Рет қаралды 1,000
Karibu Kuungana nasi katika Maombi ya Siku Ishirini na Moja (21) Maombi yakiongozwa na Mwl Renald Mlawi
AGENDA: BWANA TUREJESHEE TENA UTUKUFU WAKO
Waamuzi 16:20
Kisha akasema, Samsoni, Wafilisti wanakujia. Akaamka katika usingizi wake, akasema, Nitakwenda nje kama siku nyingine, na kujinyosha. Lakini hakujua ya kuwa BWANA amemwacha.
Mwl. Renald Mlawi
+255 758 306 109
+255 677 968 604