PART9:WAMAYO TAJIRI WA PESA ZA KICHAWI ALIEFILISIKA AELEZA SAFARI YAKE UTAJIRI NA KUUA NDUGU ZAKE

  Рет қаралды 20,222

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 86
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Tuwekeemo nyinginemo kabla MB zisiishepo tuendeleemo kusikilizamo nyinginemo, hii storimo imesimamaamo kinomanomamo, kudadakimo 😂😂😂😂
@pidasisaidi2670
@pidasisaidi2670 Жыл бұрын
😂😅😂😅😂 Sasa hapo ume Malizamo kabisa Mkuu 😂😂😂
@msaysha5886
@msaysha5886 Жыл бұрын
😂😂😂
@nancolower_8032
@nancolower_8032 Жыл бұрын
Nakuelewamo,,
@florasongay8934
@florasongay8934 Жыл бұрын
Np
@kayombokayombo4654
@kayombokayombo4654 Жыл бұрын
@@pidasisaidi2670 à vous
@ray45king84
@ray45king84 Жыл бұрын
Mhhhh ...Mwenyezi Mungu akusameheeamo
@boazambokile2587
@boazambokile2587 Жыл бұрын
Huyu kweli ni msukuma 😅😅😅😅
@stejasatv7349
@stejasatv7349 Жыл бұрын
Raja ni ndani ya yesu
@stejasatv7349
@stejasatv7349 Жыл бұрын
Watu Wana pitia mengi sana
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 6 ай бұрын
Ila jamaa anasura ya kijambazi sana 😅😅😅😅😂
@UsafiMichael-mc8kt
@UsafiMichael-mc8kt Жыл бұрын
Yesu nisaidie nimalize mwendo salama
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 6 ай бұрын
Sema Mungu nisaidie yesu sio Mungu
@crocodilemasala7956
@crocodilemasala7956 Жыл бұрын
Kweli dunia ina mambo.
@imagepower3641
@imagepower3641 Жыл бұрын
😇😇Huyu mwamba bwana
@nabiimuimbaji
@nabiimuimbaji Жыл бұрын
Polee sana kijana
@SolomoniRingia
@SolomoniRingia Жыл бұрын
Dunia inamambomooo, nimesikiamoo kudadakimooo 😂😂😂
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Kazi mzuri sana kaka davista mata
@mwasitirashid7780
@mwasitirashid7780 Жыл бұрын
Sasa hiyo kofia ya baby girl vipi😂
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ Жыл бұрын
Broo
@nabiimuimbaji
@nabiimuimbaji Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 ufate hela majini dah hataree
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
Wamayo Mungu akurehemu sana japo yy ni mwngi wa rehema anasamehe makosa yote na anasahau
@mgenirasimi7771
@mgenirasimi7771 Жыл бұрын
We unampangia Mungu watu wa kuwasamehe, we kwa kumsaidia mwambie Mungu anakuona
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane Жыл бұрын
Kwan uyu amekufa
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 Жыл бұрын
@@HamixBreshiBane hajafa amasamehe
@jameskahamba4023
@jameskahamba4023 Жыл бұрын
duh! dunia simama
@HusseinGabu-wr3xh
@HusseinGabu-wr3xh Жыл бұрын
Huyu ana laana na nafsi za watu kibao aliowaua lazima zitamdai na Hadi Leo Bado hiyo laana itaendelea kumtafuna Hadi anakufa. Atubu asitubu habali ndio hiyo
@bintalmasi2393
@bintalmasi2393 Жыл бұрын
Mungu anasamehe kabisa kama kwelikweli moyo wako umepondeka na unajutia kwa dhati.
@HamixBreshiBane
@HamixBreshiBane Жыл бұрын
Sawa Mungu
@phinaswai4718
@phinaswai4718 Жыл бұрын
Kama wewe Mungu basi sawa
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Dunia ina mambo mengi sana
@raniafahad2918
@raniafahad2918 Жыл бұрын
Sana yaelekea vifo vingi ni watu wauliwa hasa hizi ajali ndo kabisa ndo makafala na wengine wanajuwa kuna basi ukiona usipende mana ipo siku itatokea ajali kubwa inauwa watu ndomana tunambiwa tukipanda basi tusome duwa duwa inasaidie mtu usipate ajali na ikitokea basi utanusulika kwakuwa uliomba duwa wale wasio omba ndo wafa
@margaretwangoi6814
@margaretwangoi6814 Жыл бұрын
Kabisaa haswa
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Picha ndio linaanzamo
@boazkiveu6508
@boazkiveu6508 Жыл бұрын
Jinsi nafuatilia hii story!!!.. Wacha tu..
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Жыл бұрын
Ukisema mambo umemaliza kumbe Bado
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🙏✌
@gaomariwa7637
@gaomariwa7637 Жыл бұрын
Wapili leo weekend tupandishie davista
@madetetv6576
@madetetv6576 Жыл бұрын
Wa kwanza mimi
@lucymeck-ev2zh
@lucymeck-ev2zh Жыл бұрын
Hpa Nimeelewa kichwa Cha hbr Maana Nilikua sielew kupewa 20 kukata wa2 kaoshi?
@leaherasto929
@leaherasto929 Жыл бұрын
Apo kwenye kudumbukia majini hahaha nimecheka
@historicorner2182
@historicorner2182 Жыл бұрын
Kwani mke wake alienda wapi? Jamaa reporter unapaswa kuwa unahoji maswali kama hayo.
@elidadi1351
@elidadi1351 Жыл бұрын
Kabisa maisha ya familia yake hatujui yameisha wapi!!!!?
@tenkeytz
@tenkeytz Жыл бұрын
Moone..😂😂
@rachelmsekena603
@rachelmsekena603 Жыл бұрын
Story nzuri lakini sauti ndogo sana.
@ramadhanishabani1738
@ramadhanishabani1738 Жыл бұрын
Simu yako ndiyo mbovu.
@norbertmafioso3213
@norbertmafioso3213 Жыл бұрын
​@@ramadhanishabani1738 😂
@Humblehumbl
@Humblehumbl 2 ай бұрын
@@ramadhanishabani1738umo umo
@valencianyiva4531
@valencianyiva4531 Жыл бұрын
how come ulimzika tena akawa anakutokea
@heritier5119
@heritier5119 Жыл бұрын
Hela ya shetani ni kiini macho tu
@jumamndeme6421
@jumamndeme6421 Жыл бұрын
✌️
@davidkizito6900
@davidkizito6900 Жыл бұрын
Shetani ashindwe kabisa
@RichardJoseph-th6rr
@RichardJoseph-th6rr Жыл бұрын
Chakukushaul ndugu yangu kununue Tu sumu unywe hapo hamna tena unachosubilia tena hapa Dunian kiufup ulishagahalibu
@allanothuman2941
@allanothuman2941 Жыл бұрын
Kunywa ww kma n tamu
@suleimanicatter4809
@suleimanicatter4809 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 pesa za misukosuko
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Kwani simungemwachia hixo hela
@ashasaid9056
@ashasaid9056 Жыл бұрын
Wa pili mm
@YusuphMarcOgaga
@YusuphMarcOgaga Жыл бұрын
Hizi sio kamba kweli
@lilyrose7983
@lilyrose7983 Жыл бұрын
Hapana ni misumari 🤔📌📌
@rashidyasser9423
@rashidyasser9423 Жыл бұрын
Wajina unabalaa bi mkubwa unapigadenda
@hopekrish5433
@hopekrish5433 Жыл бұрын
Ila huyu ata kama MUNGU anasemehe uyu atakufa kifo alicho wauwa wenzie
@mysskibe
@mysskibe Жыл бұрын
Are you God? SMH Hakuna tofauti ya huyu na matajiri wa waganga. Wote wameua ila matajiri wanauwa kwa njia ya kujificha kishirikina. Hao kwanza ni worse, wanaua Kisha kukatakata na kula
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Жыл бұрын
Atakufa kifo cha kawaida tu,kama ameomba msamaha kwa dhati Mwenyezi Mungu atakuwa ameshamsamehe kabisaa
@Clevomk
@Clevomk Жыл бұрын
Tuma nyingne mkuu
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics Жыл бұрын
Ukistaajabu ya musa..........................
@rerisamba
@rerisamba Жыл бұрын
Utayaona ya firauni
@lucymeck-ev2zh
@lucymeck-ev2zh Жыл бұрын
Moonee
@mildredakinyi9855
@mildredakinyi9855 Жыл бұрын
Vitu vya shetani si vya bure. Lazima kujizingire na damu iliomwangika msalabani ya yesu christo.shetani umeshidwa ukochini ya nyayo zangu
@chifuthedoni8889
@chifuthedoni8889 Жыл бұрын
Ila kuna uongo humo! kuhusu pesa kuanguka hovyo, niuongo! Afu alikuzuia tu mwanamke ndo asilale humo nawe alilala mwanaume, Masharti ya ndagu hayaendagi tofauti kiivo! hapo hukuaribu mashart ispokuwa unadanganya baazi ya mambo!
@pidasisaidi2670
@pidasisaidi2670 Жыл бұрын
Kaleteko yako na ww utu danganyemo😂
@msaysha5886
@msaysha5886 Жыл бұрын
Lete yako ya kweli sasa au ww ndo ulikuwa ndo mganga wake😅
@phinaswai4718
@phinaswai4718 Жыл бұрын
Kumbe na wewe upo kwenye njia iyo iyo😢😢😢 wachawi wanajuanaga wenyew
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 Жыл бұрын
Inawezekana na wewe Ni walewale utajiri wa kichawi ,je umejuaje Kama anadanganya wakati Yeye mwenyewe ndo victim
@sammjohn7111
@sammjohn7111 Жыл бұрын
Muongo Hy stori za kuunga
@evansagola8493
@evansagola8493 Жыл бұрын
kingwendu
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 41 МЛН
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 19 МЛН
Lazy days…
00:24
Anwar Jibawi
Рет қаралды 9 МЛН
Новости дня | 10 декабря - вечерний выпуск
11:50
Euronews по-русски
Рет қаралды 54 М.
5 Ways to Handle People Who  Don't Respect You | STOIC PHILOSOPHY
29:24
James The Stoic
Рет қаралды 667 М.
100.000 soldats de l'OTAN envoyés en Ukraine ?|LCI
14:01
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 41 МЛН