Ufundi mzuri wa vyombo na lugha sanifu ya kiswahili.
@aidannzowa55024 жыл бұрын
Tumepoteza music wenye ladha yetu asili!
@sylvesterokumu26955 жыл бұрын
Wimbo safi kutoka kwa DDC Mlimalini Orchestra.Nakumbuke enzi hizo nilikuwa mwanafunzi na niliipenda huu wimbo.Ilidhihirisha uhodari wa lugha ya wana DDC
@sintumasaka54535 жыл бұрын
Mie wakati nimemaliza 4 natoroka na ddc ilikuwa c mambo wakati huo
@allynayomo4856 жыл бұрын
Hii album ilirekodiwa Kenya mwaka 1988 pia walialikwa kwenye sherehe za miaka 10 ya nyayo Kenya Kenya walikuwa na slogan ya fuata nyayo kwa rais Daniel Arap Moi
@salmamrembo43603 жыл бұрын
Up ndio muziki bwana
@amosisiche5082 Жыл бұрын
Miziki hizi hupatikana wapi nchini Kenya?
@hajimnubi45815 жыл бұрын
Huu wimbo alitunga juma pondamali Mensah kipa wa zamani wa taifa stars,pan na yanga
@kaitankanunga96003 жыл бұрын
Kuna vimbo mwingine siipati kwenye Google wimbo wa kisonoko