Watch #Darassa latest music video "Hasara Raho" ► bit.ly/2pVSRFo
@shukurusbxrule7 жыл бұрын
Darassa this is the favorite song of me big up you just helped me alote for writing this one God bless you brother.
@hassanissa6117 жыл бұрын
Darassa 👁👃🏼👁👊👊👊Nice bro👍🏼👍🏼🤲🤲🤲
@mriamsamy31296 жыл бұрын
Darasa jamani ulipotelea wapi twakumiss from 254
@jahonetz35805 жыл бұрын
Ok
@tgeofrey4 жыл бұрын
Darasa njoo upige mziki marekani 3 month straight. +12028911215. tgeofrey@gmail.com
@Lou1.Ай бұрын
Wangapi bado tunasikiliza hizi elimu za mtaa 2024.
@martinkipeta66606 жыл бұрын
Nilipokua school nilikua siielewi hii ngoma vzr ila sasaiv nipo kitaa ndo najua hili song linamaanisha Nini!!(nyumbani kwenu ulipaswa kulelewa ila ukawa umepewa jezi namchezo hujaelewa!!!)
@naimahassan92324 жыл бұрын
😂 😂 😂
@davidsafari24772 жыл бұрын
😂😂😂
@harunayussuf6866 Жыл бұрын
Komaa
@issaskighanga3199 Жыл бұрын
Tupo wengi kumbe 🤣🤣🤣🤣🤣
@SadamHassan-ng3yl Жыл бұрын
Bado hujasema:
@malcommshana39553 жыл бұрын
Nilipokuwa chuoni back 2011 mwaka wa mwisho nilipitia changamoto nyingi sana huu ndio ulikuwa wimbo wangu wa kunifariji sana,
@selemankahabiemmanuel8807Ай бұрын
😂😂😂wewe kaongo
@mkalilodyamasumbuko9000 Жыл бұрын
It's 2023 and still this song tops my playlist, had friends who could go with the flow of Darassa myself I wasn't good at it, had to go through the lyrics atleast now I can sing along.... It's a dedication to all hustlers and jobless out there tuzidi kupambana
@ambum4268 Жыл бұрын
2023 still one of the most motivational hit kwa wapambanaji wote. Greatest
@eliudytafawa464811 ай бұрын
2024 still one the most motivational kwa wapambanaji wote 💪💪
@evanceurio7926 Жыл бұрын
Baada Ya Miaka 8 Nimerud Tena Kusikiliza Ngoma 2024.
@ernestmbwana62823 жыл бұрын
Kinachofanya nimpe zaidi heshima Sana Darassa nikujua He was one of powerful Street soldier nikwenye hii nyimbo ameelezea how he loose his gang member friends Rafa,Joe & salum. This is real hip hop. I wish you good Hustle bro
@lexusnambasita30862 жыл бұрын
kzbin.info/door/Xvl7dhvRkkJek5ZEAqlShA
@RioIpo2 жыл бұрын
Sure
@williamigogo6154Ай бұрын
Hii Ngoma sasa hivi ndo naielewa kweli maisha yetu haya hayafanani
@niyonkoreraanicet24874 ай бұрын
For 8 years nayirundia tena 2024 chukuwa mauwa yako
@jamesmaina3654 Жыл бұрын
Bro.. i thank God for you bro. Be blessed man.. sikuwahi iskia hii ngoma but nimeiskia leo na imenipa nguvu za kuendelea kuishi..nilikua nijiue leo .. darasa be blessed
@SeraphinPelagiAssenga8 ай бұрын
Kama tupo pamoja gonga like hapa 2024 tuondoke nayo💪💪💪
@DaudiKusagamaingu8 ай бұрын
bonge la ngoma ❤weka neno lako walau moha
@williamchenjelu38387 ай бұрын
Kula like namna hii
@leyxon_delee5 жыл бұрын
Hizi ni kati zile nyimbo zinakufanya usikate tamaa.katika maisha .one of the best forever ??2020 but still rocking 👊🏻👊🏻🔥🔥🔥
@lexusnambasita30862 жыл бұрын
kzbin.info/door/Xvl7dhvRkkJek5ZEAqlShA
@Pip_ghost2 жыл бұрын
2023 and still hatukati tamaa...🖐🖐 .bless sana jiwe la maisha hili
@jontezmuzik2 жыл бұрын
Nyumbani kwenu we ndo mlezi na unapaswa kulelewa,ni kama umekabidhiwa jezi na mchezo hujaulewa...love from kenya 🇰🇪...
@MrNoNonsenseYes2 жыл бұрын
Exactly situation yangu, oe tupambane mwana maisha haya hayana adabu hata za kuvalia nguo 😁
@jontezmuzik2 жыл бұрын
@@MrNoNonsenseYes hii kali brudah,tujitume kaka langu
@leyxon_delee5 жыл бұрын
2020 but still my best song ever 👊🏻
@samsonsengeu17044 жыл бұрын
Matatzo hayana jana na jana haujatatua age yako ni kijana ila mwili umepiga hatua, nyumbani kwenu we ndo mlezi na ulipaswa kulelewa ka umekabidhiwa jezi na mchezo haujauelewa✊
@ernestndauka93016 жыл бұрын
21. December 2018. Life is herder!!! Darasa piga vision za hizi ngoma!!! Ngoma unasikiliza unapata ujumbe na bado inakuliwaza!!! Braza najua una nyimbo mpya ila hizi ngoma za zamani zinafunika mpya
@viktordelarhea2 жыл бұрын
mbona unafanana na jamaa kwenywe video
@georgemelkiad582311 ай бұрын
Wow our own killer darasa ft Ben pol
@davidbaraka93818 жыл бұрын
darassa amekubalika Kenya nzima
@MelaniaAnney-t9f Жыл бұрын
Huyu jamaa angejuaga aisee nilianza Mfatilia Kitambo sana sana darasa🙌
@flova70223 жыл бұрын
Wimbo huu, na WA stamina ft mavoko ndo best hip-hop ever..zinatiaa moyo Sana...maudhui kama yanaendana hivi
@paulmboje267711 ай бұрын
Plus wa kalah jeremiah wa usikate tamaa
@jonsmaximillian39287 ай бұрын
Kuna wa country boy mateso ft lina Zilitoka pmj na hii na ile ya stamina kabwela
@st3v3njb765 ай бұрын
Ambao tupo 2024 like this comment tujuane
@NeemiyaNgoti-qj3xy23 күн бұрын
Sio 2024 let say December 2024😊
@AdamHatibu-n4z2 ай бұрын
Who still listen 2024
@asueddy14654 жыл бұрын
This song reminds me when I was second year UDSM, Mabibo hostel block E room 216..year 2012
@RaphaelEwala10 ай бұрын
Yani huu wimbo ni funzo kubwa sana kwetu vijana 🎉good song
@BritonmshangaBriton-kg3wo Жыл бұрын
Wengine hatujepewa ata jezi tumezaliwa tukaachwa mtaani hatuna urithi wowote kwa wazazi wetu ooooh God ndio baba yangu na mama yangu na mungu ananionyesha njia maisha natoboa sasa 😥🙏🏾
@aliyawa4181 Жыл бұрын
Nkubali mwangu darassa umeongea maneno mazito na yenye uchungu ila ndio vitu tunavyopita
@viktordelarhea2 жыл бұрын
2022 and still vibing to this great jam from the realest kutoka Bongo
@JimmsooMamen-h2e3 сағат бұрын
One Day Mi Sikati Tamaa ❤❤Song
@breymbasa34518 ай бұрын
Nyumbani kwenu we ndo mlezi Na ulipaswa kulelewa nikama umekabiziwa jezi Na mchezo hujawelewa😢
@kiulajuma39894 жыл бұрын
It's 2020 but one of the best songs from Darassa, daah we jamaa ni nouma
@lukambilinyi5846 жыл бұрын
Wimbo huu ni mzuri sio kama ule ulio kutoa uitwao muziki huu sikati tamaa unamaneno mazuri sana umri ningechagua ningesema... Umetisha sana darasa
@FrankM3842 жыл бұрын
Daa huu wimbo unaweza ukaweka hata kanisani na ukausikiliza hata mchungaji akikukuta unasikiliza asiseme neno
@Simulikanasi4 ай бұрын
It's 2024 and still hit hard.. this one been inspiring me to go after what I'm dreaming of... NAJIONA MIMI :
@hitmanhunter95575 жыл бұрын
Kıla siku tuko mtaani sio good life hatupendii...🙌🏾
@RichardCharo-zx3sy2 ай бұрын
This is the most underrated song
@mohdykessy5855 Жыл бұрын
Great song for Kwa watafutaji
@fredrickkajuna743 жыл бұрын
Ahsante Darasa umeirudia hii Ngoma nimemkumbuka sana King Zilla (King of Sala Sala RIP bro)
@ifgodsayyes.nobodycansayno17963 жыл бұрын
WATU HUTOKA MBALI LOVE YOUR MUSIC BARAKA BENPOL MARIO HARMONIZE ALIKIBA YANI NI WENGI TU BIG UP SANA 2021 NIKU RELAX NA MUSIC NA HII CORONAVIRUS MUNGU ATUEPUSHE KABISA BIG UP 🇰🇪
@ywydhhd7941 Жыл бұрын
kitambo sana nimechck tena 2024 🎉🎉🎉kwa Darasa popote ulipo🎉🎉🎉❤❤❤
@innocentngailo595112 күн бұрын
One of my favorite bang ....nyimbo yangu ya safarini nimekula zangu earpords hii na mtoto wa uswazi ya dogo janga ...ngoma 2 hata iwe safari ya Dar mwanza
@hidayapretty90938 жыл бұрын
Mungu Ndo Ajua Vile Vokupenda Xaaaana Tangu Wimbo Wako Huu Mpaka Muziki Daaah Najua Kujudge Mzk Mzuri Meamini
@abdulmselem19823 жыл бұрын
Sikati tamaa na Nishike mkono ndio ngoma zangu bora zaidi kwa Darasa
@nancynyaga-rl2yd Жыл бұрын
For sure hukukata tamaa ndo maanake leo hii umedamshi@Darassa@Mavoko
@yahayakassimu Жыл бұрын
Naipenda sana hii nyimbo big up Darassa..
@Realfrankvenanc3 ай бұрын
Nani? Bada yakuchoka na kuhangaika life kwa kutwanzima anajipoza maumivu nahili goma 💔
@lukambilinyi5846 жыл бұрын
Nihame gizani najitsid ila siwezi siku inapo kwesha nashukuru kwa mwenyezi Dah schoki kuuskiliza nitauskiliza had niushike wote
@RioIpoАй бұрын
Nihame kitaa
@SamwelNyangala8 жыл бұрын
Hiu wimbo mkali sana lakini chaajabu una views chini ya 30000. Darassa amebadilika sana lakini mabadiliko hayo yametuletea sauti ya kipekee. Big up kwake
@BritonmshangaBriton-kg3wo Жыл бұрын
Nilikuwa nasikiliza radio ngoma imechezwa ikabidi ni I Ibuke huku
@frankabel60903 жыл бұрын
Dah....mungu awabarik sana. This is the best song and it real motivation people 👊💯💯
@rodrickgolden705 сағат бұрын
Hili Goma leo ndio nimelielewa...huko nyuma kupitia age ndogo nilikua naona kama Goma la kawaida ✊✊........Gen Z gonga like apo......2025
@husseinramadhan35152 жыл бұрын
Siku moja nitapata hopefully
@ramadhanidd52303 жыл бұрын
Leo ndo najua huu wimbo kaimba Darassa na benpol #darassa 🔥.....2021 nani anasikiliza
@sifuelimelita Жыл бұрын
2023
@emmanuelmutimba832 жыл бұрын
Where did such music go to
@corneliojoseph58535 жыл бұрын
wimbo wangu bora zaidi
@franciskavyega2805 жыл бұрын
Kila siku tuko mtaani sio good life hatu...
@georgemelkiad5823 Жыл бұрын
Wow darasa ft Ben pol
@ukweli2553 ай бұрын
Nyimbo hii moja ni sawa na Nyimbo 20 Hit za Diamond
@elijahbozemanke2922 жыл бұрын
Mungu Ni Mpaji....Siku yangu itafika tu
@EmmacaluteJeremiahАй бұрын
Wimbo wangu pendwa wakujifariji
@jeremiahevodius9253 ай бұрын
Nipo 2024 tena kuisikiliza Mmoja ya nyimbo zangu za mda wote
@nyabokemabuka63214 жыл бұрын
Darassa u really something You a genius bro Bless up
@dullahmakongo52104 жыл бұрын
Hii ndo ngoma yang bora kwa miaka yote
@nicholasemmanuel83212 жыл бұрын
I will ever be brave as I believe in God ,may my life be better 💪💪
@VENANCETV2 жыл бұрын
Wimbo unaoishi milele umebeba uhalisia wa maisha na harakati za kijana anayepambana atoke
@mkaapwekekariakoo64174 жыл бұрын
Wimbo mpya kila uchao.... Hujawahi fanya wimbo zaidi ya huu
@salumjumah56484 жыл бұрын
life is harder Hiii nyimbo inanipaga nguvu sana kupambana#nyimboyakikubwa
@rerellomanya87278 жыл бұрын
ehhh nalia sana ehh uyu mwimbo una niliza ehh yesu
@amanitanzar2 жыл бұрын
Haina kufeli.... One day... inshAllah
@tgsstv96023 жыл бұрын
Siamini huyu ni Darassa, enyewe I'm never giving up
@godfreymagoge86437 жыл бұрын
Uko vizuri bro nilikujua kabla hata ya too much na Muziki nilijua utakuja fanya maajabu