Uko vizuri sana mwalimu ungekua karibu na ninge jiunga nawe ubatikiwe sanaa
@carolinemwugusi8945 Жыл бұрын
I have learned alot imebaki kwangu mimi sasa kuifanyia kazi hili fundisho na kuacha dhambi this is an eye opener hakika Mungu akubariki akujaze mengi uzidi kufundisha nimebarikiwa
@dorcasshelufumo52742 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@chrismwesiga23345 жыл бұрын
Ninakushukuru mtumishi wa Mungu,mafundisho yako yananifungua kila wakati,Mungu azidi kukutunza.
@abrahambalamba66792 жыл бұрын
Kwakweli hii ndiyo yanaitwa mafundisho ya ufalme wa Mungu.
@deborafuraha16332 жыл бұрын
Shalom wapendwa.
@kevinlavin29552 жыл бұрын
God bless you abundantly man of God I believe Jesus lead me to you
@Rodric-f9k2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe
@jescowapalila9962 жыл бұрын
Amen
@eshuchimukholi28906 жыл бұрын
1 YOH. 1:8-10 Tukisema kwamba hatuna dhambi, twajidanganya wenyewe, wala kweli haimo mwetu. Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata atuondolee dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote. Tukisema kwamba hatukutenda dhambi, twamfanya Yeye kuwa mwongo wala neno lake halimo mwetu.1 Yoh 2:1 BHN Watoto wangu, ninawaandikieni mambo haya, kusudi msitende dhambi. Lakini, ikijatokea mtu akatenda dhambi, tunaye mmoja ambaye hutuombea kwa Baba, ndiye Yesu Kristo aliye mwadilifu kabisa.
@zubedamnindi34664 жыл бұрын
asante kwa somo zuri Mungu akubariki
@nicholausmwangomo17518 жыл бұрын
Good Living words
@nenolakristomaisha.56115 жыл бұрын
NDUGU KUNA KITU NAONA HAPA NADHIHILISHIWA JAMBO HILI
@sharonpendo57086 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu alie hai umetumwa na yesu kujibu maswali katika maisha yangu nilichoka kusikia shetani kupewa utukufu kuliko Bwana Yesu kwa kua tumefundishwa kumujua shetani kuliko mumba wetu nilikua najiuliza hivi huyu Mungu nikwamba hana uwezo ama?lkn leo nimeipata jibu kumwamini Yesu ndio funguo ya haki yangu nahakika kufikiria hapo maisha yangu yatabadilika coz nikiwa najaribu haiendi nilikua naona labda nimetenda dhambi nilitafuta dhambi paka mvunguni hamna kutoka nikasema Yesu sasa ww ujibu mana sielewi nami nilipo fika hapo kwa kusarenda nikaona yale niliyo kua siwezi mbona rahisi tu nakatika mafundisho haya nahakika nitakua mtu mwengine mana yanazo nguvu za Mungu ndani wajua waeza ona kutisha watu ndio kuokoka kumbe ndio kuwagandamiza kuona huyo Mungu anahitaji kusaidiwa kumbe hataa hakika nafunguka macho Bwana akubariki kweli kweli akuongeze kimo cha kufikia Kristo sawa na mapenzi yake kwako
@mebojohnmunguakubarkimtumi78366 жыл бұрын
sharon Mtumishi nmebarkiwa
@nenolakristomaisha.56115 жыл бұрын
Kwenye kuamini
@nenolakristomaisha.56115 жыл бұрын
NAONA KUNA KITU KINAINGIA HAPA
@nenolakristomaisha.56115 жыл бұрын
NDUGU KUNA KITU NAONA HAPA NADHIHILISHIWA JAMBO HILI