Wewe senior Dave STOP pranks your wife about (divorce) it will come to real. Otherwise tuko pamoja
@rosekamau910610 күн бұрын
Dave just mature up! By the way Annita is very very mature. We love her
@gladysmapenzi208910 күн бұрын
Dave hizo prank zako chunga sana maana sasa unatuboo. Siku moja kitakuramba hauta amini chunga sana mdomo wako wa divorce. Kumbuka mlikosana mkasuluhisha kwa wazazi, sasa unaleta zingine za divorce, usimjarinbu mungu siku moja kitakuramba ushangae
@domitilamutua92738 күн бұрын
Sanaaaaa
@FarhiaAffi-yi1ik10 күн бұрын
Dave that's bad manners.pls mheshimu annita.I love this gal.Amelelwa na discipline.
@beckykasmall9 күн бұрын
Amelelwa get me down yoooh 😂😂😂
@canaansignsenterprises10 күн бұрын
Senior Dave hizo Prank za divorce anachana nazo, huwa siyo nzuri. Prank hufanya mwenzio akakushuku na pia kuamini ipo siku utamuajcha. Husababisha wife aanze kuwa na plan B. Ikiwa itamuacha atafanya nini.
@yvoneachieno10 күн бұрын
Sure
@sucyber177610 күн бұрын
Vitu zingine sizakucheza nazo......
@JenebyMaithima10 күн бұрын
S, Dave ataksma ni pranck. C . Poa kumbuka wakati annita atekwa uliasanga hivi 2.prank na jia ingine lakini si kama hii
@EuniceAranda-j4o9 күн бұрын
@@JenebyMaithimakutekwa nyara ni ki2 ya kuprank hadi anamuuliza kwa nn n yeye mmmh achunge sana may be next n yeye
@elizabethwambui586310 күн бұрын
Pls Dave don't try ,Maneno ya mdomo Iko na Nguvu sana, chunga ishikunje kuhappen please tunawapenda sana
@QueenSheren10 күн бұрын
Mbona mnajudge Dave si niprank yaaani nyinyi
@mercymumbi251010 күн бұрын
You always look disconnected and Annita looks a cheater🚮🚮🚮🚮🚮🚮🤸🤸🤸
@mirriamnduta10 күн бұрын
Dave Leo ni big no ucwai fanyia Anita hivyo tena
@lucymutinda967910 күн бұрын
Dave nasikwa ubaya lkn kulingana na mambo mnapitia haufai kufanyia Anita prank kama hio ni very strong pia unapea your enemies linkage to the next step. 12:26
@malocoentertainment357310 күн бұрын
Mumeanza ile ujinga yenu.. mnatengeneza kwa wenyewe na kwenu kunachoma. Acheni maneno mingi muwe wema kwa ndoa
@yvoneachieno10 күн бұрын
Yesss
@NicholasOloo-m7t10 күн бұрын
Devy chunga sana acha kuleta MICHEZO kwa ndoa.utalia siku Moja.
@douglasmacharia57468 күн бұрын
Senior dave wewe uko na akili ndogo sana ndio umeanza kuchanuka na official chunga anita bado ni mrembo
@janewanjiru486910 күн бұрын
Davi kindly stop those kind of prank, there's power in tongue
@Jedidah-i5h10 күн бұрын
Ukweliii
@ambuyampundubanda941910 күн бұрын
Very true. Don't give the devil room to come into your life.
@JudJudieh10 күн бұрын
Mbwa ww Dave,umeanaza kunibo sasa
@jacklinemueni21710 күн бұрын
Uzuri najua anita anaeza piga dave 😂😂
@anaatashaaanaatashaa10 күн бұрын
Kabisaa😂😂😂
@PhillarineChepkwemoi10 күн бұрын
Wewe annita dave umepatwa
@beckymaria21259 күн бұрын
But its just aprank why u people judging senior Dave Anita lovd u Dave 😂😂😂😂
@SelinaNenda10 күн бұрын
Dave akili yako ni kidogo sana ,mke wa mtu ni kiungo sio mkono wa mtu, hauja kuwa wanawake walivyo.siku mmoja utalia uta jionea kwa macho wazi.😂😂😂😂😂😂
@hillaryphilip432310 күн бұрын
We are not here for Jokes Mr Dave,,some of us we serious when it comes to marriage,Hii story ya Divorce Divorce muaje sasa,
@yvoneachieno10 күн бұрын
Yess Philip wafanye sanitisation but sio izi pranks
@MwanaidiNguluma10 күн бұрын
Kwani umerogwa na Nguku Wa Ngui😅
@Swat02910 күн бұрын
Ujinga yako Dave unasema umeokoka na unahaibisha bbi yako mbele ya camera ,Linda familia ipasavyo kuna siku utajua annita alkua anakupenda waja ujinga bna respect ur wife and to love her
@lamranpets10 күн бұрын
David why are you just doing this prank to my sister,,,😭😭😭😭😭why,,,,,why,,,,,why. I don't like it
@LucyWangari-rs3kx10 күн бұрын
Hio prank ,is NO with capital letters
@RuthKerubo-n3q10 күн бұрын
🙆🙆🙆 Dave uuuuuuuuiiiiiiii umesahau aki hujui vile ndolo amekupa via na huyo mganga juu ulikuwa unapeana kidoshodosho kwa mganga aki hata kama ni prank kumbuka there is power in a tongue. Aki Dave weka familia yako kwa maombi instead. Ukiona siku hile alikuja na mtoto ukamfukuza anaenda kidogo Tu Sijui Nani alikuja. Naomba Tu isikune kujirudia vile truek family ilimpra k akakidinappiwa aki lakini am sorry aki.
@ciiroz832510 күн бұрын
Pls dont do this type of pranks. Kwanza using ati waganga wanakuchukua all the time! That time for her was very TRAUMATIC! being kept in the bush! AND YOU WANT TO JOKE ABOUT IT? Use another joke - like - eg - I found another girl jokes! NOT JOKES ABOUT SUCH THINGS which were sooooo serious & dangerous & these people need THERAPY! This is not funny!! You are very SLOW?NOT INTELLIGENT! Dont do that again or i UNSUBSCRIBE! I was very angry. These people, Jeremy, Fred, Anita, Champee, Mark etc all need to HEAL - they are not yet healed please!! YOU ARE VERY IGNORANT!
@Rachaelneema-db5zb10 күн бұрын
The power of the tongue
@dorcasawino25879 күн бұрын
U R SOON DIRVOCING JUU Anita SI CLASS YAKO😂😂
@Morgan-k8q10 күн бұрын
😂😂😂😂😂onyali kabisa😅😅😅😅
@Jaynenesty10410 күн бұрын
Sanaaaa😂😂😂😂😂😂,amnyali
@CarolKemei10 күн бұрын
Mtalilia kea choo badae
@RuthMwangi-d9r5 күн бұрын
Dave let me tell you. There is power in the tongue, what you confess you possess. This marriage will cease one one. Prank on anything else but you family and marriage Eka kando
@SamuelMwangi-h7z10 күн бұрын
Senior Dave, you have never matured and we warned you to stop this nonsense called family pranks.If you want it to come,keep practicing this shit.
@doreenshii5639 күн бұрын
Bona unapatia shetani nafasi na ukijua vizuri kuwa unapigana na uchawi,dollo akisikia ataifanya ikuwe true
@izomk10 күн бұрын
Mbona unataja mungu ata mahali haistahili always oh my God. Mature up man
@janenjenga890610 күн бұрын
Power of your tongue....it will come to pass
@JulianaWambui-k8n9 күн бұрын
Yy anaona kama anafanya vizuri but nguvu ya ulimi
@MarthaStinner10 күн бұрын
Senior Dave,big you know the Bible truth, then don't just say something which is not true for true faith in God has got no room for jokes- joke is abomination in God' s eyes.
@lilianmbeyu9 күн бұрын
kwani divorce ni celebrity mnashinda mkiimba divorce,ulizeni wenye walikuwa divorced ndo mjue ni raha,your mouth carries your whatever n whichever,of all the pranks but divorce haiya SI kwa ubaya
@anaatashaaanaatashaa10 күн бұрын
dave pesa kidogo tu yamavans umeanza kuleta kiburi 😂😂😂
@DorohBen10 күн бұрын
😅😅😅😅
@sarahmwangi352210 күн бұрын
DAVE ulimi una nguvu usijitabilie divorce God hates divorce. Paweza kuja tu kitu kidogo uone umedivorce forever na uonange our bbygl Annita akiitwa beib mahali
@AnnNjonge-k8k10 күн бұрын
Dave ako n ufala sana anadhania kila mtu hapa anamtakia mema we n maadui n si eti hufurahia vl ako n ndoa poa....
@Faustinesimasi8 күн бұрын
Alafu Dave anacheka Cheka kama waazimu, hiyo devorce unalilia itakuja tu, mungu alisema ukiomba unapewa,
Dave usione umefika place ya kuvaa shirt na tie uanze ujinga nitakupiga Kofi ya kiangazi hadi ukufe😂😂
@dorothyosoko46619 күн бұрын
Dave be mature enough for some prank , what if it's happened???
@VirginiaMwongeli-fs4jm9 күн бұрын
Anita we ni mzuri Mimi nakatakata na namuekea kwa mdomo aiiiiiii
@cynthianjagagua689910 күн бұрын
He is behaving like Thee Pluto... this content creators are so boring 🚮🚮
@khamisjelle45479 күн бұрын
That's good I will marry her 😊
@ColletaOngango9 күн бұрын
Senor Dave don't open door for Satan to visit your marriage please, spite that word in the Name of Jesus christ
@Marry-u8m10 күн бұрын
Wewe Dev wewe wacha kutabiri ujinga ulimi nimzito kaka 😢😢😢😢
@DelphineWanjala9 күн бұрын
Remember Dave, some pranks may come to be real, divorce is not a happy thing, the waganga can make it to b serious na itakukost,plz not that one
@jacintakamiri-bj6ny9 күн бұрын
SD stop those stupid things to ua family prank sa ujinga wacheni.
@rosemarywaweru-im4fr9 күн бұрын
SD, that's the worst joke ever. What if she did that to you? Not good at all 🤔😠.
@JEMOTV_10 күн бұрын
Hamuoni adi camera inasonga na kuzoom
@DorothyJepleting-ch6nb8 күн бұрын
For the love of God and your funs....achana na hizi ujinga za prank to Anita 😏
@ReginaMundia9 күн бұрын
Haki Anita dave amerogwa na njagi na ndolo muwachane ndio unaona hakusikilizi, mwambie aite ule pastor amuombee Dave ndio akwamini
@alexsaidi39409 күн бұрын
Unaanzanga VITU unashindwa kuumaliza ata vita ya kina ndollo wanakuangusha ovyo ivyo 😂😂😂
@MonicahMwende-l8b8 күн бұрын
Already ushaa karibisha roho ya talaka,shauri yako
@BrendaNelima-zh2dd8 күн бұрын
This is clout chasing, looking for lyks and attention from funs
@aineahatone30238 күн бұрын
Makati hiyo divorce itakuja,utalia yako yote,if don't stop it,it will come to pass
@WeddyKathambi-b6g9 күн бұрын
Dave ata kama ni content you are disrespecting Annita
@shikobig35919 күн бұрын
Dave.... shetani ako na masikio please 🙏🙏
@AgnesChristopher10 күн бұрын
Wewe Dave Bible inasema kimtokacho mtu ndicho kikichoujaza moyo wake acha haraka shetani anafuatilia hayo maneno yako
@margretmwongera241110 күн бұрын
Note that there is power in ur mouth ume🎉kosa kitu ya kufanya ama.Umeokoka tafadhali take ur salvation seriousily.
@WinnyTabitha5 күн бұрын
Annita unakuwanga na madharau na kiburi plz work on that ata kukaa kwenyewe kunaonyesha vile ulivyo
@antonykariuki206910 күн бұрын
Hii harusi yenu bona mnaianika kwa social media? Rotten generation that can't hold their secret. Kwani Dave na annita mlilelewa wapi?
@christalgrandberry92839 күн бұрын
SD UNAHITAJI KUMUWEKA MUNGU MBELE KWA KILA JAMBO UNALOFANYA HALO❤❤❤❤❤❤
@rahabmwangigichuki94949 күн бұрын
THERE IS POWER OF THE TOUNGUE,ULIMI IKO NA NGUVU, KILE UMEOMBA UTAPEWA, STOP JOKES😮
@edithnjoroge18510 күн бұрын
Hakuenda na curtains na bulb 😂😂
@siliviaDali10 күн бұрын
😂😂😂😂hujasahau
@edithnjoroge1859 күн бұрын
@@siliviaDali 🤣🤣🤣🤣bado
@siliviaDali9 күн бұрын
@@edithnjoroge185 😀😀😀
@ReginaMundia9 күн бұрын
Dave uko na utoto hiyo si mambo ya kuongea mbele ya camera hiyo ni mambo ya kuongelelea kwa nyumba si kwa studio hauna evidence
@achie27567 күн бұрын
Who cares, that’s your business n nothing to do with us. Do you need more donations 😂
@magdalinewalter508110 күн бұрын
Bona una akili kidogo hivo if yuo want to be single just continue yuo will receive it
@MargaretKaranja-yu6hr10 күн бұрын
Dave 1 day itakuwa hivo unaomba ndo ujue maneno inakuanga nanguvu
@elizabethkinyuaelizabeth53410 күн бұрын
Dave, don't be doing these kinds of planks, words of our mouths are powerful
@janekimango118910 күн бұрын
Wuuuuiiii! Ni Njagi! Lord have Marcy !
@HillaryKoech-q6f9 күн бұрын
Hii Sasa inatufunza nini surely.Gai Dave pungusa maji kwa akili.
@mosesnjuguna-r1e9 күн бұрын
Dave wacha ukipii uwe mature,Anita Ur mature but Dave ni mtoto akili
@Gigivivi-b2l9 күн бұрын
hiyo ujinga uko nayo, peleka ushango, acha ujinga, 😂😂😂😂
@faithi721610 күн бұрын
There's Power in the tongue soon you will see it
@gerrytushh10 күн бұрын
Dave msani tupu, muache afanye kazi yake 😂😂😂😂😂
@siliviaDali10 күн бұрын
Nawashangaa @@gerrytushh
@carolinejepkirui22509 күн бұрын
Dave avoid pranks sai with your wife leave annita alone
@FloridahAkeyo10 күн бұрын
😂😂😂 hii ndio ina bamba sasa
@mablenanzala2549 күн бұрын
Nimecheka nikaisha😂😂😂😂😂😂😂😂juice ilambwe😂😂
@catejustice520510 күн бұрын
Mmeanza ujinga Tena 😂
@margaretmutitu699810 күн бұрын
Senior D for the first time I don’t like this…. It’s childish
@Faustinesimasi8 күн бұрын
Dave yuapenda mambo na waganga,mpaka ana act na Anita mambo na waganga, huyu ata kama mnasema awachane na mambo ya waganga hawezi,mwenyewe yuapenda kama Nini, ndio akina nguku wa ngoli hawatokagi hapo, wataishi kuchukua watu hapo
@CatherineShirima-fj4sj9 күн бұрын
Prank ya ufala brooutajampoteza mkeo kisa upuuzi
@MwangalaEverlyneNelima9 күн бұрын
Fanyeni prank zingine lakini sio hizi za divorce coz maadui wanangoja
@ReginaMundia9 күн бұрын
Dave wewe umerogwa na njagi na ndolo ita poster awaombee mujuwe shinda ni nini
@WanguiGithua7 күн бұрын
Uyu jama kwani n mtoi mbna una behave ivo you need to be muture
@LilyJames-pt8kb9 күн бұрын
Hii ujinga wenu hata haina ladha anymore… tafuteni kitu ingine hii ushenzi ni ya kitoto🙄🙄🙄na headings za ufala🤬
@juliandungu681710 күн бұрын
Wacheni ujinga kwani mnafulahiswa na hii mambo ya waganga.
@nyokskinyah82469 күн бұрын
Tafuta masai but till watch out power of tongue
@Ceciliamphande10 күн бұрын
Napenda annita, ushaul wangu kwa annita saive ukae ukijua kira kitu atakwambia dave ni prn
@IreneAmina10 күн бұрын
Stop this😢😢😢some pranks are not good mouth has power
@ReginaMundia9 күн бұрын
Dave umerogwa na ndolo uwachane na bibi yako
@carolinekara76039 күн бұрын
The power of tongue 👅 utakuja kulia 😢😢
@lucygitobu57259 күн бұрын
Please Dave some things are not Godly
@jennifermbevi50939 күн бұрын
Dave nowadays is full of pride
@kyusa70029 күн бұрын
Dave acha mambo kama hayo unamkalibisha shetani ndani ya ndoa acha prank kama hizo
@HappyBassGuitar-rn7mu9 күн бұрын
Dave acana na prank,hii sio time ya mchezo,uko na kaz mingi ya kufanya,aca ufara
@MargaretWangui-v2i9 күн бұрын
Dave embu nikwambie lizemwalo lipo na kama halopo laja n maneno ya ulimi iko na nguvu yaweza juja real
@Chris.71110 күн бұрын
Shame on u don't joke with our angel dave,nonsense