Darassa ft Maua Sama - Tumepoteza ( Official Music Video ) Sms SKIZA 9048056 to 811

  Рет қаралды 1,344,290

Darassa

Darassa

Күн бұрын

Пікірлер: 1 100
@kibuyehamadchannel6818
@kibuyehamadchannel6818 6 ай бұрын
Ambao tunaskiliza huu Wimbo 2024
@sifatiiman
@sifatiiman Ай бұрын
Nipo hapa nimekumbuka kipindi hicho baby wangu kaniacha 😢😢😢
@octavianmushi928
@octavianmushi928 Жыл бұрын
Usiombe ukawa umewah kutendwa af ukaskiliza huu wimbo 😢
@sifatiiman
@sifatiiman Ай бұрын
Kipind umetoka ndio nilikua nimeachwa na mtu nilie mpenda sana😢😢 we acha tu pamoja na ule wimbo wa jolie haimaanishi daah we acha tu😢😢
@bakarisalehe3934
@bakarisalehe3934 5 жыл бұрын
Dar imenigusa sana yapo wapi mapenzi Yale yapo wapi duuuuuuuh kama nawewe imekugusa please naomba like yako
@oceanocean9585
@oceanocean9585 5 жыл бұрын
Huyu jamaa anajua sana kwenda na watu wanavotaka na wanavopenda like 1 tu tafadhali
@magneticofficialtz
@magneticofficialtz 5 жыл бұрын
Da huu wimbo umenifanya nirudiane na mke wangu ambaye alikuwa amefunga virago vyake kwenda.amerudi wimbo umemrudisha big up darassa nyimbo zako zinatugusa sana
@andrewkungaro1159
@andrewkungaro1159 5 жыл бұрын
Masanganya Tv hahahaaaaa
@el.p.patientaigle1337
@el.p.patientaigle1337 4 жыл бұрын
Darassa uyojama mkali cheki mistari
@Salmah2
@Salmah2 7 күн бұрын
There was this one time i broke up with him, sent me this song + other efforts we got back again.. nimerudi tena hapa coz we are not together anymore😭😂 its 2024 btw
@lloveyoutanzania5315
@lloveyoutanzania5315 2 жыл бұрын
Kwakweli leo nimeamini kuna wasanii na wanamziki hapa sasa nipo kwa WANAMZIKI WENYEWE DARASA AND MAUA SAMA❤❤❤❤❤❤❤❤
@lavendermamy6678
@lavendermamy6678 5 жыл бұрын
Jamani mdada huyu(MAUA) anakisauti chake tuuu big up sana Darasa and Maua nawapenda💜💜💜💜💜 kama na wewe umeamini hii collabor itabaki kuwa juu kileleni thumbs up tujuwane
@boniphacemachage406
@boniphacemachage406 4 жыл бұрын
Yaya Cici nami naupenda huu wimbo zaid ya sana kwanza ujumbe anaoimba darasa
@allawlfaku1592
@allawlfaku1592 4 жыл бұрын
kizazi sana darasa hiii ngoma nikali kinomaa
@ayubuandilav7425
@ayubuandilav7425 4 жыл бұрын
Amejaliwa kipajii
@rafikigeorge3204
@rafikigeorge3204 3 жыл бұрын
sure'
@peterngalawa3511
@peterngalawa3511 Жыл бұрын
The best collaboration
@lazarojr8923
@lazarojr8923 5 жыл бұрын
Hii style ya rap naikubali toka enzi za nishike mkono Darasa ft Winnie,,, ahsante umetukumbusha... Like kama umemuelewa hapa kama mimi
@bizyega4207
@bizyega4207 5 жыл бұрын
Lazaro Joseph Linda the king darasa bi gup sana
@historianyeusi9524
@historianyeusi9524 5 жыл бұрын
Kweli mkuu hii style ni Kali sana🔥🔥
@siradosh6821
@siradosh6821 5 жыл бұрын
Sawa sawa
@zachatuya3695
@zachatuya3695 4 жыл бұрын
Nishike mkono ilikua bonge aisee
@MoiseAmisi
@MoiseAmisi Жыл бұрын
Ok
@lazarojr8923
@lazarojr8923 5 жыл бұрын
Hapo Darasa umeua hii rap ndio Hua naikubali kinoma,,, ahsante Darasa
@suphiansaidi747
@suphiansaidi747 4 жыл бұрын
Gud xan
@godlistenshayo1144
@godlistenshayo1144 5 жыл бұрын
Wewe huyu producer Aba classic music ndy anakujulia pengne unabugi
@cieranchillo7
@cieranchillo7 5 жыл бұрын
Tuna cheat wakati tunapendana. Tumepoteza😒 √√√√√ Yo the baddest Darasa en my favorite baby gal Samaaaaaa Maua 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@castoljmwalyego3778
@castoljmwalyego3778 5 жыл бұрын
Swahili to the world..... Tanzania flag to the world.... Big up darasa,,,,, Kazi kazi now...... Uzima tu.. April 2019 Show love LIKE
@ditricknyamika1361
@ditricknyamika1361 5 жыл бұрын
Darasa utabaki kileleni ,utabiki juu utabaki Mawinguni Dasara Uyooooooo chiiiiiiiii ati nini lambo lolo😂😂😂😂
@mathiasmalingumu4111
@mathiasmalingumu4111 5 жыл бұрын
J
@maarifajuma8160
@maarifajuma8160 5 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@fatmahbakhar9686
@fatmahbakhar9686 5 жыл бұрын
😂😂😂
@agnesterfredrick2007
@agnesterfredrick2007 5 жыл бұрын
Ditrick Nyamika 😂😂😂😂😂
@ditricknyamika1361
@ditricknyamika1361 5 жыл бұрын
Mathias Malingumu Nakukubalii
@georgeburchard4872
@georgeburchard4872 5 жыл бұрын
Huu mwezi tumeanza vyema! Asante sana darasa kwa comeback matata kama hii! Nyimbo zote mbili ni fire!
@stejohfinest7235
@stejohfinest7235 5 жыл бұрын
Nimependa sana story bro huu ndio muziki bro video nzuri sana 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@Steyanson
@Steyanson 5 жыл бұрын
thanx much hili ndo shairi sasa darrasa u know much its u're self identity in the game no one who know to play with words like you other they simplfy gonga like apo kwa ###darrasaa
@abdilahimwachapwani2696
@abdilahimwachapwani2696 5 жыл бұрын
Huu mwezi tumeuanza vizuri +254🇰🇪...hatutapoteza tena🙏🙏 #Darasamauasama
@kichekochekanasisi3550
@kichekochekanasisi3550 5 жыл бұрын
kuna msanii wenu hapa nyie vp wasanii wenu awajui kuimba
@abdilahimwachapwani2696
@abdilahimwachapwani2696 5 жыл бұрын
@@kichekochekanasisi3550 sio lazima kwamba ukitoka kenya basi usipendelee mziki wa wengine..kama kazi ni nzuri uko na uhuru wa kuipongeza #thinkbig
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 жыл бұрын
@@kichekochekanasisi3550 kenya na tz ni ndugu wala hakusema vibaya acha chuki za kijinga ww wakina mondi walikuwa wanaenda kufanya show kenya kwao kule mbona wakenya hawakubagua wamepokea vizuri
@abdilahimwachapwani2696
@abdilahimwachapwani2696 5 жыл бұрын
@@banshbansh2329 kabsaa bro 👌👊👊💯
@eliarichard9218
@eliarichard9218 5 жыл бұрын
hii ndiyo ngoma yangu Kali ktk alizo toa darassa hii number 1 nyingine zina fataa twende sawa apoo.
@princessjoy7045
@princessjoy7045 5 жыл бұрын
Jamani huu wimbo unapunguza mawazo💃💃💃naomba hata like 5 twende pamoja
@GREATTRADERSUNION_GTU
@GREATTRADERSUNION_GTU Жыл бұрын
The song is yummy 😋 really
@rizikimrisho
@rizikimrisho Жыл бұрын
Saf sana mzee
@davisalphonce7001
@davisalphonce7001 5 жыл бұрын
Daah.The Return of the King.Huyu ndo darassa naemjua mm since 2011
@DEGESTAR
@DEGESTAR 5 жыл бұрын
Mwenye mziiki wake like hapa kama una mkubali darassa
@goodluckkipingu4247
@goodluckkipingu4247 5 жыл бұрын
Kama nawewe umeukubali wimbo huu na unaamini darasa+maua ni🔥🔥like hpa tujuane..
@ameria2332
@ameria2332 Жыл бұрын
Wimbo uko Poa sana,mi darassa namkubali kwa nyimbo zake zote aisee💪💪💪songa mbele darassa
@goodluckymartin334
@goodluckymartin334 5 жыл бұрын
Noumaahhhh cnaaaa talented cnaaaa uyuuuu mtuuuuuui the best rapper in tz big up cnaaaa broooo
@Mbuyatz
@Mbuyatz Жыл бұрын
Hii nyimbo jmn imeni kumbusha mbali sana na mkumbuka mama lamama wangu tulie achana
@Admin25450
@Admin25450 5 жыл бұрын
Ombi langu ni mwenyezi mungu akulinde ewe unayesoma huu ujumbe
@hassaniyuno7107
@hassaniyuno7107 5 жыл бұрын
Darasa uko juu braza ang kwel mapenz tumepoteza umebak utapeli tu, big up
@mohamedhella7899
@mohamedhella7899 5 жыл бұрын
out of 3video u released on april 7, i think this is the best na inaubunifu mkubwa
@sheriffshatterz
@sheriffshatterz 5 жыл бұрын
*TUMEPOTEZA LYRICS* *DARASSA FT MAUA SAMA* *INTRO* I SWEAR TO GOD FOR MY LIFE THAT SPEAK FROM MY HEART USHAWAHI KUPENDA LET ME SEE YOUR HANDS UP AHN! MWANGA UMEINGIA KIZANI NYOTA YETU INAFIFIA ANGANI NDOTO ZETU ZINAISHIA NJIANI MAPENZ YETU YAKO MASHAKANI MAPENZ YA VIKWAZO MITIHANI KILA MMOJA ANAUMIA NDANI TULIVYOANZA MWANZO SIKUDHANI KAMA YANGEPOTELEA HEWANI KWAKO NILIJIFUNZA KUPENDA SKUWA NA PUMZI HATA YA KUHEMA KUWA NA WEWE MAZOEA YAKAJENGA UKAFANYA NIKUWAZE KILA SEHEM NNAYOKWENDA *BRIDGE* *YAKWAPI! YAKWAPI YALE MAPENZ YALE YAKWAPI?* *YAKWAPI MI NA WEWE TULIKUWA HAPPY YAKWAPI NDO YAKWAPI* *YAKWAPI YALE MAPENZ YALE YAKWAPI? MI NA WEWE TUNAENDA WAPI* *CHORUS* *TUMEPOTEZA! TUMEPOTEZA MAPENZ TUMEPOTEZA×4* KUNA WAKATI HUJUI USHIKE WAPI WAFANYA KITU MOYO WAKO HAUTAKI KUJIULIZA MASWALI MAJIBU HUPATI YA KUTAPATAPA KAMA MFA MAJI SOMETIMES HISIA ZINAKUDANGANYA UNATANGA NA NJIA HUJUI LA KUFANYA HUWEZI KUKIKIMBIA UNACHO KIPENDA SANA UNABAKI UNAUMIA AKILI INAKUCHANGANYA TUNACHEAT WAKATI TUNAPENDANA TUNAPENDANA VIP TUSIPO AMINIANA MI NA WEWE IMEBAKI KUZOEANA HAYA SIO MAPENZ MAPENZ YA KUTESANA MWANGA UMEINGIA KIZANI NYOTA YETU INAFIFIA ANGANI NDOTO ZETU ZINAISHIA NJIANI MAPENZ YETU YAKO MASHAKANI *BRIDGE* *YAKWAPI! YAKWAPI YALE MAPENZ YALE YAKWAPI?* *YAKWAPI MI NA WEWE TULIKUWA HAPPY NDO YAKWAPI* *YAKWAPI YALE MAPENZ YALE* *YAKWAPI? MI NA WEWE TUNAENDA WAPI×2* *CHORUS* *TUMEPOTEZA! TUMEPOTEZA MAPENZ TUMEPOTEZA×4* *MAUA SAMA* ULE WAKATI HUJUI USHIKE WAPI WAFANYA KITU MOYO WAKO HAUTAKI KUJIULIZA MASWALI MAJIBU HUPATI YA KUTAPATAPA KAMA MFA MAJI THINGS AIN'T GONNA BE THE SAME AGAIN MAMBO YALIVYOKUWA MIMI NA WE STORY YA KUSIMULIA MAPENZ MAMBO YALIVYOKUWA MIMI NA WE×2* YAKWAPI? YAKWAPI? NDO YAKWAPI YAKWAPI???
@michaelmdalingwa5186
@michaelmdalingwa5186 5 жыл бұрын
Abdullatif Hamid umetisha
@mundhirkhamis5731
@mundhirkhamis5731 5 жыл бұрын
biggest come back in bongo flava
@ommyofficial7408
@ommyofficial7408 5 жыл бұрын
Leo wa kwanza naitaj like zenu ata mbili tyu sio nyingi
@alimwavitu5909
@alimwavitu5909 5 жыл бұрын
Darassa we ni genius kweliii.....#relax#leo#tumepoteza.....big uppppp!
@mahrezmahrez6859
@mahrezmahrez6859 5 жыл бұрын
Kali Hii kinara Darasa👏👏Rap nzuri nakubali🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@zawadichimishi6717
@zawadichimishi6717 5 жыл бұрын
Am from Kenya bt I don't know Swahili lakini hii nyimbo iko more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪 +254 in the building weka like yako kama umeikubali
@Sean1877
@Sean1877 5 жыл бұрын
Zawadi Chimishi@Come to Tanzania🇹🇿i will teach you
@awadhimwekilinga4599
@awadhimwekilinga4599 5 жыл бұрын
zawadi chimish
@josephatmwanga6762
@josephatmwanga6762 5 жыл бұрын
Zawadi Chimishi namba yako please
@amosidenesi5617
@amosidenesi5617 4 жыл бұрын
Unanikumbusha mbali brother nakubari kazi
@florahhemedy4053
@florahhemedy4053 5 жыл бұрын
This song brings out every single emotions in a person😭🙏🤷🏾‍♀️big up darassa
@agnessjohn8404
@agnessjohn8404 5 жыл бұрын
darasa uko juu wako wapi walosema darasa walosema darasa kaasirika na madawa yakulevya wako Wapi walosema darasa kafulia wako wapi walosema darasa hana jipya 😀😁mko waapiiiiiiiiiiii chiiiiiiiiiiiiiiii
@tobiasralingo3452
@tobiasralingo3452 5 жыл бұрын
Genius🙌🙌🙌🙌... Darasa utabaki kua juu ... Content on top. Message received.
@veronicacassian2679
@veronicacassian2679 5 жыл бұрын
jmn msubscribe kwa darassa maan naamni ndo msanii atakaebaki kua kilelen daima 😘😘 wale tunaomkubali darassa like hapo plz nawapenda fans wote wa darassa
@Theo_ze_banker
@Theo_ze_banker 5 жыл бұрын
Shikamoo 🙌DARASSA CMG.. naona ni mwendo wa HATTRICK👏
@martinmendrad3531
@martinmendrad3531 5 жыл бұрын
Classic MUSIC safi naona unarudi zama zetu zileeeeeeeeeeee safi sana mwanangu lete kama hili tena
@dennismfalme7236
@dennismfalme7236 5 жыл бұрын
Mi ndo wa kwanzda kuja huku Darasa🇰🇪
@ikininiimba207
@ikininiimba207 5 жыл бұрын
wewe ndio master darasa wa kisasa milima haikutan ila 2taonana mim nawewe na uta nishaul kuusu rapa bgp brother, na wadau naomba like zenu
@d2dv65
@d2dv65 4 жыл бұрын
Ngom kal xn maua umeua umu ndan.nc
@misswamboh9585
@misswamboh9585 5 жыл бұрын
Collabo safi Hanscana production's always on 🔝 +254
@tabialigosi198
@tabialigosi198 5 жыл бұрын
Wamboh Penainah
@jeremiahsebastian3033
@jeremiahsebastian3033 5 жыл бұрын
Hyu ndo darassa nnaemjua
@stanleywambuah5509
@stanleywambuah5509 5 жыл бұрын
........from Nairobi Kenya
@zuwenamshana2535
@zuwenamshana2535 5 жыл бұрын
Hizi ndongoma sasa brother darasa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
@adknimmoja
@adknimmoja 5 жыл бұрын
Ipo kijanja zaid,wapi likes zangu wapenda mziki mzuri
@shukafuraha8272
@shukafuraha8272 5 жыл бұрын
Hiyo inaitwa 3double aaah darasa noma
@ericstephenm.844
@ericstephenm.844 5 жыл бұрын
YOU ARE THE KING OF RHYMES BRO! ZAIDI YA AFANDE SELE😂😂😂🔥🔥🔥👏👏👏
@kipkemoi_philipe
@kipkemoi_philipe 5 жыл бұрын
kazi safi Tanzania... Mmepoteza.. sisi tulipotezanga haha
@mkula2023
@mkula2023 5 жыл бұрын
Wakwanza mie Leo Darasssa oyeeeee
@godlovempangala4462
@godlovempangala4462 5 жыл бұрын
Ntiga Makoba nice
@yasintafanuel9080
@yasintafanuel9080 5 жыл бұрын
darasa nakukubali
@ellytz8886
@ellytz8886 5 жыл бұрын
Hatar firee barasa nomaaaa
@obamatechnology526
@obamatechnology526 5 жыл бұрын
Xaxa ndio king darassa tunaomjua keep it up bro
@mohammediabdallah5370
@mohammediabdallah5370 5 жыл бұрын
Daaaah.....this is touch song to me
@meredouble9897
@meredouble9897 5 жыл бұрын
From USA 🇺🇸 and this is my favorite song from the 3 songs u dropped today 🌪🌪🔥🔥
@nicksam78
@nicksam78 5 жыл бұрын
Darasa atabaki kuwa juu aisee wimbo una rutuba sana huu. 👍👍👍👍👍👍
@angel_thejewelryvendor
@angel_thejewelryvendor 5 жыл бұрын
Mbona nachanganyikia niskilize ipi🙄💕
@tryphonengoja3504
@tryphonengoja3504 4 жыл бұрын
nyimbo nzuriiiiiiii ina ujumbe mzuriiiiii na inawagusa wengi tu.....waliondani ya. ndoa.....wachumba.. .wapenzi....hata wale wasio na malengo wanaopotezeana mda.....ila huyu mdada maua umemuimbisha mwishoooooooooni sana bana
@shedrackdaudi3403
@shedrackdaudi3403 5 жыл бұрын
Kwa nymb amazng naomben hat like tu maan sjawah pata ata moja
@tz7976
@tz7976 4 жыл бұрын
Daadeki haya ndo madunde yataishi milele goma tamu balaaaaa jamaa anatungo za kisomi huyu ❤❤❤❤
@petromwinyi4955
@petromwinyi4955 5 жыл бұрын
much respect to Darassa and amazing voice from Maua sama. Both of them are talented artists. we are proud of you guys
@aminakshamoona6900
@aminakshamoona6900 5 жыл бұрын
Darasa na maua mtabaki kileleni 😁😁😁yako wapi yale mapenzi yako wapi mm na ww tulikua happy
@rogerslugose6352
@rogerslugose6352 5 жыл бұрын
This is my favourite. Maua Sama killed it🔥🔥🔥
@zadicseda638
@zadicseda638 5 жыл бұрын
This time around #Darassa umetuelewa na umetoka kivingine tofauti kale kamfululizo wa Chambua kama Karanga .... #GoodJOB..
@mojo50ful
@mojo50ful 5 жыл бұрын
Afghan representing, chief u always on point.diehard fun b humble n God bless.✌🇰🇪
@mremilton1069
@mremilton1069 5 жыл бұрын
Hicho kisauti cha maua kitabaki kuwa juu juuuuuu kileleni chiiiiiii ati nini🍺
@musajack7276
@musajack7276 5 жыл бұрын
D baddest darassa My favorite of all time No body can replace u
@sabongetz4676
@sabongetz4676 5 жыл бұрын
you back darasa salute
@hukuUJERUMANI
@hukuUJERUMANI 3 жыл бұрын
There's a magical concept in this video, both literally and figuratively. Darassa, you're in a class of your own. On of a kind in this generation. Talent + hard work= Magic
@djbillionsafrica5837
@djbillionsafrica5837 3 жыл бұрын
very true 👍
@qamungasebastian6231
@qamungasebastian6231 2 жыл бұрын
L!45
@wawesttv
@wawesttv 2 жыл бұрын
Yako wapiii ???
@shahshah8978
@shahshah8978 5 жыл бұрын
I liked then added a comment, while watching... Cheei...nice nice..simply the best
@frankkanenda2237
@frankkanenda2237 5 жыл бұрын
Tumepoteza mapenzi. ..haaaahaaahaaa bonge la mgoma, ..gonga like hapa kama unamkubali darasa na maua sana.......FRANK KANENDA
@frankkanenda2237
@frankkanenda2237 5 жыл бұрын
Open
@ditricknyamika1361
@ditricknyamika1361 5 жыл бұрын
Jaman sijwah kupata like naombeni like zetu please 🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️
@l.jviktor7745
@l.jviktor7745 5 жыл бұрын
Omba baraka kwa Mungu na sio likes mpuuzi wewe
@bekaamezzy742
@bekaamezzy742 5 жыл бұрын
Ditrick Nyamika uwa MNA zpeleka wap
@wyclifejoseph8463
@wyclifejoseph8463 5 жыл бұрын
unasumbua watu bure!
@deus8629
@deus8629 5 жыл бұрын
hizo zinakutosha bana ):-
@emmanuelnyanda3149
@emmanuelnyanda3149 5 жыл бұрын
utahira uo, izolike mshakazania ka waganga wa kienyeji
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 5 жыл бұрын
yako wapi mapenzi yako wapi 🔥🔥
@nkingwaa.charles7738
@nkingwaa.charles7738 5 жыл бұрын
Talent never lie kaka go on much appreciation to yah
@sirjoel4228
@sirjoel4228 5 жыл бұрын
m2 na mzki wake #darasa ft maua sama kawimbo kanahca baraaa jmaaan mwaaa😗😗😗😗
@PeterKisinga
@PeterKisinga 5 жыл бұрын
Perfect everything. Perfect Story, Perfect Lyrics, Perfect Video, Perfect Acting, Perfect Collabo, Perfect Location, Perfect Audio, Perfect Directing. Just Perfect!
@haibasalehe3568
@haibasalehe3568 5 жыл бұрын
Haijawah kutokea Kuachia mizigo namna hii wasanii wetu... Darassa kajua kutunyoa 😂😂😂lazima upite kote 💥💥🔥🔥 mwanga umeingia gizan
@mulastar
@mulastar 5 жыл бұрын
dah kwa anayetambua muziki, hii ndyo kali kati ya ngoma 3 darassa alizotoa. Best song ever, kwa mwenye sikio la muziki na kuitazama video atakubaliana na mimi
@priscusgodwin
@priscusgodwin Жыл бұрын
MIMI NDO WA KWANZA KUWEPO HAPA 2023… Ngoma kali sana, ninayo kwenye laptop Ila nimeona niingie pia KZbin kushow love. Likes zenu tafadhali…❤❤❤
@mwendecekushoka5190
@mwendecekushoka5190 5 жыл бұрын
Okec livingstone Darasa salute bway....
@barackshadrack6386
@barackshadrack6386 5 жыл бұрын
This is my favorite br0.. 😢 🔥 🔥
@anordamance1176
@anordamance1176 5 жыл бұрын
Mwanadada sama hakika mungu amemjalia kipaj cha kuimba na sauti nzuuuuriii; mungu ambaliki
@rechnoldmsacky8157
@rechnoldmsacky8157 4 жыл бұрын
Mau mau maua sauti yako ni zaidi ya wasanii wote wa kike tz upo juuu Weka like kama tupo na maua
@MBANGA_NAME
@MBANGA_NAME 5 жыл бұрын
big up broo! video King kaua balaaaa
@tabialigosi198
@tabialigosi198 5 жыл бұрын
gudddd
@mickeymaico4055
@mickeymaico4055 5 жыл бұрын
Katika nyimbo zoooote tatu zizotoka hi nadhan ndo kubwa zaidi,when a man loves....video ina story nzuri,ujumbe upo epic Zaid...good backup kwa darassa....sio daily nyimbo za kuruka...!!!
@honkhamis1936
@honkhamis1936 5 жыл бұрын
Hii ngoma imetulia sana kizazi sana
@officialshakila6307
@officialshakila6307 5 жыл бұрын
Huyu jamaa sijawahi kumchoka kabisa hata asipotoa ngoma mwaka akija kutoa kitu kinatoka jiwe la fatuma.. hujawahi kuniangusha since sikati tamaa na ben pol hujawahi niangusha nakubali nakubali darasa nakubali sanaaaaaaaa😘😘
@StyleandMusic552
@StyleandMusic552 5 жыл бұрын
This song is dope ...literary you made me soo emotional....THANK YOU
@salvatoryruhasha9828
@salvatoryruhasha9828 5 жыл бұрын
Daaah bonge LA ngoma darasa utabaki kuwa juu saruti Nyingi kwako
@chaudryramos7397
@chaudryramos7397 5 жыл бұрын
Darasaa is back with a bang, am air conditioner not a fan of Darassa from Kenya.
@mzeebaba6149
@mzeebaba6149 5 жыл бұрын
Best comment so far.. Chaudry Ramos utabaki kuwa juu..utabaki kileleni...utabaki mawinguni.😂😂😂😂
@chaudryramos7397
@chaudryramos7397 5 жыл бұрын
@@mzeebaba6149 shukran brother
@kachiiking7075
@kachiiking7075 5 жыл бұрын
I don't understand Swahili but I say this is the most underrated comment
@amiriramadhan7753
@amiriramadhan7753 5 жыл бұрын
Naona classic music imerudi tena nlikua siisikii katika ngoma ya achia njia na chanda chema sasa nimwendo wa classic music kubaaabake darassa we ni mnyama mkari.
@EdgeAmir
@EdgeAmir 5 жыл бұрын
What a comeback 🇹🇿 👏🏾👏🏾👏🏾
@kattymwalongo1523
@kattymwalongo1523 4 жыл бұрын
Nikiwa na stress huwa nasikiliza huuu wimbooo💜💞💞💞💞💞safiii
@willybrown641
@willybrown641 5 жыл бұрын
The track's hella baddest, best collaboration indeed, Chiiiiiiiii 🎼 🎼 🎼 🎼 Fan from Seattle, WA
@yusuphlyimo1383
@yusuphlyimo1383 5 жыл бұрын
Darasa we nichita kwenye game la music heshima kwako brathr umenitoa stures man.BONGE LA ngoma
@lucasnzinyangwa5921
@lucasnzinyangwa5921 5 жыл бұрын
Another fire asee,,, king of good music darassa + Queen of good music,maua sama💥💥💥💥💥
@gidieanton
@gidieanton 5 жыл бұрын
If you don't embrace this hit.. ushapoteza
@mvungigaming
@mvungigaming 5 жыл бұрын
Yakowapi ma like yangu yakowapi....darasa utabaki kileleni....
@zaitonmohammed7188
@zaitonmohammed7188 5 жыл бұрын
Wewe nimukali kaka
@mvungigaming
@mvungigaming 5 жыл бұрын
Zaiton Mohammed yeeeeeeh!!
@jovinhjofrey6481
@jovinhjofrey6481 5 жыл бұрын
amakweli namkubali dalasa hasakwa hinyimbo imezigusa hisiazangu
@mjobegameplay2410
@mjobegameplay2410 2 жыл бұрын
Leo nmerud tena kusililiza huu wimbo 2022 mwez wa 11 kuelekea 2023 daah
Darassa ft Rich Mavoko - Kama Utanipenda (Official Music Video)
3:54
Darassa Ft. Winnie - Nishike Mkono (Official Video)
5:24
Darassa
Рет қаралды 493 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Stamina Feat Lody Music - Hayana Maana (Part 3)  SMS [Skiza 8091567] to 811
4:03
MwanaFA - GWIJI ft Maua Sama & Nyoshi El Saadat (Official Video)
3:28
Darassa & Harmonize - Mazoea (Visualiser)
3:22
Darassa
Рет қаралды 3,6 МЛН
Asiwaze (feat. Atan)
4:49
Stamina Shorwebwenzi
Рет қаралды 42 М.
DAZ Nunda   Barua
5:26
JUNIH TZ (GUCCI MONEY Tz)
Рет қаралды 225 М.
Darassa ft. Dogo Janja - Size Yao (Official Video)
3:34
Darassa
Рет қаралды 955 М.
Darassa Ft. Osman - Sio Mbaya (Official Video)
3:38
Darassa
Рет қаралды 199 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН