Our DCI is very intelligent slow but sure welldone samaritan and Our own Godfrey bravo to you guys
@wambumwash85106 ай бұрын
True
@user-hh2vo6xk7r6 ай бұрын
Iyo slow but sure haisaidii, wangefanya haraka wangeokoa watoto wakiwa hai, sasa wali delay watafutane na maiti
@fridahkarimi55106 ай бұрын
Mwenye anakubali sanitizing phones 📱 ziendelee kabisaa sema yes zina saidia na kufichua siri nyingi.
@GraceBeatriceWarui23 күн бұрын
Zimefichua mambo mingi aki..
@abisalomwasike82806 ай бұрын
Samaritan for really working Well done 👏 DCI Godfrey
@lucymunjiru16926 ай бұрын
Rachel, niambie about Jordan?
@Rachel-j2b6 ай бұрын
I will never ever blame anybody who hates going to church till I hear their story! This story is an eye opener!!!
@lilynjenga75096 ай бұрын
This is not a church but a cult in the name of church Also check the spirit of where you are going have discerning spirit. What trapped this women in this church is because their pastor used to give them food etc. take food but be alert in the Spirit.
@jeffcheta6 ай бұрын
I myself i hate pastor's
@pepematuja99896 ай бұрын
Me too....
@stephensonkimeu75046 ай бұрын
True, some have been hurt so much so that a church represents pain , they can't go.
@Josephine-s2h6 ай бұрын
Vry true
@nxjjfj49236 ай бұрын
😢😢 huyu gatia amekula watu wegi saaaaana,yeye anatoa wtu kafara 😢😢 kanisa ya shetani hyu afugwe maisha
@Franciscah-du7tz6 ай бұрын
Kuko kasichana kalikufa last year,walikuwa wamefukiwa mahali watoto watano,
@neemabadi15316 ай бұрын
Mlilaumu sana DCI na SAMAA . Hakujua kama hii kazi inahitaji umakini wa hali ya juu
@evenaftali94116 ай бұрын
This is much better and showing some light. I pray that Mash will be found being healthy and be given back to his parents.
@dorisgaichugi41376 ай бұрын
Our DCI knows how to work on his duties perfectly. Good job Godfrey.
@NancyMarete6 ай бұрын
Good job Mr sama and our DCI👏👏
@danielthuo18266 ай бұрын
Officer Godfrey na sama...HONGERA TENA SANA.... you've made my day..this story has guven me sleepless nights...haki ifanyike.. cannot imagine the pain that baby went through before he died tigether with the mother....thus shoukd be a lesson and scrutiny shoukd be done in this juakali churches... Mackenzie types
@priscillamakena38846 ай бұрын
Congratulations to Our DCI n team.job well done... this is the end of the road to the evil pastor...now expose the church to save the members
@Ruthmpoa-sv9ul6 ай бұрын
Mimi nikuliatu naumwa like hao watoto ni wangu 😢😢😢😢😢😢😢😢
@suewanyoike97746 ай бұрын
Watoto ni wakila mtu aki inauma kwanza mwenye amefuatilia
@marygachau2726 ай бұрын
Sooo pain.
@LenahKasyoka-o9s6 ай бұрын
Nalia pia ata kwa nyumba watu wanashangaa
@gladysmathenge6 ай бұрын
My heart is also bleeding
@sabaharel35426 ай бұрын
It's very very painful. Praying for the little boy and his mum.
@dicksonmagutu99536 ай бұрын
Evil acquired wealth of pastor Ngatia and his wife will go down with them😮😮😮😮kudos our DCI (s)...members... everything is perfect and sure
@lucykaranja74096 ай бұрын
Mali ya shetani hubakigi na kitu
@hawababy1206 ай бұрын
Kazi nzuri san DCI 👌🇧🇮
@sharonchelangat95686 ай бұрын
Finally naeza pumua xaxa juu naona kaa kuna hopes mash atapatikana
@margaretmurugi3226 ай бұрын
Praying for baby mash apatikane akiwa hai in Jesus Name..na huyu muaji aozee jela na bibi yake na liz pia...na damu ya njoro na mamake iwafuate kabisa siri zao zote zijulikane,labda siri ni mingi ni yenye washirika wanaogopa camera.
@lynsanaipei31976 ай бұрын
God protect our DCI, grant him favor and bless the work of his words. Watch over his life for only you can do what no man can do
@mildredkeris216 ай бұрын
To God be the glory 🙏,wacha aende akakule maharagwe.Guys lets pray for DCI who saved kitoo as well arudi kazi yake.This country is something else😢
@user-sx2eo5ho2n6 ай бұрын
Our one and only Dçi,May Jehovah God expand your territorie,usiwai pungukiwa ,wee niwakipekee dady..
@felixfmbtv33936 ай бұрын
Work for God with pure heart and clean hands, but if you are cheating, nothing shall be hidden and you shall be exposed. This is a big lesson
@agneswanjiru31746 ай бұрын
Sama chukua simu ya pastor mtapata kila kitu wewe umelala sana aki🙏pasta show ako kazi huwa anaelewa sana💪👌💯
@redemptorwayua91516 ай бұрын
Hallelujah that's what I wanted to hear from you Samaritan now we are about to get mash.
@stellastella72456 ай бұрын
He is illuminant pastor,awolf in asheep skin
@Ester-u7h6 ай бұрын
May God protect DCI coz I see DCI for true k was fired for helping, may God give Godfrey favor 🙏🙏🙏🙏
@lyndahmiheso25456 ай бұрын
True k anajulikana kama mkora
@joycewanyoike85206 ай бұрын
Amen
@mademsykada38666 ай бұрын
God bless the Dci and eastern tv fraternity🙏🏼🙏🏼
@rosewanjiru99856 ай бұрын
Guy let's pray for mama mash and for mash to be alive ...🙏🙏♥️
@FidelisWaithera6 ай бұрын
Hapo Kwa kumuombea ni sawa , lakini Kwa mash naona Giza,si ata wewe unaona pastor alikua anahepa whyyy???
@SamiraMulama-op6bm6 ай бұрын
Trust u me...mash isn't alive reason wanazungusha maneno
@Janemwangi-zc7rl6 ай бұрын
Mashaa inakaa alizikwa pamoja na Njoro
@dorcasjebet16916 ай бұрын
Mama mash you're in our prayers.May God of mercy locate you mummy
@dorcasjebet16916 ай бұрын
Mama mash you're in our prayers.May God of mercy locate you mummy
@wilystancech6 ай бұрын
Good news for the first time in one month
@estherwarui29396 ай бұрын
Let's pray for mama mash and her family coz hapa kuna giza
@natashalucy-pn3cx6 ай бұрын
Kabisa but God will take over
@catherinenjeri22116 ай бұрын
Aki hizi gaidi sinaeza kuwa silizika two body at the same without ppl knowledge
@carolinemwaniki11046 ай бұрын
@catherinenjeri2211 aki that what was thinking 😢😢
@marygachau2726 ай бұрын
From where i sit i will nolonger blame anyone for not going to church untill i understand their story.tondu ma ..,..
@Rachel-j2b6 ай бұрын
100%
@mjombawallace49666 ай бұрын
But try to go to church though still there are good churches out there dear 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@catherinethou6 ай бұрын
True Kuokoa ni roho ya mtu Sio kuenda church.. Lady's let put this on our mind to avoid hizi sucrifice
@marygachau2726 ай бұрын
I agree with you.God has many remnants pastors and good churches.@@mjombawallace4966
@waithirakabute96416 ай бұрын
Nikiwa moja wao
@bethmuthoni76326 ай бұрын
Hands together for the new officer👏👏👏 Godfrey is good but very patient with criminals, at least wakiwa pamoja the devils are feeling the impact 😅😅😅
@johnkamunyu99726 ай бұрын
Justice justice that's what we need for these families of njoro na mash
@lydianyambura-qt5hl6 ай бұрын
I really don't want to see this killer and the wife wanafaa kukua na Mackenzie kwenye Ako wakingoja kuozea jela
@jacklineadhiamboowino9646 ай бұрын
Finally we can see light at the end of the tunnel
@doreenshii5636 ай бұрын
Nani mwingine huboeka na hizo ma previous zote😏😏😏😏
@lynsanaipei31976 ай бұрын
Ngatia kiburi ilienda wapi??😂😂😂 kweli wonders shall never end
@cecilianyamokami69086 ай бұрын
Waaau!!!! Time strong gather here mash atapata sasa😊
@stephensonkimeu75046 ай бұрын
Umeona kweli akiwa karibu kupatikana ???.
@carenodinga34316 ай бұрын
@@stephensonkimeu7504mimi nko ma wasiwasi
@annwangai58146 ай бұрын
I doubt he is alive, since Leon said they were unresponsive that day
@suewanyoike97746 ай бұрын
Samaritan our eyes opener Dci is our hope God bless you😢😊
@CyphroseRobert6 ай бұрын
Samaritan God bless you and our DCI.🖐️🙏
@fatumaadam42716 ай бұрын
Bwana ya liz alisema liz utaumia 😂😂
@givenchobe19776 ай бұрын
How evil is this man. I just hope DCI is protected otherwise this pastor is connected to top police officers who can fire our DCI 4 doing the right thing.
@janenyagah26326 ай бұрын
😂
@abdallagakweli63666 ай бұрын
Exactly kwn DCI wa true k alifanya kz Safi unfortunately kapewa suspension letter imagine na hao hao catel
@EveMaiyo6 ай бұрын
Who can inform Prof Kindiki?
@juma98666 ай бұрын
@@abdallagakweli6366 Bado hujajua K ni vipindi tu za kuchangisha pesa
@soniagrace32966 ай бұрын
It don't just happen
@safiaahmed9956 ай бұрын
Kudos DCI na wenzako na samaa
@wairimuwaihwa24756 ай бұрын
Wakikuyu hawa!!! 11:46 Watoto Nateseka juu yenu na tamaa yenu ya pesa surely !!😢😢😢
@carolynkipkebut24206 ай бұрын
The day mash will be found I will watch all episodes
@lynsanaipei31976 ай бұрын
i agree
@francismburu75446 ай бұрын
Kuna venye mash alituacha angekua alive, hii mateso yote wangekua wamemtoa
@francismburu75446 ай бұрын
Kuna venye mash alituacha angekua alive, hii mateso yote wangekua wamemtoa
@francismburu75446 ай бұрын
Kuna venye mash alituacha angekua alive, hii mateso yote wangekua wamemtoa
@gracekamau82446 ай бұрын
Good job DCI wameanza kuanikwa akipotea tupatie mash waoo.
@pspdep64056 ай бұрын
God bless you DCI
@daisyjepkoech46586 ай бұрын
Tuombee huyu dci azidi kutenda mema...kule kwa Jay.truek tv ..kumewaka moto.dci ameachishwa kazi mind you he has been helping.
@peninagateti6 ай бұрын
@daisy imgne mtu anasaidia watu ndie anaachishwa kazi hii Kenya aileweki.
@eddahkilimo60266 ай бұрын
Governor is behind it and the madam
@daisyjepkoech46586 ай бұрын
@@peninagateti i wonder where is humanity..
@CyphroseRobert6 ай бұрын
Chukuweni kibali,mfukue kaburi la Njoroge Lang'ata.Labda aliwazika wawili kwenye jeneza moja
@Stellah-z1j6 ай бұрын
Very possible aki..... huyu ni mnyama tu.
@Virginia-df8fx6 ай бұрын
Hope Mash atapatikana sasa, hii story inaniuma Sana each and every day
@daisynjoroge-xp9ks6 ай бұрын
Pastor NGATIA and wife know what they do best with dry blood...silazima wakueke kisu but wanaeza kukuuwa na brain wash tu vile waliuwa Njoroge na Martha.Sasa mungu...Mash hasiwe ameenda aki
@saeaaa85716 ай бұрын
Huy mtoto n kuomba tu kudra za Mwenyezi mung huk aliko ila kwa hali hii inaonyesha kbs mash wend naye akawa aemshakufa, kam ako hai why asiwape wazazi wak huy mtot kwann anamng,ang,ania?!
@hafswahamisi96856 ай бұрын
@@saeaaa8571kweli kabisa maskini wanakuwa watoto wa wenyewe labda hao watoto wawili waliporudishwaa kwa sababu ya nyorogee na mash
@henrymwangi64656 ай бұрын
Hi!samaritan bring in citizen ty for wide coverage and safety of you team and our able d.c.i.
@ErnestNgaire6 ай бұрын
Si mfiche uyu mzee...anyimwe chakula Na apewe vita yakutosha
@Elsie-pj8qp6 ай бұрын
Hv said Ngatia walizika Masha na Njoro kwa saduku moja na wafukuliwe waangaliwe kama wako na all body parts .. hii no games..
@catherinethou6 ай бұрын
Very true iwe funzo kwake na wengine wenye tabia kama hii
@CatherineGathukumi6 ай бұрын
It might be true bt also it might be the kids are still alive
@unapologetickenyan_6 ай бұрын
Ati walienda na ndege...... shameless man😢😢😢😢😢😢😢
@sarahwanjiru1916 ай бұрын
Waaah... Am loving this.. But when l know what's going on on Jay's side,, l still worry.
@joycewanjiru50436 ай бұрын
I wonder this man huwa wanaambiana nini na Mungu to be honest.I can't comprehend how those children's were feeling and wishing for a brighter day at least wazazi wao watokee tu from nowhere and save them,i really don't want to imgn . It's sooo painful.I always find myself overthinking that being my child.ooh!! God,, it's too much 😢
@nonamenoname74206 ай бұрын
@joyce, he doesn't worship God
@EbbyGaeri-jh3mj6 ай бұрын
Aki kulala Njaa na kuoga na Maji Baridi na kugongwa Na Chuma Kwa kichwa aki Hao Watoto waliumia Sana aki Woi Aki Mungu Wangu na imgn My Son aki Woi God Protect our Kids
@yegonhillary32676 ай бұрын
Our DCI good work may God protect you as you discharge your duties
@kimanieric44066 ай бұрын
Respect to this Dci gentleman🤝
@GraceMahihu6 ай бұрын
Our own DCI keep going May our Lord protect u and guide u as u search mash
@ruthhasango77456 ай бұрын
Team strong tunangojea justice ya mutoto Mash jamani haki kweli itendeke
@fredrickndako85536 ай бұрын
Ofisa i salute you huyu pasta ako na kiburi sana
@RoseWandia-ry3pg6 ай бұрын
What is the different between 😮 pastor ngatia and Makenzie huyu ako na shakahola ya watoto 😅
@nonamenoname74206 ай бұрын
@Rose, the height, body built and complexion
@magicmind64586 ай бұрын
Finya hizo balls mzee.
@gachericatherine6 ай бұрын
Good news at last .baby mash pliz hold on ....
@brendaokola38936 ай бұрын
Dci'sama you guys are really trying aki and may mash get justice.,
@leahkarire59746 ай бұрын
Thank you DCI🙏🙏🙏🙏
@PeterNgungi-qf9vh6 ай бұрын
DCI anafanya kazi nzuri tuombe tu asiachishwe kazi kama mwingine uko kwa Jay
@MERITASONGO-i8s6 ай бұрын
Dci mungu akubariki sana wewe ni police wa kipekee na anayefanya kazi yake kwa ufasaa.ila dci nahomba uwe makini sana hao wakubwazako baada ya kupokea pesa toka kwa pasta watakusimamisha kazi ili kusiwe na ufatiliaji wa kesi.tumekwisha viona sana hapo kenya.
@nasykanjawakanyoni14216 ай бұрын
Mungu wangu waanikeeeeeeee Wanjukue simu zote bili
@Liz_blessed216 ай бұрын
Wueeh 😢 bado Arusha inatajwa Na already Njoroge alishaazikwa😢 Aki Mungu saidia😢😢
@KayomboJean-om1rv6 ай бұрын
Congratulations 🎉
@timothywanjohi20166 ай бұрын
Cases za dci kusimamishwa kazi after good job zimekuwa mingi....lets pray for our dci....
@MatanJunior-ds6ny6 ай бұрын
Wow good job sama and our D C I 🙏🙏
@mercimerci95406 ай бұрын
DCI finya huyu muuaji 😢😢😢😢atoe watoi
@ourdays.40216 ай бұрын
God protect Mr G and Sam,hii kasi ni ngumu. Protect kazi yake,kwa true k baba derick amelipa. God be with our kids.
@safiaahmed9956 ай бұрын
Na wafwatiliwe hadi kwenye wanaendanga Finland. Kama ni body organs wanapelekanga. Na muchunguze other mysterious deaths in that church and environs or family members.
@Ad0raxB1by6 ай бұрын
Justice for mash🙏🏾🙏🏾
@micahchebii76486 ай бұрын
But dci be careful with this people they have connections....hata dci mwenye alijunguza kezi ya kidnapping ya kitoo na mwangi kwa true k ya jay amekuwa suspended kwa job, juu ukweli imejulikana because iko connected na watu wakubwa kwa government,hii Kenya ni mbaya sana
@JosephMagoha-zb3bb6 ай бұрын
Safi sana DCI naanza kukuelewa kamanda wangu
@jo111k-yr6dt6 ай бұрын
Eastern/DCI good job for good results evidence things must run concurrently Mash may God protect you
@SalmaAbdulkarim-y4j6 ай бұрын
Samaritan watching from Uganda but I would like to tell you this your shows are good not that they come in short skits it’s would be better if you just upload like part 1&2 so that we don’t get lost and watch at once.Humble request Plse.
@BowensVince6 ай бұрын
At least we're heading somewhere damu ya msichana wa shosho inaanza kuwa kula polepole bado sasa ya mjukuu wake iwa finish kumalo pastor your kids have inherited your sins they'll suffer to pay for all your evil
@mjombawallace49666 ай бұрын
Forever and ever soma Exodus:20.5 ↪️You shall not bow down to them or worship them; for I, the LORD your God, am a jealous God, ↪️punishing the children for the sin of the fathers to the third and fourth generation of those who hate me, Kwisha mambo
@annkariuki32816 ай бұрын
Samaa pls kip quiet let the dci play their cards wisely.we cover you ad your team by the blood of Jesus.
@andendabonfaceakumu-lw8vy6 ай бұрын
Nice,finya yeye makende kabisa
@julianaonyango17026 ай бұрын
Check bag yake iko na nini😮😮😮
@millyadhiambo2386 ай бұрын
Bibi atamtoa tena😢DCI is working but there's some forces behind😢
@Pena-k-x2n6 ай бұрын
Evil forces behind every thing.
@priscillamakena38846 ай бұрын
@@Pena-k-x2ntrue...he said he has a brother who works in one of the Kenya force..... and he is unstoppable
@PreciousPreciousangela6 ай бұрын
Kazi ya dci pia aki walijuaje ako ndani ya hiyo matatu
@josekibuthu12146 ай бұрын
Hongera sana DCI
@ruthhasango77456 ай бұрын
Good job bwana DCI wetu
@JosephKahato-k4d6 ай бұрын
Thanks to the Almighty God 🙏💪 who sees us through for the good job well done ✅ by Samaritan, also our DCI Godfrey who is a real officer in the Kenya 🇰🇪 police service, the Pastor Ngatia's end of the road has already come to the end mama mash will see her own son God is great than any amount of money 💵💵💵💵💵.
@njeriwakarongo90696 ай бұрын
Am praying for mama mash aki woi NGAI igua tha
@khadijahkassachoon69176 ай бұрын
So the church is divine restoration international
@FiranjaLukio-jr7kr6 ай бұрын
Why is Liz still having her phone??? Sama check on it again you will be surprised. Communication iko juu sana.
@Wambuigachaga6 ай бұрын
DCI Leo hayuko pekee that's a good move
@mercimerci95406 ай бұрын
Our DCI funga huyo muuaji kabisaaa aki
@sarahwanjiru1916 ай бұрын
Ati mshike bibi ndiye anajua😅😅😅
@cellinezizou44536 ай бұрын
Venye Niko na hasira na mash si mtoto wangu..mama mash is so cool Mimi huyo ngatia ningemrarua nguo hadi akuwe wazimu
@KhadijaMiriammwende6 ай бұрын
eeeh mungu tuonekanei sisi kama wanawake tunaomba ufanye huruma utapate mash mm kama mzazi roho yangu inauma sana nikiona watoto walieda kukuambudu alafu wakafanyiwa unyama inauma sana kwa sisi wanawak
@paulmaina99006 ай бұрын
Liz should give you the names of church members, and DCI should call them to share what they know