Tungepata wa kustopisha hawa matapeli kenya tungekuwa majuu..DC kazi nzuri
@kenedyochieng1555 жыл бұрын
Kazi nzuri sana DC umeamua kufanya kazi ya usalama.Jpm hongera sana kwa kuchagua viongozi wa kuendesha nchi hakika uko makini zaidi Jpm
@modestusndunguru46385 жыл бұрын
.....
@marrymenas3 жыл бұрын
DC Sabaya ungejua kwamba ndio mwisho wake unakuja kuteswa kwa kufanya kazi ya Taifa vizuri, bora ungeachana nao hawa watu. Ulijitahidi sana kufanya vizuri lakin hakuna aliyeyaona haya wala anaye yaona haya sasa hivi. Mpka vyombo vya habari wenyewe walio kurecord kwenye matukio mbali mbali ya ujenzi wa Taifa hawakumbuki wala hawaoni. Inasikitisha sana, Mungu akusimamie kwenye kesi yako broh! Binadam sisi sio kitu kabisa!
@BilalYaile3 күн бұрын
DC Mh sabaya,hongera Sana.tunataka waongozi kama wewe.Ambao wanajali raia wao
@mejaloishiye15665 жыл бұрын
Airoroki Papa unafanya kazi nzuri Niko sambasha Kijijini kwako ila jkt wanatumaliza huku nyumbani wanabaka wamama kuwapiga watu hatuna amani nyumbani
@faustinemavere14503 жыл бұрын
Jamani jamaa kafanya kazi nzuri sana ndo maana wamemchongea mabaya hayo mweee Mungu akusaidie
@lawmaina785 жыл бұрын
Hongera, ila hapo mngekamata wote ndio muilete huku, maana mtandao wote tayari watakua na taarifa.
@ludobudege16623 жыл бұрын
Leo kwa sabaya kesho kwenu mungu nakuomba umsimamie sabaya na wenzake kwenye kesi yakutengenezwa
@jumamussantuiche9 ай бұрын
Maana
@johnmalembo64643 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika yote unayotuhumiwa kwayo. Kama ni kweli mlilie Mwenyezi Mungu yeye hajui kushindwa Ila husamehe kabisa. Mwenyezi Mungu tubariki Watoto wa Tz
@joycemfuru47522 жыл бұрын
Ya kweli hiyo hapi juu ni sinema anajuaje kila kitu chunguzeni kwa makini
@patrickKitambo5 жыл бұрын
Mpka kuexpose hivi inamaana tayar mtandao kashaujua so ana create tension kwa wenzake ili na wao waingie kwenye 18..dc sabaya is very smart
@anicianjoki33535 жыл бұрын
Asante Mungu nilienda kulipa ada,mi nilikuwa sijui kama Nina bandia noti moja ya elfu kumi,Pale bank walinishtua sana yaani nikawa sielewi kabisa kumbe ndiyo hao,acha serikali ifanye kazi,
@Elisha-zr8ms24 күн бұрын
Kz nzuri laminitis kumpiga picha kurusha mtandaoni wenzake wakimbia
@linkreuben58044 жыл бұрын
Huyu DC anachapa kazi sana Mungu ambariki!
@felixkamkala33033 жыл бұрын
Dogo Sabaya ni Hatari sana ana chapa kazi yuko vizuri Mungu amfutie kesi yake awe huru.
@teddynyatta95083 жыл бұрын
Hongera Sabaya Ila hii ndoo tanzaniya yetu umefanya mema faida yake ndohiyo ila Mungu akasimame nakuombeya bb***
@yahyamajidyahyahilalal-har87625 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana, huu ujumu uchumi. Ipatikane Hao watu wengine na mahali wanatengeneza pesa.
@mofathool41585 жыл бұрын
DC nimependa kazi yako soon kwa kasi hiyo mkuuu wa mkoa sikufichi upo njiani usimuoneee mtu fanya kazi
@mtanzaniamzalendo70015 жыл бұрын
Fagia mtandao mzima,hatuwezi kuwa na taifa la watu makanjanja Nyakati hizi mtatafutwa popote mlipo Kazi nzr Sana DC Polisi Hii ilikuwa kazi yenu kuchunguza na kuwakamata wote sio kumwachia Dx
@CasianRKomu5 жыл бұрын
DC amefanya kazi ya polisi. polisi wlikuwa wapi? au nao wapo ktk mgawo safi sana DC polisi mjitafakari upya hiyo kazi hamkuifanya hadi kiongozi mwana siasa akanase wezi?
@praygodmtui1407 Жыл бұрын
Kweli tulikokua tunaenda ni mbali JPM rest in peace ✌️ sabaya alikua mashuhuri wa kutengeneza kick jamani hakuna bandia hii ni episode inachezwa jitu lilikua jambazi sugu kubaka
@modestusndunguru46385 жыл бұрын
we DC safi sanaa... uchekagi na mtu........ kibano tuuu asante........ wahujumu ao Kama wengine.... waingia.. kutoka hapo ni shughuli... ataharisha huyu
@annapeter49944 жыл бұрын
Very good. DC, ma Askari wetu hongereni sana. 💪💪💪💪
@brysonmeena10863 жыл бұрын
Drama
@martindonald804 Жыл бұрын
Jamani kazi nzuri ya Sabaya kama hii malipo yake ni kubambikiziwa kesi Sabaya au Kuna kingine nyuma ya pazia? Ee mwenyezi Mungu utulinde na watu wabaya. Tumuombee Mama Samia Mungu ambariki na kumtangulia ktk kazi zake za kila siku.
@laylayl51669 ай бұрын
Hamna ndugu niroho ya wivuutu nawengine nivigogo waserikali kukataa aibu ndio wakasukumizia jela lakini mungu niwasote yupo huruu
@godfreyleka58395 жыл бұрын
good job mh. DC ila next time usiende kwenye tukio halafu uite polisi baadaye. u better go with them
@andreadante57065 жыл бұрын
Kweli kbs
@abdulmalikiramadhani80674 жыл бұрын
Asante sana kiongoz muwakamate na wamtandaoni
@camistechnology20913 жыл бұрын
Pole Sana leo unaonekana unawaonea Wana nchi du watanzania tuna kwama wapi
@richardrobert83925 жыл бұрын
mh DC umekosea kusema kwenye mtandao hao watengenezaji watakimbia hata kama mtapata eneo husika lakin hutakuta watu,ningeshauri tu next time ni bora kufanya media while kila kitu kimekamilika, lakini pia nakupongeza kwa kazi nzuri
@evanccast62285 жыл бұрын
Ongereni sana jeshi la polici hii ni kazi nzuri sana asanteni sanaa
@EsteR-dt9iw9 ай бұрын
Mungu akulinde sana maana huo ukanda umekuwa Wa mambo Mangu msaidie watu wanyonge
@amaninaupendo.35395 жыл бұрын
Amen Amen. Siku zotenasema ualifu siyo dili. Acheni. Barikiwa serikali. Amen.
@kingkongmadiba31745 жыл бұрын
Kazi nzuri Mweshimiwa DC 👏🏻👏🏻👏🏻😔
@ludobudege16623 жыл бұрын
Leo hii magufuli hayupo mnamsimamisha kazi sabaya mnamfunga eti ni jambazi kwayote aliyoyafanya ni bure mfungeni sabaya lkn wote mliohusika kumfunga sabaya mungu anawaona
@barackshao34975 жыл бұрын
Hii ni nzuri kwamaana mkisema wangefanya kimyaa kimyaa unafikiri wangelizwaa wangapi..... Ikifanyika hivi na sisi tukaona tutaongeza umakini sio tu kwa wanaomiliki mpesa hata pia sisi watumiaji..
@deboradaniel79295 жыл бұрын
Barack Shao asante kaka ushauri wako ni wakuzingatiwa watanzania ni wazito kuelewa
@gggjjahhhh94195 жыл бұрын
Duuuh million 11 za bandia? Jaman tuweni makin heeee Tanzania noma jaman khaaaa🙆♀️
@johnmwambungu74345 жыл бұрын
Big up police ni kazi nzuri Sana.
@AliyadamuAdamu Жыл бұрын
ila kiukweri serilikali yetu pamoja na majeshi yote yaulinzi wako vizuri sanaaa ila tanzania kunawatu pasua kichwa sana ila chapeni kazi mungu atawajalia
@annachuma2475 жыл бұрын
Safi sana DC.hata me nilishapewa elfu 10 bandia,na chenji nikarudisha
@Erasmusbigirwa2 ай бұрын
Huyu bro big machine saana
@kingkongmadiba31745 жыл бұрын
Ila usinge mweka adharani mpaka uchunguzi ungefanyika ili matandao wake ungepatikana...!!!
@acstv71853 жыл бұрын
Mimi binafsi namkubari sana sabaya, keep it up,brother.hata ukitaka urais nitakuchagua bila shaka.
@cosmassquintine13205 жыл бұрын
Hii kazi nzuri Ila mbinu za kipelelezi mlizotumia ni kitoto hazitafanikiwa kuarest sana mtandao, vyombo husika viachwe kutumia taaluma yake ili kukomesha haya matapeli.
@SaidCannal8 ай бұрын
Jamani Mungu atupe nini? Kiongozi shupavu kama huyu watu waovu walifanikiwa kumuhujumu na kumtengenezea fitina mbaya kumbe ilikua kutokana na kazi nzuri alizofanya, hakika mimi roho iliniuma sana lkn Mungu ametusikia na kuziondoa fitina zote ongera sana Sabaya tunasubiri upate nafasi ingine kubwa zaidi
@kabaselebasubi41003 жыл бұрын
Ndo mahana wamekufungulia mashitaka hivo juu ulikuwa unafatiliya mambo ya ma boss Sana
@prettyh75093 жыл бұрын
Mkuu wa wilaya stay blessed 💕
@saidali73314 жыл бұрын
Pia kwenye mashowroom ya magari wawe na account zao mtu awe anaenda bank kulipa hata sehemu nyengine za biashara kubwa wafanya system hio waacha kulipa cash , nchi nyingi mfumo wa kulipa cash sio sana yote ni kwa kiu salama. ATM ni muhimu kila sehemu yenye mzunguko wa watu. Huo ndio ushauri wangu licha ya nchi yetu kuwa maskin tutoke kwenye mfumo wa analogi twende kwenye digital tutanikiwa , ushauri wa bure huo
@kakawamashariki89785 жыл бұрын
Saf Sana Dc. Unaakisi vyema kasi ya mh.rais Jpm
@edwinievaristi83635 жыл бұрын
Anaakisi vyema au anaakisi kipuuzi intel kama izo unazihandle vzuri kwa 7bu hao ni wahujumi uchumi sasa yeye anadisclose information kabla hajafika kwenye chanzo cha tatizo ni kwamba hao wenzake niwajinga wamsubiri awaletee polis pale au ..hapo kafeli strategy aliyotumia kuhandle situation ni ya ovyo...
@fnnyanda59933 жыл бұрын
Jamani, DC huyu leo Mei, 2021 ameitwa jambazi!?!?. Ametumbuliwa!?.
@munguhashindwijambo26815 жыл бұрын
Hii ngoma ilitakiwa kuwanasa wote ndo mnawaweka peupe lakini hiii ya namna hii, wahusika wanaweza kulala mbele
@yassinrashid11925 жыл бұрын
Exactly
@peterkyese45165 жыл бұрын
Wameshawakamata woteee
@iviejustified81095 жыл бұрын
Kabisaa!
@allthings13025 жыл бұрын
Wanachemka balaa
@sudingolola54465 жыл бұрын
Mhe. Mkuu wa wilaya unasifa za kijinga IGP iliktaza ijinga huo kurusha hewani namba hiyo. Hiyo sio kesi umemlazimisha aseme hayo ukifika mahakamani aytakutoa jasho
@omarymohamedy74145 жыл бұрын
Tena wakifika kwamakala wanajifanya wanaharaka sanaaa.....safi sanaaaaaa
@mayungangadu46744 жыл бұрын
Sabaya unaweza uogozi yaani chapa kazi bro karbia utakuwa mkuu was mkoa yaani
@HadijaZabroni-pu1lt10 ай бұрын
Richi jamani umekuwa Ivo kweli 😢😢😢😢😢
@sudimpela64203 жыл бұрын
Naamin kabisa OLE SABAYA ana mabaya yake na mazuri yake pia
@godiuskahyarara77455 жыл бұрын
Safi lakini kwa uhalifu kana huu ni kuwakamata kimya kimya vinginevyo watakimbia.
@wolfgangkichai85775 жыл бұрын
Hongera sana ila ungemaliza upelelezi wooote kabla ya makamera. Wengine watakimbia
@ameenaabdood29743 жыл бұрын
Jitaidi ndg yng utapanda cheo kupitia ujasili wako nyie ndomtakaoiokoa tz yetu safi sana nakupenda bure yn unanifulaishaga yn nakufanishaga naMagu
@saidali73314 жыл бұрын
Tatizo pesa zetu hazina viwango hazina muhuri madhubuti ni rahis matapeli kuziiba kama zinaweka muhuri madhubuti, wengwshindwa, pia hili tatizo haliwezi kuepukika kwa nchi ambazo ni underdevelopment, nchi maskin, tofauti na nchi ambazo zimeendelea ukienda market unatumia ATM card kulipa, ndani ya restaurant au mahotel kuna ATM, kwa ushauri wangu serikali kuepukana na tatizo hili seikali kwenye maduka, waweke mashine za kulipia bill pia ni usalama zaid, bila ya hivo hili suala halimaliz kutokana na nchi yetu iko na maskini wingi
Bora wananchi watengeze pesa zao maana za serekali mnakula pekeenu watu waserekali maisha kila siku dhiki bora watengeze zao bwana
@arafakiloli7493 жыл бұрын
Alhamdulillah kwa uwajibikaji D.C.
@lingwamalagila30033 жыл бұрын
Huyu ndiye anaitwa Jambazi leo sijui kama ni sahihi Basi Mungu anajua
@yahyamatemanga78315 жыл бұрын
saf sana unajuwa kaz dawa kuwatangaza 2 tuwajuwe nawengine wanaotaka kuingia biashara iyo wajuwe wakikamatwa watapata tabu sana ukifanya kimya uwamaliz WaPo weng ukiwaweka waz watakimbia awarud tena
@tetakelvin70115 жыл бұрын
Afande noma hatali interagency supa 💪💪💪🙌🙌👍
@shabanimwema73345 жыл бұрын
Sijui mm lakini sio kama baada ya kukamata ndo wangetangaza coz awo wanotengeneza siwanakimbia sasa washajua kimenuka
@alexkabeho56095 жыл бұрын
Kwa good investigators hamna chilichohalibika cse mobile phone zote zipo registered alafu ata wakikimbia ni powa sana lengo ni kukoma we fikilia kuenda Kenya na hutorudi Bongo may be next 10 years, family, wife, kids, friends 🙀
@daudmatonya10363 жыл бұрын
Kama umekuja hapa baada ya sabaya kukamatwa like
@ramahassan91713 жыл бұрын
Wenye hela wameungana kukuita mnyang, anyi Sabaya sabaya 😅😅
@msafirially78494 күн бұрын
Kazi mzuri polisi kwa kuwazuia wahalifu na matapeli nawabaliki
@DaviMaiko2 ай бұрын
Mbonapemunafatilia vizurisana watekaji wanamishindaje kamasionjama tu
@AishaBarie4 ай бұрын
Asate sana sabaya chapa kazi baba
@peterkyese45165 жыл бұрын
Yaaani Mambo ni mazuriii sanaaaa natama ningekuwa mm ningewakamataaaa mngekojoa dagaaaa
@efatauroki64283 жыл бұрын
Hai ndio home najua kila kitu mm picha lenyewe lil ishia hapohapo
@richardyusuphmsongolomakat20495 жыл бұрын
"Get Rich Or Die Trying" a real soldier dies on battle field.
@eliaichihenry90105 жыл бұрын
Jidanganye
@travelwaka7705 жыл бұрын
Better to die for something than die for nothing
@richardyusuphmsongolomakat20495 жыл бұрын
@@eliaichihenry9010 true to my self
@jumakapilima56745 жыл бұрын
You are all "WASENGE"
@richardyusuphmsongolomakat20495 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 Relax brother
@giftmlange33275 жыл бұрын
Million 11😳😳😳😳mweee huyu baba muuaji eeeee
@anthonylimommuni14815 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😋
@alfredjustinian97533 жыл бұрын
Daaah siamni macho yangu anyway time is tell
@kakasteve71173 жыл бұрын
Mimi sijawahi kuona video yeyote ambayo amefanya vibaya huyu jamaa. Sasa duuuh!
@aminabanka82035 жыл бұрын
Asante sanaMungu wangu yaani sitaki kuamini matapeli wamjini khaa wanaliza watu Mungu kawaumbua😂😂😂
@onaelkavancy52112 жыл бұрын
maisha yanabadilika jamani .Leo hii Sabaya ndio anasota kuliko kawaida .....huko kwenye sheria
@happynesselisha20485 жыл бұрын
Upelelezi ndo unafanywa na macamera hivyo. Upelelezi fanyen kimya kimya. Mkifanikisha ndo mrushe mitandaon 🙄🙄
@anuaryally61775 жыл бұрын
Camera izo kwa tukio ilo na kuwaonyesha wananchi pamoja na kutoa habari izo
@mbwanaseif4045 жыл бұрын
Mpaka wamekuonyesha hivo kaa ukijua wote wako mikononi mwao
@lucanusnickata88525 жыл бұрын
Huo mtandao kwa taarifa hiyo sidhani km utapatikana
@mbwanaseif4045 жыл бұрын
@@lucanusnickata8852 kama umesikiliza vizuri kabisa wajua jamaa anatoa feki kiasi gani na anapewa fedha halali kiasi gani hiyo ni moja. Mbili wanajua jamaa ameshaleta kiasi gani na anapewa na nani. Hii imeonyeshwa tu kama taarifa kwa umma
@wanderaothumani49195 жыл бұрын
Yaani nimefikiria hivo hivo hata kabla sijaona comment yako naona ni akili ndogo tu kurusha hapa mtandao si unashtukia na wana kacha
@OmarMohamed-zf8dp3 жыл бұрын
sabaya tatizo lililo mfungisha kuharibu mipangilio ya vigogowa siopenda nnchi hii
@adamonesmo62695 жыл бұрын
Kiki nyingi sana mh. Upelelez haufanywi na makamera we wawapi bro
@seiphmpwanda78022 жыл бұрын
Pole sabaya shida uliingia kwenye system za watu za madili ndo hao leo wanakuteta akuna aki kwenye letu taifa next time ukipata nafasi ishi kama wao watakavyoo jenga familia yako
@rajabmnyimwa31265 жыл бұрын
Umeshakusea kuexpose kila kitu kwenye vyombo vya habari uneshaharibu upelelezi wote
@mayrfrimi47595 жыл бұрын
Upelelezi haupaswi kuonyeshwa hadharani , Dc kuwa makini na vyombo vyako
@ukhtyalpha13445 жыл бұрын
Ndio hivyo hawajui walifanyalo wao kila kitu ni jazba serikali ya awam ya tano wameshindwa kuwaleteeni maendeleo ya maana kuwakwamuwa kiuchumi kiafya wao kutwa wana tuadalia filamu za kihindi kuwaanika wenzao hadharani ili mpate kuwasifu tu na kuwafanyia nyie kiini macho kwanza kazi ya dc au rc sio kuvamia wao wakisha pata khabari kama hizo wawapigie wawakabidhi polisi kazi yao
@mathiasmsese61285 жыл бұрын
msichojua sabaya yuko vizuri na anajua anachkifanya wote wako mikononi yake anawafahamu. na hata huyo mshitakiwa anavyooitikia sasa hapo anatokaje mahakamani.
@geofreymilinga29653 жыл бұрын
Kweli Kabisa hapo wote wanasepa wapo kenya saizi wanakura bata tu
@flova70223 жыл бұрын
Huyu jamaaa alikua smart hata kama naye kakosea Mungu anasaidie
@HadijaZabroni-pu1lt10 ай бұрын
Jamani besti yangu wewe wa meridiani kipindi icho
@Ashilafumbomoke3 ай бұрын
Uyu sabaya angekuwa ata wazr wa mambo ya nje ingependeza sana maana dah anaweza uyu jamaa
@nappekilianappekiliasalimu54693 жыл бұрын
Leo ww umekuwa mtekajii looh
@severinemabirika22495 жыл бұрын
IGP bado una kazi kubwa sana ktk kuelimisha mwenyeviti wa kamati za ulinzi za wilaya na Mikoa juu ya elimu ya upelelezi....sioni haja ya taarifa kama hii kuweka hadharani kwa sasa .. bado hili lingehitaji muda
@mbwanaseif4045 жыл бұрын
Ili hizo pesa nyingine walizo sambaza wananchi waendee kulizwa nazo? Taarifa kama hizi ni nzuri kwa jamii maana hapo boma kwa kila aliona hii video clip lazima atakua mwangalifu kwenye pesa
@mtanzaniamzalendo70015 жыл бұрын
Nyie mnaopenda usiri bp mtukakamatwa na noti
@jumakapilima56745 жыл бұрын
Nakubaliana na wewe, lingehitaji muda kidogo ili kukamilisha kuwanasa hao jamaa na mtandao wao!!
@alkhairatimbagalaonlinetv47495 жыл бұрын
hyo ina rahisisha kwa wananchi kuwa makini na pesa wapokeazo kwakupata taarifa hyo
@marcojonline78475 жыл бұрын
Severine Mabirika kiujumla hii inafanya jeshi la polisi kuwa na kz za ziada sana maana kazi zao zinaingiliwa sana kiasi kwamba inapoteza weredi kwa jeshi jambo ambalo jeshi lingefanya kiweredi lkn linaingiliwa kisiasa imradi tu mtu aonekane anafanya kz hii haikuwa kz ya DC alitakiwa yeye kutoa information kwa OCD na OCD ndo ana askari wenye weredi wa kufanya upepelezi kmykmy bila camera namna hii
@ramamtetu23275 жыл бұрын
Daaaah Hawa Jamaa Wana hujumu Uchumi wa Nchi yetu Wanaingiza Makaratasi yao Kwenye Mzunguko wa Soko la Mununuzi. Safi Jeshi la Polisi Kwa Kufichua Huu Uovu Polisi Tanzania Hoyeeeeee
@devothambinda40745 жыл бұрын
Ukishafanyaaaa hivi umedisplay mhusika kufanya investigation tayari changamoto hiyo maaana watu wanablock mtandao wore thus why IGP Siro alisistiza usiri ili kupata full details za mtandao
@Designprotz5 жыл бұрын
devotha mbinda kabisa
@theprogrammer33515 жыл бұрын
Mpaka imekufikia ww basi jua full details tayari zipo na hawana pa kukimbilia, lazima wapatikane! Kwa kifupi ss watanzania tunaweza sana katka East hakuna wa kushindana na ss kwa upelelezi ila tulikuwa tunabebana tu kipindi cha nyuma.... lakn ktk serikal hii hy hakuna...
@ukhtyalpha13445 жыл бұрын
Hao ma dc na rc hawana ujuzi wowote ule wa kiuchunguzi hupenda tu waonakane kama na wao wanafanya kazi japo sio zao mshaharibu baba kazi
@sospetermathias42535 жыл бұрын
Wewe nae
@sudingolola54465 жыл бұрын
Mhe, anasifa za kijinga
@shakilamakota78505 жыл бұрын
Safi sana Dc hapa kazi 💪
@Grandpamotivator5 жыл бұрын
sasa mnavyojitangaza hivi badala ya kufanya siri Hao wanaotengeneza hizo hela watawasubiri tu mkawakamate. Bongo comedy
@hindisaidi50975 жыл бұрын
Hii ni SERIKALI. Sikiliza tu hii stori imeanza zamani Leo ni fainali. Na hao askari washawajua zamaani labda nao wawe wala RUSHWA
@salmaoriginaloriginal64785 жыл бұрын
Ndio maana kila cku mna pigwa akuna mambo ya kizan ssa
@jacobgkachonta58775 жыл бұрын
Shukran kwa kaz nzuri mtusaidie kuondoa matapeli Swali upelelez gan sensitive kama huo mnaachia kwa kamera,,camera ni muhim baada ya kuwapata hao manguli wa kutengeneza hizo pesa bandia
@rogathjmrema22215 жыл бұрын
Huyu akitoka mm sio rogath😂😂😂😂😂
@erictemu15683 жыл бұрын
Ashatoka
@geraldkomba97765 жыл бұрын
hivi kwanini wachaga wezi sana😂😂😂😂
@roberthilonalonenoalfred18555 жыл бұрын
Mmmmh!siyo wachaga wote na kila kabila baadhi ni wezi
@geraldkomba97765 жыл бұрын
mmezid bhna tumewachoka let me give u a list. hile hela tuma kwa namba hii (wachaga), hela bandia (wachaga),majambazi (wachaga) fanyeni kazi aixee😠😠😠😠😠😠
@swadakatiponda8953 жыл бұрын
Alikuwa anafanya mipango mwenyewe then anakamata😅
@zenj19865 жыл бұрын
Ilikuwa baada ya kumnasa mmoja munyamaze kimya ili na wengine waingie kwenye 18 zenu. Sijui lakini naona hao wengine washaruka na kiwanda kishafungwa
@ernestsinje86935 жыл бұрын
AISEE MASAWEEEEEEEEE...............Mwabie Manka ile ishu imebumbulibumbulika kweli.......
@CasianRKomu5 жыл бұрын
hahahaa
@geraldbitungwa47525 жыл бұрын
DC. Sabaya Mimi huwa nafuatilia sana habari za utendaji wako upo Vizuri sana wew unafaa kuwa Mkuu wamkoa kabisa.
@zefamange72815 жыл бұрын
DAAA, HUYU DC SABAYA KWANN ASIWE MKUU WA MKOA? NA ALETWE MBEYA
@chayogasperi97835 жыл бұрын
Zefa Mange Atakuwa tu , kwa kasi hii , anatosha kabisa .
@ustazimaalim13774 жыл бұрын
Ungelifanya kwa siri, upelelezi iliukamate mtandao wote,
@noelsimon33205 жыл бұрын
Tatzo na ww Dc umuachii Jama ajieleze nikama unafahamu ishu nzima
@mofathool41585 жыл бұрын
Sasa DC anajua huyo atajieleza uongo
@emmanuelmwesongo71775 жыл бұрын
Sasa hata hujakamata mtandao wote wewe umeliweka hadhalani 🙌 cjui hao wengine mtawapataje
@frankrobertkomba23185 жыл бұрын
viongoz wa serikal wanavurugana ,kama hapo hawawez pata sehem pesa inatengenezwa.kiwanda kshaona mwenzao kakamatwa s wanasepa ilkua awe sir
@mussamisinzo49349 ай бұрын
Hongera sana dc
@sheryphamwenevalley61245 жыл бұрын
😂😂 hawataki kuelewa kua zama zile.zimepita, jamani hii awamu ya 5 ya komandoo tu nae ni JPM mtanyooka tu