Very mature, much love from Kenya 🇰🇪. Nakuskiza from USA. Wachia hapo Diamond you more than this small issue.
@janetmwangambu2 күн бұрын
❤❤❤
@rugbystories33442 күн бұрын
Mtu haezi kuja kwetu Kenya na atake kufanya vle anataka akiruka foleni hapa hata viongozi wetu wameshindwa na sisi
@GraceJamhuri2 күн бұрын
Shinda pd
@cmeratkenya2425Күн бұрын
We don't have any problem to any artist here in Kenya if you're doing the right thing, you will be appreciated and supported no matter what. it will take us 20 years to recover what we have lost in our music Industry here in Kenya.if you find a good team who really supportive you will go far.Artist from Kenya, they don't support their own artist. #Diamond aka simba, he has been always supporting some artists from Tanzania #Harmonize #Chui #Mbosso #Lava lava #Zuchu #Queen Darling #Baba Levo and soo many artists.15 years ago, we were the best artists in E.Africa but right now we must go to Tanzania to do a collaboration so that we can have numbers and followers I don't have much to say but as an artist, you need a good team Whether you like it or not unless you are doing music.Just for fun , but if you want to be like #Simba or #kingkiba you need a good team
@cmeratkenya2425Күн бұрын
Me nilianza mzikii 2009 mpaka sasa sijakata tamaa na sikwamba sifanyi nyimbo nzuri ila bado najipa tamaa more respect to diamond ila pozee jifunze kituu mdogo wangu
@OliviaOlivia-rh1eb3 күн бұрын
Much love from uganda ❤️ 🇺🇬 💕 one love one Africa ❤️ 🌍 ♥️
@EdwardKabologo-e2i2 күн бұрын
Waiteni wasanii wengine waje kujifunza kitu hapa . Huyu jamaa anajua biashara na kumanage ukubwa wa brand yake. Big up diamond 🔥🔥🔥
@perismuigai55592 күн бұрын
Much love from +254. Huyo mtoto wetu tunamuelewa ni mtundu na ana kiburi sana, asifanye uhusiano wetu na wasanii wa TZ utingike...
@MalikKimondaКүн бұрын
Diamond mwenyewe n mke wa P DIDY mtasema nn shoga yy
@ZibiahLotiang2 күн бұрын
From Kenya,,I like the way you talk with total maturity,,Sasa tumekuelewa kama wakenya Don't talk about this Again.we love you Diamond 💎
@samuelnyiro5744Күн бұрын
Sema umemuelewa pekeako
@johnngari56352 күн бұрын
I have listened to your music from when you were a small boy mbagala... mbagala up to now uko juu bro... keep up!
@edwinokalo97903 күн бұрын
Mungu aaibishe maadui wako wote. Umetuweka wazi kwa kilichojiri na mimi binafsi mkenya hapa, kaka nakuamini kwa burdani, investment na kuwa kioo cha jamii bora zaidi. Piga kazi zako bro achana na wanaoibuka kimzikii maana wanataka kuachieve kile umeachieve kwa muda mrefu zaidi wao wanataka na siku moja. Mwenyezi Mungu akulinde ndugu.❤❤❤❤❤
@chussetz3 күн бұрын
Wakenya mumezingua sana brother diamond💎 hana baya musani wenu Kazingua sana alikuanatfuta kiki WILL Pol
@SharonShibalia3 күн бұрын
Don't worry mond Bado sisi twakupenda wachana na hao wapumbavu wanatafuta content tu ❤
@CatiaKazuri2 күн бұрын
BEST SINGER IN THE WHOLE WORLD 🌎 THANK YOU DIAMOND FOR REPRESENTING EAST AFRICA ❤🌷♥️💜🌷🌹💜♥️🌷🌎♥️💜🌹🌷💜💜💜
@williammunyi14443 күн бұрын
Diamond uko sawa, very muture speech
@zippykaruthu15054 сағат бұрын
Iam a Kenyan mother and have been a fan of diamond Platnumz tangu wimbo wa Mbagala nimemfuata , what I want to say is diamond is a very respectful person ana heshima za hali ya juu na hata usipojieleza mwanangu wanaokujua vizuri hawahitaji to understand what happened because we know how much you value respecting, wakiongea wataongea lakini hawatabadiilisha your personaliry of which thats what matters most, nimekuona tangu mwanzo ukijituma kwa kazi yako na heshima nyingi and lots of wisdom, continue being you diamond, wakiongea wataongea lakini they will not change you from being you, ama mti usio na matunda utagongwa nini? The most humbled man I have ever seen, God bless you Abundantly son
@Peter-qr8dx3 күн бұрын
BIG UP FOR EVERYTHING YOU DONE TULIA ULE MBIVU KIVULINI HATUTAKI KELELE WALA ZOGO
@Ammykurunge-q8y3 күн бұрын
Hajui nn maana ya kazi achana nao nimeelewa nn maana ya kupenda kaz na kutokuwapa maadui nafas thanks bro❤
@elijahmativo2 күн бұрын
Tunakupenda Simba more love from kenya
@hawababy1203 күн бұрын
Huenda Mungu alimuepusha mabalaaa.umefanya vizuri san Diamond nawengine watajifunza kupitia kwako.
@Mirriam-u8f11 сағат бұрын
Mimi ni mkenya but nataka kùsema hivi husihukumù ÿyote kwa kutojua ukweli, keep up diamond, husijibu na Mungù atakupigania🙏🙏🙏🙏
@DanielKakwezi3 күн бұрын
Safi kabisa umefanya vizuri Sana
@jamilaathumani54813 күн бұрын
Nimeipenda iyo apo uliposema Huwa hujibugi upuuzi safiiiiiiiiiiiiiiiiii..nimechukua iyo na nitaishi nayo Daimond
@YussufJuma-s2k3 күн бұрын
Utakufa njaa kijana
@directorwilly-f8w2 күн бұрын
Kwl Simba
@Mirriam-u8f11 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂@@YussufJuma-s2k
@kenmwangi41623 күн бұрын
That's how a King talks Like a Boss.❤
@Hipsey_Nussle3 күн бұрын
Calling another man a king😂😂.
@8pistons1943 күн бұрын
@@Hipsey_Nussle whynot hi is KING
@mwinyiswaleh83883 күн бұрын
King alienyeshewa na DIDDY.
@rechaelmabruk6547Күн бұрын
Offcouse
@sebastiankaole7023 күн бұрын
Diamond the great you are in an upper level,intelligent fans still love your work.In fact you are exceptional!
@MariamNakoa11 сағат бұрын
Diamond forever 🎉🎉🎉🎉 watching from Saudi
@mrokay1time9583 күн бұрын
Mungu alikuepusha na hili Simba lasimbamadangote na inshallah atakuepusha na lengine Mungu akulinde ❤❤🎉🎉🎉🎉
@rugbystories33442 күн бұрын
Mtu haezi kuja kwetu Kenya na atake kufanya vle anataka akiruka foleni hapa hata viongozi wetu wameshindwa na sisi
@emmanuelwanjala-t9b2 күн бұрын
Nilikwepo nilijihisi vibaya sana nalipia bia 8 kwajili yako Mimi ni mkenya bt pozee alikosea sana we ni mtu maarufu sana mbona wafanye hivyo baba nakutii next show najua we unapendwa sana Kenya we love u in Kenya dangote
@marrypius5763 күн бұрын
Tunakupenda diamond ❤❤❤
@IrangabiyeSamuel-j6u3 күн бұрын
U know people is problem we love you I from Burundi
@simeonbizzy38853 күн бұрын
Nipe like zangu number 1
@erqmusic59733 күн бұрын
Hakuna binadamu asiye penda almasi ❤❤❤
@aika91163 күн бұрын
Natamani usiongelee hii issue kabisa unampa yule mtoto airtime sana...we uliona isiwe shida ukaondoka ye akabaki sasaa kuimba aimbe yeye na kulia alie yeye😂😂😂😂😂....you have worked so hard to be where you are#forever Simbaaa😘😘😘
@oliviaadhiambo31422 күн бұрын
hapo kwa kumpa mtoto airtime hehe
@SeverinoLuis-j1h2 күн бұрын
Alivuta bangi😂😂😂
@VemamElly2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉
@CheloDangote2 күн бұрын
Brother SIMBA 🔥❤❤ From DRC goma 🇨🇩🇨🇩
@AminaYasser-y6j3 күн бұрын
Mungu.akuhifadhi.pia nimejifunzaa mengi
@chusseboywcb28083 күн бұрын
❤❤❤❤love you amina
@lukewandera57202 күн бұрын
We love your music man. Nairobi loves you.
@edwardokumu84533 күн бұрын
Explaining yourself sometimes is very important to avoid spreading of false information. This is commendable and many now understand and the support still remains from your loyal Kenyan fans.
@Khalidniya3803 күн бұрын
Be blessed bro
@AthumanKinda3 күн бұрын
Sasa ndo unafunga show kwa kipi Yani! Wewe ni msanii kama wasanii wengine..... Wewe inafaa kushindana na Stivo Simple boy.
@kelvinfussi52103 күн бұрын
@@AthumanKinda Acha chuki. Fanya kazi kwa bidii na wewe upate
@AthumanKinda3 күн бұрын
Sasa usanii ni kazi ya kusifu! Inalillahi wainaillah rajiun.
@youngbona38043 күн бұрын
@@AthumanKindaunaelewa maana ya headliner? Idiot
@edwincain8493 күн бұрын
Keep going simba huyu mutu ya huku kwetu anatulisha music ile imeoza achana nae..!juu anawivu ulimnyima collabo😅
@khalifaahmed5872 күн бұрын
Hahah simba simba hafanyi collabo na ngedere
@JavohISS3773 күн бұрын
Much love ❤ broh analeta bifu za kitoto
@mudibojaffar92693 күн бұрын
Asante Sana SIMBA 🦁,,,,Ni Simba la Masimba Dangote 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@zybiancarozz55122 күн бұрын
Nani amerealize diamond hataki kutaja pozze, but amtaja papa jones.... diamond uko mature enough ❤❤❤
@kelvinfussi52103 күн бұрын
Hili somo ulilowapa leo walitakiwa wakulipe pesa nyingi sana. Mungu akubariki sana maana umewaamsha wasanii wakenya sasa watatakiwa watoke huko kwenye kulalamika waje tanzania tuwafundishe kazi
@Veronicahquithern3 күн бұрын
Good luck 🎉🎉🎉🎉 kuongea ukweli , Dunia ielewe ukweli kitu ilifanya kenya❤
@MamboCalvin2 күн бұрын
Much from Kenya 🇰🇪 simba amekoma kweli
@AlbertoFestus3 күн бұрын
Gonga like hapa nikiwa wa kwanza kuona video
@oscarshotit2 күн бұрын
Am from Kenya but Am a Diamond Fan....willy pozee fan likewise.......
@YusraMadodo-xq3gw12 сағат бұрын
Hongera sana brother
@jamaldaud-e4d3 күн бұрын
Salute kwako bro vitu vingine vya kipuuzi Sana hauhitaji kutumia nguvu nyingi Sana sometimes unakausha tu
@RoseMadattaКүн бұрын
Mugu anakupigania acha wakenya wahagaike na upuuzi wao
@MicahWetunde-zv8ix2 күн бұрын
Willy poll ako chini sana kimziki
@alikawinga22893 күн бұрын
Uko sawa bro❤
@dostamateso80393 күн бұрын
Wezombi Haujui 🎉🎉❤
@lihumbimaringo91163 күн бұрын
Mondi usijari rizki anagawa mungu kua mpuuzaji hivohivo bro nakkubali kwakua waijali kazyako pia watujali sisipia shabikizako we love you niga❤
@AdamLameck-x5n3 күн бұрын
Kwa kutoboa pua au Mambo ya didy msanii ni kiba tu uko tz
@HasanaliUrungu-lu1ig2 күн бұрын
@@AdamLameck-x5nkwani pua ndo inaimba mzee
@SeverinoLuis-j1h2 күн бұрын
Wewe mbona wanakupitia na popo bawa si bora pop ddy anakupa ela@@AdamLameck-x5n
@WORLDWIDE_CLASSIC_NATION-vm3ud3 күн бұрын
WCB forever diamond 💎 platnumz Tanzania
@hassansammy10763 күн бұрын
Diamond platnumz Simba Never disamppoint huna baya kaka tuna kupenda sana uku kwetu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@JamesAmimo-p8x3 күн бұрын
NASUBIRI KING KIBA ❤❤❤HAMNA UBISHO DIAMOND HUNA MANENO ILA TULIA BIGGY MANENO MENGI HAYAJENGI JIAMINIE BRO
@michewenionlinetv17 сағат бұрын
🎉pole mwamba watazania tuko pamoja mkuu
@Am-vo5cu3 күн бұрын
Diamond pole. watanzania nimemufwata na numuelewa pole kaka yangu Diamond. Wakenya tujifunze heshima. Eric na Willy paul ni makenge wenye wivu na si wakubwa. Samahani mimi mkenya.
@nyambitakiboga84673 күн бұрын
😂😂😂😂 wewe mbongo kabisa tena aina hii ya comment ni ya tandale
@reubenmutembeimeme40383 күн бұрын
Chorea,,,ujeuri ni kwenu si hapa kenye haswa mjini Nairobi.
@nelsongodbless1923 күн бұрын
😊
@IVANMOSESS3 күн бұрын
platinumz🔥🔥🔥🔥
@lihumbimaringo91163 күн бұрын
Wejamaa akilikubwa sana u are the greatest bro either they want or not wakenya wanataka kitu bora nawewe watupa kilicho bora hao unao wasema hawatuimbii wanatupigia kelele alafu ungenyamazatu bro mana tunakujua that's why we love u hakuna haja ya kuwajibu wameishiwa mbinu hawawez kishindana we ni fighter bro unajishusha brand. Alafu ulichosahau wanatumia jinalako yani kila wanapokua na majambo yao lazma wakutaje ili wadroo atension zetu si unaona hawajiamini kama watatoboa bila kkutaja hawawezi kufanya chochote bila wewe. So waonee huruma ukinyamaza unawasaidia na mungu atakulipa bro we ni mtu wa thamani sana kwetu sisi tuno kupenda na hata kwa hao unowasema mana wananufaika kupitia wewe
@KennedyGibson-w8p3 күн бұрын
Diamond is the best and we love him most ❤️ 💕
@FerhCo-p6x8 сағат бұрын
Genius❤❤❤
@rechaelmabruk6547Күн бұрын
Twakupenda kweli chibu ww ni wetu kufa kuzikana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@shanizOtieno2 күн бұрын
Waaa mamako ako proud of you ❤❤❤
@PatrickMaru-g4u3 күн бұрын
Pole kaka Continue hitting more
@ClintonFufumbe3 күн бұрын
Gonga like kama unamkubalii simbaaa❤❤
@Rictonkitali3 күн бұрын
Asanti sana kwa kukubali maneno yangu
@Princegeorge9522 күн бұрын
Huyu ni paka akiwa kenya
@dennismusyoki94792 күн бұрын
Simba ama paka
@calvinondieki1529Күн бұрын
Hatukupendi....tunapenda harmonize banae....sisi tunapenda wasanii wenye hufanya collabo na wakenya....sisi hatukupendi...na kama tungekupenda,tungeruhusu uperfom bila kuondoka.....wee shetani,mtu wa baba levo,ungekuwa mond wa 'moyo wangu,nenda kamwambie,mawazo etc basi tungekupenda....hatuezi penda zuzu😂
@MariamNakoa11 сағат бұрын
❤❤❤❤
@CossyRichard3 күн бұрын
❤❤❤🎉 we love you so much bro
@sallysafisanakijanakazibut16882 күн бұрын
Uko vizuri D.❤❤❤
@jamilasaid35753 күн бұрын
Mombasa pekee ndio mji wa amani Kenya nzima❤
@geoffreymwiti83553 күн бұрын
You know nothing about Kenya shut up
@crintonmkuwa3922 күн бұрын
Kwanza moombasa ni Tanzania😅😅
@jamilasaid35752 күн бұрын
@crintonmkuwa392 ngoja nije Tanzania bac ila ukweli nikuwa Kenya na Tanzania twapendena ndio maana twapenda kuchokozana mm mkenya ila Tanzania nawapenda sana nasiwez vunja mapenzi yangu kwa watanzania kisa kiki za wasanii
@calvinmillioni82 күн бұрын
@@jamilasaid3575 true that
@shadrackkassale296818 сағат бұрын
Tunaeapenda pia bro
@JonesAngel-u4h2 күн бұрын
Simba mwenyewe much love from kenya
@KasmiriKonki14 сағат бұрын
Big up sana simba dangote, wewe mungu kakuepusha na mengi huenda ungepanda wakuumize ,watanzania ss tunakuombea dua uwe na afya njema kila wakati.
@omarybakunda25543 күн бұрын
Pole sana Diamondi
@decoolbillionaire2 күн бұрын
Hv ndvyo tunavyoongea watu tunaojua,,,hatulii mbele ya camera😂😂😂 pozeee take points hzoo ztakusaidia kwenye maisha mana hujui mziki
@Lastontano2 күн бұрын
The whole Africa we love u Diamond platinum God 🙏 be with u all the time .....
@JumaMwasera2 күн бұрын
Uko sawa bro
@aisha_mohammed58253 күн бұрын
Simba la masimba 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪❤️
@EmanuelpataEmanuel3 күн бұрын
Kaz mzurii sana kakaa big up for you
@petermseja76873 күн бұрын
Uko sawa saaana kaka
@Director_Kitindi_Complete3 күн бұрын
WCB 4Life 🎉🎉🎉🔥🔥🔥
@ZeeLaSekunde5341Күн бұрын
King kiba for life..Porojo Porojo ziii hamna tunachapa kazi kwenda mbele
@amoslepasha18412 күн бұрын
Respect to you. Tumemzoea na kiki
@SaneMwezi3 күн бұрын
Lamasimba lamasimba dangote ❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@adambakari-f6z3 күн бұрын
Mm nakupend sana❤❤❤❤❤❤
@AbdulrahmanabdallahAbdallah2 күн бұрын
Diamond platinum we ni Moja akuna yule likanisha na wewe Wacha warukeruke kama maharagwe😮😮😮😮
@michaelkioko97463 күн бұрын
Very good advice to our Kenyan artists- but will they listen?
@TheAlman2 күн бұрын
No they will not 😂😂😂😂😂
@VeronicaKariuki-yl7ns2 күн бұрын
Uyu shoga sasa amevaa nn?
@simonmbote302 күн бұрын
You won 🏆 Bro... you proffesionally controlled their mess. SIMBA siku zote.
@Holelarjr083 күн бұрын
Well said brother...the guy is hating bhan!!keep going kaka..tunatak tyla saiv au ayra starr kabisa 🙌
@mikidadihassan.28453 күн бұрын
Nime kuelewa baba 🎉🎉🎉
@MuhammadBuyah-on6nm3 күн бұрын
Na Simba la masimba 💯✌️🇰🇪🇰🇪
@chusseboywcb28083 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉respect sanaaa
@HenocNzombote-z1gКүн бұрын
❤❤❤ Simba, kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@AdidjaNiyonzima3 күн бұрын
Sisi wa Kenya tujifunze wenzetu wana misimamo gani kwenye kazi ongera sana Simba ni mejifunza kitu🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@EvelyneIsambi2 күн бұрын
Huna shida daimond we ni mkali
@jacktonshondo90983 күн бұрын
It's Kenya dude! We like whom we want, Pozee!❤❤❤
@superdupaproducer42943 күн бұрын
Katombwe nae sasa
@esem1353 күн бұрын
We do!! Kenya first!! Kenya is not for use by Tanzanians!!
@sophiangugi31053 күн бұрын
🇰🇪 Kenyan forever ♥️
@Heiskmb3 күн бұрын
Umetisha 🎉🎉🎉
@Vlkstudios2 күн бұрын
Simba ropokwi ❤
@wycliffenyabuto62923 күн бұрын
Simba Kenya tunakutambua brother
@Jontekany2543 күн бұрын
You forgot pozee is our "simba " here in kenya ...uwezi kuja kutupanga mtaa yetu ..💯
@danielkinyanjui74832 күн бұрын
Punguza kiburi bro,ingine itakuwa fresh
@BeatriceMumbe-f8k3 күн бұрын
Simba nakuamwini sana,, asanti kwa kutuelezea
@BeatriceMumbe-f8k3 күн бұрын
Tena sana,, akh simba si mtu mbaya
@khizzer_jr3 күн бұрын
Wekeza pia kwa LIVE BAND izo PLAYBACK sio PROFESSIONAL
@EzekielJimmy-v1o3 күн бұрын
Nikweri Simba kuwa ufatirii upuzi iramimi naomba kama shabiki mwijaku kuto kumchikuria inaniumiza kama shabiki nasipendi🎉❤❤❤