DC Sabaya awasha moto aagiza Mkurugenzi akamatwe kwa ubadhirifu wa Milioni 700

  Рет қаралды 131,804

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 189
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 2 жыл бұрын
Huu wema wako mungu atakulipia sabaya kwn ndio chuki zao za kukupeleka gerezan
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
Magufuli baba nimekunyooshe mikono boss wangu MAGU BABA TUNYOOSHE BABA TUNYOOSHE TULIZOWEA VYA BULE
@tanzanite9944
@tanzanite9944 3 жыл бұрын
Kweli Watu waheshimu Jela wakiwa nje. Huyu alivyokuwa anawasweka wenzie Ndani jela, Sasa leo ndio anaingia Kwa Miaka 30! Kweli Dunia hadaa Ilimwengj shukrani.
@evansokemwa6587
@evansokemwa6587 3 жыл бұрын
Unafurai sasa vile ako ndani sio?
@wardaheluwa734
@wardaheluwa734 3 жыл бұрын
Muoshi ni kuoshwa.
@safaboy5331
@safaboy5331 3 жыл бұрын
Leo yupo segerea kwa miaka 30 duu! Dunia ina mambo
@rugambwabanyikila5150
@rugambwabanyikila5150 6 жыл бұрын
Hongera Dc you deseve tht post. Isaidie nchi hii tulipofika ni pabaya
@two2tz428
@two2tz428 3 жыл бұрын
Kizuliii hakidum pole kaka sabayaaa munguuu atakusaidia
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Leo malipo yake ni gerezani 😭 eemunguweee haya wewe ndio utamuamulia sabaya kama kweli kunabaya amelifanya
@christophertarimo5047
@christophertarimo5047 3 жыл бұрын
Sabayaeeee Magu hayupo alienda zake...ebu angalia hii clip😭
@johnbidya119
@johnbidya119 3 жыл бұрын
Pole Sana mkuu # jers miaka 30
@isayakazimoto3192
@isayakazimoto3192 Жыл бұрын
Sabaya ni kiongozi mzuri,ni kama magufuli Hawa viongozi wa namna hii lazima wapitie misukosuko
@jumakapesa8406
@jumakapesa8406 6 жыл бұрын
Dakika 4 tu zinaweza kumshawishi Rais akupandishe cheo. Mh DC Sabaya uko vizuri , nimekukubali . tupate DC 10 na RC 10 Mfano wa huyu. Mbona tutafika mbali.
@azizndossy2954
@azizndossy2954 6 жыл бұрын
Yupo vizuri
@emmanuelmasemba7612
@emmanuelmasemba7612 3 жыл бұрын
Pole kwa kumsapoti mwizi
@richardtungaraza7509
@richardtungaraza7509 3 жыл бұрын
Teh teh
@markanthony5628
@markanthony5628 6 жыл бұрын
Hongera mh DC
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 6 жыл бұрын
Muheshimiwa rais sokoine kazaliwa upya tunaomba huyu DC mpe uwazili atatusaidia sana nchi itakimbia ongera rais kwa kukiona hiki kicwa ni sokoine mungu katurudishia
@msovietimjamaa3017
@msovietimjamaa3017 5 жыл бұрын
Ulevi wa madaraka
@JamviOnlineTV
@JamviOnlineTV 6 жыл бұрын
very nice.... this is what we are expecting you guys to do... Well done Sabaya.
@kachichishongo885
@kachichishongo885 6 жыл бұрын
Wow! Congrats. .. good English spoken. .
@neemajoshuaer9562
@neemajoshuaer9562 6 жыл бұрын
Saf DC Hongera sana
@andrewermalalikaa7347
@andrewermalalikaa7347 6 жыл бұрын
Sawa
@twalebentertainemt7685
@twalebentertainemt7685 6 жыл бұрын
Hata mimi nampa hongera sana , ila nimeshangazwa kwa nini meneja Mzungu naye asiwekwe ndani na wenzake hao wawili... masaa 48 !!?? ????
@exaverykalinga1487
@exaverykalinga1487 6 жыл бұрын
Safi sn dc hawa watu ni wezi tu,walipe kodi zetu ili serikali yetu isonge mbele nampongeza mh rais kuteua jembe hili,big up.
@georgekinabo68
@georgekinabo68 3 жыл бұрын
Nan kaja kuangalia hii clip baada ya hukumu yake? ✋
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 жыл бұрын
Ni kiongozi mzuri sana Sabaya
@salumkibamba4768
@salumkibamba4768 3 жыл бұрын
You never searched for this... Google Algorithm brought you here! Unabisha??? 😂😂😅
@wagadugu7224
@wagadugu7224 3 жыл бұрын
Mkoa wa arusha ukiwa open na Dar mungu akushike mkono
@danielbernad9063
@danielbernad9063 Жыл бұрын
Nakukubali sana sabaya
@evawayesu5865
@evawayesu5865 5 жыл бұрын
Unafanya kazi nzuli kabisa hata mimi nashukuru kazi hiyo Tanzania 🇹🇿 sio ichi yangu alakini nashukuru kwa kazi njema Asante
@winnielophen8679
@winnielophen8679 6 жыл бұрын
Hongera sana DC
@allanaugustine303
@allanaugustine303 6 жыл бұрын
Ameeiva kwenye masula ya Taxation, penalty of tax avoidance lazima waicalculate pia. Big up Ole Sabaya
@peterkimwaga8725
@peterkimwaga8725 6 жыл бұрын
Chuma hicho nakijua vzuri!
@sss3s867
@sss3s867 6 жыл бұрын
Chuma hio kilikuwa kipo idara Gani?
@fredmbossa
@fredmbossa 3 жыл бұрын
Kweli nabii hakubaliki nyumbani"" wazarendo ndo wanaopingwa,
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Hakika inauma leo kalipwa kifungo
@antonykomba9311
@antonykomba9311 6 жыл бұрын
Duuuuu,kazi sana kwakweli.
@christmasmachele5589
@christmasmachele5589 6 жыл бұрын
Huyu jamaa ni noma Yesu Kristo Magufuli tuletee huyu awe RC wa Arusha
@noelbryson7840
@noelbryson7840 6 жыл бұрын
christmas machele KWA HIYO UNAVYOSEMA AJE KUWA RC ARUSHA UNAMAANISHA GAMBO HAFAI AU?? AU KWA VILE ANAWEKA WATU NDANI?? AU ULIKUWA UNATAKA AJE AFANYE KITU GANI MKUU??
@christmasmachele5589
@christmasmachele5589 6 жыл бұрын
noel bryson gambo kapooza sana saivi hana zile amsha popo tunazozitaka mfano hakuna soko wala stand kabisa arusha
@noelbryson7840
@noelbryson7840 6 жыл бұрын
christmas machele ILA KAKA KWA MDA MFUPI NILIOMJUA GAMBO NIMEGUNDUA MAMBO MENGI SANA KUTOKA KWAKE!! NI KWELI KWAMBA NI MPOLE ILA NI KATI YA VIONGOZI WENYE BUSARA NILIYOWAHI KUWAONA ACHILIA MBALI UMRI WAKE MDOGO!! WEWE FUATILIA MOVEMENTS ZAKE UTAJUA MAMBO MENGI KUTOKA KWAKE!! HIYU JAMAA ANAJUA MAADILI YA UONGOZI, HALAFU HAKURUPUKI, WE JARIBU KUMFUATILIA HALAFU UJE NA KWA HAWA WENGINE..
@angelanather9640
@angelanather9640 6 жыл бұрын
Nice. Very clear
@rizikimfundo8897
@rizikimfundo8897 4 жыл бұрын
Hahhahahha huyu jamaaa ni kichwa cha 3 badala ya wazr mkuu
@allyfleva8920
@allyfleva8920 3 жыл бұрын
Pl sana sabaya hivi ndivyo kupeleka jela
@jojikeneth9024
@jojikeneth9024 3 жыл бұрын
Saiz upo ndani
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 2 жыл бұрын
Msenge huyo alikuwa anatafuta namna ya kupiga commissions kwa mgongo wa mapato ya Serikali
@emmanuelonyangoochola9228
@emmanuelonyangoochola9228 3 жыл бұрын
duh maisha yanakwenda kasi sana
@evawayesu5865
@evawayesu5865 5 жыл бұрын
Jameni Mungu akupe maisha malefu mweshimiwa mimi na ishi Canada Asante
@witnessmollel2169
@witnessmollel2169 6 жыл бұрын
wanyoosheee Shemela mungu akutangulia
@ramygichero1016
@ramygichero1016 2 жыл бұрын
Huyu ni kiongozi mzuri sijui alikosea wapi ase
@babaharunakipindula3895
@babaharunakipindula3895 6 жыл бұрын
Dah huyu Dc ni noumer nakutabiria mazuri mbele u a gud kijana
@babaharunakipindula3895
@babaharunakipindula3895 3 жыл бұрын
@@bakarikassim3450 😂😂😂😂
@fahminasser3855
@fahminasser3855 6 жыл бұрын
Inatakiwa kuwa kama hivi DC siyo wengine kutafuta kiki tu kuongea ongea pumba HONGERA MH DC PIGA KAZI BRO
@clamvevo6472-j9q
@clamvevo6472-j9q 3 жыл бұрын
Duuh 🤔
@edlumala9428
@edlumala9428 6 жыл бұрын
Very straight n clear! Big up DC
@josephtemu2633
@josephtemu2633 3 жыл бұрын
Kwakweli sisi waafrika tumelogwa tutalaaniwa kwa jembe kama hili alafu leo anaishia gela miaka 30 hata mizimu inatucheka kwa ujinga wetu
@humphreymwasha2769
@humphreymwasha2769 6 жыл бұрын
Nakuelewa sana mzee baba
@ericbenjamin2332
@ericbenjamin2332 3 жыл бұрын
🤔 Saivi Sabaya anatamani angekuwa time Traveller ili arudi miaka ya nyuma akazuie kifo cha Magufuli miaka 30 Jera isimkute 😝
@christmasmachele5589
@christmasmachele5589 6 жыл бұрын
Huyu anatakiwa awe waziri sio DC
@joshuasabasi3118
@joshuasabasi3118 2 жыл бұрын
Saiv anachezea uboo kisongo
@salmaothman153
@salmaothman153 6 жыл бұрын
Sio mchezo hapa kazi tu
@richardtungaraza7509
@richardtungaraza7509 3 жыл бұрын
Dah maisha bhana
@georgedamas2771
@georgedamas2771 3 жыл бұрын
Ilitumia pupa sana mdogo ana sasa limekula kwako 30 yers kizimbani
@ladisthadeo1573
@ladisthadeo1573 6 жыл бұрын
Hongera Mh . DC Sabaya . Hii ni aina ya watu ninaowakubali . Hapo hakuna uonevu ni swala la kuwajibika tu . Nashangaa wanasheria na watendaji wetu wanasaidiana na wageni kuihujumu nchi . DC ameshughulika na issues zenye evidence na uamuzi wa Ku - hold passports zake ni muhimu . Maafisa wa uhamiaji na huyo mwanasheria nao wanapaswa kuwajibika kwa sehemu
@bahatijoseph8763
@bahatijoseph8763 3 жыл бұрын
Jela miaka 30
@allanedger6632
@allanedger6632 6 жыл бұрын
Huyo anafaa kuwa hata mkuu wa mkoa maana brain inafanya kazi
@msovietimjamaa3017
@msovietimjamaa3017 5 жыл бұрын
Ulevi wa madaraka
@yahayamkone4040
@yahayamkone4040 5 жыл бұрын
Wewe mtu mimikweli nimekuheshim tu jamani huna uwoga juu ya kupigania malizetu kweli mungu akutie nguvu
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 6 жыл бұрын
hii mashine nilikua naiombea sana sikunyingi apate nafasi hii huyu jamaa hakustahili kuwa diwani
@richmapenz5559
@richmapenz5559 3 жыл бұрын
Naleo hi vp
@kakadkarima2448
@kakadkarima2448 2 жыл бұрын
Na leo maombi yako unaombaje kuhusu huyu mtu?
@OmarMohamed-zf8dp
@OmarMohamed-zf8dp 3 жыл бұрын
mnatafuta kilicho mfungisha sabaya kumbealikuwa mpenda nchi
@reginatsaxara4600
@reginatsaxara4600 3 жыл бұрын
Leo upo gerezani dah
@lucaslabowa5054
@lucaslabowa5054 3 жыл бұрын
Huyo Sabaya hapo ameisaidia jamii
@hishamally4846
@hishamally4846 3 жыл бұрын
Mleteni nimngate hapa
@pasiankimario2268
@pasiankimario2268 6 жыл бұрын
On my side i a gree $ accept your work , keep on working hard .
@seifmohamed836
@seifmohamed836 3 жыл бұрын
unazitaka ama zirudishwe serikalin ndio mana ukaambiwa mpigaji wamali za umma
@prospermakela7791
@prospermakela7791 6 жыл бұрын
Nilishawahi kusema Mh. Sabaya kata haimtoshi,sasa pambana mkuu upo kizalendo zaidi.
@susanlazaro7492
@susanlazaro7492 6 жыл бұрын
Sabaya i like your shoes
@samsonmwijage1602
@samsonmwijage1602 6 жыл бұрын
muda wa kuchekeana ulishapita. hapa kazi tu
@sss3s867
@sss3s867 6 жыл бұрын
Kipindi hiki kigumu cha biashara duniani kodi iliojitikeza Ndio umenifanyia term years. I think ilikuwa zaidi ya hapo kodi kwa long time a go. But but tusimamie na tathmini hio iliojitikeza. Hii serikali ni pumbavu wakati mwingine mumetowa ardhi kwa uwwkezaji watu wamejikopea madeni wakaweka rahani ardhi basi Hata kufuatilia kodi ilikuwa tabu, aisee kila LA heri DC. Ila usiwemkali sana kuwa fleksibo kidogo
@pgabbermusic5423
@pgabbermusic5423 5 жыл бұрын
nimemuelewa sana huyu dc
@bononipolla2450
@bononipolla2450 3 жыл бұрын
Idd amini mdogo
@MathewMchome
@MathewMchome 7 ай бұрын
Mfikirie huyu kiumbe yuko vizuri, naamini mama unamtafutia nafasi, hawavijana wako watatu nivijana hatari sana, makonda akiwa kiongozi, ali hapi akifwata, sabaya akimalizia, mama waangalie kwajicho lingine, 2025 watakuvusha wengine wanafkitu, litafakari hili mama.👍👍
@duraazizi1794
@duraazizi1794 3 жыл бұрын
Maisha mzunguko
@muhidinmsabaha494
@muhidinmsabaha494 6 жыл бұрын
yuko vizuri kwenye kusimamia Pesa zauma ache tu siasa zamaji taka
@adventheraldministries
@adventheraldministries 3 жыл бұрын
Kumbe hujui kingereza unaongea kama wa kidato cha kwanza
@ivyishakaeltonjohn7370
@ivyishakaeltonjohn7370 3 жыл бұрын
Well done Sabaya😂🤗
@pasiansiay9480
@pasiansiay9480 3 жыл бұрын
Dola bhana
@daniellucas9887
@daniellucas9887 6 жыл бұрын
mnawomsifu sabaya kumbuka pia kumuambia usaifu wake ju c makosa ni kuzihirisha ubinadamu wke
@catholicmusicianorganisati7353
@catholicmusicianorganisati7353 6 жыл бұрын
very nice
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 6 жыл бұрын
Hawa wawekezaji walzoea kuwaweka mfukoni watu wa serekalini mmekutana na mzalendo kweli kweli ongera DC wa hai
@agnessshanguya7500
@agnessshanguya7500 6 жыл бұрын
Safii sabaya
@labanbishirabandi3740
@labanbishirabandi3740 3 жыл бұрын
Usingekuwa salaama unaweka ndani wazungu?
@slumgold3205
@slumgold3205 6 жыл бұрын
Manina unajuaaa
@izengojoseph12
@izengojoseph12 6 жыл бұрын
Mie nimependa tu ngeli yake imenyooka kweli kweli
@japharypendo222
@japharypendo222 6 жыл бұрын
JOSEPH IZENGO hii Kijana ya boma imesomea Kwa Kenyata husikii hata kingresa yake kama mutu ya kule!?😂
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 4 жыл бұрын
Sina lakusema Ila nafurahi kwamba bila kufanya hivyo watoto wetu hawataweza kusoma bure kaza Boot 🥾 DC tuko Nyuma yako
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 жыл бұрын
Hii pumbavu imetesa sana watu..
@harysonnyobuya9601
@harysonnyobuya9601 6 жыл бұрын
dc anajua mambo yote mmh
@tumainijoseph5019
@tumainijoseph5019 6 жыл бұрын
Ukidili na Upinzaa ukihama chama Ukuu wa wilaya na ubunge ukosi siasa za maji machafu Tanzania
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 3 жыл бұрын
Nimeamini kauli ya Mungu, Usimdhalilishe mwanadamu mwenzako hakika yatakurudia tu
@williamroberty7064
@williamroberty7064 3 жыл бұрын
Hakika brother, na ubaya unakawaida ya kurudi kwa mtenda ubaya
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 3 жыл бұрын
@@williamroberty7064 True..
@saidhamza6390
@saidhamza6390 3 жыл бұрын
Wawekezaji km hawa wakilipa kodi stahili serikali haitahangaika na tozo Kwa masikini.
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 3 жыл бұрын
@@saidhamza6390 Tunakosa maendeleo kwa kusubir wawekezaji hivyo huwezi endelea hata kidg. .kila MWANANCHI alipe Kodi na hiyo Kodi isimamiwe vzr ilete maendeleo.
@abdulazizharthy5627
@abdulazizharthy5627 6 жыл бұрын
Poleni Jamani sasa tanganyika ni kuonyeshana ubabe tu hakuna sheria wala katiba kamata huyu zuiya passport ya huyu weka ndani huyu lete pesa zangu upuuzi mtupu hawana nidhamu kabisa ni ubabe tu
@leonelleo4425
@leonelleo4425 6 жыл бұрын
Abdulaziz Harthy afadhali sisi tanganyika ni ubabe,maana nasikia Zanzibar hamjui chochote zaidi ya kukunana matako haha
@allysaidy8808
@allysaidy8808 6 жыл бұрын
Weee unaosema ubabe punguani jiangalie upya
@xuzypeter2625
@xuzypeter2625 3 жыл бұрын
Xaiv unanyea debe!
@selemanikassim7018
@selemanikassim7018 6 жыл бұрын
upo sawa kakangu nakuaminia sana mungu azidi kukupa nguvu wewe ni simba wetu
@ezrarazalo3108
@ezrarazalo3108 6 жыл бұрын
good
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 3 жыл бұрын
Leo analala centro
@sabathosaid7098
@sabathosaid7098 6 жыл бұрын
keep it up kijna hko good
@lukomyamatalu3425
@lukomyamatalu3425 6 жыл бұрын
Huyu ndo DC wa kweli kwanza anadicpiringi na nimsomi kwa kweli hakurupuki ingependeza apewe uwazili kwa kweli magufuli oyeeeeeeeeee✔✔✔✔✔✔✔✔✔
@thediplomat6165
@thediplomat6165 6 жыл бұрын
Kama in Kenya angeambiwa.."Drunk with power"
@nasdaqdjitraders
@nasdaqdjitraders 3 жыл бұрын
He was "Drunk with Power", that's why the current president sat him aside from his position so they can investigate his conduct.
@KIREDIOO
@KIREDIOO 6 жыл бұрын
hii
@macamezunguzungu5584
@macamezunguzungu5584 3 жыл бұрын
Sabaya😭
@pmctv787
@pmctv787 6 жыл бұрын
Noma sana
@christophermgonzo711
@christophermgonzo711 3 жыл бұрын
30 jela
@richardmnkande1130
@richardmnkande1130 6 жыл бұрын
Najaribu kufikiria hakuna njia mbadala inayoweza kutumika kwa hawa Wakuu wa wilaya kutumia busara hekima zaidi ya kuwaweka watu ndani!? Mtu anatakiwa akabidhishe Mali au Ardhi kwa wahusika bado unaenda kumuweka ndani kwa Massa 48 kweli ni sawa?!
@joachimisack5834
@joachimisack5834 6 жыл бұрын
I watch you Dude!
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 6 жыл бұрын
Muheshimiwa rais nakuomba huyu DC sabaya mpe uwzili wa viwanda atakusaidia sana watu wamechukuwa viwanda vyetu wanag'oa mashine wanaangaliya wamegeuza magodauni wanaangaliya tu huyu atanyoosha wote kwa mda mfupi
@lucassalvatory7251
@lucassalvatory7251 6 жыл бұрын
hiki chuma nasema hivi hiki chuma
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 559 М.
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 17 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 650 М.
Ng'ombe Wa Mzungu Akivuruga Kijiji DC Awakaanga Viongozi!
14:28
Global TV Online
Рет қаралды 123 М.
SABAYA AKAMATA MAMA ANAPIKA GONGO, "USAMEHEWE WAKATI UNAUA WATU"
5:22
RC Mghwira Ambeba Dc Sabaya Mbele ya Askari Wake
15:33
Global TV Online
Рет қаралды 223 М.
SABAYA ACHANGANYIKIWA NA MASWALI MAHAKAMANI/ AKIRI KUMILIKI SILAHA
6:06
MZEE AMVURUGA DC SABAYA - ''Mimi Sio DC Wa Maboksi''
10:26
Global TV Online
Рет қаралды 138 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 559 М.