Duuuh acha Mungu aitwe Mungu kunasauti zimeshushwa kutoka Mbinguni hii kwaya naisikiaga tu kwenye radio na watu mtaani wakiisifia nimewatafuta Aruaha nzima sijawapata kumbe wako hapo sanawari sokoni karibu na shule ya secondary Enyoito hongereni makamanda wa yesu nilisikia mliitikisa cathedral leo nimewaona kwenye kideo 😂😂😂😂😂 Mungu awafikishe mbali
@kwayayamtakatifusimonmtume Жыл бұрын
Asante sana
@SalomeJuma-yy5lq Жыл бұрын
Utume wangu uwe dhabihu timilifu aisee niliusubiri sana huu wimbo, I love you guys
@kwayayamtakatifusimonmtume Жыл бұрын
Asante sana karibu sana tumtukuze Mungu Kwa njia ya uimbaji