Asant sana da Debora kwa wimbo mzur nafarijika sana mara 2 nisikilizapo wimbo huu.MUNGU naomba usinipite katika kila jambo usiniache MUNGU wang. ❤❤❤ sana Dada yang KYALA akotole mo mbombo jake ❤❤❤❤
@masterkey53610 ай бұрын
Barikiwa mnooo 💯
@maryamnasor38606 жыл бұрын
Bwana usinipite unapo gusa wengine bwanaaa. Usinipiteee
@frankjohn85704 жыл бұрын
Nakukumbuka sana Da Debora tangu sikuzile na parapanda kwaya mkija kwenye Easter crusade Kanisa eagt mnazimmoja kwa pastor Erastus Andrew
@OswardMwantondo-lp1fg8 күн бұрын
Mungu azidi kukuinua dada yangu
@happywaziri35502 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dada angu debora kwa ujumbe wako mzuri
@MaryKayange-fn2nz10 ай бұрын
2024 Mungu awe mnyunyizi wangu
@timothlaiton6664 жыл бұрын
Nasikia raha sana ninaposikiliza nyimbo za injili mungu akuzidishie Dada angu Deborah
@rojazslojazz42875 жыл бұрын
da huu wimbo unanikoxha. xana mungu akubarik xana dadaang debora
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Mmmmmh hivi vitu vya kidunia kama mawigi kujichubua hushusha sana nguvu za MUNGU
@alicemaembe75472 жыл бұрын
Mungu akubariki tu sana dadangu
@healthandscience19962 жыл бұрын
hello where and which site can i find the the whole music mix ya Debora Mwaisabili kindly assist
@dafrosamwalongo Жыл бұрын
Upowaop
@dafrosamwalongo Жыл бұрын
Unakumbusha mbali nikiwa nyumbn Isanga mby
@joycekambuga62863 жыл бұрын
Hongera Sana Deborah huu wimbo auchoshi kusikiliza miaka nenda rudi
@sauloasubisye5507 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa huduma
@sulleysonsulley41605 жыл бұрын
Hii nyimbo ni Kali kweli Mungu akubariki sana Deborah Mwanangu ,uinuliweeee zaidi
@princenkindwa2682 жыл бұрын
Nyimbo Nzuri sana hii
@dorisnamonje94864 жыл бұрын
Barikiwa sana Dada Deborah
@Hilarymd4 ай бұрын
August 2024 🎉
@fredymagori93229 жыл бұрын
mungu akusaidie umefanya vzuri sana
@jannyjenny88546 жыл бұрын
nyimbo nzuri sana
@emmanuelmwandumbya86164 жыл бұрын
Ubarikiwe dada kweli YESU asinipite
@bainakaigalula8 ай бұрын
Namba kujua wimbo wako wa KUKU MWEWEunapatikana wapi?