Diamond akitumbuiza kwenye harusi ya Mombasa aliyolipwa Bilioni 2.364, shangwe lake si mchezo

  Рет қаралды 14,414

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 81
@tymaaAl
@tymaaAl 13 сағат бұрын
❤❤ wakenya wanaupendo sana iam proud to be a Kenyan ❤❤
@yahyamajidyahyahilalal-har8762
@yahyamajidyahyahilalal-har8762 12 сағат бұрын
Hamna lolote chuki, roho mbaya tu
@edwingideon3606
@edwingideon3606 8 сағат бұрын
Sio Wakenya, sema Watu wa Mombasa, Mombasa ilikuwa Tanzania zamani, ndio maana wana heshima na Upendo Kama Watanzania 🇹🇿
@SaimoAbusei
@SaimoAbusei 5 сағат бұрын
Waulize pozze akowapi😅😅😅😅
@warrenkilimber4013
@warrenkilimber4013 10 сағат бұрын
The national music icon,the true king of East African music 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🙏🙏👑
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 13 сағат бұрын
Umebalikiwa diamond na utaenderea kubalikiwa ❤kazi juu yakazi
@JamesmalesaMavere
@JamesmalesaMavere 13 сағат бұрын
Willy posee Yuko wapi atangulie kabla ya Simba 😂😂😂
@atutweve4160
@atutweve4160 12 сағат бұрын
Akomeeee
@collotz01
@collotz01 11 сағат бұрын
ako kikuyu uko hujajua
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 7 сағат бұрын
Willy paul master wa wivu
@user-xy8kl9wd2i
@user-xy8kl9wd2i 15 минут бұрын
Willy pozee amepewa kazi ya kulinda mabegi ya diamond 😂😂
@Aziza-tx4jx
@Aziza-tx4jx 6 минут бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Chazitembo
@Chazitembo 13 сағат бұрын
Simba noma
@josephvenus3259
@josephvenus3259 12 сағат бұрын
Umeshindikana 🙌🙌🙌🙌🦁🇹🇿
@panchovalentino3576
@panchovalentino3576 13 сағат бұрын
Balaa ziito aisee 💯🔥 good music 🔥💯🎶🎵🎼🔝💥
@leonardkambona3608
@leonardkambona3608 3 сағат бұрын
Mimi kama bwana harusi sijafurahishwa maana uwepo wangu kweny harusi hata haujaonekana😢
@nelsonneeson620
@nelsonneeson620 5 сағат бұрын
Walah mkinissuport mimi ni mdeadly😂😂😂😂
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 13 сағат бұрын
Willy paul,,,njoo uku
@jonesbaraka7506
@jonesbaraka7506 13 сағат бұрын
Nothing much to say ,,,this is what we need to see
@PeninaAdam
@PeninaAdam 5 сағат бұрын
Nimependa alivyovaa kapendeza sana
@johnkitwima6963
@johnkitwima6963 Сағат бұрын
Casspooly hatimae ndoto yake imetimia mkono kwa mkono 😂😂😂❤🎉
@azimioalbertongellangella8970
@azimioalbertongellangella8970 11 сағат бұрын
Ila Willy poul bhanaaa 😅😅😅😅
@InspirationalChickens-cf7uu
@InspirationalChickens-cf7uu 13 сағат бұрын
🎉🎉🎉 🦁
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 9 сағат бұрын
Kama tuko Bongo Money
@chrispinmkanda6097
@chrispinmkanda6097 13 сағат бұрын
Sasa kwann unaangalia km roho inaumaaa!!! naona tu watu wanajipa tabu wanakunja sura huku wanaangalia shida nini huyu ndo simbaa!!😂😂😂😂
@Boniface-x4x
@Boniface-x4x 3 сағат бұрын
Noma sana Simba watajipa tabu sana kwauyu mpambanaji🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
@sabatoager
@sabatoager 3 сағат бұрын
king mwenyewe king dangote
@victorgaramangala4964
@victorgaramangala4964 12 сағат бұрын
That’s alie…😂😂
@nickluca1512
@nickluca1512 9 сағат бұрын
Kweli pesa ina nguvu yaan watu wanamshika msanii wetu kama wanachagua nyanya sokoni
@m___ck799
@m___ck799 13 сағат бұрын
Kwahiyo ilikuwa buy one get one free? Maana namwoma DVoice!
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 5 сағат бұрын
Namuonea huruma wily po
@AlksvJshd
@AlksvJshd 13 сағат бұрын
❤❤❤❤
@fridamnyambii7175
@fridamnyambii7175 36 минут бұрын
Willy Paul yuko wapi kama alivyosema kenya kwanza mbona hajaalikwa?😂
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 9 сағат бұрын
He's Young femous in Africa
@atutweve4160
@atutweve4160 12 сағат бұрын
Bilioni ngapi? Sijaelewa 😳😳😳😳😳😳😳😳😳
@allenkwaya8594
@allenkwaya8594 46 минут бұрын
Waongo hawa watu hatari
@allenkwaya8594
@allenkwaya8594 44 минут бұрын
Bilioni 2ktk show ya harusi Tu!! Uongo wa Hali ya juu
@melkiadgangai5271
@melkiadgangai5271 12 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@eddechriss2664
@eddechriss2664 13 сағат бұрын
Sema hawa wadigo wa Mombasa noma sana wamewezaji kumzuia Yule msela nnya mpaka rangi nywele asiwe yeye wa kwanza kuperform kwenye hii sherehe yao
@JamesNgala-g3c
@JamesNgala-g3c 46 минут бұрын
Hii sherehe ni ya faragha( private) sio kila mwehu aalikwe hapa. Jàpo wapo machokoraa wamekuja kuvamia sherehe.
@upendoluva2066
@upendoluva2066 12 сағат бұрын
Hongera ba,nilani ake
@haromohamed2527
@haromohamed2527 6 сағат бұрын
Huu nao I guess NI uongo, B2 tz Io Kenya n Zaid y 100 m
@SaimoAbusei
@SaimoAbusei 5 сағат бұрын
Pozze akowapi ama yeye sio msanii wakenya😅😅😅😅
@LorkizzyCufulaneNassoro
@LorkizzyCufulaneNassoro 13 сағат бұрын
Hujasema Chochote Simulizi vip bana umetuchoka? 😅
@NathanielMwangemi-w2f
@NathanielMwangemi-w2f 12 сағат бұрын
😅😅😅😅
@Olariv
@Olariv 3 сағат бұрын
Ivi unajua biii kweli,acha utani,,,,etiì biiii,
@V.6ixEmmanuel-w2g
@V.6ixEmmanuel-w2g 11 сағат бұрын
Bilion mbili2 au milion2 ebu tengua kauli bc HIV unaichukuliaje mbilion2
@deejeydaev
@deejeydaev 8 сағат бұрын
Acha wivu wew
@linusmassawe-f4p
@linusmassawe-f4p Сағат бұрын
Skai leo ataki kutuchosha kaona tuongee kwa kujiuliza maswali juu ya b2 😂
@marciabrown1172
@marciabrown1172 12 сағат бұрын
Wakenya hawana Roho nzuri Diamond msanii mkubwa na watu wanamkubali sio wavuta bangi wanataka kiki bado hawamfikii Mondi bwana wanatakiwa wajipange na sio wivu hausadii
@musamagulu2023
@musamagulu2023 Сағат бұрын
Ukipendwa pendeka bhana Sienapendwa na mashabiki halafu yeye pia huwa hawaangushi mashabiki zake anawapa upendo pia,haringi kwa mashabiki zake ila kuna visanii fulan vinavimba kama vimekula hamila
@BilaliRamadhani-x7y
@BilaliRamadhani-x7y 5 сағат бұрын
Bro skai tume zoeya useme chochote bhana
@footballgoals4118
@footballgoals4118 11 сағат бұрын
Mbona sio wakenya hawo si wahindi hawo
@tedngowa2559
@tedngowa2559 10 сағат бұрын
Ni wakenya my dear,ata Mimi Niko hivo na nimkenya halisi,sema tuko na damu ya kiarabu kiasi but sisi Ni waafrika.
@tedngowa2559
@tedngowa2559 10 сағат бұрын
Wahindi wako Kama watano tu kwenye hii video...
@SaimoAbusei
@SaimoAbusei 5 сағат бұрын
Tafuta bwana uoleke wewe kabuku
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 6 сағат бұрын
Huyu ndo apewe jina la king sio yul mbana pua
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 6 сағат бұрын
She mwaipopo umeona ndugu zako
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 7 сағат бұрын
Angeenda poze jamani
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 10 сағат бұрын
Wcb
@victorgaramangala4964
@victorgaramangala4964 11 сағат бұрын
Even media iko kiki pia 😂😂
@Geogina-a
@Geogina-a 7 сағат бұрын
Willy paul umemuona Diamond mombasa? Mbona hawakuita wewe?
@KassimKassim-h1n
@KassimKassim-h1n 13 сағат бұрын
Kwa nini hawakumchukua willy Paul?
@marciabrown1172
@marciabrown1172 12 сағат бұрын
Kwa sababu hawamtaki Willy Paul na show zake za kulialia😂😂😂
@atutweve4160
@atutweve4160 12 сағат бұрын
Akaimbe ushuzi 😂
@emmadora7848
@emmadora7848 9 сағат бұрын
Kwa sababu sio mwislam😂😂😂😂
@deejeydaev
@deejeydaev 8 сағат бұрын
Wanao sema ni uongo tafadhali watupatie ukweli.. Alafu WILLY POZEE naskia kalipwa sahani ya ubwabwa na soda
@DouglasMassop
@DouglasMassop 7 сағат бұрын
😅😅
@deejeydaev
@deejeydaev 7 сағат бұрын
@DouglasMassop tehe tehe
@AliDulla
@AliDulla 12 сағат бұрын
Diamond nikama maji utayatumia tu mnabeza kwa chuki zenu tu
@SaimoAbusei
@SaimoAbusei 5 сағат бұрын
True 💯💯💯
@mustafarajabu4005
@mustafarajabu4005 9 сағат бұрын
Will pozee njoo uwanze kuimba ww huku kabla ya simba.paka ww unashindana na watu walioshindikana
@SaimoAbusei
@SaimoAbusei 5 сағат бұрын
😅😅😅😅
@homeandaway2811
@homeandaway2811 13 сағат бұрын
SNS come on, tumieni AKILI hemu acheni kuamini kila kinachoandikwa 😂 are you serious?😮😂
@bakarially253
@bakarially253 13 сағат бұрын
Why are you trusting other stories why not this?
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 13 сағат бұрын
Ebu na wew tumia akili, utuambie unachoamini wewe
@homeandaway2811
@homeandaway2811 13 сағат бұрын
​@@bakarially253tumieni akili kutofautisha kiki na ukweli, hii ilipangwa kukera waandaaji wa festival alipogoma Mondi kuperform,😂 anyway kila mtu ana uhuru wa kufikiri anavyoona yeye. Weekend njema!
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 11 сағат бұрын
Acha chuki na Rais Ruto wamempnga aje kwa hiyi kiki?? ​@@homeandaway2811
@isaackambofi1241
@isaackambofi1241 10 сағат бұрын
Kwani mondi aligoma kupafom au palikuana vulugu acha chili ndugu Kama upo chin na mond juu tulia
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
OFFICIAL TEASER  2 | TWISTED SERIES | HUN PLUS
2:16
Hun Plus
Рет қаралды 2,5 М.