Deno we are tired of this camera man mbona anakufuta knowing very well utarudi kwa gari why cant he focus on the girl,,tumeongea sana juj ya hii story enough is enough
@jeffamboye40276 ай бұрын
ndo tuone her reaction
@solomonkimani39023 ай бұрын
Yes, some tym Naona kama Niku edit, mbona hatunyeshangwi her turning point, that the most interesting point
@joshuamalvin42746 ай бұрын
First red flag Denno: Nipee number yako Chic : ya kiatu ama 😂 Denno : type of movie Chic : horror😅 Denno: what do you like doing Chic : kupigana 🏃😂
@MbitsiMbitsi4 ай бұрын
Gai kuna sku utagongwa broo😂😂
@yvngspoiler91266 ай бұрын
Denny c uko busy unakula kwa macho😂😂😂😂
@milliondollarmindset2546 ай бұрын
Her: Nikonayo kwa simu Dennis: Me natafuta movie shop what are you talking about 😆😆
@markkisigwa85096 ай бұрын
Kitu moja hunibamba deno hujawahi sameha 😅😅😅
@irenesigira38486 ай бұрын
😂😂 This Dennis is the REAL GENTLEMAN. Kila kitu na mood ina wakati wake. Many so called gentleman are out to be used and manipulated. And they end up cutting a pathetic wasteful weak figure. Use limited resources wisely and gainfully.
@blackchair_chairman13076 ай бұрын
Uyu ni mshamba alfu anaringa .... Ata kufunga mshipi haezi😮 .. Hana class uyu shienzi sana
@MarkRhymes-y4b6 ай бұрын
😂
@lynnatteagan73286 ай бұрын
😂
@marydavinembeki94826 ай бұрын
Kwa kufunga mshipi SI eti hawezi kujifunga hakuwa anajua coz ukiangali vizuri utapona akiufuta😂😂
@blackchair_chairman13076 ай бұрын
@@marydavinembeki9482 yeah I realized hakujua hata iko wapi😂😂
@HairbyLucyFaith6 ай бұрын
Huyu ata hafai kuwa golddigger 😂😂😂😂😂
@OtienoDavis6 ай бұрын
Denny-c I have a request..........ebu amua siku moja ukue live hapa even for one and a half an hour uonge ata na mafuns wako woiye.........Next Digging ulete juja
@raymondndwiga89966 ай бұрын
❤
@JACKSO776 ай бұрын
pia mwiki
@aliciakeyzokelloh90496 ай бұрын
Na hii ngoma moja daily
@Victor-dh9xm6 ай бұрын
Kumbe juja tuko wengi
@milliondollarmindset2546 ай бұрын
Side effects ya kutumia infinix😆tutatmia iflix😆
@RahabGitonga-h4c6 ай бұрын
😂😂😂😂
@amosvasco47236 ай бұрын
😂 huyu naye ameniua walahi, ety weka number yako ya mpesa nikutumie kakitu, Denno akakataa 😂
@Bokushka6 ай бұрын
Kienyej flan iv
@Skating-Queen36 ай бұрын
what is mmh mmmh mmmh mmmmh yeah sure niko sure😅😅😅😅like you just cant speak up for yourself kila kitu unakubali tu na ni kama this girl hakua ata anaelewa vitu zingine,,,,aki my fellow ladieslearn how to speak out what you feel sio mmmh mmmh eeeh sure
@anitastellah28946 ай бұрын
The way ako innocent like kina kevo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kumbe ni fire 🔥 🔥 kumbe anachapa watu tena😂😂😂😂
@kelvinbundi9226 ай бұрын
Wow stellah mbona uliganisha jina langu na gold digger surely,, is that fair oyie
@anitastellah28946 ай бұрын
@@kelvinbundi922 😃😃😃😃😃😃😃pole woye
@kelvinbundi9226 ай бұрын
Okay
@JAY_5H3PH3RD6 ай бұрын
huyo dem anakaa mshamba sana
@TracyBien5 ай бұрын
Walai
@nasrasway71434 ай бұрын
Ndio
@Bagenzi4life6 ай бұрын
Inflix anayo nyumbani we neenda tuu uka enjoy😂😂😂😂😂😂
@Dorris-ii3sk6 ай бұрын
Basic knowledge is really important😂😂natafta movie shop ....but the girl have it kwa simu already 😂😂
@newtonodhiambo41596 ай бұрын
😂😂😂
@jeffamboye40276 ай бұрын
anatembea na movie shop kwa simu. she's Genius😆
@ianspania29502 ай бұрын
@@jeffamboye4027 🤣🤣🤣🤣
@alisterlexter11156 ай бұрын
Denno:What are you good at?? The Girl:Kupigana 🤣🤣🤣ebu usinishtue🤣🤣🙌🏻 angalia usije ukaleta majangili wakuumize
@joshuamalvin42746 ай бұрын
😂😂
@davidtongoyi6 ай бұрын
Niko na swali, huyu dem ulimbeba from the place hadi hapa. Then leaving anaenda akitembea how 🌚🌝
@AlexMurimi-s2x6 ай бұрын
Hii ni kienyeji imefika kanairo juzi juzi and in process of kulearn rada ya town
@rose_wangari2 ай бұрын
Kienyoo ati inflix! Buckle up, mmmh,😢
@Mcarthur-wl8gk6 ай бұрын
Who in the right senses doesn't know how to put on a safety belt lakni kani huyu dame ametoka turkana huko ndani kabisa na vile at first she was rude na kumbe she doesn't know simple things mpee 100 bob aende akule ugali sukuma hapo kwa mama caro anyway good show denny c keep them coming
@rose_wangari2 ай бұрын
Huskii aki na inflix😂😂😂😂 Na movie shop!🤦🏽♀️
@Gertrude8916 ай бұрын
Wow leo nimejaribu guys wapi likes
@CheerfulCornflowers-bh3vm6 ай бұрын
Ukule
@estherdeloach6 ай бұрын
This home one is not safe, chunga. Then don’t be leaving your drink unattended ukishapeana soda, usikule mchele ulale.
@EveIvy-y1q6 ай бұрын
Camera man ametuchosha sasa. Tunashindanga tukimuambia sio lazima tuone Denny C akirudi kwa gari, we want to see the U-turn. But does he listen 🙄🙄🙄.
@brendaokola38936 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂eti no.ya kiatu ama
@wilfredwachira80686 ай бұрын
Hii ni kienyeji fulani ya hukooo interior...
@debbykenya6 ай бұрын
😂😂😂 woiyee huyu naye ungesamehea kienyeji funny😂😂
@obedwanjohi6 ай бұрын
walai huyu naye ni kakienyeji fulani tuh😂
@dianacherotich72216 ай бұрын
😂😂😂aki wasichana yaani hivi ndo mnaingia box without knowing someone😢
@FaithKimani-td5yz6 ай бұрын
Wah, leo faith wamefikiwa ,, but guys I'm not like that😅😅
@alvoo1336 ай бұрын
Watu si wajinga 😂😂
@davidotieno60196 ай бұрын
Ashajisrmea 😂😂
@FaithKimani-td5yz6 ай бұрын
@@davidotieno6019 😂😂
@FaithKimani-td5yz6 ай бұрын
@@alvoo133 ni ukweli😂😂
@alvoo1336 ай бұрын
@@FaithKimani-td5yz Proof me wrong 😂
@migentekillerdjgente45396 ай бұрын
Denny c...inafaa unasemehea Hawa wenye wako genuine wakisema ni gari iliwarudisha😂😂😂😂
@samwelmwangi93426 ай бұрын
Uyu ni kienyeji maybe ya kiambuu kirigiti
@juma98666 ай бұрын
Kirigiti ni town, hii labda gīthüngurii lazima imetoka kukamua morning.
@Sir_mbugua2546 ай бұрын
Denny c amewakula mpaka akatoa kitambi 😂😂😂😂
@sanchokimhoney60486 ай бұрын
Broo 😂😂😂😂😂
@geoffreymanthi6 ай бұрын
Movie shop kwa simu,seat belt first time,horror movie, good in kupingana,kusukasuka,, hajui ata kufungua mlango,,uko ndani ni muta,, ,,, r
@samwelmwangi93426 ай бұрын
Wanaume mko na nguvu,,,uyu Dem ni wale boring,,ww tu ndiye Unaongea,,Unaongea 97 anajibu 3
@jambidavidjambidavid32136 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂frrr
@NderituGitonga3 ай бұрын
Na ni Mmh eeh aii😂😂😂
@MercyChebet-pe9oi6 ай бұрын
Huyu ametoka ushagoo juzi 🤣🤣🤣 adi belt ndo shida
@Mcarthur-wl8gk6 ай бұрын
Bana joh ushango kwao ni huko side ya turkana na huko ndani kabisa,huko ndio ma gari huwa haina safety belt,maringo hako nayo and the simplest things ajue shenzi
@MercyChebet-pe9oi6 ай бұрын
@@Mcarthur-wl8gk kazi yake tu ni kuromboza🤣
@Mcarthur-wl8gk6 ай бұрын
@@MercyChebet-pe9oi 😂😂bana joh kuromoboza enyewe pia ni shida kwake anaromboza kama dame hako na kwashiorkor shenzi sana
@MercyChebet-pe9oi6 ай бұрын
@@Mcarthur-wl8gk 😂😂😂😂😂😂 kill me
@FavouredKwambokaАй бұрын
Khai ati faith surely I don't think faith tunakuanga magold digger shiet
@shanteynjeri6076 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣usiseme utawewe denny c unatoa paper ya soda ety no free advert na sisi wote tunajua ni Black current.
@Melvo-Shiz2 ай бұрын
Denny huogopi kupigwa😂😂
@christinenduta-p5d6 ай бұрын
Infinix was just chilling 😂😂 mnimalize sasa Dennis leo kibarua imekuwa ngumu 😂😂 msichana mwenyewe haeleweki😂
@silviamarleyon38316 ай бұрын
Uyu naye ametuchanganya..anakaa kienyeji , anakaa innocent Mara anachapana Tena anajua kudance heee🤣
@tashawambui72486 ай бұрын
Watu Hawa watch Danny c sijui mnawatch nini
@truphenachebet2816 ай бұрын
Nashindwa pia 😢😅😅
@samwelmwangi93426 ай бұрын
Jina buckle up ameshtuka😅😅😅😂😂ww Deno
@reuben_ke6 ай бұрын
Haka ni kienyeji tu
@MitchelleJustin6 ай бұрын
Ameshindwa Sana 😂😂😂😂
@sikar_jb4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 hahahaha Wacha nisiongee
@omosh_cedrick_20222 ай бұрын
kinda funny🤣🤣🤣Airbnb ni rembo ishasemwa😂😂
@alexgatimu0016 ай бұрын
Leo umepata wa kushine kizungu😂 keep it up
@shanteynjeri6076 ай бұрын
Kienyeji woooi hajaelewa buckle up ndo kusema nni
@samwelmwangi93426 ай бұрын
Uyu Dem anakaa kunyeshewa😢😢😢 Denny C uko na kibarua
@mercymuthoni93284 ай бұрын
"Hujai ona mlango ka hii" got me rolling on the floor 😂😂😂😂😂😂😂😂
@shaffycsidney98926 ай бұрын
😆😆😆😆😆😆kwani alikuwa serious anapiganga wanaume😅😅😅😅
@stephenmuema36176 ай бұрын
We Denno enda mkawatch inflix😃😃😃😃😃
@Neo1111-e8e3 ай бұрын
Ukiskia umemuuliza nikuserve nini aseme anything, huyo ni kienyo.
@truphenachebet2816 ай бұрын
Do a content with ruih family atleast....sijui watu wamehama wapi guys lets watch this hot bangers of gold digger prank ❤
@MuneneArnolds6 ай бұрын
Apana
@kevinblack046 ай бұрын
Mama yangu 😂😂huyu Hadi seatbelt ni ngumu kufunga 😂😂
@mulewajoel65526 ай бұрын
😂😂😂😂😂....huyu gold digger hata hajui kufunga seatbelt.....😅😅😅😅😅...ni mshamba Jo!
@Melvo-Shiz2 ай бұрын
Ako nayo anaeza kuekea kwa simu yako na inflix😂😂😂
@Faith-tn2vg6 ай бұрын
Aki mimi huwezi nitoa huko kwote na uniambie nirudi mguu🤣🤣🤣🤣nitakurarua denny c
@davidotieno60195 ай бұрын
@@Faith-tn2vg wewe ukifikiwa ni mimi ntakuprank...si Denno. Na ntakurudisha tukitembea pamoja 😅😅
@shinehusnah65726 ай бұрын
Nakupendea hapo tuu unawakinywa kwa macho alafu boom😅😅😅nini kilikufanya urudi
@josephwaweru4394 ай бұрын
Innocent kienjeji 😂😂 bring more my G 😂
@Sharnywaist2 ай бұрын
Ako na movie shop kwa simu 😂😂😂😂
@Wambo-yz9ek6 ай бұрын
Kanakaa kukukiss 😂 cha nguvu
@GeniusMan-rv4ep6 ай бұрын
Dennis in fear, "umepiga wanaume wangapi"😬😬
@Vickyneeded6 ай бұрын
No. Ya.kiatu na yy ndo kiatu😂😂
@HessySkopah6 ай бұрын
𝑩𝒂𝒏𝒂😂😂😂
@AmimoKennedy6 ай бұрын
Atawahi ishi kukumbuka sefty belt ya gari😂😂😂akiivaa
@scholarsco22676 ай бұрын
Heeee denno u try Nimekuwa curious on, how do you handle smelly sweat, bad breath..etc of bad smells Am sure u encounter many 😅😅
@anglogibsonke6 ай бұрын
Me too but nmerealize kama Denny c amhug/ peck maybe anafall Kwa izo factors 😅
@duncantaporu95986 ай бұрын
Operation kuuza kibwenye😂😂😂
@JohnNgugi-c1d3 ай бұрын
Denny unapend hyo ngoma😂😂😂
@KlViper-j4w6 ай бұрын
Denoo I want you to try somali lady once I beg❤
@AysherHassan-ws8ed6 ай бұрын
Haituweziiiii😂😂😂😂😂😂
@dennismurimi57636 ай бұрын
Beautiful ...akili ndio tutatumia yangu
@Yogdiz6 ай бұрын
Wasichana wa nairobi ata ajui kufunga belt😅😅😅😅
@neuvillegraham78576 ай бұрын
akili imejaa tu vumbi na wababa🤣🤣🤣🤣🤣eeiyyy
@MissAdongo6 ай бұрын
Si ati nawateteaaa but uyu si wa Nairobi..😂😂😂
@erickouko6 ай бұрын
Cameraman anabore kama hao ma-goldiggers......mbona hataki kutupea U-turns
@Ame-t2f6 ай бұрын
Deno hawa mademu wanajiweka diehard na ni loose😅 0:56
@eddymwanyika32586 ай бұрын
Usieende kwa nyumba ulipii rent😂😂
@kevinblack046 ай бұрын
Hii kienyeji Hadi ijui kifunga seatbelt 😅
@neuvillegraham78576 ай бұрын
wee kwani ukona movie shop kwa nyumba???🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kyamunyujames96576 ай бұрын
Nikahumble kazuri lakini 😢
@sanchokimhoney60486 ай бұрын
Ningekuwa DennyC kwa hii situation ningekula uyu Dem walahi. Heri nisiupload hii video bt nimpee mkwenjele 😂😂 she's in a short dress na hao enyewe joh! 😋 The mood is right
@PhineasMugira6 ай бұрын
Ndio maana wewe sio Denny c😅😅
@sanchokimhoney60486 ай бұрын
@@PhineasMugira i know bana,you don't have to remind me. Just siting my weakpoints 😄
@nelsonnells21236 ай бұрын
Huyu hata simulaumu, she needed that experience kabisa.. how she tied the seat belt
@alvoo1336 ай бұрын
Ati Ogopa Mresh anaitwa Fei 😂😂
@AronKorir-vq6sy6 ай бұрын
Ungemwachilia tu aende,huyu ni kienyeji
@markkisigwa85096 ай бұрын
Walai hajawai panda gari hii si poa 😅😅😅
@slayerdanger68616 ай бұрын
Waaa kwani huyu mdem ni wa ushago
@migentekillerdjgente45396 ай бұрын
Basssssss hapo kwa mshindi😂😂😂
@PETER.MRAMBA6 ай бұрын
kijana polite alimbao 🤣😂
@glenkartel39936 ай бұрын
Denno tumemiss reverse gold digger pranks 😂😂
@kagonyamorine78296 ай бұрын
Hiyo tone huwa unawekea hawa warembo wadance huwa inaitwa aje?
@EmilyKambua-g4l6 ай бұрын
Kwani leo hakuna mkate😂😂
@Manziwanyamira06 ай бұрын
Aky ile maneno madem upitia kwa mikono yako 😂😂😂😂😂😂ona ss huyu anadance yawah
@jeccy_official6 ай бұрын
Denny-C:so uko na dryspell ya one year Fei goll_D: no ya mwaka😢😂😂 ee awa vieyeji wa Nairobi warudi2 ushago
@lucianobwirereagan87826 ай бұрын
hiyo mwili yake sio ya kupiga ata 1kb ya mwanume😂 na anakaa ni kama amenyeshewa
@RuthWaithera-o6y6 ай бұрын
Kila dem apa ni single 😂😂
@HenryWisaka6 ай бұрын
Dah me ni fan wa kitambo since Denoo hana ndevu😂😂 keep it up
@HumphreytysonGitonga6 ай бұрын
Ya Leo n promax ya ukweli bro
@obedkipchumba30666 ай бұрын
Should you see someone with a car and fall in love that easily ..ghai ladies style up!!!!!!!!!
@josephndungu30536 ай бұрын
isipokua ni Kurundi juya gari ni kakienyeji poa😂
@amosvasco47236 ай бұрын
Deno umeombwa number ya mpesa uwekewe kakitu but umekataa ety upeani number kwa golddigers😂😂
@samkameekaze75726 ай бұрын
"Tapeli" angetumiwa 'faifu pop' na dem abaki na salia ya '$igidi'
@dennismacharia79116 ай бұрын
Huyu dem alikua anathani hio seat belt ni ya PSV aliitafuta uko chini.😂😂
@Gidraf-gi3se6 ай бұрын
how comes madame wanapenda gari lakini hawajui kubuckle up ?
@nyangielahospital84406 ай бұрын
Wenye tumetangullia tuimbiwe happy birthday
@BettyBenjah6 ай бұрын
😂😂😂😂guys nipitieni niwapitie please❤
@Grace_Ministry_International6 ай бұрын
Amekimbilia kwenye mtu me nataka awe hivi n hivi je yeye yuko hivyo
@joelmuchiri1166 ай бұрын
Bana dinyanga wengine alafu unawawachia BnB walipe 😂😂