa sjui chochote😊
@makaoyafutaa1302
@makaoyafutaa1302 3 күн бұрын
Mbosso amefunika ❤❤
@rebeccamwose
@rebeccamwose 17 сағат бұрын
Kigoma Love 🇹🇿
@ChenchiKing
@ChenchiKing 4 күн бұрын
Nakubali Xana Huu Muziki🎉❤🎉
@SadymusicTZ
@SadymusicTZ 2 күн бұрын
Broooh ngoma kal sana ❤❤❤
@mesalimgavuga2840
@mesalimgavuga2840 4 күн бұрын
The album is fire 🔥🔥🔥🔥🔥
@officialsamireal2216
@officialsamireal2216 4 күн бұрын
Mbosso once again...take away the pain🔥🔥🔥
@MalobaPeter-j5l
@MalobaPeter-j5l 4 күн бұрын
Anaitwa MBOSSO KHAN❤❤❤❤❤
@mariamchiga846
@mariamchiga846 4 күн бұрын
Kila goma ngeli imo imenyooka Darasa ni full package kimataifa sasa 🎉🎉🎉🎉
@hamisimpili5963
@hamisimpili5963 Күн бұрын
Mbosso ameshindikana🔥
@tysonochochi
@tysonochochi 3 күн бұрын
kenyans wako ndaani ukimkubali vybes show 💝👍
@muddychanga7909
@muddychanga7909 Минут бұрын
Daah atar bhna
@barakamatovu4277
@barakamatovu4277 2 күн бұрын
Mbosso ni Sayari nyingne.. much respect kwake👏👊
@salumukatani03-u8b
@salumukatani03-u8b 4 күн бұрын
Mbosso never disappoints 🔥
@GastorMushi
@GastorMushi Күн бұрын
Darasa anajuwa mboso anajuwa hawaja baatisha 🎶
@Yusuphmbwambo143
@Yusuphmbwambo143 5 сағат бұрын
Umefanya play list ikae sawa sasa kwamaana nakukubali sana ndio maana simu yangu ina nyimbo za watu wawili mmoja wapo niww
@greyson-f6z
@greyson-f6z 2 күн бұрын
Mbosso anajua sijawai pata like zenu jamani
@IreneModest
@IreneModest 5 сағат бұрын
Wew unatoa kwa wenzio
@WillieSimoe
@WillieSimoe Күн бұрын
Dah nawapendaga hawa jamanii uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii nawapendaaaaaaa
@gosbertnkotanyi
@gosbertnkotanyi 2 күн бұрын
Hili goma tia hela mwanangu tuondoke 😂😂😂 What a Bang,narudia rudia hapa Mmeuaaaaaa!!!!.....
@cliffdinho
@cliffdinho 3 күн бұрын
Ila Mbosso tu⭐👑
@kelvinke-lu4fi
@kelvinke-lu4fi 3 күн бұрын
Itasumbua hii from kenya twaikubali khan🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Hunter254-D
@Hunter254-D 4 күн бұрын
Heat 💥
@ishimwedamour
@ishimwedamour 4 күн бұрын
Salama mukubwa Niko d'Amour from Rwanda mungu akubariki Kwa kurudi kweli turikua tunakukumbuka sana nyimbo ni utamu kbsa🔥🔥 mwaka mupya Tena sasa
@Jayvanillah
@Jayvanillah 2 күн бұрын
Kama ni albam ya darasa hii ndo ngoma no 1 bila kufata youtube trending
@peter_paulofficialy
@peter_paulofficialy 2 күн бұрын
Mnaokubali hii ngoma na ile na alikiba tujuane kwa like😊
@piusmkolwa2137
@piusmkolwa2137 Күн бұрын
Alikiba anaingiaje sasa apa
@JacquesMakoma-oe8mz
@JacquesMakoma-oe8mz 4 күн бұрын
Niko bampa tu bampa 5/5👌
@DavidMatati-p7x
@DavidMatati-p7x 4 күн бұрын
Mbosso ❤ likes zako...ziko wapi from Kenya
@festojoseph-mq6vu
@festojoseph-mq6vu 3 күн бұрын
My favorite line 🎷🎷oh mapenzi kilio nenda waulize wenzio ni mdudu wasikio akikung'ata husikii raha yoyote🎷🎷.... 🎷🎷🎷Oooh kiliooo nenda waulize wenzio ni mdudu wasikio akikung'ata husikii raha yoyote🎷🎷...
@ombeniruvubika5392
@ombeniruvubika5392 4 күн бұрын
Mbosso ameuwa sana
Darassa feat Alikiba - BreakDown (Track No.4)
3:16
Darassa
Рет қаралды 262 М.
Мем про дорожку
00:38
Max Maximov
Рет қаралды 4,4 МЛН
пришла на ДР без подарка // EVA mash
01:25
EVA mash
Рет қаралды 3,3 МЛН
Провальная Акция в Seven Eleven
00:51
Тимур Сидельников
Рет қаралды 2,6 МЛН
Wakusoma Ft.Darassa-Wake up(Official Music Release)
2:42
Wakusomaofficial
Рет қаралды 10 М.
MBOSSO - YAMAHA COME TOGETHER CONCERT SERIES | 11TH EDITION
54:30
NDARO NA STEVE WALIVOKIWASHA KISA MWANAMKE
12:56
Ndaro Tz
Рет қаралды 14 М.
Ferooz ft. Juma Nature - Bosi  (Official Video)
5:26
Bongo Records Ltd
Рет қаралды 1 МЛН
Darassa feat Bien - Down for You (Track No.11)
2:59
Darassa
Рет қаралды 78 М.
Мем про дорожку
00:38
Max Maximov
Рет қаралды 4,4 МЛН