Hellow Mambo ?..Vipi Karibu Ku Enjoy Wimbo Wangu Mpya ❤️🙏 Usisahau Ku Like ,Share , Comment Na Ku Subscribe My Channel 👊❤️🙏Muhimu Asante Sana Karibu Sana
@ChegeChigunda-ef6oxАй бұрын
Haya sasa toa millioni hamsini ya ibraa ......umefunikwa kaka
@ChegeChigunda-ef6oxАй бұрын
Tuzifuate wapi sasa hizo hela
@alialbusaidy8565Ай бұрын
My brother big up
@NahimanaChristian-yt1cbАй бұрын
Ibraah kakufunika baba acha tu yani ibraah kauwa bala
@TAPTAP_PRESSOАй бұрын
@@dayoo_ uwe tayari kutoa million 50 chingah from🇰🇪🇰🇪
@RichkiddWizzyАй бұрын
Kama unakubali ibraah amefunika Dayoo nipeni likes jamani...dayoo apunguze shobo sasa ni mgeni kwa game..ibraah sio levo zakeee 😂😂😂😂
@MwenyekitifxАй бұрын
Dayoo ni next level kaka
@tenatanzАй бұрын
😂😂😂 Yan wew kichwa maji@@Mwenyekitifx
@TONYSANGA-wr5kdАй бұрын
Dayoo naona kwenye hii kayatimba 😂😂😂chinga kauwa kisenge😂
@DavidMbwanaАй бұрын
Ibraah amefunika si siri tena😂😂😂
@JonathanNelson-l8hАй бұрын
Acha ushamba kwani hapo Dayoo c amefanya nyimbo ya pamoja shobo iko wapi? ( Kichwa maji wewe)
@Uncle877Ай бұрын
Kama unajua dayoo alifanya makosa kuletea ibraah ngoma ya kulialia akiamini atamufunika,,,,Ghafla bini fuu akafunikwa gonga like apa😅😅😅
@johnboscomasumbuko1073Ай бұрын
hahaha kumbe kajingiza kwenye mfumo
@britonboykondegang5708Ай бұрын
😂😂😂😂ibraah ni moto kama pasi 😂😂😂
@TeknoMiles-u3sАй бұрын
❤❤❤❤
@TeknoMiles-u3sАй бұрын
dayooo fundiii
@TeknoMiles-u3sАй бұрын
Dayoo fundiii
@Yohanayakob-d1eАй бұрын
Ama unamkubali ibrah kamfunika dayoo achia like hapa
@faisalal-miskry466924 күн бұрын
Ibraah! Sipendagi msanii kifalafala mimi ila mwaka huu umenikosha. Ukiendelea hivyo utakua my favorite singer.
@nishgold4160Ай бұрын
We dayo ukimaliza kusoma comment zoote ebu kampe milion 50 za mmakonde yule
@YohbadАй бұрын
@dayoo chinga moto saanaaaaaaaaa usijaribu tena
@Jini-y3dАй бұрын
Mtoto wa jeshii ni jeshi tuuuuu ibraa kauwa❤
@GloryJohn-v3hАй бұрын
Moto wa jesho mjukuu wa simba❤❤❤❤
@yassadabrownАй бұрын
Dayoo fundi mzeeeee
@yassadabrownАй бұрын
Dayoo fundi mzeeeee
@yassadabrownАй бұрын
Dayoo anajua
@yassadabrownАй бұрын
dayoo fundi sana
@PurityMwewa-d4fАй бұрын
Dayoo kama kweli unamuogopa mwenyezi mungu basi mpe ibrah million 50 ulizo mhaidi kwasababu amekufunika kiukweli
@ramadhaniKabwe-ml3xbАй бұрын
Hahahah
@ramadhaniKabwe-ml3xbАй бұрын
We huogop
@ramadhaniKabwe-ml3xbАй бұрын
Sikiliza tena 😂😂😂
@Kondeboytz-s9zАй бұрын
Ibraah ndiye kauwa zaidi ya dayoo🎉🎉🎉🎉
@xclusivebtz7516Ай бұрын
Kidogo tyu ningewahi kama unamkubali dayooo let's gather here🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@WilsonMungai-o6xАй бұрын
On fire 🔥🔥🔥
@groovehubkenyaАй бұрын
🔥
@MrsappotАй бұрын
Nomaaa
@MrsappotАй бұрын
☎️☎️☎️☎️
@MrsappotАй бұрын
Xopw
@KHANYLAIZERАй бұрын
Hatimaye Msanii @ibraah_tz ameamua kuvunja utata kati yake yeye na msanii @dayoo_tz baada ya kuwepo na vuta ni kuvute nyingi za kuwa nani ni mkali sasa mtuambie hapo Nan mkali coz mm naona ibraah kauwa hapo🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Licha ya ivyo #Dayoo alidai kuwa akifunikwa na msanii #ibraah atampatia kitita cha Milioni 50. 😂na amezimwa tayar 😂
@ambrosepatrick9088Ай бұрын
the only one problem we netizens have is that instead of congratulating both parties we go with one since it was a group work not a COMPETITION ,let's agree that both Chinga and Dayoo nailed it they made it look nice together and in fact it's on another level I agree with this one 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wapi likes za hawa wanangu
@SonBrown_ogАй бұрын
Wow dah miyamba miwili moja toka kusini mwingine toka kazkazni weeeeh achana noma🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️
@RahimuSaadАй бұрын
Kama umekubali hii ngoma gonga like hap oya si eti eeeh chinga again
@TeknoMiles-u3sАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@YushimelodyАй бұрын
Hii sasa sio comedy nmeona mjeshi kikofia ana talent hamia uko mazima ukalishe wanaojiita wanyama❤❤
@TheShedy_platinumzАй бұрын
Uongo mbaya ibraa kafunika sana
@Razkenya001Ай бұрын
#SiEtieeeeeh! #chinga🤜🏾🤛🏾✨️✨️✨️✨️✨️✨️✨️ likes and love from Mamtoni kenya 🇰🇪
@ramadhaniKabwe-ml3xbАй бұрын
Saw
@ramadhaniKabwe-ml3xbАй бұрын
Asante
@ramadhaniKabwe-ml3xbАй бұрын
Ubarikiwe 👏
@Africanhits-officialАй бұрын
Mi nlimpenda nkampa vyote nkaususia moyo, Ye hakunipenda aliniona zoba me nlipokuwa loyal😢😢😢 ila dunia duara mwacheni aizunguke.....wapi nkarefresh Leo 🔥🔥🔥🔥
@odundowhАй бұрын
No need to compare yourselves...kila msanii umu kaimba kadri ya uwezo wake kifupi we all have to stand together ...all in all NGOMA NI KALIIII MNOO
@KingRemy-vd8rnАй бұрын
Mimi wa kwanza kutoka Congo naomba like zangu plz 🙏🙏
@IbniAbbas-yz3ktАй бұрын
Like zako kwani ulimpa nani!?
@AllyMaflavor13 күн бұрын
Hingoma ninoma dayoo kafunika kwenye ves kuimba kilamtu anamelody yake dayoo agefunikwa nyimbo igekua mbofu wimbo mzuri kila mtu amecheza pati yake ndomana wimbomzuri❤❤❤❤🎉🎉
@danitotiburciomatias6334Ай бұрын
Nisubilia sanaa ii colaboo kama kuna mwengine gonga like wanaa from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@godfreymaingu1467Ай бұрын
Dogo anajua sana naweza kusema kaua kwakua dayoo aliulilia bas kajitahid
@armandoleonardo6966Ай бұрын
Ibraah está sempre a representar coisas boas 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@lusekelo97Ай бұрын
Like za ibraah🎉🎉🎉
@jumaabdalah4117Ай бұрын
Mbon kama ibraa kauw cn ap likes❤❤
@SadamuKastamuАй бұрын
Ibraaaaaah umeuha kaka unatisha na ndy konde akutaka uwondoke
@MayMillanziАй бұрын
Ibraaaaaa vina,mizani had nukta✋🔥🔥
@sunmoneytz5105Ай бұрын
Hongera kwa wote kazi nzuri sana 👏👏👏
@vanchillahvanchillah7691Ай бұрын
Chinga anajua sana shida ya dayoo abadiliki nyimbo ya kwanza mpaka hii mpya zote zinafanana kiufupi chinga anajua sana
@UdugwanАй бұрын
Kazi kubwa mzee hujawai feli 🎉
@vumbilacongoАй бұрын
IBRA mdogo wng acha kukamia sana utakua ushirikishwi kwenye ngoma za watu shauri zako 🙌
Nawakubali wote,nikmic ex napga dharau,ila vibe napga weekend.but more namkubali dayoo sana kila sk napga ngoma zake ila ibraa wee ni nyoko umeuwa humu....japo taendelea kuipenda simba japo tumepgwa
@Matayo-sh9xbАй бұрын
Wanaoamini kuwa Ibraah kamufunika Dayoo tujuane kwa like
@ManenoPapalu-ku3vlАй бұрын
Ulichokosea dayoo kuchagua nyimbo ya kulalamika maana chinga hizo ndo sehemu zake
@LudeofficialXworldwideАй бұрын
Mhu aweee chinga weweee mtoto hatari, shout-out kwa MANGI pia, kwa hiki chuma hot 🔥🔥
@NazaboyJoshuaАй бұрын
Kazi kubwa sana bro wangu
@JailosSoliaАй бұрын
I'm top nope like zangu chinga❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥
@VIZBOYDOGOFIRE560Ай бұрын
Nilikua na subiri sana hii ngoma
@star_mauzotz8319Ай бұрын
Chinga kama chinga 🎉🎉
@pc_boy426Ай бұрын
Pole sana dayoo
@_lexuslexyАй бұрын
Kama upo single kama mimi nipe like❤
@TrissShaoАй бұрын
Ibrah unajua sanaaa🎉🎉🎉 unajua tena kaka 👏👏
@TITORYKENYAАй бұрын
Namba moja 🎉🎉 like kwangu❤
@ShafiiHamisАй бұрын
Ila dayoo anajua
@nastykessy6603Ай бұрын
Chaga boy kauwaaa
@SdMwayasinАй бұрын
🇿🇦🇿🇦🏃🏃shikamooo King Kiba
@jackson-vw1ehАй бұрын
Kwaiyo dayoo hichi ndio ulikuwa unakililia😢 sema tupate pumbu moja aslay x ibrah nyie 🙌
@WabasheleAbediАй бұрын
Me wabashele ❣️❣️
@yassadabrownАй бұрын
Noma saaaana
@kelvinathuman8545Ай бұрын
DAYOO HUJUI KUIMBAAAA😅😅😅IBRAAA NI HATARIIII NOMAAAA
@samwelyryoba9266Ай бұрын
Dayo mkari Sana ibra ajipange
@silverstarboy-b6tАй бұрын
Na dayoo unaeza nisaidia nitoke wimbo yangu nimeimba zingine
@BrunoShayo-iz1wbАй бұрын
ibraah kaua hii ngoma umefunikwa dayoo nasema siyo kwa ushabiki content nzuri sn ibraah katisha
@DAVIDTIMOTHEE-b3rАй бұрын
Ibraaaah chingaaaaaa unatisha kabisa
@collineedson9964Ай бұрын
Dayoo ni mkali Sana Ila humu kakalishwa na Mmakonde lazima mashabiki zake tukubali
@AusonHero23 күн бұрын
ukweli ibrah kauwa sana dadeki konde music washashindikana
@yassadabrownАй бұрын
Hiii ngoma kali saaaana
@zackcrazory1149Ай бұрын
Introo Kali sana. Tusinge muelewa ibra bila wew
@yassadabrownАй бұрын
Noma sanaaa
@dttoseydАй бұрын
Ibra umetishaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@ShariphuMoАй бұрын
Aisee dayoo kosa lako ni kumshilikisha ibrha kweny ngoma kama iz za kulialia ibra ndo njia zake izo kwahyo kaka lazma ukae hapo
@AbdulKatalay-h2c25 күн бұрын
Ngoma ipo poa sanaaaa 👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
@musaabuebker1750Ай бұрын
Verse ya ibra ni 🔥dayoo nae kapiga unyama
@HarunaHamis-e5v11 күн бұрын
KAMA BADO UNAENDELEA KUSIKILIZA NYIMBOO HII EVERYDAY GONGA LIKE TWENZETU
@ScorpiKingАй бұрын
Hawa wadau wawili na wakubali sana
@BieNve-k4bАй бұрын
Dayoo ❤❤❤❤❤ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩ibra pia ni noma kama konde
@Conc.yАй бұрын
Kitu safi siku zote ❤
@queenmartine8792Ай бұрын
Nyimbo ni nzur sana
@MigoMwakimbwalaАй бұрын
Aha dayoo mkali lakn kwa uyu mtoto ibrah kanoa dogo kauwa
@yassadabrownАй бұрын
Dayoo noma mzeeee
@yassadabrownАй бұрын
Dayoo noma
@yassadabrownАй бұрын
Noma dayooo
@yassadabrownАй бұрын
Dayoo fundiiii
@yassadabrownАй бұрын
Dayoo fundi
@middypiccoloАй бұрын
Watu wanaipishaa tuh KZbin wakishtuka INAKUW HitSong ya duniaaa
@ChokolaDanАй бұрын
Munajuwa sana haki yamungu ❤❤❤
@JoshuatzMnyamaАй бұрын
Goma Kali sanaaaa❤❤❤
@shani-l8sАй бұрын
dat was a great thing from you all guys keep it up man @dayoo x @ibraah goma kali kisoroooo😜😜😜
@jameschiper640Ай бұрын
Chinga ameua sanaa🎁🏆
@ShabanShekolowaАй бұрын
Dayoo fundi sanaaaaa
@yassadabrownАй бұрын
Hii ngoma sana jaman
@RamahZuubryАй бұрын
Mi nlimpenda akanilipa kuntenda
@manywelenoel3747Ай бұрын
Mzk mzur uwez kuchoka kusikilza
@tiffanylunya6685Ай бұрын
Ibraah atakuuwa umu🙌🏿
@TheAscanMelodyАй бұрын
Wote ni wamoto mbona ila ibraah 🎉🎉🎉
@felistercharlesАй бұрын
Ibraah❤️❤️❤️
@yassadabrownАй бұрын
Noma saaaaan
@NeemaSaid-v2xАй бұрын
Ibrah kauwa🔥🔥🔥🔥🔥
@Director___MwadaduАй бұрын
Kabisa❤❤
@albertngetich4632Ай бұрын
Ibraah ❤💯🔥
@ramadhaninambole7447Ай бұрын
🎉🎉MANGI X CHINGA 🎉
@Comedy-r6q23 күн бұрын
Kazi nzuri sana❤❤❤
@baraka392Ай бұрын
Bomboclaaaaaaaaat🔥
@JacksonDusonАй бұрын
Noma mzeeeeeeee
@NicaSamuelSamuelАй бұрын
Ngoma flani hivi👌🔥🔥🔥
@mwanakomboHaridiАй бұрын
Madiwa rongomba nae mkalii jaman msisahau
@yassinsoudy214Ай бұрын
Chingaa🙌🙌🌍
@kakabeka2515Ай бұрын
..ngoma inaweza kabisa hii ibra ni 🔥🔥🔥🔥
@kasimuzongo6011Ай бұрын
Aisee huyu Ibra sio mtu kiukweli ni mnyama mnooo katika ngoma kama hizi za kulialia aisee