Mambo Vipi Uko Poa …karibu Kuskiliza Mziki Mzuri Kama Utaipenda zaidi Usisahau Kuweka Comment Yako Apo Pia Ku Like Na Ku Share… Subscribe Pia ❤️🙏✊ Heri Ya Mwaka Mpya🎉🎊
@abdallahathuman949311 ай бұрын
Kaka umefanya vzr mwisho mwaka takwambia mafanikio yangu bless god broo
@kirupyseleman58211 ай бұрын
Umefanya poa boss wangu
@StimaOfficial11 ай бұрын
Si etie🎉🎉🎉
@Murisal11 ай бұрын
Umetisha kaka.. 🎉🎉🎉🎉
@SennyFleva_111 ай бұрын
Sanatuu
@shadyarif65311 ай бұрын
Mangi Kenya Tunakupenda...Nipeeni Ata 10k Likes basi🎉
@PendoAbdallah-ly8ez5 ай бұрын
😊spnthxtndfbn
@PendoAbdallah-ly8ez5 ай бұрын
fccnkhffgn
@PendoAbdallah-ly8ez5 ай бұрын
rbdgj b lm
@PendoAbdallah-ly8ez5 ай бұрын
vhhjhgghcbkc
@PendoAbdallah-ly8ez5 ай бұрын
vnghk😊 x njn
@medovinahmedlamar828511 ай бұрын
Most underrated artist ... Huu mwaka ni wetu lazima tufosi ❤
@PatrickMaina-u9l11 ай бұрын
Walai...
@certifiedneptunes998210 ай бұрын
😊😊😊😊😊
@DanielLaurent-pl4rg11 ай бұрын
Huuu umeenda kazi kali
@KeruboNyantika11 ай бұрын
I once said this guy is underrated and I could not wait to have him make a hit song that will propel him to greater heights.... Ah huu mwaka ni kufosi au siyo. Dayoo to the world inshallah
@paulmutua164711 ай бұрын
Underrated GOAT🔥🔥🙌
@giteg50738 ай бұрын
Na apa goma muta fika lini ?
@HELLENMBUI11 ай бұрын
I lyk it huu mwaka ni yetu pole kw wale watutakia mambaya🎉🎉❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅🎇🧨🎆🎈🎉✨️🎁🎀🎊🎆🎇🧨🎄
@morenobdi918711 ай бұрын
Awesome song my favorite song writer 👊👊all in all umeuwa kama umeikubali hii ngoma nipeni likes zangu kwa ajili ya dayoo tz
@justinefocus544511 ай бұрын
Hatari kabisa
@Victor.kipngeno11 ай бұрын
From Kenya,now officially Dayo's fan🔥🔥ngoma Kali sana,this is my year's prayers🤲🤲🙏
@nemnem743111 ай бұрын
Tanzanians don't know how Kenyans love them... But, huu mwaka tuna-force hilo mjue...
@phillipmwangi256010 ай бұрын
😊😊😊😊àaaaaà
@ilovuguyssandimu650810 ай бұрын
We know am tzdian I live in kilimani n I know the lov is genuine
@deulemwangolo9 ай бұрын
Naitwa Mangi 😂😂😂😂 Hongera sana kijana........🎉🎉🎉 Much love from Kenya 🎉🎉
@KefaHenry-gx4dt11 ай бұрын
Kaka unajua kuimba jaman wimbo ni mzuri sana kwangu ND wimbo bola wa kufungua mwaka🎉🎉🎉
@PreciousWaithira-df3zf10 ай бұрын
Huu mwaka lazima tuforci ama niaje wasee love you dayoo iam your biggest fan
@NicksonMaghembe11 ай бұрын
unakipaji sana kaka huu mwaka ngoma kali sana kutokea🎉🎉🎉mau yako 🎉🎉🎉ila tunaomba video iwe kubwaaa sana zaidi ya hiyo video remix kanyaga original 🎉🎉🎉
@yassadabrown11 ай бұрын
Hii kali sana mungu akushike mkono ufike mbali
@FrancoMtweve11 ай бұрын
Ngoma zako noma sana kila ngoma ni hit hatari hongera mwanaaa
@Hamadi-ri9lp5 ай бұрын
Ngoma kali
@saly69111 ай бұрын
oya umetisha sana kak huu mwaka inatakiea kweli tufosi kila kiumbe aliye hai awe bossss❤
@nasrisamir291611 ай бұрын
Ngoma la mwaka
@ezbonbwire-eg1tu11 ай бұрын
Hii ngoma kama maji, usipokunywa utayakoga, Gonga likes Maboss wa mwaka huu
@HamisiLohay11 ай бұрын
Ni balaaa
@Eastafrica66111 ай бұрын
Dayoo anatufungulia Mwaka na ngoma kali sana heart songs ❤️❤️♥️♥️
@Lionize_Tz11 ай бұрын
Ngomaa kalii saaan
@DonatoOduor-dh7jj11 ай бұрын
Huu mwaka wetu nyimbo kali nimesikia ya kufungua mwaka GOOD WORK Dayoo
@lelomellowtz11 ай бұрын
ILA HILI LIDAYOO LINAJUA SANAA JAMANI AU NIMEKOSEA🤣😅🔥🔥🔥
@Mwenyekitifx11 ай бұрын
@dayoo
@mikedon25411 ай бұрын
Oya wanangu wabodaboda huu mwaka ni wetu🇰🇪💪💖🙏💯
@LAY_FLOW11 ай бұрын
Mwaka wangu 💖 baba mangi ujawai niangusha kwenye sound like zangu hapa ☝️ Bujumbura 🇧🇮 naomba like zangu hapa ☝️
@azooclassic254311 ай бұрын
Mziki umetulia oe uko sawa buda boss@dayoo
@winniemolloi577611 ай бұрын
Wooow the song really have an annointing from God how many people are feeling it guys 🔥🔥🔥🔥🔥
@yassadabrown11 ай бұрын
Big up
@kendiroselyn39429 ай бұрын
Tumependa. Hii
@kingsonHussein11 ай бұрын
Huu ni mwangu yaan sitaki lawama maan wimbo umenifanya kuwa stronger Tena 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 congratulations bruh
Am telling you Dayoo ,,,keep the talent flowing ❤❤mob love
@danielmulingemulinge10 ай бұрын
Keep the talent ❤❤
@raymondfrank273911 ай бұрын
Baba huuu mwaka atujaja kutia uruma
@KINGSHALA11 ай бұрын
Boom this is one of the best tz love song and good vibe song store in big would African enjoy this challenge zii kuje mob pale TikTok wanangu wa Kenya vip likes na ku enjoy this song and show love 💕💕💕 huu mwaka si yaku force 🎉🧬🎉🇹🇿
@HamisiLohay11 ай бұрын
Ngoma kalii sanaaa
@KuangKinghzao-ju5xy11 ай бұрын
Dayoo is my favorite artist 💖💥💖💥
@robertmwangi975111 ай бұрын
hapo ni ukweli hii mwaka ndio kufoce vitu anyway🤣🤣🤩🤩
@msabahaproduction259511 ай бұрын
hii ngoma dayoo anaenda bebea tuzo kama unaamini piga like zakutosha
@zeydkombo177611 ай бұрын
Aaagggghhhhhhh…..wallah hii ni moja ya nyimbo zangu bora mwaka huu…..kkkaaaliiiii kinoma noma..
@kingknox9789 ай бұрын
Music to the world Dayoo tinakupenda from Zimbabwe pia😊😊🎉🎉
@IddiJoely-hb8rp9 ай бұрын
Andr
@annewanjikunjeri874911 ай бұрын
Hapo sasa ❤
@brianoyato11 ай бұрын
New year new tune Best tune kazi mzuri much love ❤️ from Kenya 🇰🇪+254
@josphatibrahim413611 ай бұрын
Huu mwaka kweli lazma tumake. Dec 2024 narudi hapa kudhibitisha
@lelomellowtz11 ай бұрын
Sijui nisemeje ILI LIDAYOO LINAJUA SANAAA🔥🔥🔥
@kingsleybassey326410 ай бұрын
Kenya to the world 🎉!!
@gkmedia719611 ай бұрын
Good music I swear Dayoo you the king of lyrics
@OmmyKofficial-nz9qo11 ай бұрын
Hii Mwaka nayo we wanna go down in style lazima kajipe ❤ommy k official has approved 💯
@ChristianChuwa-cy1du11 ай бұрын
U never dissapoint since day one my G
@SaeedyMula11 ай бұрын
Hii imeenda🎉
@gilbertsoki11 ай бұрын
2024 is the year of breakthrough. Amen 🙏
@KasimuMsuya-h6k11 ай бұрын
Hii mwaka lazima niitwe boss
@Roymira0111 ай бұрын
Good one bro ya kufungua mwaka
@fredricklumumba910411 ай бұрын
My 2024 Anthem Thank you Dayoo
@SylviaMwasaru-sd9ss11 ай бұрын
Hit yakufungua mwaka
@SundayMwambola11 ай бұрын
Nimekua wa kwanza Leo naomba like zangu❤❤
@Jeminjackson111 ай бұрын
Dayoo noma
@Zezeta-yr3hy11 ай бұрын
Unajua Sanaa Brother🔥🎉... Much Love From Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MohamedMustafachiwalanga-cw4lp11 ай бұрын
😊
@E.J_VIHIGAN_LION11 ай бұрын
Your day one fan from Nairobi Vihigan lion 🦁 nangoja hiyo blaze as always 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@yassadabrown11 ай бұрын
Hii ngoma ni kali sana so poa
@peaceboyofficial11 ай бұрын
Atimaye Sasa mnyama ameajia ngoma happy New Year 🎊🎊🎊
@irakoze-bo6wz11 ай бұрын
Huu mwaka mutanyit boss❤️❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@rachaelmwangi200711 ай бұрын
Deserves 1 million views+❤️❤️❤️❤️❤️, good music 💞💞
@moseshandsam186511 ай бұрын
This is more than a hit 🎯 dayoooo super talented 🇺🇲🇺🇲🇺🇲 ukoo juuu sana endelea kufanya poa
@sammymusikali622311 ай бұрын
Dayooo ...Happy New Year filled with love and joy ❤❤❤more love from kenya
@JohnMilimo-sz7hu11 ай бұрын
Dayooo unajua,what a hit song,inanipa nguvu ya kuianza january
@djoutsajacques-gerard461311 ай бұрын
Bonne année à tous !!!j adores la musique 🎧,que Dieu vous bénisse pour cette année et vos projets également 🥳🥳
@itsdoofyjax11 ай бұрын
Merci beaucoup 🎉 j'adore 😊
@LilianMlay-li2pp11 ай бұрын
Danke
@yassadabrown11 ай бұрын
Hii ngoma kali sana
@arnoldsun454811 ай бұрын
Definition of Good music🎶❤
@MartinPeter14611 ай бұрын
ngoma nzuri sana dayoo imenigusa .moyoni mwangu
@CASIMIROVEVO11 ай бұрын
take a gold 🥇 for this song... good vibe from Mozambique
@RomboBoy-bl7ql11 ай бұрын
Kitaà cha mamsera kimetulea sana dayooo....kaza sana bobu umeibeba rombo mabegani
@trikkydaddo588011 ай бұрын
Huu Mwaka Lazima Mtaniita BOSS. In Sha Allah 🙏🔥🔥🔥
@Dizzolee-tz11 ай бұрын
Kama mkulima lima kama unaimba imba utoboee ❤duh nakukubali sana kak ngoja tuimbe tutoboe 👍
@LazaroSeza10 ай бұрын
Asante ❤❤❤❤😂😂
@lelomellowtz11 ай бұрын
NA HII NGOMA IKAWE TRENDING YA MIAKA YOTE.
@janewanjiru445211 ай бұрын
Wimbo mzuri sana ,,nausikiza nikiwa Kenya ,ni lazima siku moja niieke mara karibu kumi..Asante sana kwa ujumbe wa ki sure
@wadzim22211 ай бұрын
Another bang in town🔥🔥🔥🔥🔥
@DLMEDIA25411 ай бұрын
When God says yes nobody can say no,huu ni mwaka wa kuforce hit ndio hapa,toa video mbio love from Kenya.
@Deefamily-x6p11 ай бұрын
🎉🎉this song express how music is all about
@njoroboihastla11 ай бұрын
😮TANZANIAN WENZANGU HUYUU MANGI AZINGATIWE KWENYE KIWANDA CHA BONGO FLAVA JAMAA NI KIPAJ KIKUBWA SANA💣🔥 #BONGE_LA_NGOMA💣🙌🔥
@derrickmwiti281511 ай бұрын
To be honest 2023 was the roughest year personnally i have encountered. lost everything i had, friends turned enemies just back biting. my family was the only one who stood by me but this song has triggered a sigh of hope and determination 2024 december i will come back and tell you how God came through. #Huu mwaka..😢🎉🎉🎉🎉🎉
@omonylawrence887110 ай бұрын
Much love from Uganda. Blessings to all East African people here ❤. May all your plans for 2024 come to fruition 🎉
@MarathonMuziki11 ай бұрын
@dayoo_ shukrani kunipa song la kunivusha naimani kabla ya mwezi wa pili nitakuwa nishatoboa na mwezi wa pili tarehe 23 nitafanyaje party ya kutimiza mwaka nikiwa na mafanikio. Mungu nibariki... Mungu tubariki wale wote ambao tunaamini huu ni mwaka wetu!
@JosephNjugunawambui5 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@JosephNjugunawambui5 күн бұрын
🤪🤪
@Rashidi-vi7hh11 ай бұрын
noma sana 🎉🎉
@asaydtsopy119411 ай бұрын
Wimbo unatia hopes na una motivate big up bro New year new things plus good music 🎉❤
@mikedaniels192210 ай бұрын
Been repeating this song now and then till i came to realise i will be playing it yearly towards every end of year till i be the boss howsoever who i will be 🙏🙏🙏🙏
@arabgandaempire11 ай бұрын
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
@joeltiema11 ай бұрын
Wimbo Mkali sana bro nakuombea makubwa mchaga mpambanaji
@rovah0011 ай бұрын
Dayoo🔥🔥never dissapoints,,,big up kaka✊
@yassadabrown11 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana hii ongera broo
@kamaulisbeth368511 ай бұрын
Mambo ni live! Dayoo has said it. New favourite jam right here. That's how you start a year
@paulmutua164711 ай бұрын
Ngoma kali🙌🔥
@passubryans834411 ай бұрын
Ukipata limama likomoe ....got me ❤😢❤
@Enjeri11 ай бұрын
Another banger 🎉🎉🎉🎉🎉
@JeymohАй бұрын
Huu wimbo utachukua tuzo y mwaka 2024.😢 🇰🇪
@Chriss_tophy11 ай бұрын
Naitwaa Maangi... The best artist i swear. Hit after hit after hit ❤❤Napenda sound yako Wuuuuh ... Mafeeling records ❤
@tumainjoachim217811 ай бұрын
Mangiii utaniita Boss huu mwaka unajua sana this day one💪
@goodlucknechi666211 ай бұрын
Mangi on this one let's go 🔥🔥🔥
@abdulmakatarivo77665 ай бұрын
Kama unadanga,danga sana ila usisahau ku make bwana,ujekujenga hata kibanda nawe uwe na kwenu,,nimeipenda hii ni somo kwa wanawake wasio jielewa😎😎😎