Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameondoka na watuhumiwa watano wa chama cha ushirika cha USWAA baada yakubainika kula milion 127 za chama hicho baada yakuletewa malalamiko huku akiwataka viongozi hao kulipa fedha hizo
Пікірлер: 173
@ambingileambingo23093 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mh sabaya natamani sana uje na mbeya huku watu wanyooke
@rizikimfundo88974 жыл бұрын
Sabaya jaman ni mtu ambay mungu amekushusha mlikuwaga wap jaman Mungu akubark mungu akutolee vkwazo vyote
@evawayesu58655 жыл бұрын
Mimi sikomu Tanzania 🇹🇿 alakini nashukuru sana kwa kazi nzuri munayo ifanya kwa raiya wenu hata sisi tuna ichi yetu ila tunatamani selekali la Tanzania 🇹🇿 kabisa Mungu abariki Tanzania
@azashaban58463 жыл бұрын
mlikula kifichon mtalipa adharannn pigen2 makofii safii sana sabayaa👏👏👏
@MrAbdulrahmank076 жыл бұрын
Safi sana wakuu wa wilaya nilikua sijawahi kuwasikia yani sasa ivi kweli asante magufuli
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Mackin khery kufa Mackini kuliko dhulma.
@adamkaita30096 жыл бұрын
aisee mpaka namuonea huruma dada wa watu
@felixkamkala33035 жыл бұрын
SAFI SANA BIG UP MKUU WAWILAYA CHAPA KAZI MSAIDIENI RAIS WETU MCHAPA KAZI
@erickchitumbi13085 жыл бұрын
Safi dc.simama imara na Mungu atakupigania
@gracegrace62003 жыл бұрын
Haya ndiyo yaliyomufunga Sabaya. Watetezi wa wanyonge. Watetezi wote wa wanyonge leo ndiyo wanawindwa.
kwa uelewa wangu mdogo huyo dada anakosa hata mbele za mungu yeye alitii mamlaka ya waliojuu yake so pambana na hao mh kwsb wapo
@benjaminreternyau306 жыл бұрын
sawa ila angejiuzulu au angelipeleka swala hilo juu zaid
@lucyjeremia13812 жыл бұрын
Huyu huyu sabaya aliyeokoa pesa kwa mafisadi Leo hii a nateseka gerezani na kulia kweli Mungu wewe ni muweza Baba sabaya awe huru kuanzia sasa
@zumbaabiyah31846 жыл бұрын
Kk ole sabaya, kwl ww n bg boss, naona mikono mfukoni haipungui! 😎😇😱,hebu huyo dada muangalieni kwa jcho la pili kulingana na maelezo yake, sukuma ndani mapapa/ waliokuwa wakimuagiza!! 😇😷😞
@mazengomussa47366 жыл бұрын
Anatokea mjinga mmoja kwenye mkutano anamsifia mtu kwa kusema fisiem oyee kwan umeckia huo ni mkutano wa chama? Na kama ulikua wa chama kwann hamkuitana kijani wenyewe?
@evawayesu58655 жыл бұрын
Shukurani sana kwa kukutetea wetu Mungu akubariki sana
@gidionkadaraja14033 жыл бұрын
Sabayaaaa amelalaaa yoooooh
@mwinjumathomas51326 жыл бұрын
Huyu mkuu wa wilaya naye ni CHUMA
@jamesjoseph79293 жыл бұрын
Jamani leo yupo ndani tena.
@erickAfricatz3 жыл бұрын
Ilikuaga noma sana
@eliyasanga63746 жыл бұрын
🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃watazitapika sasa
@ally2nyiii3183 жыл бұрын
Rais samia huyu ole sabaya asirudi kweny uongozi kbs kbs
@amanestomihi25993 жыл бұрын
Eti Sokoine hii nchi ilipitia kipindi Cha vituko sana
@jescamassawe25195 жыл бұрын
ole sebayo 💪💪💪
@obedmwakalonge13726 жыл бұрын
kama sasa watendaji wanashindana katika kuchapa kazi...nahisi tunaanza muelewa uelekeo wa Magufuli....enzi hizo mkuu wa wilaya unamsikia kwenye maafa akikusanya rambi rambi
@bintiiddy70434 жыл бұрын
😁😁😁😂😂😂😂😂
@aloycemwakatala26346 жыл бұрын
Cheka sana yakimkuta jirani Omba yasikukute.
@esthertumbo39686 жыл бұрын
u
@davidulenje12646 жыл бұрын
kama unakula jasho LA watu kwa kweli usijisumbue kuomba yasikukute yakukute tuu na mungu haskii maombi ya wazdhulumaji
@tumainsawe69603 жыл бұрын
@@davidulenje1264 sawa kabisa
@joeljoely28646 жыл бұрын
piga kaz sabaya
@jacksonkira79763 жыл бұрын
Kweli anatetea wanyonge
@ethanuk94376 жыл бұрын
Hiii serikhali alooooo.....chumaaa sanaa tunawaombeaa sanaa....
@larickmtui28526 жыл бұрын
Fyekelea mbali mzee baba
@amanestomihi25993 жыл бұрын
Unyonge Ni laana
@rizikimfundo88974 жыл бұрын
Kweli kabisa sokoine amezaliwa tena
@musamuhammedi73546 жыл бұрын
Mbunge yupo dar
@emanuelmollel80106 жыл бұрын
Hongera Dc
@jacobmakono3896 жыл бұрын
..Jafo akukute na issue kama hiyo utakoma!
@innocentkitundu66376 жыл бұрын
Dah maskini Dada wa watu
@deonicemollel42055 жыл бұрын
Umenenepa bro c kipindi hicho nakubeba na toyo daah kweli maisha propaganda piga tuko pamoja sana my brother
@erickmapunda42316 жыл бұрын
Wilaya zipo 30 tz wangepatikana akina olesabaya 30 mambo yangekua mazuri.
@joshuajacob94875 жыл бұрын
Dada kaongea ukweli
@hindisaidi50976 жыл бұрын
Yani wakikosa kukosoa wanamtizama mambo madooogo eti katia mkono mfukoni.mada hii ni muhimu achilia mbali hata angepiga magoti kunyenyekea. Lakini angalieni hoja ya msingi hapa!!FEDHA ZA UMMA
@leilathango84114 жыл бұрын
Yani popote ulipo kaka kunywa soda lipa mwenyewe
@خالدالشقصي-ت2ك6 жыл бұрын
Wanyonge tupo oman tunateseka
@rostamkamazima10126 жыл бұрын
Allah atakusimamia
@shekhekhandereizer5596 жыл бұрын
خالد الشقصي ndg ivi uko vp wanawatesa sana warabu
@juliusandrew396 жыл бұрын
mnafata nn oman ndugu zangu, kila siku mnapata taarifa za ushenzi wa waarabu lakin hamkomi... tulieni nyumbani ndugu zangu
@ayshasalim61185 жыл бұрын
Up sehm gn mpnz
@andersonmshama96946 жыл бұрын
Mnamjaza upepo atawanyoosha kweli
@mmbarcelona23845 жыл бұрын
🇨🇩 good job
@d-thepraise41506 жыл бұрын
Sioni chamaana zaidi ya siasa tuu ya ccm ,
@naomijeremiah15725 жыл бұрын
Kumbe DC sabaya Masai
@kennedyombewa79743 жыл бұрын
aliyeshuka au aliye maskini ni huyo muuza mtumba au sabaya asiyekuwa hata na mifuko gerezani, ety ukoo wa wanyonge na makofi yakulazimishana
@ally2nyiii3183 жыл бұрын
Tunapochagua kiongoz lazima tuchunguze vizuri ole sabaya mbona katili hana hekima busara maarifa yupo unafikikir anavuta bangi naomba akapimwi akili
@issarajabu13865 жыл бұрын
Nimempenda sana uyo dada amekuwa mkweli
@purryselestine40005 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅nimecheka kifala pigeni makofi 😂😂
@shijaemmanuel65256 жыл бұрын
Sukuma ndani
@humphreymalema30246 жыл бұрын
Wanyonge gan gan mbona sehem nyingine mnawanyanyasa hao mnaowata wanyonge
@kassimmnyamisi74613 жыл бұрын
Lkn wangefikiri jinsi alivyofanya kazi kuwasaidi wananchi wangemfunga hata mwaka tu
@joshuasabasi31183 жыл бұрын
Kamsifie tena boya wewe
@sudymgeni7013 жыл бұрын
Uyo kasema ukweli tafuta wale wakubwa ndio waliokula iyo pesa
@husseinomary44664 жыл бұрын
Sasa namuelewa huyu mkuu wawilaya uteuzi nisahihi huu
@lillianlucas53376 жыл бұрын
Jamani kuna mtu ana namba ya mkuu wa wilaya ya hai
@fredykephacy92306 жыл бұрын
jamaniii nakupenda mkuu was wilayaa
@damascentkijebeli16016 жыл бұрын
Nyie viongozi mmerogwa na nani...mnataka kuwaanisha watanzania kwamba umaskini ni sifa....
@ahmedjack41353 жыл бұрын
nani yupo hapa bada ya huyu sabaya kutiwa mikononi mwa police na yy
@susananyasani65264 жыл бұрын
Sabaya angechaguliwa kuwa Mbunge na kutetea haki ya Wanyonge
@TheAlman6 жыл бұрын
Ingekuwa kweri mbona mungu angeibariki zaidi tanzania ila ukweri munaujuwa wenyewe
@amenyekibona87306 жыл бұрын
pongezi kwako mkuu,,, tengeneza tanzania
@movieskwakiswahili6 жыл бұрын
SUBSCRIBE SASA WASAFI FM ILI KUONA WASAFI FESTIVAL BOFYA LINK 👉👇kzbin.info/door/lfVNHbf228e8RGdC1wmCng
@fredreckmwakalinga34756 жыл бұрын
unajuwa vyeo vya kupewa busara mara nyingi zero kujiona mungu mtu sema ajakutana na aliyepida
@farajihassan53825 жыл бұрын
Afadhali. Umsifie. Mnyama fungo. Kuliko. Kumsifu. Tundulisu. Fungo. Anaakili. Mzuri. Angalia. Akili. Ya fungo.mfano. fungo. Anaeishi. Tandale. akitembelea. Tandika. Hawezi.akachafua. mazingira. Kule tandika. Akiwa. Na haja kubwa ndogo. Nilazima. Atafanya. Kila njia.arudi harakasana. Hata kwakukatiza. Shughuli. Muhimu. Arudi. Kwao. Tandale. Ili. Aweze. Kujisaidia. Sehemu. Maalum. Aliyo jipangia. Fungo bwana. staarabu. Sasa. Nduguyetu. Lisu. Anashindwa. Kuelewa. Kama. Unauchafu. Sii urudi. ukaumwage. Kwako. Kwanini. Uchafue. Mazingira. huko. Marekani. Na kwingineko. wakati. Unajuwa. Unakituo. Chako. Cha kunyea. Mavi. Unakwenda. Kunyea. Kwenye. Miji. Ya wazungu. Unachafua. Mazingira. anakushinda. Fungo fungo. Anaejuwa. Wapi. Pakuachia. Uchafu. Wake. Hata akimtembelea. Rafikiyake. tandika. Atarudi. Kwao tandale. Kunya. Nahuko. Kwao. Hachafii. Mazingira hovyo. Nilazima.afikiee sehemu yake aliyojiwekea. Sasa bwana. Antipaki. Lisu. Unaambiwa. Rudi kwenu. Ukashirikiyane vyombo vya dola. Ili upate. Mustakabali. Wa tatizo. Lako. Wewe unambwela mbwela. Tu huko ulaya. Tafadhali. Ujuwe hata. Wanyama wanahikima. Msome fungotungo. Uchafu. Wake haendi. Kuusambaza. Kwenye. Msitu. Wa wenzie. Anajua. Na wao. Wana maviyao. Yananuka. Kama yakwake. Au zaidi ya kwake. Sasa. Lisu. hatujasikia. Kama. Unavyo. Sema wewe. Mwenyewe. Unamkosoa. Raisi. Hukosoi. Taifa. Sisi tusiye. Soma hatukuelewi. wewe. Rudi. Kwenu.ujeulalamike. namalizia. Kwakuwa. Humjui myama. Fungo fungo. Njoo. Kwetu. Huku. Tutakuambia. Habari ya mnyama. Fungo. Anasifa. Kibao. Za hekima. zake. Fungo. Kwa mpunga. Usiseme. Ukimpika mtamu. Hata. Ukimuunga. Kwa nazi na nyanya. Anassifa. Nyanya. Anazishikilia. Mwenyewe mkononi. Hicho kibwagizo. Cha watu wa. Kusini. Tafakari.
@devybernardlaizer77136 жыл бұрын
Kazi kafanya nzuri kama ni mikono kuweka mfukoni atajirekebisha tu kikubwa nidhamu ya kazi na pamoja nawananchi
@emanuelmollel80106 жыл бұрын
Kweli huyo mzee kacheka kinafiki
@mako3316 жыл бұрын
Mbunge anapanga maandamano huko Dar
@eliusandrew91216 жыл бұрын
Duuuuuuh pigeni makofi
@ramadhankibwana64256 жыл бұрын
Mkuu uyo anahatia alikuwa anapelekeshwa tu ila cha kufanya wakamate wale mabosi wake tu
@ibrahimmungure74936 жыл бұрын
Hii awamu haifai mlizoea kupiga! .Na aliepiga asali isimpate hapa ni moto
@manyaramrema65316 жыл бұрын
Ila we mkuu wa wilaya unavimba sana! Unaongea mikono mfukoni haya hivyo ni vyeo vya kupita!
@unclesamtz60486 жыл бұрын
Maisha Maisha we mwenyewe umemuona huyu jamaa?!
@fredreckmwakalinga34756 жыл бұрын
Kazi zinafanyika mitandaoni ni awamu hii tu wananchi nayi acheni unyonge mkakabiliane hko hko mahakamani kuliko kudhalilishwa
@fathermore97726 жыл бұрын
Fredreck Mwakalinga wanazalilishwa nini wao walivyo kwapua jasho la watu maskini kama ivyo bila aibu ..ulitaka waitwe chumbani ndio waulizwe...
@mohamedalaraimi68136 жыл бұрын
Pesa za Tanzania nje nje hakuna njia nzuri za control
@jackrinaman75216 жыл бұрын
Duuu hiv hii ni awamu yangp vile
@ajuayejumaomari75776 жыл бұрын
jackrin aman awamu ya kumi ndugu ni balaa haijawai kutokea
@khadijanjama90166 жыл бұрын
jackrin aman 🤣🤣🤣
@fishfarmingservicestz50956 жыл бұрын
Nice
@chujikassimu50396 жыл бұрын
Awamu ya 6 hiii mamaaaa
@masumbukojoseph75226 жыл бұрын
Nahicho cha ccm hoye kimetoka wapi
@judaspantaleo97795 жыл бұрын
Makofi yanalazimishwa???!!
@albertshauri7515 жыл бұрын
Yaani ni shida
@edwardmkwelele5 жыл бұрын
Diwani fala
@elinikomniko44116 жыл бұрын
Hata kama ninyi ni watawala kuongea na watu umeweka mikono mfukono ni KWAMBA hukufunzwa vzuri,unawalazimisha kupga makofi?
@georgesamwelchacha76806 жыл бұрын
Eliniko nniko Kuweka mikono mfukon Haipunguzi taaruma na elimu Alio nayo wewe siulikimbia umande hahaha Nakutania tu bwana!!!
@zungumanmziray76596 жыл бұрын
safi San naomba muangaliye huyu dada
@unclesamtz60486 жыл бұрын
eliniko mniko kabisa yan duh!!
@ramadhanisakalani83726 жыл бұрын
Saafiii sanaaa fungaaaa woteee
@jumakapora26916 жыл бұрын
Funga. hao. majambazi. sana. '''''''
@jumanneally86626 жыл бұрын
Kuweka mikono mfukoni kuna upungufu upande wa nidhamu hata Rais alimwambia mbunge John Heche...
@saidasimba99796 жыл бұрын
Eee walimtafuta asiyejua kitu chochote ili awe ana sign
@piusmdoe35516 жыл бұрын
naomba maana ya unyonge
@mamyabdalah8856 жыл бұрын
Fekelea mbali wote
@ombenmichael34733 жыл бұрын
30 jela
@kasomamama47746 жыл бұрын
Wanyonge nn
@husseinkonz51926 жыл бұрын
Wanyooshe hao
@goodlucktarimo61706 жыл бұрын
Apelekwe Mahakamani sio kuhukumu MTU huna uhakika
@innocentlethisia416 Жыл бұрын
UNAJISIFU KUWA MASKINI(UNYONGE)IVI KUMBE UMASKINI NI SIFA? YAANI UNAFUNDISHA NN WANANCHI? HUYO NDO ANAYEONGOZA NJIA AKIWA ANAKATISHA TAMAA WANANCHI JE TUTAFIKA?
@shukurumwangosi15376 жыл бұрын
Aiseeh Huyu dada unasahau awamu ya ngap looooh
@ayubundelwa95725 жыл бұрын
njoo handeni uwaokoe wanyonge wa kabuku
@priscadaniel73 жыл бұрын
Mmmm
@gloriamichael79356 жыл бұрын
nimecheka huyo aliyesema wanyonge wako oman .ndg hujachelewa muombe Mungu wako akurudishe kwenu haraka
@prettyh75093 жыл бұрын
😅😅oman hakuna wanyonge bali wachapa kaz
@nicethamanonga58554 жыл бұрын
Maendeleo yatakuja kama yote Tz maana kila kiongozi anajitahidi kupiga kazi ili asitumbuliwe .tumbua2 imesaidia viongozi kuamka na kufanya kazi
@deusmauka96266 жыл бұрын
Awataje waliopo nyuma ya pazia.
@manyotaskipper57656 жыл бұрын
Dada anaziwa huyo akienda jela atakuwa chakula cha Mkuu wa gereza