Рет қаралды 56,049
LYRICS
Fancy Fingers
Deco Deco Deco
VERSE 1
Nadai nistep kwa bunge
Ndo hiyo bill watu wote wasiunge
Watu wa yes wote niwavuruge
Ju Genz ikiwa on set labda watoke nunge
Hasira imejaa nabonga kitu nafeel
Tuliwachagua kumbe hao si watu real
Polepole unacheki wanatukill
Last week naskia walipitisha finance bill
Aah
Nimechoka acha tu nipige miayo
On top bana boy tuimbe shayo{Shayoo}
Form naleta nataka mchezo nayo
Wapi ma whips za kupiga zakayo?
Wapi Martha anipatie kibarua
Ama Arati juni Simba atararua{Atararua}
Sini ma ng’ombe vile wanakumua
Makosa ni ya nani si wenye wali chagua cheki
Fuel iko juu minapiga route 11🚶♂️
Kitu tunaduu ndo tuta judgiwa heaven
Nina attack wanadhani ni nineveh
Je tutavumilia adi 2027?
CHORUS
Nadai ma Whips whips wapi ma whips ?
Whips Whips Wapi ma whips?
Ni ma Whips Whips wapi ma whips ?vile wanatumix ndivo tutawa fix
Ni Ma whips Whips Wapi ma whips?
Whips Whips wapi ma Whips?
Ni ma whips whips wapi ma whips
Vile wanatumix ndivo tutawa fix
VERSE 2
Nani atutetee kwa hii sanga basi tumfanye rep
Juu tax haitambui kama weni celeb
Free data kwa mastude ndo wa browse kwa web
Meanwhile naskia bado hawajapata helb
Housing Levy ikiwa on nitabishiwa hodi
Electric bodaboda sijaziona kwa rodi
So sas shuge inapandishwa kodi
Wanyonge wakishikwa wanatolewa na Eric Omondi
Ukitaka kujua Ma youths wako Jobless angalia vile ma lines zilijazwa kwa worldcoin
Naspeak out junajua tuko hopeless ama watakam wanifunike ki serve foil
Economy yenye watu wako homeless wanasema bottom kumbe wana up oil
Watu wanashikwa wakifanya peace protest niwapi safe mahali tunaeza join?
CHORUS
Nadai ma Whips whips wapi ma whips ?
Whips Whips Wapi ma whips?
Ni ma Whips Whips wapi ma whips ?vile wanatumix ndivo tutawa fix
Ni Ma whips Whips Wapi ma whips?
Whips Whips wapi ma Whips?
Ni ma whips whips wapi ma whips
Vile wanatumix ndivo tutawa fix